MBOWE Awatambulisha watoto wake CHADEMA ' hawa ndo wanaonja machungu ya baba yao kuwa kwenye siasa'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2019
  • #GILLYBONNYONLINETV #GILLYBONNYONLINETV

Комментарии • 136

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 года назад +11

    Mungu akusimamie mwenyekiti zidi kupambania upinzani

  • @kondelamwenyewe3119
    @kondelamwenyewe3119 4 года назад +19

    Saf sanawenyekiti wetu mngu akulinde milele daima

  • @hoseakaponya5070
    @hoseakaponya5070 4 года назад +5

    Hakika mbowe wewe ndo betri ya demokrasia Tanzania, tuko pamoja brother.

  • @hamisimarko239
    @hamisimarko239 3 года назад +1

    Safi sana we ipo siku utakuwa kiongozi mkubwa mungu atakulipa

  • @bonifasbonara9323
    @bonifasbonara9323 4 года назад +3

    Watoto mungu awbariki sana mbowe family

  • @paulkawana9736
    @paulkawana9736 4 года назад +7

    Mungu ni mwaminifu.

  • @jeremiadaudi5780
    @jeremiadaudi5780 4 года назад +4

    Wewe na tundu lisu nitawapenda hadi nazikwa na nitakua tayari kwa lolote lile mkiniitaji kama tulivo ongea nawe ifakara kwa ishu ya peter lijualikari

  • @batulijumaamakamba6328
    @batulijumaamakamba6328 4 года назад +55

    Hakuna mwanasiasa mvumilivu kama mbowe Tanzania

    • @rehemadani3600
      @rehemadani3600 4 года назад

      Twende kamanda wetu

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 года назад +2

      Palipo na pesa pana uvumilivu bro, mbowe hata kama angepitia changamoto kibao ila pesa anayopiga hapo ni ya uhakika. Sasa sijui ni uvumilivu upi alionao maana hata wanae wanakula bata na hutakaa uwaone sent kayumba

    • @teddykanondo5753
      @teddykanondo5753 4 года назад +1

      Huyu Bwana ni mtumishi wa kweli CHADEMA na ameipaisha CHADEMA. Hawa CCM na Magufuli wakiona kivuli cha Mbowe wana hofu. Wakiona CHADEMA wana hofu. CCM badala ya kuringia ushujaa wa Mbowe wanampiga vita. Wanatumia mpaka kodi za Watanzania kumdhoofisha Mbowe hasa Magufuli, Makonda, Musiba, Kibajaji,Msukuma na Polisi wote wa Tanzania ambao kwa namna moja au Nyingine wanatumiwa vibaya na Magufuli na CCM yake. Anaenunuliwa na CCM akumbuke kuwa siku za mwisho zimekaribia sana. "KILA MTU ATAVUNA ALICHOPANDA"

    • @teddykanondo5753
      @teddykanondo5753 4 года назад

      Huyu Bwana ni mtumishi wa kweli CHADEMA na ameipaisha CHADEMA. Hawa CCM na Magufuli wakiona kivuli cha Mbowe wana hofu. Wakiona CHADEMA wana hofu. CCM badala ya kuringia ushujaa wa Mbowe wanampiga vita. Wanatumia mpaka kodi za Watanzania kumdhoofisha Mbowe hasa Magufuli, Makonda, Musiba, Kibajaji,Msukuma na Polisi wote wa Tanzania ambao kwa namna moja au Nyingine wanatumiwa vibaya na Magufuli na CCM yake. Anaenunuliwa na CCM akumbuke kuwa siku za mwisho zimekaribia sana. "KILA MTU ATAVUNA ALICHOPANDA"

