K2ga - Rangi Rangi (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 июн 2022
  • Music Video by K2ga performing “Rangi Rangi'' is a swahili word that means Beautiful Colours, Rangi Rangi is A love Song that has a Beautiful message About how Someone Shows Appreciation to his/her Loved one on how he/she great their relationship has been!! It's a message to the world how love is a good thing to People in love. I Hope you enjoy this tune with your loved Onez.
    Stream/Download Click here:linktr.ee/K2ga
    Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
    Listen to K2ga on Digital Streaming:
    Audiomack: audiomack.com/K2ga
    Apple Music: / k2ga
    Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
    RUclips: / k2gatz
    Spotify:open.spotify.com/artist/1Tg2I...
    Follow K2ga on Social Media:
    Instagram: / k2ga_tz
    Facebook: / k2gatz
    Audiomack:audiomack.com/k2ga
    Twitter: / k2ga_
    +For More Information Booking K2ga:
    Manager:Rehemanxl@gmail.com
    Contact Digital:Kapastareal@gmail.com
    ©2022 Kings Music Records.All rights reserved.
    #K2ga #RangiRangi
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 4,6 тыс.

  • @denissembuche9538
    @denissembuche9538 Год назад +22

    Mwamba kutoka King's uvumilivu unalipa aiseee nimekubali mwana wa UK Team Kiba raha sana. Hio verse yapili ungempa Kingkiba mamaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @aishaomer6934
    @aishaomer6934 Год назад +10

    Mziki mtàmu sana nimerudia zaidi ya mara10 nakupenda sana k2ga wangu love u from Dubai

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 Год назад +5

    Rangi rang ipo poa sana kitu haichuji yani nimoto sana ❤️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @youngpozze
    @youngpozze Год назад +11

    Mapenzi yetu ya rangi rangi yanapendeza sana 🌹🌹🌹

  • @SNOBPHOTOGRAPHER
    @SNOBPHOTOGRAPHER Год назад +70

    Daaaaaah tendo lakumchezesha uyo baby mama lime vibe mno
    Hapa nilipo mabonge woooooote wameweka bundle kukusifu kwamba umewapa moyo kwamba kumbe na wao nimuimu kwenye hii dunia yetu big up sana

  • @MariootzViewskhoursago
    @MariootzViewskhoursago Год назад +8

    Kadri mda unavyozidi kwenda nazidi kuona uziri wa wimbo❤️🔥🔥🔥🙌

  • @HamicKauno255
    @HamicKauno255 Год назад +2

    Ngoma ina melody tamu sna big up K2ga niméisikiliza kama mara kumi na hainichoshi

  • @venancemisonga9603
    @venancemisonga9603 Год назад +17

    Mziki mzuri siku zote unaishi na hauchoshi kusikiliza Hongera Upcoming King 🤴 we really like,appreciate and enjoy your music keep it up.

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 Год назад +25

    Nyota inang'aa K2ga wetu🎶👑kila kona ngoma inayopigwa ni RangiRangi...hongera hii ni hatua kubwa kwako💪🔥🎶💙
    Endelea kuachia ngoma nyingine zaidi🎶🔥
    #RangiRangi
    #K2ga
    #KingsMusicForLife

  • @rashidyog6759
    @rashidyog6759 Год назад +8

    tunaisubili kwa ham hii rangi rangi 😋😋😋

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 Год назад +6

    Kazi nzuri zinapatikana hapa king's ni poa sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 yoooo

  • @bobneatv8499
    @bobneatv8499 Год назад +2

    Good song respect @ k2ga eagle tz one love # Team kiba Africa 🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @irenengowi
    @irenengowi Год назад +98

    Nani mwingine amenotice K2GA anasauti kama ya ALIKIBA

    • @delimachesa5007
      @delimachesa5007 Год назад +3

      Ukisikiliza Lisabela ndo kiba mtupu😅

    • @zaydabdul1651
      @zaydabdul1651 Год назад +2

      Nilidhani Kiba.. Sauti tamu

    • @supertallone1902
      @supertallone1902 Год назад +2

      Kidogo ziendane..AliKiba akiimba anasaut tam zaid. Thou K2ga nae anasaut nzuri.
      Tega sikio kwa wote ndio utanielewa...LisaBela ndio zilifanana saut kabisa nadhan inategemea na wimbo pia🔥👑💙

