K2ga - BADO (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 авг 2020
  • Music Video by K2ga performing Bado (Official Release) (C)2020 exclusively licensed under Kings Music Records,The Music Video was shot in Dar es Salaam, Tanzania Directed by Khalfani.
    Stream/Download:linktr.ee/K2ga
    Listen to K2ga on Digital Streaming:
    Audiomack: audiomack.com/K2ga
    Apple Music: / k2ga
    Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
    RUclips: / k2gatz
    Spotify:open.spotify.com/artist/1Tg2I...
    Follow K2ga on Social media:
    Instagram: / k2ga_tz
    Facebook: / ​
    Audiomack:audiomack.com/k2ga
    Twitter: / k2ga_
    +For More Information Booking K2GA:
    Contact:Kapastareal@gmail.com
    ©2020 Kings Music Records.All rights reserved.
    #K2ga #Bado
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 3,8 тыс.

  • @hamedmohammed8912
    @hamedmohammed8912 3 года назад +18

    Wallah ww unafata nyayo za king. Utafika kaza ww mkali.

  • @alphaxardjubeckwa-ndahibha8725
    @alphaxardjubeckwa-ndahibha8725 3 года назад +17

    K2ga nakuelewa leo watakomae

  • @saumuomariahmad9540
    @saumuomariahmad9540 3 года назад +8

    Bro umeweza akiii

  • @jijistrong9631
    @jijistrong9631 3 года назад +7

    Wanaoskia saouti ya k2ga inafanana niya Kiba tujuane

  • @faryboytz8859
    @faryboytz8859 3 года назад +12

    Kukubal san wew pmj na king music

  • @nasrikiba3778
    @nasrikiba3778 3 года назад +10

    Wewe ni mwana wa mfalme unajua sana🔥🔥

  • @fatumaabass7226
    @fatumaabass7226 3 года назад +5

    Nomaaaa xnaaaa kijana wangu mm bado np naww umo unapokuja ndio kuna soko lako mzee🔥🔥🔥

  • @harunayussuf6866
    @harunayussuf6866 3 года назад +6

    Nawaona wanangu wa ukonga madafu one love wanangu✌🏿✌🏿.