    • @teddykanondo5753
      @teddykanondo5753 4 года назад

      Huyu Bwana ni mtumishi wa kweli CHADEMA na ameipaisha CHADEMA. Hawa CCM na Magufuli wakiona kivuli cha Mbowe wana hofu. Wakiona CHADEMA wana hofu. CCM badala ya kuringia ushujaa wa Mbowe wanampiga vita. Wanatumia mpaka kodi za Watanzania kumdhoofisha Mbowe hasa Magufuli, Makonda, Musiba, Kibajaji,Msukuma na Polisi wote wa Tanzania ambao kwa namna moja au Nyingine wanatumiwa vibaya na Magufuli na CCM yake. Anaenunuliwa na CCM akumbuke kuwa siku za mwisho zimekaribia sana. "KILA MTU ATAVUNA ALICHOPANDA"

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 года назад +3

    Mbowe anafaa kuwa PM wa nchi hii!!!

  • @ausonjustinian5494
    @ausonjustinian5494 3 года назад

    C uachane na siasa ili watoto waache kuonja machungu ayo.

  • @jeremiadaudi5780
    @jeremiadaudi5780 4 года назад +5

    1love

  • @sephmigunda2179
    @sephmigunda2179 4 года назад +5

    Tukutane sasa 2020 kwnye udiwan, ubunge had urais mpaka kieleweke

  • @saramwajeka770
    @saramwajeka770 4 года назад +1

    Amina kamanda songa mbele

  • @ramadhaninurrumtungi4474
    @ramadhaninurrumtungi4474 4 года назад +4

    Mm mbowe nakuja kuowa huko kwako maana mmmh

  • @danielmwanga5231
    @danielmwanga5231 4 года назад +1

    Amina kamanda wa anga

  • @aldoba2826
    @aldoba2826 4 года назад +2

    Peoples power.pamoja

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 4 года назад

    Vivaa forever

  • @simonwaziri1978
    @simonwaziri1978 4 года назад +1

    Big up mh

  • @jeremiadaudi5780
    @jeremiadaudi5780 4 года назад +1

    Mungu awasimamie ila ipo day watapenda

  • @paulojemsi8770
    @paulojemsi8770 4 года назад

    Hizi jezi nzuri sana

  • @ashuralema8497
    @ashuralema8497 4 года назад +1

    Kwahyo unatumia watoto Wa wenzako kisiasa haraf wakwako unawaweka nyuma, ww mjanja sana mbowe

    • @saphinayona6359
      @saphinayona6359 4 года назад

      Babaa angu mungu akusaidie akulinde na akutie nguvu mungu yuko nawew pambanaa baba kwa mapito unayopitiaa cherman

  • @mwajejasson6995
    @mwajejasson6995 4 года назад

    Nicole anampenda sana baba yake Na mh mboye anampenda sana mwanae

  • @melkizedeckmassawe570
    @melkizedeckmassawe570 4 года назад +6

    Tuko pamoja kiongozi wetu.

  • @zabronnkoy4908
    @zabronnkoy4908 4 года назад

    Mwenyekiti tutaongea kuhusu Aishi kwakweli ....people's power ✌✌

  • @judaspantaleo9779
    @judaspantaleo9779 4 года назад +3

    Clinton!!!

  • @yassiniferuzi2867
    @yassiniferuzi2867 4 года назад +4

    Mahali ng'ombe ngapi mtani

  • @komanyadotto5617
    @komanyadotto5617 3 года назад

    Bola yako unapoint kulko mzee lisu kwann usnge kusmamisha ww mbowe

  • @ramadhanimohamed1245
    @ramadhanimohamed1245 4 года назад +3

    Wana shida gani wakati ruzuku tote unachikichia acha ujanja mzee na Sacco's yako

    • @happinessmwenda2773
      @happinessmwenda2773 4 года назад

      Ramadhani Mohamed kweli tuanzishe yetu na sisi tupate jamani

  • @yusrtlema2868
    @yusrtlema2868 4 года назад +1

    Nikweli nilazima watambulishe Chama si chamkwe mtei nahao ni babu yao Chama chako hicho baba kula mpaka uchoke lakini IPO siku watastuka na kufumbuliwa macho