    • @king_efm_comedy7346
      @king_efm_comedy7346 Год назад +1

      Me

    • @MwaksC
      @MwaksC Год назад

      Walaii😂😂😂

  • @POGMESSITV
    @POGMESSITV Год назад +50

    K2GA Mchizi wa UK nimepata message kutoka kwa video vixen,,, tuwapende walivyo umbwa! Si lazma watuonyeshe uchi wao,✌️❤️❤️ 🇰🇪🇰🇪✅😎

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 Год назад +6

    Noma noma ngoma kali bado ina ita ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kings

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 Год назад +2

    Kibonge kimedamshi💯💪💪💪

  • @MinoonlineTV
    @MinoonlineTV Год назад +9

    LEVELS BABAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jakuvuai1428
    @jakuvuai1428 Год назад +4

    Msanii wa mwanzo kuwafanya vibonge kujiamini. I love this a lot.

  • @dgamosaochikakozi1436
    @dgamosaochikakozi1436 Год назад +7

    K2GA ongera sana 🇨🇩so hot , tumeona kazi imeanza , king music likolo

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 Год назад +2

    Mpenzi nikinge nabaridi maana àkizidi halimbayaaa nice 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 Год назад +6

    Ki2ga, ki2ga, ki2ga, kituuuuugaaaaa, aiseeeee we mnyma zaid ya wote, hupend kiki wala skendo unapenda ngoma nzur zitufikie cc mashabiki, salute brow

  • @saadzakria12
    @saadzakria12 Год назад +6

    Oyooooo gomaaa la duniaaaa linakuja oyooooo

  • @Nyantozi
    @Nyantozi Год назад +4

    K2ga the special artist to me good song and good job
    Daima huna nyimbo mbaya
    ila unajua mashabiki zako nini tunahitaji!!!!!🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @monicanakshi3667
    @monicanakshi3667 Год назад +2

    Usione nanawiri usione na nona😋wooooow🔥🔥🔥

  • @POGMESSITV
    @POGMESSITV Год назад +70

    #41 on Trending Kenya 🇰🇪✅💯
    Let's gooooo K2GA 🔥🔥🔥

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 Год назад +9

    Kashika nyama na mfupa, kaapa ntazikwa nae
    Mapenz ya raha kuch kuch hotaee
    Na mapenz anayonipa m sjaona kama yee
    Couple yetu imenoga.........🔥🔥
    Hii verse inani-murder🎶👑💙🔥💪

  • @yowtz5450
    @yowtz5450 Год назад +3

    hii ngoma kali sana..basi tu

  • @davidbernardtv3202
    @davidbernardtv3202 Год назад +3

    Oya goma la kwenda mwanangu kaz kaz💯💥👌

  • @jollywilson9938
    @jollywilson9938 Год назад +12

    Love katuwakilisha sisi vibonge wenzie maana ni nadra kumkuta kibonge video vixn😂😂😂😂❤

  • @aksharacosta4431
    @aksharacosta4431 Год назад +33

    Tatizo wanaume wasasa mnaangalia muonekano na Sio aman ya moyo haya angalia mwenzenu k2ga ana enjoy tu 🥰😂

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 Год назад +2

    Bomba sana kings miusc ❤️❤️ ❤️❤️ nice 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jardineshingira1675
    @jardineshingira1675 Год назад +2

    Nilivyo muona to LOVE akiwa vixen I just had to subscribe nampenda sana huyo binti

  • @ashraff_tz
    @ashraff_tz Год назад +5

    For sure I really love this girl, Love wa Juakali. When I see her am just found my self in a smile. Nampenda sana yaani, nikimuona dah anayemchukia aisee akafanye chekup ya akili