  • @phinnanyoni8381
    @phinnanyoni8381 3 года назад +11

    Kings music nyingi kweli ma king ,,, tuga unaimba sanaaaaaaaaaaaaaaa,,,,, good

  • @husseinally7052
    @husseinally7052 3 года назад +14

    Kesho tunagusa namba moja

  • @asinatjuma8088
    @asinatjuma8088 3 года назад +30

    Haya haya sasa kumekucha team kiba twendeni kazi wemba ni ule ule tuipeleke 1M

  • @shaabanminhaji8041
    @shaabanminhaji8041 3 года назад +5

    Yebaaa boge la nyimboo

  • @hassanmuhammad2842
    @hassanmuhammad2842 3 года назад +26

    Mpka tuingie 1 trending

  • @griphinzacharia1179
    @griphinzacharia1179 3 года назад +9

    tena molaaa naombaa🔥🔥🔥✊

  • @princelucang4317
    @princelucang4317 3 года назад +6

    Itabid nikafute ile comment fb ngoma kali sana k2ga

  • @ngomoimzava2773
    @ngomoimzava2773 3 года назад +6

    nakubali sana king kiba kuwapa mkono wadogo zako

  • @riphatmashaka7147
    @riphatmashaka7147 3 года назад +15

    K2ga mnyamaaaaaa shusha like zake5 hapaaaa

  • @hadsonsangala3083
    @hadsonsangala3083 3 года назад +31

    Bonge la ngoma,walikuja kwa niaba ya kiba tujuane👏👏

  • @kelvinclesh8792
    @kelvinclesh8792 3 года назад +5

    Mziki mzuri sana, Melody kali

  • @shebyrostam6816
    @shebyrostam6816 3 года назад +5

    Ngoma tamuu 🔥🔥🔥

  • @tygamk8278
    @tygamk8278 3 года назад +21

    Ngoma Kali sana inspiration kwa wote wa tafutaji

  • @lazaromtizi8933
    @lazaromtizi8933 3 года назад +23

    Bnafis napenda music muzuli Kama huu unanitoa mawazo

  • @omaryasmah4990
    @omaryasmah4990 3 года назад +14

    Kings ni 🔥🔥🔥 penda sana nyie😍⚘

  • @hadijaomary7834
    @hadijaomary7834 3 года назад +5

    Namuomba mungu akujalie k2g

  • @kanalmohammedgaddafi2390
    @kanalmohammedgaddafi2390 3 года назад +37

    Mziki unasiri sana kama umempata ki2ga video Kali ,melody Kali dah🙌🙌🙌🙌🙌💕💕💕

  • @goodlife6725
    @goodlife6725 3 года назад +11

    Bonge la ngoma jomon maana nimerudia mara 59 mpaka saa hiz

  • @omaribangu8331
    @omaribangu8331 3 года назад +5

    King's music motoooooooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @elraysugarboymasb9535
    @elraysugarboymasb9535 3 года назад +7

    Ukipiga tatu kamaizi uasajiliwa kwenye top list direct

  • @muagulejr1989
    @muagulejr1989 3 года назад +12

    MUSISIC USHAKUCHAKUWA KI2GA KUWA WEW NDIO KING AFTER KIBAAAA

    • @POGMESSITV
      @POGMESSITV 3 года назад

      ruclips.net/video/dkyMMppNfMs/видео.html
      Bado lyrics

  • @hassansaid9925
    @hassansaid9925 3 года назад +14

    Mjini kumekucha 🔥🔥🔥🔥

  • @zizamshindo4672
    @zizamshindo4672 3 года назад +6

    Sema unajua sn usikubal mtu akukatish tamaa ww noma sn na katk maisha uvumiliv ni jambo muimu sn

  • @jamesalejandro9568
    @jamesalejandro9568 3 года назад +17

    Baba la baba 👑 kings ndo home. Wapinzani hawatoweza. One love 🤝💪💪💪🔥 #tag james alejadro sanchez

  • @abubakarabdulqadeer4756
    @abubakarabdulqadeer4756 3 года назад +11

    Kings music haijawahi kufeli salute sana mzee baba aisee ni bonge la ngoma lazima kuna watu wanateseka na hili jiwe

  • @peterkasimba3841
    @peterkasimba3841 3 года назад +25

    nataman niwe kama joho wa mombasa,pia kama king kiba yooooohooooo......!!! hahaha ni 1 kati ya mashair #k2ga aliyoimba na kuandika like zake nyingi 🙏🙏

  • @tembomnyama2310
    @tembomnyama2310 3 года назад +13

    #Bado Ni Ngoma na Nusu mwanetu K2GA.........Mshkaji sauti kama umeediti duh!!!🔥🔥🔥🔥🇹🇿📌

  • @manigombajulius9847
    @manigombajulius9847 3 года назад +11

    Kakka tupo nyumayakooo kbs ww achia 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sisi tuku support kila sik k2ga yeeeeeeeeeebaba

  • @erickgulayi2089
    @erickgulayi2089 3 года назад +60

    Oyoooooo! amken amken amken! RUclips sasa kumenoga baada ya ukimya wa kipindi kifupi kilichopita🤗

  • @deekiwonyi4395
    @deekiwonyi4395 3 года назад +22

    Hilo dances la humo komeshaaa 💥💥💥

  • @sebastianjohn8274
    @sebastianjohn8274 3 года назад +5

    Ntakuwa na comment to

  • @mrbashe.a8509
    @mrbashe.a8509 3 года назад +3

    Kwa uwezo wa Mungu Utafika tu.

  • @dohaqatar7595
    @dohaqatar7595 3 года назад +28

    Mdogo wangu nilikukubali kitambo Sana . Sauti unayo mashallah mola kakujalia. Pongezi Sana Kwa zawadi ya leo.🔥🔥🔥🔥

  • @manasederama8813
    @manasederama8813 3 года назад +22

    King's music ikaanza kuvuma nikapata mavumbaa 🔥

  • @mohamedykhatibu8909
    @mohamedykhatibu8909 3 года назад +5

    Ewe mola naomba nami nijalie cna maneno kwa unyonge nilio nao cjui umeckiliza vzur hii sauti tamu

