ROMA ft. Story - 2030 (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 816

  • @juliusyusufu2555
    @juliusyusufu2555 11 месяцев назад +127

    Kama unaisikiliza hii Ngoma 2024 gonga like

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee Месяц назад +2

    Kwa kila atakae like kwenye Comment yangu nitarudi tena kuangalia nyimbo hii bora kabisa ya Nabii Roma Mkatoliki.
    This Dude was Extra ordinary,he is mora than Artist❤‍🔥❤‍🔥💯💥

  • @michaelmuchomerson2658
    @michaelmuchomerson2658 5 лет назад +23

    Tukipata nyimbo kama hizi za kufunza na kuonyesha tulipo na tunapoenda ndo vema zaidi, kuliko kuimba nyimbo za kushikana shikana na mademu kwenye nyimbo, na kukubali sana Roma ajia mademu zile zingine ngoja sisi wanaume tusikilize hiziiiiii

  • @ashagowa9037
    @ashagowa9037 Год назад +6

    2023 Baada ya kusikiliza nipeni Maya yangu nmerudi kusikiliza Tena hii Ngoma..

  • @gilbertmbwambo2444
    @gilbertmbwambo2444 5 лет назад +14

    bonge moja la future kutoka kwa mkatoliki roma kubali sana huyu jamaa na ngoma zake adimu na zenye kuelimisha jamii na kusaidia kuelimisha wananchi.

  • @zakariapaulowiliamuwiliamu1840
    @zakariapaulowiliamuwiliamu1840 Месяц назад

    Nasikiliza hii ngoma 2024 December huku umeme hamna watu wanatekwa bila sababu wanauwawa bila sababu naililia nchi yangu TANZANIA 🇹🇿

  • @emanuelcharles8469
    @emanuelcharles8469 5 лет назад +143

    Huu ni mtazamo wa mbali big up ROMA, Nani bado anaikubali hii ngoma mpaka sasa 2019 anaiangalia

  • @MosesMayunga-p6z
    @MosesMayunga-p6z 5 месяцев назад +18

    2024 tujuane kwa like hap

  • @ephronashrey8025
    @ephronashrey8025 9 месяцев назад +3

    Noma sana lets nyengine 😅😅😅❤

  • @fredmwankaja9323
    @fredmwankaja9323 Год назад +3

    Kama unaangalia ngoma hii 2030 gonga like

  • @damianmosoka5356
    @damianmosoka5356 8 месяцев назад +36

    Me niko hapa 2024 kama na wewe upo gonga like tujuane

  • @Vj_Tally_47
    @Vj_Tally_47 9 месяцев назад +2

    We listened it those day's lakini leo after kuskiza "Mke wangu" new banger ..nikaamua nipitie na 2030 cause wanangu mlichafua hii ngoma💯🔥🙏

  • @kelvinaman9002
    @kelvinaman9002 Год назад +2

    Huyu jamaa ni kwere hatari sana mziki anaujua

  • @vakwawesanga733
    @vakwawesanga733 5 лет назад +1

    Mungu aendelee kukupigania roma unaona mbali sana ila kuna wa2 wanataka kukufumba mdomo kuwa makn

  • @eliyalaizer555
    @eliyalaizer555 5 лет назад +169

    Nani tupo pamoja 2020 kama unaangalia gonga like yako tafathali please like yako ni muhimi kwng

  • @kelvinrichardshirima7739
    @kelvinrichardshirima7739 7 лет назад +36

    Big up bro
    nazikubali kazi zako kwani hujawahi kunianguxha hata siku moja.

  • @wizyjunior5771
    @wizyjunior5771 5 лет назад

    Bwashe mrudie Mungu Masanja kawa mchungaji ..kati aliyechanganya mchanga ushamfukia Vivaromaviva Mashairi umeyampangilia Leo lizi one hafanani na Makongolo daaa!!!

