RAUDHA KIDS - NDOTO ZETU (PERFORMANCE VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 505

  • @azizaomari-d8z
    @azizaomari-d8z 10 месяцев назад +5

    insha'Allah watoto. Allah awatangulie

  • @fatmasaid5091
    @fatmasaid5091 2 года назад +17

    Mashallah nasheed nzuri sana,mungu awape heri Hawa watoto na watoto wengine pia,

  • @nasemohamed2142
    @nasemohamed2142 2 года назад +17

    Insha Allah Mungu awatimizie ndoto zenu . Mash Allah

  • @malengachipukizi
    @malengachipukizi 3 года назад +35

    Natamani nifanye kazi na hawa watoto kwa kweli, wamenifurahisha mno, hongereni nyote mliyohusika kwenye kazi hii

    • @nuruzahran3467
      @nuruzahran3467 Год назад

      #💯 nznr

    • @AlphonceKisai
      @AlphonceKisai Год назад +2

      ❤❤❤❤❤ kikubwa mungu awpe uwepesi watimze ndoto zao

    • @SaidiIddi-ls3eo
      @SaidiIddi-ls3eo Год назад +1

      Kweri kabisa hata Mimi nime wapenda sana kweri Allah awapr afyaa njemaaa

    • @ghabyjay699
      @ghabyjay699 8 месяцев назад

      Pia Mimi tufanye tuende Zanzibar inshallah

  • @ZulfaBakar-z6x
    @ZulfaBakar-z6x 5 месяцев назад +8

    Kwa kwel hii nasheed nimekubal sana mda wote napenda nisklze watoto wamefanya vzur sana ,hongera zao kwa walioshirik mung azid kuwapa moyo huo huo

  • @mayaminadh2553
    @mayaminadh2553 3 года назад +26

    Mashallah Tabarakallah. I can't stop listening to these kids. Nimeiskia Kwa wanafunzi wangu shuleni na imenigusa mtima❤️

  • @zainabmaulid9463
    @zainabmaulid9463 2 года назад +11

    Mashaallah naipenda adi najisikia fahar sana ata mwanangu anainjoi sana na anaisoma kama kwamba kafundishwaa na anataman nayeye kuwemo

    • @asyaamini7550
      @asyaamini7550 2 года назад +1

      Wow mashallah Allah kwa kila nzr, Amiin

    • @khalifanabdalla
      @khalifanabdalla 7 месяцев назад +1

      Mungu atamjalia na yy atakuwemo

  • @treshaabdul9954
    @treshaabdul9954 3 года назад +9

    Mungu awajalie ndoto zenu zitimie
    mashaallah🙏 tupo tunawaombea

  • @saidhaji4461
    @saidhaji4461 Год назад +4

    ❤❤❤ good performance 🎉mashallah mungu awasaidie

  • @abdullamohd4071
    @abdullamohd4071 3 года назад +14

    Kwa hakika nikiskiliza hii mashed najikuta natokwa na machozi tu Kwa furaha Allah awatimizie ndo zao Ameen

    • @omarseifan7150
      @omarseifan7150 3 года назад +1

      Kwakweli mungu atimize ndoto zao kwakweli nashid ni nzur sanaaaaaaaaa tena sanaaa hongera walimu pamoja na wanafunzi mungu atawazidishiya vipaji

    • @khairiaahmada7573
      @khairiaahmada7573 3 года назад

      Maashallah 💞💞 nasheed nzry

  • @fatmasaid5091
    @fatmasaid5091 2 года назад +12

    Watoto wamechangamka sana mashallah mungu awakuze watimize ndoto zao, huyu jeshi sauti yake burudani mpk inatia huzuni mungu amzidishie kipaji 🙏🙏🙏

  • @beatrisbongole8044
    @beatrisbongole8044 3 года назад +79

    Mi mkristo Ila huu wimbo nimeupenda Sana watoto Mungu awatangulie

    • @aminaabdi9943
      @aminaabdi9943 2 года назад

      Fvjcnnhjuyruytggdsrdnnfnfvv

    • @shufaaissa7065
      @shufaaissa7065 2 года назад +6

      Mashaalah watoto wamepafomsi vizuri by serengo

    • @rukiasalim6371
      @rukiasalim6371 2 года назад

      @@shufaaissa7065 m6 ymyyy let hh
      Jjipjp7 so tayar uuuu so much I can't use the you yytyyt

    • @jokhamassoud
      @jokhamassoud 2 года назад +3

      Mashaallah hawa watoto wanaweza na Allah awafanyie wps kazi walizochagua zitimie amin

    • @hafidhishaame4875
      @hafidhishaame4875 Год назад

      Bx ukiwa muislam utapendeza zaid

  • @issayamsuva6862
    @issayamsuva6862 3 года назад +9

    nasheed iko vizuri nimeiyona video yake. nawakubali 100% al-gharir kwa kushoot video yeny quality nzuri 👍👍👍👍

