Huyo jamaa wa kwanza ni mtu ako na utulivu na anaelewa mambo vizuri sana. Hata suali zake ni za hikma sana. Namuonbeya ALLAH ampe hidaya.. ALLAH akubariki sheikh kwa daawa mzuri..
Asalam aleykum Aah kwakeli Allah anamuongoa amtakae huyo ndugu wakwanza mmempa ukweli wazi wazi Lakini shida iko kwa nafsi 😢 Allah awalipe mashekh zetu ni kazi kubwa mnafanya
@@salimdaawah123 mume wangu ni muisilamu tena wa kuzaliwa ila anamitihani sana ya maisha ndio nikawaomba Katika Dua zenu mumukumbuke mambo yake yaende sawa
Haki wakristo wako na shida . Confusion continues. Mara Yesu ni Mungu, mara ngine yesu ni mtoto wa mungu. He has to be one or the other. He can’t be both
Huyo jamaa wa kwanza ni mtu ako na utulivu na anaelewa mambo vizuri sana. Hata suali zake ni za hikma sana. Namuonbeya ALLAH ampe hidaya.. ALLAH akubariki sheikh kwa daawa mzuri..
Amin
Allah awahifadhi na Waislamu wote duniani na atukutanishe siku ya Qiyamah Insha Allah
Aamiin amiin amiin na atupe jannatul firdaus
Aamin ya Rabb bro
Mashaallah mashekhe wangu nawapenda sana kwa ajili ya ALLAH.Nipo Tanzania ila nawafuatilia sana mnamafutisho mazuri sana Allah awajaalie mwisho mwema
Napenda ustadh ali anavyo shindana na kujaribu kumfunza sheikh salim. Unafanya kazi nzuri mzee endelea hivyo hivyo
Asalam aleykum
Aah kwakeli Allah anamuongoa amtakae huyo ndugu wakwanza mmempa ukweli wazi wazi
Lakini shida iko kwa nafsi 😢
Allah awalipe mashekh zetu ni kazi kubwa mnafanya
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kabisa kazi yetu ni kufikisha tu
Kazi nzuri mashekh wetu, Allah awajie afya njema
Aamiin amiin amiin
Wa aleykum Salam warahmathulah wabaraqathu safi sana 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Alhamdulillah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Allahu Akbar walilahi lhamd
nawapenda san kwajili Allaah mashekh wetu
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
Hahaha uyu mzee nazani kumbukumbu zimempotea au kapata kamnywesho😂😂. Aenda mbele na kurudi nyuma . Allah amuongoze In shaa Allah.
Asalam aleikum warahma turullahi wabarakatuh
Yaani nikiona notification naskia raha sana
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tukiona comment yako tunafurahi sana Allah akuhifadhi
@@salimdaawah123 karibu sana naomba sheikh DUA ZENU KWA mume wangi ALLAH Amfungulie 😢😢😢
@@salimdaawah123 karibu sana naomba sheikh DUA ZENU KWA mume wangi ALLAH Amfungulie 😢😢😢
@@sheemaryam Allah amuongoze aone nuru
@@salimdaawah123 mume wangu ni muisilamu tena wa kuzaliwa ila anamitihani sana ya maisha ndio nikawaomba Katika Dua zenu mumukumbuke mambo yake yaende sawa
Mash Allah na Alhamdulilah Allah aendelee kuwaongoza Mashekhe wetu kwa kuwapa watu elimu ya Dini.
Mashallah barakallahu fiikum Allahu Akbar
Asalaam my brothers and sisters..my heart is in soo much pain because of the genocide happening in palestine.i am soo helpless.ya Allah🤲🤲
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Allah atawanusuru
Mashallah
Haki wakristo wako na shida . Confusion continues. Mara Yesu ni Mungu, mara ngine yesu ni mtoto wa mungu. He has to be one or the other. He can’t be both
Hawajui na hawajui kama hawajui Allah awaongoze waione haki na waifuate
Asanteni
Mashaallah ustad.
Jamani Wakristo hawaelewek km sigara ya nyote😂😅
1:22hr 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wallahi niruhusu tu nicheke 😂😂😂😂
🤣🤣😂😂😂
Assalam aleykum warahatullahi wabarakatu. ..Allah akbar
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Asalam aleikum waramtulah wabarakatu amani ya mwenyezi Mungu zitutawale milele🤍
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Asalam alaikum warahma Tullahi wabarakatuhu
Naomba Mwenyezi Mungu awalipe kilalaheri tunafaulu Sana kutoka kwenu ❤❤
Asalam aleikum warhamatulah wabarakatuh
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu kuhusu hawo wachawi wa kujutia waislamu hata kwa Kitambulisho chawo sio majina ya kislamu
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ni kweli wanatumia jina za kiisilamu ili waaminike
32:40 hata kuna kanisa zingine
Wanaubudu kwenye mijengo ya bar ila ikifika Sunday wanaangeza viti tu na wanaanza kuabudu
Hii kali
Ustadh Salim nawezaje pata namba yako yenye tunaweza wasiliana
+254 727 431 691
Mbona waislamu wanakula ngamia ilihali imekatazwa
Kwa sababu huyo aliekataza wala si Mungu na sisi tunafuata maagizo ya Mungu
Wapi ngamia amekatazwa aya gani kwa Qur'an
Mosesodinga
Mungu hajakataza kula ngamia kasome vizuri kwenye ilo andiko utajua ni nani aliyeandika
@ moses odinga Mbona "wakristo" wanakula nguruwe ilhali imekatazwa?
Na mbona baadhi ya wakristo wanakula pork na imekatazwa katika bibilia.
Hapa iko kifumba macho😂😂😂😂 babu leo watuvunja mbavu kw kicheko 😂😂😂
Mpaka kieleweke 😂🤣😂😂
Asanteni