MAMA MZAZI WA MARTHA MWAIPAJA KAWALIZA WATU NILIMZAA AKIWA MWASILIKA KAWAPOTEZA VIJANA WENGI SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 47

  • @JackySt-c9h
    @JackySt-c9h 14 дней назад +1

    Mungu aliye mbinguni awasamehe ju hamjui mfanyalo ...Ww sio mamake Martha Mungu awasamehe xn...

    • @pendomarungi452
      @pendomarungi452 14 дней назад

      Eti hata picha akiwa anamnyonyesha wewe mwanamke muogope Mungu. Accheni mbwe mbwe

  • @EsterFrank-g6h
    @EsterFrank-g6h 11 дней назад

    Mh we mama ni muongo kabsa wew ukaee mama ake na matha muongo mkubwa😅😅😅😅

  • @asintaisaya5488
    @asintaisaya5488 12 дней назад

    Huyu Tapeli sana sio mama yake Martha

  • @Filmz639
    @Filmz639 14 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mungu awasame maana hamujuwi mnachokifanya

  • @MupenziVedaste7
    @MupenziVedaste7 13 дней назад

    Hiyiyote niwupuhuzi wunjinga yakiloho aye wanasumbuwa ivisasa? Mwenzagnu

  • @NeemaRameck
    @NeemaRameck 13 дней назад

    Wewe siyo mm yake mungu akuone na uongo wako

  • @deboranicoraus4866
    @deboranicoraus4866 14 дней назад

    Sijui ni njaa au wamekudanganyia shingp we mmama jmn unashind miyomboni iringa unauza matunda huyo Martha mwanao kvp mweeeh njaa mbaya jmn😅😅😅si unasemag umeokok ww muogope mungu ww

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 14 дней назад

    Ana mama wangapi mama mwingine alijitokeza huyu amejitokeza ujuie yupo na Yule Bibi alielia ninani

    • @pendomarungi452
      @pendomarungi452 14 дней назад

      Mwongo huyu siyo mama Mzazi jamani khaaaaaaa

  • @annageorge129
    @annageorge129 13 дней назад

    Ila jamaani njaaa mbaya sana

  • @collinscuthbert6329
    @collinscuthbert6329 14 дней назад

    Dunia simama nishuke 😂😂😂😂mmmh watu wadunia hiii

  • @christinabiyengo2955
    @christinabiyengo2955 13 дней назад

    Mnafanyia mizaha matatizo ya wengine!!

  • @MlasiNabinwa
    @MlasiNabinwa 14 дней назад

    Jamani.wa.mama.kitanzania.mjaribu.kumuogopa.Mungu.huyu.sio.mama.yake.

  • @aishaz1
    @aishaz1 14 дней назад

    Huyu sio kabisa mnajaribu kutudanganya

  • @AzizaSkaliwanda
    @AzizaSkaliwanda 13 дней назад

    Jamani Martha kazaliwa na mama wangapi?wa dar na wewe jamani tumuogope Mungu tuamini lipi wewe au wa dar

  • @thebmcblackmiccatcher3949
    @thebmcblackmiccatcher3949 14 дней назад

    Wanawake wamekuwa matapeli sana,

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial 14 дней назад

    😂😂😂😂😂 hii dunia

  • @AnnonciateMazambiMateso-so7re
    @AnnonciateMazambiMateso-so7re 13 дней назад

    Mimi hadi nachek htr 😂😂sasa huyu ni mama yake then yule mwngn nae imekuwaj tn maana na yy amedai ni mama yk mzaz duuuuuh dunia jmn🤦‍♂️wallah nimeamin unawz ukatengnz heshim kwa miaka 10 then mtu akaja kukuvua nguo in 1 minute so that the whole world can hate u 😢🙌🙌💔💔

