These guys inspire me so much,for I have always seen them on the streets of Dar.Im so proud of them that they currently showcase their talents on the big platforms.Kudos
Mbona hawa jamaa Wana vipaji kuzidi hawa wanamuziki wa kisasa hata hivyo wanatumia vyombo vya asili. Wanaimba vizuri mwakyembe anashindwa kuwasaidia halafu yeye ni mtu wa Mbeya
Safwa to the world.piga kelele kwa wasafwaaa. Najivu ia hili kabila aisee.hii band imenifanya nijiskie nipo mbeya nyumbani
Nawakubali sana Wasafwa wenzangu shinza shinza.
Hongera zenu Wamwiduka Band, mpaka mmewachezesha Wazungu! Hakika sio mchezo.
mkutano wa sadc mwakyembe angewapeleka hawa wakatumbuize sio kina harmonize
Wanajisahau sana
Level za hatari....zuwena balaa..!...huu Ndio mziki Mizungu inalima tu..!
Nakubali sana majilani zetu wasafwa
Nazidi kukupendeni pasuweni angaaa usiya wangu msije gombana tu
Wasafwa hoyeee had wazungu wameitikaaa mwanjenda wamwiduka
Dah rugha yangu noma mpaka imepagawisha wazungu
Si lugha tu namziki unavutia sana hizo ala
Nice kazi Nzuri tujivunie uzalendo
These guys inspire me so much,for I have always seen them on the streets of Dar.Im so proud of them that they currently showcase their talents on the big platforms.Kudos
NAFURAHI SANA HAPO WANAPOSEMA KULA WAYA KULA WAYAAAA....HAHAHAAA
Master kabisa
Daaha? Mko vizuri sana nyie jamaa
Mbona hawa jamaa Wana vipaji kuzidi hawa wanamuziki wa kisasa hata hivyo wanatumia vyombo vya asili. Wanaimba vizuri mwakyembe anashindwa kuwasaidia halafu yeye ni mtu wa Mbeya
🤣🤣🤣🤣
Tibhapambeye tilipamwanya ahani penda sana
nyinza shinza tasafwa pamwanya
Angalieni mkawa Kama saida kaloli alivyolizwa bongo
Hatariii sana
Kazi nzuri vijana mtafika mbali
Shinza shinza mbeya boys
So beautiful to see people having fun
Pamoja sana dogo,wakilisha nimependa hiyoooo!
Hongera Sana Wamwiduka hizo ni level zingine!
Mutisya bhanabhakhaya shisoo
Bonge la jimboo
Wakipatiwa msaada ,watakuza vipaji
Nakubali sana
Hongera br
Wasafwa juuu
Wazung wana enjoy kulik xixi wenye mzik wetu pumbavu
Nakubali Sana kamzki kana radha
Safywa 1
mmmmmh bonge la song
Wanalipa kweli au nikuwatumia tu
❤ wamwiduka band
Hongera yao hao jamaa
Rahaa Sana mko esp nyie
mpo vizuri sana kazeni
Wamwiduka mpo vizuri sana
Watatangaza sanaa yetu
International levels
Sekretariet ya SADC ilifeli wapi kuwachukua hawa vijana kutumbuiza na kuonyesha vitu asili vya kwetu
Zuwena wangu
Nawakubali jamaa
Mko vizuriiii
Maye ne maye yooo
Wa mwiduka mnafanya kazi nzuri Sana mwiduka oyeeeee. Hivi CD za mwiduka zinapatikana wap?
Wanauza wenyewe flash moja 15000
Wewe zuwena good song
Nawakubali sana
wewe zuwena weeee
BAB KUBWAAAAAA......
Hawa jamaa ndio wa napata elfu moja nahonga mia Saba?
ivi hapo kati yenu yupo awilo wa mbeya
hawa madogo nuksi
Culture song 😍😍 Vivo🔥🔥🔥🌟🌟🌟🔥🆒🆒❤️❤️
Wako juuu
mundu wewe ataarii
Respect
Nc
🔥🔥🔥🔥
🇹🇿
O
🔥🔥🔥🔥🔥