  • @edwardsichilengwe2330
    @edwardsichilengwe2330 4 года назад +4

    Watoto tunaokula wimbo wa taifa daily lazima tutamani kuwa na mzee kama ww kwa nafasi uliyonayo, hata kama changamoto zipo pesa ipo father. Hao watoto wana raha sana, hata kama ungepigwa lock up miaka 5 , sura zao zinapendeza zimenawiri, zina furaha, nguo za uturuki na italy, uko kwny nafasi hiyo ili familia yako ile keki na mkate wa moto hata kama unakula makofi ya polisi😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 4 года назад +1

    Mimi Mungu akinijalia kuishi sitatoka upinzani Emungu nisaidie

  • @yohanamwankenja3032
    @yohanamwankenja3032 4 года назад +2

    One love kamanda

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 года назад

    Kwa hivyo watoto WA watu ndio wakarushe mawe wako wasi jihusishe na siasa

  • @awadhkessy250
    @awadhkessy250 4 года назад +1

    unafiki 2 ,wiz mtupu tz upinzani wa kweli kumkomboa mtanzania c nyinyi tamaa ya madaraka imewajaa tu amna jipya kwa wanao jielewa

    • @jimmyjammasmunuo5125
      @jimmyjammasmunuo5125 4 года назад

      Awadh Kessy ww hakuna nchi yeyote dunian ya kidemokrasia isio kua na upinzan mzee baba lijue ilo

  • @enocakasanduku864
    @enocakasanduku864 4 года назад

    Wawe wanakuja kwenye maandamano ndo tujue wakopamoja nasi

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 4 года назад +3

    Mke wako yuko wapi?

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 4 года назад +1

    Maaaanina nikiskia wanaishi kwashida wakti mifweza Ipo ya kumwaga natamani nimrarue fala huyu

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 4 года назад

    Mbowe alizowea kutumia mali ya umma kujitajirisha, na sasa amekwama amebaki kubwata tu. Mbowe hana sifa ya uongozi. Mbowe ni mfanya biashara na nwenye ubinafsi. Akipewa nafasi atajinufaisha yeye na familia yake. Bado ana mabilioni ya Watanzania kodi ya jumba alilotaka kulinyakuwa na kulitumia kwa miaka mingi bila ya kodi. Asiwadanganye Watanzania. Uhuru anaoutafuta Mbowe, ni uhuru wa kutumia mali za wote bila ya kupingwa. Uhuru wa kujieleza anaoutafuta ni uhuru wa kujieleza kuiba mali za wote, kwani uhuru wa kujieleza na mpaka kutukana serikali wana Ona hakuna anayewagusa. Wana uhuru hata wa kusema uwongo. Watanzania wanaopenda haki kwa wote, hawa hawana nia njema kwa Tanzania ni maneno matupu. Wapuuzwe wapuuzwe na wapuuzwe. Mbowe hateseki amenga’ania uongozi wa Chadema kwa miaka mingi huku akiimba demokrasia.

  • @emmanuelndahan9815
    @emmanuelndahan9815 3 года назад

    Unafeliii, familia yko inahusu nn

  • @morandraymond8602
    @morandraymond8602 4 года назад +1

    Mi sijawahi kuwaona watoto wa jpm wakitambulisha kama huyu wa kujikuza na hao watoto wa kula kulala

    • @lawrencephotographyandsafa5955
      @lawrencephotographyandsafa5955 4 года назад

      Wewe n kichwa mbovu kweli , kwani Kuna mtu amekukataza kuwatambulisha was kwako , kawa tambulishe na wewe unakokujua kunakufaa

    • @gastordominic410
      @gastordominic410 4 года назад +1

      Wale hawana Shida

  • @mtakamaonline7748
    @mtakamaonline7748 4 года назад

    Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 4 года назад +3

    Watu wakiandamana wanao pia waweke mstari wa mbele

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 4 года назад +2

    Hakuna shida yoyote wanayopata, pesa zipo mpaka uvunguni na mbona yule mgombea mwingine sijamwona akiongea?