  • @nelsoncosmas5639
    @nelsoncosmas5639 3 года назад +144

    Kama unaisikiliza hii ngoma 2121 ngonga like

  • @catundu8131
    @catundu8131 3 года назад +3

    Marehemu hufa na chake pigana upate Chako🤗

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 6 лет назад +10

    I can't get enough of this song,
    Mistari ya pesa inatisha,
    "Marehem ufanachake, pambana upatechako.."

  • @DianaKabwaye
    @DianaKabwaye Год назад +12

    Nani karudia nyimbo za roma zote 2023 baada ya kusikia nipeni mauwa yangu

  • @MohamedMohamed-fz5qh
    @MohamedMohamed-fz5qh 2 года назад +19

    Live long Roma. it's 2022 and it's still the hit

  • @SafiTabu
    @SafiTabu 9 дней назад +2

    Kama unaisikia wimbo huu 2025 (give me ur likes)

  • @vangaboy
    @vangaboy Год назад +2

    Tujuane wa 2024

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 3 года назад +3

    Daaah kitambo Sanaaa hii ngoma 👊👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @bosshapendi
    @bosshapendi Год назад +1

    Hii ngoma ime hit❤❤👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @abdullykapole9617
    @abdullykapole9617 5 лет назад +2

    Kaka ROMA 2030 tumuombee mungu tutaona mengi nakukubali sana✌

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 5 лет назад +5

    I listen to this song everyday, lemmie comment.. am from Kenya, but this is ile ubunifu nakubali 100%.. this is real, from Kenya🇰🇪🇰🇪 much lov, Salimia stamina na ney wa mitego! Will visit Tanzania nikija next vacation... moch love East Africa.. from Seattle, Washington.. tutembelee by the way🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @evonwilliam3028
    @evonwilliam3028 5 лет назад +13

    Daaaaaa huyuuuu ndyee alikuwa Roma cyo was sasa

  • @recolopa5972
    @recolopa5972 4 года назад +1

    Ujawahi niangusha.. Nimekumbuka Hip-Hop NGUMU LEO. JUST PERFECT

  • @tuombesolomon3806
    @tuombesolomon3806 7 лет назад +1

    hakika nguvu ya ziada inahtajka kwa maendeleo ya taifa japo hawa......................... wanatukwamixha, roma big up 2u Mungu akulinde zaidi

  • @dibamohamed6885
    @dibamohamed6885 6 лет назад +36

    In my opinion, this what I call story telling, hip hop, using music that communicates to the masses, and most importantly one of my favourite hip hop artists in Africa. Never been this attentive listening to a message in a song! Big up Roma, maximum respect from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @naijoel5022
    @naijoel5022 7 лет назад +27

    Mungu msaidie Roma ili huko aliko awe hai arudi aione familia yake

    • @daoneamic4546
      @daoneamic4546 5 лет назад

      Kazi hii itadumu sana tena safi sana bro

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 5 лет назад +3

    Ndio naisikia 1st time kama mkenya, manzeh I BOW... ngoma iko juu saana... much love from USA

  • @habillahimsokela6708
    @habillahimsokela6708 Год назад +4

    Kama unaangalia hii ngoma mwaka 2023 nipe like zangu

  • @theemayor1960
    @theemayor1960 3 месяца назад +4

    2024 hapa kenya bado natafakari mbona mamake roma alisema asimchumbie mmachame

  • @obagoabhiathan3565
    @obagoabhiathan3565 5 лет назад +99

    Jamani kama bado unakubali hii ngoma mwaka huu 2019 like hapa

  • @hussainomar1142
    @hussainomar1142 7 лет назад +1

    mkali wetu watu hip-hop nzmkubali sanaaaaaaaaaa shiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @dzombotumaini6392
    @dzombotumaini6392 3 года назад +3