  • @صالحالفرحان-ت9ن
    @صالحالفرحان-ت9ن 5 месяцев назад +3

    nilipenda Sana from bungoma😂😂😂😂😂❤❤❤Mach love

  • @kassimameir6743
    @kassimameir6743 3 года назад +25

    Masha allah ... Nashd nzr isiyoisha hamu hat kudiklza.... Ni watoto wadogo wenye vipaji masha allh... 💕Allah awawafikishe kutmizza ndoto zao

  • @treshaabdul9954
    @treshaabdul9954 3 года назад +6

    Mimi Treshaabdul
    Naipenda sana
    Raudha kids mashaallah
    Wewe nani

  • @firdausi-iz2df
    @firdausi-iz2df Год назад +2

    Mashaaaalhaaa mungu awafanyie wepesi ndoto zawo zitimie inshalhaaa ❤❤❤

  • @ASMAHAMZA-j5w
    @ASMAHAMZA-j5w 6 месяцев назад +6

    Mashallah mungu awasimamie ndoto zenu zitimie watoto wazuli

  • @HarunaMungi
    @HarunaMungi Год назад +2

    Mashallah mwanangu anaipenda mola awajaalie maisha marefu ❤️

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 9 месяцев назад +10

    Nashid nzuri iliyo andaliwa na watoto wenye vipaji ALLAH awalipe kila la kheri 🎉😂❤

  • @faudhiaiddy499
    @faudhiaiddy499 3 года назад +19

    Ma shaa llah wallah imenitoa machozi hii nasheed,Allah awalipe kheri

  • @binnyundoofficial
    @binnyundoofficial 3 года назад +7

    Masha Allah wadogo zangu raudha kids hii nasheed kila leo haichoshwi kuiskiliza hongereni.
    Ni nasheed pendwa hio hakika.

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s Месяц назад +1

    Mm sina la kusema ni kuwapongeza na kusema Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman 🤲❤❤❤mmewakilisha vzr M/Mungu awajaliye walimu na vizazi nuru njema ya duniya na akhera...amiin 🤲

  • @Rayye7
    @Rayye7 Год назад +6

    At 3:00 nikiwa usingizin wakati niko ndoton najiona mimi niko mbinguni na kweli sio utan mwalimu ninaamin ndoto yangu mimi kua peponi tusomeni Qur'ani ndani na nje nchini tuswalini kwa amani atatulipa manani 😊😊

  • @ashamachano5101
    @ashamachano5101 3 года назад +15

    Maashallah watt wako vizuri
    Allah awajaalie mafanikio mema

  • @shabibshaaban5106
    @shabibshaaban5106 Год назад +25

    This kids have good skills and talents for future in day to day😍😍😍😍💕💕💕💕💕💕 Give me like

  • @MeimunaAbdijamil-h5t
    @MeimunaAbdijamil-h5t 2 месяца назад

    Maashallah mwenyezi Mungu awaweke watoto wazuri❤

  • @nathaliengemu7818
    @nathaliengemu7818 3 года назад +17

    Raudha kids est le meilleur!!! La chorale des anges!

  • @MenzaKambi-dx8pd
    @MenzaKambi-dx8pd Год назад +14

    Am a Christian but I like Islamic songs

  • @RehemaSeif-f1y
    @RehemaSeif-f1y 7 месяцев назад +2

    Mashaal ningependa wtt Mungu awajalie watimize ndotozao❤🎉😅🎉🎉

  • @maimunaselemani-fi7zf
    @maimunaselemani-fi7zf Год назад +5

    Mashala tabarakal 💗 Mimi kiukweli nime ipenda sana 😁 hii kasweda nzuri sana siishoki👍😂

  • @ghanshyampandit1873
    @ghanshyampandit1873 Год назад +4

    MashaAllah jazakaAllah ❤❤❤ Allah awajaze Allah

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Год назад +1

    Mashaa Allah tabaraka Allah huu wimbi ni nzuri mno Allah awajaze❤❤

  • @makayistevenmusso1520
    @makayistevenmusso1520 Год назад

    ❤❤❤❤❤❤Alhamdulillaah Mashaaallaah watt wetu kizazi cha kesho Allaaah awaogoze na awape Afya njema