  • @abuukilopo5440
    @abuukilopo5440 4 года назад +1

    Mm miguo yenu tu siipendi hata kidogo ukichanganya na tabia zenu ndio kabisaa basi sina mengi

  • @japhetkavishe2347
    @japhetkavishe2347 4 года назад +1

    Clinton mbowe namfahamu nimesoma nae

  • @kyomamabifi5499
    @kyomamabifi5499 4 года назад +1

    Mung wetu hashindwi na jambo

  • @kibwanaMAlly
    @kibwanaMAlly 4 года назад +1

    Sisi inatuhusu nini ?

  • @kibokongurai5090
    @kibokongurai5090 4 года назад +1

    yani mfeleji ni ule ule kumbe na kina mengi mnaundugu dah kweli sisi masikini tutabaki masikini tuu maaana naona mifeleji yote imechukuliwa na nyie wenye nazo

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 года назад

    Mzee una kijj

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 4 года назад

    Hovyoo kamamji usoo najumbe

  • @mankialema6490
    @mankialema6490 4 года назад

    Where is mama?

  • @willymoshi8842
    @willymoshi8842 4 года назад

    M

    • @semuyona2401
      @semuyona2401 3 года назад

      Wapiga kura ndio wanatesaka kwa ajiri yako ww

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 4 года назад +3

    Hao ndo wanakula matunda ya Michango yenu kwa kigezo cha Chama

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 4 года назад

      Hahaaaaaaaa

    • @Bigboy-nx3nc
      @Bigboy-nx3nc 4 года назад +1

      Juma Maduka Siyo kweli.

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 года назад

      Juma umeuaaaa hahahaha watoto hawana changamoto kama sisi fukara tunaoandamana. Hao watoto usitegemee kuwakuta sent kayumba wako full package

    • @gangan8342
      @gangan8342 4 года назад

      Kwann wasiwe full package; kwan ni mtoto wa CCM ambao hao wanaCCM wanapenda sana umasikini na KUUABUDU KAMA NI UTAKATIFU HATA KWA MTUKUFU IMANI YAO CCM NI HIYO HIYO....!!!

  • @beatricestella5309
    @beatricestella5309 4 года назад +1

    Eti anatambulisha watoto wake!! Watu wakiishiwa Drmocracia. Tutaletewa na mabibi zao,wajomba,mashangazi, mababu, n.k.

  • @stanslausangelus8714
    @stanslausangelus8714 4 года назад +2

    Mbowe acha kutafuta huruma,ya wanachama,ujua watoto wanaoteseka ?

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 4 года назад

    Mnafiki wewe wawenahofu kwalipii mm unawatungia uwongo tu

    • @collinedward8449
      @collinedward8449 4 года назад

      Wew umejuaje kama hawanahofu na Baba yao Naww ni mnafiki

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 4 года назад

    Wanaonja machungu au asali ya hesabu ambazo hazijulikani

  • @mhojamsafiri2273
    @mhojamsafiri2273 4 года назад +1

    Eti kila mmoja ukimsimamisha hapa anaongea kama Mbowe🤣🤣🤣 kwahiyo ww una akili nyingi kuliko wote? Zalau kweli ndo maana hutoki kwenye uenyekiti maana ulishawaona hawana akili🙆🏻🙆🏻🙆🏻

    • @adelaidemghase7600
      @adelaidemghase7600 4 года назад

      Acha UBINAFSI kila mtu ana uluru wakueleza hisia zake if you dont like na huna uvumilivu nyamaza.