  • @munaashmahmoud1862
    @munaashmahmoud1862 3 года назад +2

    MaashaAllah jiwe kali ALLAH akutangulie ktk kila jambo k2ga

  • @musty2025
    @musty2025 3 года назад +50

    Wakwanzaaa nipeni like team kiba love from 🇰🇪

  • @zainabubakari3630
    @zainabubakari3630 3 года назад +16

    K2ga kikubwa ni nia ya dhati pia usiache kumwomba ALLAH insharah utakuwa km KIBA

  • @bravotzee218
    @bravotzee218 3 года назад +4

    Keeping watching teamkiba 🔥🔥 looking 1m

  • @josephmugendi2884
    @josephmugendi2884 3 года назад +5

    Kings 4life

  • @ajoomusic3860
    @ajoomusic3860 3 года назад +58

    Wapi king kiba hiii chuma tuipeleke treding ya moto sana

  • @rajjwaalabama6666
    @rajjwaalabama6666 3 года назад +18

    Huyu dogo yaani ata cjui nsemeje, yaani ameweza hatari

  • @diamondplatinumz4714
    @diamondplatinumz4714 3 года назад +3

    Good try dancing styles ngoma Kali kijana young king kazi love k2ga

  • @dohaqatar7595
    @dohaqatar7595 3 года назад +6

    K2GA 4life

  • @jeniphajoseph5032
    @jeniphajoseph5032 3 года назад +24

    Yani hi nyimbo kila muda nakuza kuitazama ilivo nzuri sana

  • @abditech14
    @abditech14 3 года назад +25

    Wenye mziki wao ni from kings music hutaki endelea kuminyana

  • @ashirafkhamis2368
    @ashirafkhamis2368 3 года назад +6

    Nakubal san bro bado tunawasha 🔥🔥🔥 KING'S MUSIC mbele kwa mbele

  • @dastankahindi3125
    @dastankahindi3125 3 года назад +5

    Bado bado by king member nice sng

  • @israelwatugala7687
    @israelwatugala7687 3 года назад +10

    Bro unajua saana, sema unamisa utunzi,punguza swag nyingi kwa wimbo ila ujumbe usikike kwa wingi

  • @essaujonathan7567
    @essaujonathan7567 3 года назад +18

    Aseeeee huyuuu jamaaa Ni hatareeeeh Sana 🙌🙌🙌🙌

  • @indiaboytz5731
    @indiaboytz5731 3 года назад +4

    King music pepeaaaa

  • @mustafarashid2484
    @mustafarashid2484 3 года назад +4

    Who knows K2ga is a Kenyan,kutoka Kisauni, represent us ndani ya Bongo

  • @johnnicholaus6856
    @johnnicholaus6856 3 года назад +20

    2ga kama 2ga .... mimi bado 🕊️🕊️🇹🇿🇹🇿🎼🎼

  • @thomasmasesa4827
    @thomasmasesa4827 3 года назад +13

    Mchizi wa uk 🔥🔥🔥🔥

  • @kimamypeter6958
    @kimamypeter6958 3 года назад +6

    Kweli mziki mzuri unaongea wenyewe congrats amazing voice 😊😊

  • @michaeljames9636
    @michaeljames9636 3 года назад +7

    Jay one hapa, mziki mzulisana naomba ndugu mashabiki kuweza kuangalia video mpya ya kingmelod ft jay one song latifa, tuweze kubuludika nakuelimika, tusapoti mzikimzuli kama huuuu, kings music

  • @ramaburhandambwe4871
    @ramaburhandambwe4871 3 года назад +30

    Nimecheka"sana"wanawamesepa"wameona"vidali

  • @phinnanyoni8381
    @phinnanyoni8381 3 года назад +40

    Tumpeleke trending jamani,,, k2ga unajua imba mziki bila matusi na unaenjoy sanaaaaaaaaaa safi 2ga

  • @farihiayusuph6405
    @farihiayusuph6405 3 года назад +6

    On trending star thanks k2gaaaa

  • @thadeusmacha9538
    @thadeusmacha9538 3 года назад +14

    Mchizi wa UK
    Kaza mwamba sauti zenu kings music records kwetu zinatufariji sana collaboration za nje tunazisubilia sana wanangu
    Ni yuleyule
    #shamshery_rajbaba AJ47