  • @MwaishaJanson
    @MwaishaJanson Год назад +7

    God bless your kids are doing great

  • @khamisali9845
    @khamisali9845 3 года назад +9

    Mashallah nasheed nzuri sana

  • @yussufsaid1852
    @yussufsaid1852 3 года назад +9

    Mimi ni mshabiki wao sana ao watoto Wa raudha kids nawapenda sana

  • @AsmahMukoswa
    @AsmahMukoswa 2 месяца назад

    Maaashaallah inapendeza hiyo
    Mola awajaliw ndoto zao zitimie Inshaaaaallah 🤲

  • @fatmasimai6839
    @fatmasimai6839 3 года назад +4

    Mashallah mashallah Allah awajalie mufike mbali

  • @brothermeky7548
    @brothermeky7548 3 года назад +7

    Mashaallh kati ya nashid ninazo ziona nzur na hii imo

  • @Kidotii
    @Kidotii 4 месяца назад

    Nina wapenda sana hawa watoto mashallah Mungu awape maisha marefu natamani niwaunge lkn mimi ni mkristo🎉🎉

  • @FurahaYasin
    @FurahaYasin 2 месяца назад +1

    Mungu awajaalie kufikia ndoto zenu kama ambavyo namimi namuomba mungu anitimizie ndoto yangu inshaallah

  • @kuimbahujui
    @kuimbahujui 3 месяца назад

    Mashalaah watoto wazuri Mungu awajalie mtimiz ndoto zenu zote

  • @ElisiaUrio
    @ElisiaUrio 7 месяцев назад +2

    Mungu wa saidie nimeipenda sana watimize ndoto zao Allah Mungu awajalie hongera

  • @awadhawadh5895
    @awadhawadh5895 3 года назад +2

    Maashaallah raudhwa wko vyema Allah awazidishie

  • @AliMajuto
    @AliMajuto 7 месяцев назад +2

    mashaaallah well performed nice to their ustadh inshallah mola wazidishie

  • @AbdiZainabu
    @AbdiZainabu Год назад

    MaashaaAllah nime farijika moyo wangu naipendq❤

  • @BarkaNesto-vd3fh
    @BarkaNesto-vd3fh 4 месяца назад

    Mashaallah nasheed anaipenda Allah akulipe mwalimu nawa linde watoto❤❤

  • @FartuunSharif-k9p
    @FartuunSharif-k9p Год назад +3

    Masha Allah NDOTO ZETU nawa penda sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ismailtsofa1092
    @ismailtsofa1092 2 года назад +5

    Mashallah mungu awatimizie ndoto zao

  • @Mwanamisiabdulrahman001
    @Mwanamisiabdulrahman001 Год назад +4

    Napenda qaswida ynu ya vutia mwengi Allah will bless you all thanks

  • @FauzialiciousSalim
    @FauzialiciousSalim Год назад

    MashaAllah,January l called my dota video call akaanza kuniimbia hii wimbo wow,nikaipenda MashaAllah,,,very mumtaazzz❤❤❤❤Hoor Academy graduation you practise this you really try MashaAllah

  • @AminaMasembo
    @AminaMasembo 3 месяца назад

    Mashallah Allah awajalie kla lenye kheri mtimize ndoto zenu inshallah

  • @millicentjuma92
    @millicentjuma92 7 месяцев назад +2

    Naipenda sana mungu awajalie sana❤❤

  • @maryamsharif4306
    @maryamsharif4306 2 года назад +4

    Mashallah watoto wazuri🥰🥰🥰 Mungu awabariki inshallah ndoto ziwe za kweli

  • @abdibarr359
    @abdibarr359 2 года назад +21

    I love this song ❣❣❣💯

  • @AminaHibraim-me6cu
    @AminaHibraim-me6cu Год назад +2

    Mashaallah Allah awahifadh n kilashali y viumbe vyake

  • @SelemanMohammed-f4v
    @SelemanMohammed-f4v 4 месяца назад

    Mashaallah watt wetu mungu awasaidie❤🎉🎉

  • @Husnaa123
    @Husnaa123 Год назад

    Nzuri xaaaaaaan❤❤❤❤ waoooonh

  • @rukiahakim8296
    @rukiahakim8296 3 года назад +5

    Kazi nzuri mwalimu.

  • @mariammohd8684
    @mariammohd8684 2 года назад +1

    Inshaallah mwenyez mungu awatimizie mnayoyataka

  • @AmeirAme-ho8sp
    @AmeirAme-ho8sp Год назад +5

    Mshallah amaizing nasheed

  • @AzizaOmary-c1f
    @AzizaOmary-c1f 6 месяцев назад +1

    Mashallah Allah awalipe kwa ujumbe mzur

  • @AishaHassan-l2u
    @AishaHassan-l2u 6 месяцев назад

    Mashaallah Allah awajaalie hawo watot waweze kufikia ndoto zao

  • @sitihamadi3012
    @sitihamadi3012 Год назад

    Wow mashallah mungu awajaleye wazipate hizo kazi amin

  • @alltime5154
    @alltime5154 3 года назад +5

    nzuri kweli🎶

  • @fatmayusuf9631
    @fatmayusuf9631 3 года назад +17

    Mashallah may their dream come true

  • @shamimsalim1460
    @shamimsalim1460 2 года назад +9

    Mashallah you are the best kids

  • @zainabusaidy2357
    @zainabusaidy2357 2 года назад +1

    Jamn naipenda kwakwelky naependa kuiskila kila mara❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 9 месяцев назад

    MASHAALLAH GOOD CHILDREN ALLAH BLESS YOU INSHAALLAH mtatimiza malengo AMIIN.....!