    • @isabelaamani966
      @isabelaamani966 4 года назад

      Kwamba nimakasuku wanaongea uongeacho

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 года назад +1

      @@adelaidemghase7600 kwann asingesema wakisimama wapo wanaoweza kuongea zaidi yangu? Huo msemo ni mzito sana kwa mwny kufikiri, ukisema mtu akisimama hapa anaweza kuongea kama mimi ina maana kuwa hakuna wa kuzidi kiwango chake cha upeo na mtazamo, yeye ndo mwanzo na mwisho au alfa na omega. Huo msemo ni wa kidharau sana, japo kweli jamaa yuko vizuri katika swala la kuhamisha( influence) ndani ya chama chake.

    • @mhojamsafiri2273
      @mhojamsafiri2273 4 года назад

      @@edwardsichilengwe2330 umeona ee amewadhalau sna

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 года назад

      @@mhojamsafiri2273 kabisa mkuu, sema watu wanaingizaga ushabiki

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 4 года назад

    Tanzania tuna bahati kumpata Rais Magufuli. Tumengoja kwa miaka 40 kumpata Rais wa kweli na mwenye kuipenda Tanzania na watu wake kwa roho moja. Watu wengi hawakuamini kuna kiongozi atatoka CCM mwenye tabia na uwezo wa kuiongoza Tanzania kama Rais Magufuli. Watanzania tulikata tamaa na maisha ya ufisadi tukayazowea. Waliokuwa navyo ndiyo walikuwa na haki. Masikini walizibwa midomo. Wakati wa campain ya Rais MAGUFULI nilitowa maoni yangu na kusema Rais MAGUFULI hawezi chochote atakuwa kama wale waliopita. Mungu wangu siamini mambo aliyoyafanya Rais Magufuli kwa mda mfupi. Na Nina imani angle fan ya zaidi, lakini wako trators waliokuwa wanapinga Na bado wanampinga kwa jina la demokrasia. Hawa watu hawaoiganii demokrasia wanataka uhuru wa kuiba mali za wengi bila ya kuulizwa. Kwa mfano Mbowe alivyokuwa akitumia jengo la umma kwa zaidi ya miaka 10 na kuipa hasira serikali pesa za Watanzania mabilioni. Hawa ndiyo watu wenye kuiba Demokrasia . Najivunia kuwa Mtanzania, najivunia kumuita Rais MAGUFULI Rais wangu. Watanzania kumpata Rais kama Magufuli sio lahisi, haswa barani kwetu Africa. Watanzania tuna bahati tusichezee hii bahati. Katiba yetu ibadilishwe Rais Magufuli mda wake uongezewe. Katika mda wake watanzania wengi watajifunza na Kati yao atatokea kama Rais Magufuli. Miaka 8 ya uongozi wake haitoshi kuwabadili Watanzania wengi tuliozowea kuishi kwa dili na kuitafuna nchi na kuwadhulumu wasiokuwa na sauti. Rais MAGUFULI sasa anaigwa Africa nzima. Tayari Rais Kenyatta ameanza kuwahudumia Wakenya kama Rais Magufuli, kuwatembelea wanyonge na kuwajulia hali zao, hiyo haijatokea Kenya. Angola, mtoto wa Rais wa zamani mmoja wa wanawake tajiri duniani, wakati waangola wengi ni masikini wa kutupwa mali zake zote zimeshikiliwa. Africa ni matajiri ni viongozi wetu ndiyo wanatuumbuwa.

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 4 года назад

      Gazet kuuuuubwa huna hata like ya kwko2 umeikosa Duuuh aibu yako

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 4 года назад

      Watoto wanzuri mnzee hongera sana wana coment watoto wa kaka au dada yako wote ni watoto wako nimeipenda sana siyo mbaguzi

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 года назад +2

    Watambulishe kuwa chadema ni shamba lao na hao waliombele yetu ni vibarua wetu katika sacoss yetu

    • @aginiweyessayakyando9855
      @aginiweyessayakyando9855 4 года назад +1

      Hekima ni nzr sana

    • @allykwangwari6969
      @allykwangwari6969 4 года назад

      Ni vizuri tumewatambua watoto wako hata kwenye vikao vya halmashauri kuu ya chama wanaingia. La muhimu sana kwenye maandamano ya chagadema kudai demokrasia uwe unawatanguliza mbele watoto pamoja na mama yao.