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 14 дней назад

    Huyu mama mshenzi

  • @RamlaIsmael
    @RamlaIsmael 14 дней назад

    Unajua kuigiza kweli

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 13 дней назад

    Wewe mama mjinga hembu nyamaza unatupigia tu makelele hapa wewe sio mama yake wewe endelea tu kuuza pombe zako mjinga kabisa hata hujiheshimu huoni hata aibu kudanganya ngedele mjoja wewe😅

  • @EstherAnderson-ko3ug
    @EstherAnderson-ko3ug 14 дней назад

    Huyo si mamaake na matha

  • @DanielNdaluboneye-wc5st
    @DanielNdaluboneye-wc5st 14 дней назад

    Acheni kuigiza upumbavu ili mpate viewers

  • @neemamarisamarisa-rd7cq
    @neemamarisamarisa-rd7cq 14 дней назад

    Mmh!
    Mbona huyu amekuwa mwiigizaji

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli 14 дней назад

    Mmh mama na mtu mzima unadanganya huma Yani umelipwa shiringi ngapi we we si mama yake Martha

  • @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI
    @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI 13 дней назад

    huyu ni fara

  • @neemangiliule6194
    @neemangiliule6194 14 дней назад

    Ule wimbo wa Martha jamani ndio umebeba haya

  • @nathaliendusha4387
    @nathaliendusha4387 8 дней назад

    Sasa wamama hawa wanataka hela kwa Martha ao nini?

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 14 дней назад

    Duuuh! Martha ana akina Mama wangapi? Mbona hamumuogopi MUNGU?

  • @benderakenga2341
    @benderakenga2341 14 дней назад +1

    Kila mtu ni Martha jameni haya mtueleze basi tumeona wawili sasa nani mama yake sasa wivu itawauwa

    • @EsauBakari
      @EsauBakari 13 дней назад

      hata Mimi nashanga kama wewe nimeona mmoja mnene na mwingine mwembamba sierewi jamani na nimesikia mama yake arisha fariki na ni huyu

  • @neemangiliule6194
    @neemangiliule6194 14 дней назад

    Hapo ndipo unapoanza kujua ni nini Martha anapitia? Mbona mama wengi,, huu ni mpango gani jamani

  • @SpenciozaKajuna
    @SpenciozaKajuna 14 дней назад

    Kwaiyo ata kama kamzaa kaasilika mpaka amtangaze uyo sio mama kwani mtoto ni mmoja mpaka anakosa unga wa kula kwenda uko unajiliza nn

  • @aishaz1
    @aishaz1 14 дней назад

    Mama mkubwa ivi njaa tu ata amfanani sura mmeanza uogo na kiki za kupoteza

  • @SylviaNasimiyu-b9k
    @SylviaNasimiyu-b9k 14 дней назад

    Hivi nyinyi watanzania mna shida gani

  • @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI
    @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI 13 дней назад

    huyu mama ni mpumbavu

  • @VeronicaIsavari
    @VeronicaIsavari 14 дней назад

    Siku hizi mtu huzaliwa na wamama wawili?😢,tuamini gani?

  • @MoreenDalmas
    @MoreenDalmas 14 дней назад

    sikweli mama unachokiongea hii ni story mnatengeneza mwache unafki

  • @HawaAlly-b9d
    @HawaAlly-b9d 14 дней назад

    Mama kachangamka huyo

  • @MariamKombo-s2v
    @MariamKombo-s2v 13 дней назад

    Machizi nyie

  • @JanetteJanette-g5l
    @JanetteJanette-g5l 14 дней назад

    Kila anae jitokeza ni mama wa matha

  • @godigreysongood1384
    @godigreysongood1384 14 дней назад

    Tuacheni matapeli msituharibie habari

  • @fediruben5009
    @fediruben5009 14 дней назад

    Liongo hili kabisa hata halifanani acheni uongo

  • @mary-cm5je
    @mary-cm5je 14 дней назад

    Munatuchanya nyinyi tumeona wa mama wawili nani sasa

  • @godigreysongood1384
    @godigreysongood1384 14 дней назад

    Muongo huyo