  • @yussufjarouf7409
    @yussufjarouf7409 3 года назад +19

    mashallah nasheed amazing

  • @AshuraMohamedi-c1r
    @AshuraMohamedi-c1r Год назад +1

    Mashallah mungu awahifadhi awape kila laher

  • @habibafaki5845
    @habibafaki5845 2 года назад +3

    Maashaa Allah..😍
    Unatia hamasa kuwackiliza mda wote..😘

  • @AishaMweni
    @AishaMweni 5 месяцев назад

    Naipenda hii kaswida mashalla wajua kuimba mungu awalinde

  • @hazarikipingu2865
    @hazarikipingu2865 5 месяцев назад +6

    Maashalaa ❤❤

  • @shabnaalii4524
    @shabnaalii4524 3 года назад +99

    Mashaallah anaeirudia hii nasheed mara kwa mara tujuane❤️

  • @kamarKamar-h7z
    @kamarKamar-h7z 4 месяца назад

    Mungu awa jalia❤❤❤ mimi mwanafunzi

  • @MariamBenedicto-tz3yj
    @MariamBenedicto-tz3yj 9 месяцев назад +1

    Mashaallah allah awapen wepesi katika ndoto zenu

  • @Judith-is5kc
    @Judith-is5kc 7 месяцев назад +1

    Mashallah mungu awalinde watoto wanziri

  • @shakirashakiru
    @shakirashakiru 9 месяцев назад

    ALLAH awasaidie wafike mbali kwa vipaji vyao watoto hawa INSHAALLAH

  • @jijiomar2430
    @jijiomar2430 2 года назад +3

    MashaAllah Mungu awake Ameen 💖💖💖

  • @alikhamis9303
    @alikhamis9303 2 года назад

    Mashaallah nashdi nzuri mungu awape nusra

  • @mariammohammed3659
    @mariammohammed3659 2 года назад

    Jmn dis kids dah😭 nashindwa kuzuia machozi ang ya furaha wallahi

  • @mwanzomwishotv9726
    @mwanzomwishotv9726 Год назад

    The best 2023.nimependa sana pongezi kwenu Allah awazidishie

  • @nchandzessaid680
    @nchandzessaid680 Год назад

    MASHAALLAH ❤❤ MUNGU hawJalie khre

  • @mwemamwambapa3300
    @mwemamwambapa3300 Год назад

    Watoto mashallal kazi nzuri 💝💖💗💓💞

  • @thubbythubbz9193
    @thubbythubbz9193 2 года назад +12

    Maa Shaa Allah 😊♥️✨

  • @masawemagal163
    @masawemagal163 3 года назад +4

    Mashaaallah Allah ajalie mtimize malengo yenu

  • @aishaabubakar9878
    @aishaabubakar9878 2 года назад +11

    Mashaallah❤❤

  • @faridasaid693
    @faridasaid693 3 года назад +5

    Mashaalah very nice farida from kenya

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 года назад +3

    Mashaa Allah nimefurah Allah awahifadhini

  • @HamdaMohamedAbdi
    @HamdaMohamedAbdi 9 месяцев назад

    Joshnkeow om kk❤❤❤❤❤

  • @TabiaAlly-dp3vs
    @TabiaAlly-dp3vs 9 месяцев назад

    Mashaallah❤❤❤ mungu awajalie

  • @madinahrashidi4743
    @madinahrashidi4743 2 года назад +2

    Mashaalah nakupenda sana

  • @CharlesPius-w8u
    @CharlesPius-w8u 4 месяца назад +1

    Hongelen sana watoto hakika mnajua

  • @asyaamini7550
    @asyaamini7550 2 года назад +1

    Masha Allah nimependa hii kaswaida

  • @KulthumBawazir
    @KulthumBawazir Год назад

    Mashallah nzuri sana nimefurahi sana ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LaylatSaid
    @LaylatSaid 3 месяца назад

    Allah atuhifadh idha araada llah hakuna msafi zaidi yake Allah bimaan pekee ndio mjuzi zaidi biidhnillahi

  • @ZahraAbdulhakim-b4z
    @ZahraAbdulhakim-b4z Год назад

    Jamani hawa watoto mashaallah

  • @fadhilimatano3213
    @fadhilimatano3213 7 месяцев назад

    Ahsante kwa maono mazuri God bless you