  • @ginimbifamily3995
    @ginimbifamily3995 3 года назад +129

    Kama umemuelewa k2ga nipe like apo chini

  • @yohanangariapus8271
    @yohanangariapus8271 3 года назад +46

    Twende sawa mpaka ishike number one on Trending

  • @phinnanyoni8381
    @phinnanyoni8381 3 года назад +5

    K2ga napenda sana Mzik wako,,, ongeza ubunifu zaidi uko vizuri kwenye kuimba

  • @euroafrica5725
    @euroafrica5725 3 года назад +6

    YAANI TEAM KIBA SISI TUYMEKUWA WAVIVU SANA

  • @mabatinitv1442
    @mabatinitv1442 3 года назад +8

    Ameen utapata bro,

  • @Victor-ix4ml
    @Victor-ix4ml 3 года назад +11

    2ga kama 2ga niwe King kama Aliy ✌✌👊👊👊

  • @ALLY_K61
    @ALLY_K61 3 года назад +2

    Kings music ikaanzakuvuma nikapata najina tenamolaa naombaa nisijembelekuyumbaa ninavituukubwasanaa 💥🔥💥🔥💥💥💥💥💥🔥🔥

  • @allyndola9504
    @allyndola9504 3 года назад +6

    Himeshiba kisawa sawa

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 3 года назад +72

    Lina chezeka hili sanaaaa tyuu hata kama umeimba kidogo ila Lina chezeka.

  • @salehekimambasalehe5534
    @salehekimambasalehe5534 3 года назад +16

    Oya eeeeeee ayeee uuuuyaaa ewemola naomba name nisaidie naunyonge niliyo nawo

  • @piusimnyagatwa403
    @piusimnyagatwa403 3 года назад +4

    Mzee wa uk yan hata sichoki kuingalia hii ngoma

  • @edwinoyugi8963
    @edwinoyugi8963 3 года назад +5

    kama king

  • @hassansaid9925
    @hassansaid9925 3 года назад +57

    Tugaaaaaaaa Kama tugaaaaaaaa collabale lako litakuja kuuwa Sana mwanang,,,,acha tuishi humu kwenye good music

  • @massudbiz9828
    @massudbiz9828 3 года назад +24

    Gonga like kama umekua umemiss ngoma toka kwa k2G

  • @harrismalone2316
    @harrismalone2316 3 года назад +3

    Mzee wa uk nakubal knoma,kpande chako cha ewe moola mii mnyonge.kipo poa..wanangu wa Kings music

  • @micamica9417
    @micamica9417 3 года назад +9

    the best TRUCK from this BOY

  • @linconj2368
    @linconj2368 3 года назад +20

    Nani yupo Kenya na anmskiza mchizi wa UK k2ga ...kings music forever.. Niongeeze volume ama iko sawa

    • @masoudkhamis9580
      @masoudkhamis9580 3 года назад

      Uyoyoo bado aaaaaaaaa bado asieikubali ni mnafiki

  • @bovickraha1772
    @bovickraha1772 3 года назад +23

    Gonga like kama unamkubali k2ga❤❤❤. Much love from..

  • @shabaniflomens4960
    @shabaniflomens4960 3 года назад +11

    Sheby Love

  • @tinajames1608
    @tinajames1608 3 года назад +11

    That voice k2ga ma dah .ur blessed keep going 😘😘😘

  • @chaliwamombasatv605
    @chaliwamombasatv605 3 года назад +13

    Mapenzi ya Mbasa na Joho niwe king kama Kiba yeeeaaap 🔥 🔥 🔥

  • @namuwayaaminah2859
    @namuwayaaminah2859 3 года назад +12

    👑🙏Huyu mtoto huyu mm Nilijua tu kua ataeza💗💗💗

  • @ramsman7083
    @ramsman7083 3 года назад +13

    Prince k 2ga killed it

  • @com_sci123
    @com_sci123 3 года назад +10

    I will watch it kila time mpka ifike one million views wasee mko.wapi let's make it happen hii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jaytheboy2393
    @jaytheboy2393 3 года назад +16

    Hii ndiyo sababu naipenda KING'S MUSIC hawakoseagi

  • @essaujonathan7567
    @essaujonathan7567 3 года назад +47

    Tuendelee kutazama mpaka Trending no#1 mashabiki......

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 года назад +10

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @matendoa.online803
    @matendoa.online803 3 года назад +7

    Hai ishi utamuuuu! #USA for D.R. Congo # USA for Africa

  • @simonijoseph6032
    @simonijoseph6032 3 года назад +21

    K2ga fundi mwaka huu mpaka flash yako itajaa nyimbo za king music

  • @shausijumanne1583
    @shausijumanne1583 3 года назад +11

    aaaa we jamaa ni habari nyingineee

  • @jonathankuziwa2250
    @jonathankuziwa2250 3 года назад +5

    safi small king bigup well done

  • @djmealtone
    @djmealtone 3 года назад +4

    This is lit🔥