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 года назад

      Anuary 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 года назад

      @@allykwangwari6969 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

    • @joelsadala2676
      @joelsadala2676 4 года назад

      Ccm bila police ni wepesi kama unyoya,wekeni uchaguzi hata Leo uwe huru na haki bila kuingiliwa na hila yeyote muone kama hamtapotea kwenye ramani ya dunia,endeleeni tu kuchakachua matokeo kwani ndo mbinu pekee mliyo nayo,lakini sio kusema makufuli analeta maendeleo ambayo yalitakiwa yaletwe tangu milongo na milongo ndo analeta maendeleo kwa kukwapua watu jukwaani mpaka kwenye biashara za watu na kuwaacha mitaji yao ikiyumba bila msaada wowote

  • @maspro6294
    @maspro6294 4 года назад +4

    Siasa chafu Sana za huyu mwenyekiti wa kudumu unaleta watoto wako ili wanachama wako wakupe kura huyu jamaa a natumia tumbo lake na Familia yake

    • @lifeisgood4242
      @lifeisgood4242 4 года назад +1

      Pole. Nia na matamanio yako ni kuona mabaya yanatokea. Amefanya vyema kuonyesha dunia wapo wanaoteseka kutokana na dhuluma ya watu wenye moyo wa unyama mithilika yako.

    • @mudyngome8542
      @mudyngome8542 4 года назад

      Kwahiyo muheshimiwa wtt wako wakae kwa aman wakwetu wakaandamane balabalani tumekuelewa mzee

    • @johnsonmungure5680
      @johnsonmungure5680 4 года назад

      Yakwako safi ikuapi?shatap

    • @dannytiggy8610
      @dannytiggy8610 4 года назад

      Obama alikuwa hurumiwa sio

    • @rehemasaid3808
      @rehemasaid3808 4 года назад

      Mbowe wewe ni jembe waache wajinga wachache wakutukane lakini tuliowengi tupo pamoja mungu akubariki sana kamanda Wetu,

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 года назад

    Mzee ungefanya vyema sana kustaafu uenyekiti

  • @ramadhanikaita9672
    @ramadhanikaita9672 4 года назад

    Kwani ulilazimishwa kua mwanasiasa uroho wa madaraka ndo umekuponza na bado siasa zenu za kishamba mnakosoa hata visivyokosolewa

  • @ombennassary7438
    @ombennassary7438 4 года назад

    Mbowe wewe mjanja, hiyo ni Saccos yako lazima uumie nayo mkuu

    • @happinessmwenda2773
      @happinessmwenda2773 4 года назад

      Omben Nassary kweli nasi tuanzishe yetu kwani tunayofauti gani na yeye?

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 4 года назад +2

    Sanaa MZEE ila mungu hajawahi shindwa jambo, ipo siku.

  • @morandraymond8602
    @morandraymond8602 4 года назад

    Mi sijawahi kuwaona watoto wa jpm wakitambulisha kama huyu wa kujikuza na hao watoto wa kula kulala

    • @davidkaguru9511
      @davidkaguru9511 4 года назад

      Wewe kweli hamnazo Kwa akili yako watoto kula kulala ni Wa mbowe,au Wa magufuli?

  • @mwandoimma123
    @mwandoimma123 4 года назад +2

    Sasa mboe mwanao niyupi maana mwingine wa Dada mala kaka wako yuko wapi??

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 года назад

      Mm pia sijaelewa kwakweli walioelewa watufahamishe

  • @mazumamahina817
    @mazumamahina817 4 года назад

    Yaani unang'ang'ania sana waachie wengine nao pengine chama kitakuwa na maendeleo. Duuuh mwenyekiti miaka 20 wewe king'ang'anizi hata ukiingia ikulu itakuwa hivyohivyo we luba