  • @aminanurudini9233
    @aminanurudini9233 Год назад +16

    Nampenda huyu Dada anajikubali kweli.... 💕

  • @sayeedbinazan
    @sayeedbinazan Год назад +3

    Natamani nimtag❤💯🌹

  • @patrickndumbala4656
    @patrickndumbala4656 Год назад +4

    Umetisha sana mkuuuuuuuuuuuu

  • @ramsomadolahofficial1324
    @ramsomadolahofficial1324 Год назад +8

    Alikiba tafadhali achilia huyu kijana atoe nyimbo mara kwa mara huyu ni mnyama na nusu.. Fungulia huyu uone show watakavyo vurugwa.. Labda juu wewe ni king anaogopa kukuambia mengi.. Mimi kwa niaba yake k2ga tafadhili king kiba sukuma huyu kijana mwaka mmoja tu unamtosha yeye kutisa na utashanga matokea hakuna saize yake. Anapendwa sana huyu dogo huku njee na watu, , vitu ndio vinachelewa kuja pliz king sukumu huyu dogo.. # alikiba #kings music #k24ga # alikiba my number 1 artist

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows Год назад +8

    ♥️♥️♥️🫵🇹🇿🇨🇩🇺🇸 haya si ndo mambo sasa ✍️♥️🔥

  • @musasamson6750
    @musasamson6750 Год назад +3

    Hili ni bonge moja la ngoma 🔥 💖 ❤ 😍

  • @greyuliki8027
    @greyuliki8027 Год назад +4

    K2ga umeua ile kinoma numependa sana idea ya video

  • @badimakka0016
    @badimakka0016 Год назад +4

    Big love from KENYA mombasani.k2ga wallahi my favorite artist.mzukaa kamanda wangu nakuaminia.hainakufeli.BADI MAKKA MJAMBERE WARD KISAUNI FITNESS.

  • @amoratyclamar6215
    @amoratyclamar6215 Год назад +6

    [K]Kiba²ga moto sana gotea kiba love frm Nyake a.k.a Kenya 👍👍🇰🇪🇰🇪

  • @rachelmukazayire8293
    @rachelmukazayire8293 Год назад +4

    Love ❤️ kwa ubora 🔥🔥

  • @marryfahad6343
    @marryfahad6343 Год назад +2

    Nxur sana sana nataman kuchek kila muda

  • @mercymacharia7035
    @mercymacharia7035 Год назад +5

    My all time artist K2GA
    .sauti jamani yanimaliza💋 we love you from Kenya

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 Год назад +6

    Mziki mnzuriiii sana unajuwa mwenyenzimungu ayiifugiliee safariyako 💯💯💯🙏🙏🙏💪💪💪

  • @stevensimoneriyo8242
    @stevensimoneriyo8242 Год назад +1

    Jamani we mtoto alikutoa wapi kiba maana sio kwaufundi huu💥💥💥👑👑👑

  • @Lovelove-or2ob
    @Lovelove-or2ob Год назад +1

    Love kama love umeweza saan kibonge wetu wa jua kali 🔥🔥🔥🔥🔥❤️

  • @fboyofficial
    @fboyofficial Год назад +7

    mapenzi matam 💞 napenda sana kazi ya Kings

  • @salomeyona3834
    @salomeyona3834 Год назад +4

    Nakubal sana k2ga mchiz wa uk moto sana. 💥💥💥

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 Год назад +1

    Noma sana hiii ya moto sana kings miusc ❤️ nice 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @africanqueen956
    @africanqueen956 Год назад +3

    Aaah mm pia ntakuwa vixen sasa

  • @saadzakria12
    @saadzakria12 Год назад +4

    Oyooooo goma laja goma laja

  • @djchgxfdudvg2860
    @djchgxfdudvg2860 Год назад +5

    Hapana chezea mrithi wa king hongera mtto wa king 👑👏👏👏

  • @emmanuelmsonjele4802
    @emmanuelmsonjele4802 Год назад +2

    Nyimbo kali sana @k2ga

  • @lucylucy3678
    @lucylucy3678 Год назад +1

    Bora na sisi mabonge tumepewa njia na mwangaz kuwa n sisi tup hap dunian baby mama❤❤

  • @pkpiscas3916
    @pkpiscas3916 Год назад +29

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 wewe nimwanaume kwenye Musica wa ki Africa,
    Bravo mon chère artiste ,je compte sur vous

  • @officialshebyranco2720
    @officialshebyranco2720 Год назад +5

    Mfalme wa baadae

  • @nailalexi1005
    @nailalexi1005 Год назад +1

    Nimeicheki nimelike hadi nimeona enyewe hi ngoma ni kali sana weza sana #Gistoff

  • @daynesakulu3169
    @daynesakulu3169 Год назад +1

    Kings music ina wa artists wazuri sana wote ma handsome .

  • @youngb5993
    @youngb5993 Год назад +5

    🔥🔥🔥sana bro kaz safi rangi rangi 🇰🇪🇰🇪 nakutambua

  • @kanegoprese6027
    @kanegoprese6027 Год назад +5

    Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼proud of all kings music

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 Год назад +1

    Haya haya kings miusc kazi kazi iendelee nawakubali sana ni 🔥🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 pa1 sana

  • @estarchalres756
    @estarchalres756 Год назад +1

    Aisee ktga uko vizuli king mnaujuzi mapepe tunawachia hao wapiga kelele

  • @masterkeymuzik
    @masterkeymuzik Год назад +8

    Mi kwake yeye am in love 🔥🔥🔥

  • @hemedikhatibu7069
    @hemedikhatibu7069 Год назад +4

    Fundi bhana uyoh mrisi wa kiba nakukubali sana brand yangu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @alsharzahlimited8388
    @alsharzahlimited8388 Год назад +2

    Hii ngoma nzuri sana

  • @miraclejohan9711
    @miraclejohan9711 Год назад +2

    Ivi tuga unatuonaje ss wakutudangany kabisa

  • @mimokassim2306
    @mimokassim2306 Год назад +120

    From the audio to the video 🔥🔥🔥🔥5 on treading in South Africa 🇿🇦

  • @masudiyussuf9391
    @masudiyussuf9391 Год назад +9

    🤴mwana mfalme 🔥🔥🔥 mchiz wa uk #k2ga

  • @princessjoshy8668
    @princessjoshy8668 Год назад +1

    Wimbo ni mzuri sanaaas unamaadili pia mtu unauwezo wa kutazama na mtu mwenye rika lolote pia tunawasapote wenzetu kama hao nao wanaona fahari na faraja na baraka zinazidi NAKUPENDA SANA K2G 😜😜

  • @jaynyale
    @jaynyale 10 месяцев назад +1

    Kijana uko sawa sana...goma moja wazimu sana yani hadi linapagawisha🔥🔥🔥💪💪💪

  • @gracengugi2235
    @gracengugi2235 Год назад +42

    The chemistry between the artist and the vixen is top notch , i love it😍😍😍🤗

  • @abasmvicabdi5791
    @abasmvicabdi5791 Год назад +53

    This song must have 2 million viewers plus by the end of this year . Trust me 🔥 k2ga big up and amazing work, 👏 🙌 salute

  • @musasamson6750
    @musasamson6750 Год назад +3

    hii ngoma huchoki kuitazama

  • @joycemn6356
    @joycemn6356 Год назад +14

    Watching from Kenya and i love K2ga tz's voice and the video is beautiful 😍😍😍 the Vixen is a goddess !!!!❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥😏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @officialexpensiveman6292
    @officialexpensiveman6292 Год назад +19

    As a fashion Designer, naweza kusema Nguo zimekaa hongera brother pia wimbo umeimbwa na muimbaji.

  • @marryfahad6343
    @marryfahad6343 Год назад +1

    Mungu akupiganie wewe dogo unapambana kaz nzur sana

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 Год назад +1

    Mambo nimoto huku ngoma kali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @babramedia1171
    @babramedia1171 Год назад +4

    Hakika k2ga ume jua kutu frahisha hii ngoma ilitakiwa uitoe mwisho wa mwaka ilikua ya kufungia mwaka wadaku lazima wa kimbie 🏃‍♂️🏃‍♀️🇹🇿💪🙏🙏

  • @silversindjalabakeni2533
    @silversindjalabakeni2533 Год назад +4

    Wow mchizi wa UK good music and good sound kwapamoja sana creativity 🔥🔥👌🔊🎧🎶

  • @msimbatiboy7517
    @msimbatiboy7517 Год назад +1

    Ananifraisha huyu dada anajikubari sana safi sana

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 Год назад +1

    Huu wimbo nimeurudia zaidi ya mara 100

  • @laveb461
    @laveb461 Год назад +4

    K2GA jamani ume nipagawisha brother. King's Music 5g💥💥 lite forever

  • @official_kaunda
    @official_kaunda Год назад +96

    Lemme be honest the art 🖼 of this content its making to repeat more than 5 times at a go 🔥🔥you are making me to have a reason to be happy ❤️🇰🇪we love you from kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @promoternickelishaug6751
      @promoternickelishaug6751 Год назад

      ruclips.net/video/dSfJfOd_uTo/видео.html Surely

    • @laureenakinyi2490
      @laureenakinyi2490 Год назад +4

      ❤️❤️❤️💯 I've been smiling all through mpaka song ikaisha

    • @amirishauur5795
      @amirishauur5795 Год назад

      i have been listening since 6am to 8 na naenda joob ss

  • @kibafrommozambique1149
    @kibafrommozambique1149 Год назад +3

    Salute from mz

  • @sunrajmusic6588
    @sunrajmusic6588 Год назад +1

    Niatareeeee Sanaa matam napewa vitamu 💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @romes-tz7323
    @romes-tz7323 Год назад +5

    K2ga umetoa mpya,nimempenda hii dizsini yako,Iwe mfano Kwa wengine,kwamba hata wane wanafaa kuwa video vix
    ONE LOVE BRO💪

  • @officialmalekelly4289
    @officialmalekelly4289 Год назад +21

    Oyoooo song of the nation gonna be doped soon let's go guys

  • @omaribangu8331
    @omaribangu8331 Год назад +2

    Good 💓💓🔥🔥🔥🔥🔥

  • @EdinaAbely-jp5tu
    @EdinaAbely-jp5tu 11 месяцев назад

    Dah ni vile maisha ynaenda mbela nyuma nyuma mbele Kaz niipendayoo hi ya kuimba ata niimbe siku 5 cchokiiii💖💖💖💖💖💖

  • @yobrowntz9825
    @yobrowntz9825 Год назад +34

    King music 4life 🔥🔥🔥❤

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 Год назад +15

    😁🥂🌹🇰🇪🙏🙏🙏... Nameipenda Mashallah😁🌹🙏... Video vixen ameweza... At list umeleta kitu tafuti kinyume na matarijio yetu mafans na watazamaji... BigUp K2GA. Kings 4 life!🙏🥂🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞

  • @MichaelMwakibolwa
    @MichaelMwakibolwa Год назад +1

    Tanzania on 🔥🔥🔥 as K2GA IS! Likes kwake please.

  • @shawwaldissi8954
    @shawwaldissi8954 Год назад +12

    You never disappoint K2ga I love your songs.cant get enough of this.....""uwezo wa Karima ntadumu nae..."

  • @jeanalikiba3178
    @jeanalikiba3178 Год назад +12

    Courage je congolais et j'écoute ça c'est une belle chanson ❤️🔥🇨🇩🇨🇩

  • @modialaminzayo731
    @modialaminzayo731 Год назад +20

    Future king of bongo fleva🔥🔥🔥all the way from 🇰🇪🇰🇪

    • @tchess147
      @tchess147 Год назад

      I hope he will visit Kenya to market these jam course I can wait to meet him

  • @nelsonshaban708
    @nelsonshaban708 Год назад +1

    Hongera k2ga nyimbo imeenda hii

  • @user-um4fk5ls3v
    @user-um4fk5ls3v 8 месяцев назад +1

    🥰🥰🥰🥰🥰🎸🎤🎧 ni safi sana ❤❤

  • @MinoonlineTV
    @MinoonlineTV Год назад +4

    LEVELS BABAAAAAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