    Hii ngoma Naiona Mpya Daily... Big up mwana...
    254

  • @saidmungulu7053
    @saidmungulu7053 3 года назад +3

    kaka unajua san nyimbo zako zinaishi milele onelove❤ bro. .TANZANIAA EEEH!! 2021

  • @hamisimkima-un3jk
    @hamisimkima-un3jk Год назад

    Huyu jamaa Ni Mpango wa Mungu ili kufikisha ujumbe kwa Maharamia

  • @ayshah.8123
    @ayshah.8123 4 года назад

    I love you my brother, usiogope nausibadilike maana hakingodo mitaani hasa serikari za mitaa rushwa tupu mzee baba angalia nahuko hasa sisi wanyongwe tunaonewa na walionapesa na hasa wahindi

  • @severynkihwele2729
    @severynkihwele2729 4 года назад +76

    Anaeangalia 2020 gonga like kubwa

  • @johnnyoni6947
    @johnnyoni6947 11 лет назад +9

    Big up sana Roma,Nisher nakubali sana kazi zako mzazi,Thanx for taking our music to the next level.Ongezeni bidii tu,we're very close to get there!

  • @dahnlira2824
    @dahnlira2824 Год назад +4

    2023!am on it!this record was and is fire

  • @crazydeejay_manyi8520
    @crazydeejay_manyi8520 11 лет назад +7

    Kichupa kimetulia ile kinoma
    chini ya producer NISHER ni Nomaaaaaaaaa

  • @emanuelissaya1079
    @emanuelissaya1079 7 лет назад +20

    nakuheshimu sana ROMA mziki wako ni mageuzi ya kifikra taratibu tutafika kwenye mabadiliko

  • @fauzsaid2050
    @fauzsaid2050 2 года назад

    Akili kubwa !!! Kipawa baadae

  • @annyrwechu
    @annyrwechu 11 лет назад +1

    Mashairi hayaendani na kilichomo kwa video.....ts so hard kufanyia video nyimbo za ROMA always there is something missing

  • @emanuelotamba3863
    @emanuelotamba3863 4 года назад +1

    Roma nakuhakikishia ata 2031 na kuendelea bado hii nyimbo itakuwa bora vile vile mfano nchini tunamistu Ila tuna uhaba wa madawat hata 2030 na kuendelea hili tatizo litakuwepo tu!! I Love I Love Hip hop

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 4 года назад +1

    2020, yuko hapa.. wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ndani ya Amerikq, sauti iko sawa after Corona.. ati...

  • @brianfeel3570
    @brianfeel3570 8 лет назад +11

    mob love nakuskia Kenya.Umeeetiiiishaaaaaa.

  • @redblackheart9222
    @redblackheart9222 5 лет назад +27

    This talent is a gift from God.
    Like zenu bado tuko tuna iyona 2019

  • @plutoafricatv9723
    @plutoafricatv9723 Год назад +2

    Kama waiangalia hii nyumba 2023 gonga likes

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 Год назад

    Hapa ney true boy anaimba mapenzi, ujue ney alianza kujilipua akat Roma alishaanza kitambo haya mambo ney kaendeleza tuu Roma ndo alianza hizo issue kitambo sana

  • @KhabilMtumwa-e4o
    @KhabilMtumwa-e4o Год назад +3

    Kama unaangalia ngoma hii 2023 gonga like🙏🙏🙏

  • @ignatiusnamema1030
    @ignatiusnamema1030 5 лет назад +7

    Lots of love from Kenya team 254 thanks for passing this strong message of social ills by the government through this song

  • @jayckizle
    @jayckizle 4 года назад

    Nipo na hii msimu wa uchaguzi, watanzania hatuna uhuru tuna uwoga.

  • @JamesNduwimana-ik1de
    @JamesNduwimana-ik1de 2 месяца назад

    Mwezi wa kumi, tujuane❤❤🤸🤸🤸

  • @sheikhantv4159
    @sheikhantv4159 2 года назад +83

    Kama unaangalia ngoma hii 2022 gonga like 🙏

  • @benhorta5121
    @benhorta5121 7 лет назад +41

    2012 + 18yr=2030 watoto wetu wanaweza wakaibadili Tanzania, ngoma imebeba maono makubwa

  • @thomasjohn2554
    @thomasjohn2554 Год назад +2

    Kama unaangalia hili ngoma mwaka 2023 gonga like

  • @ignatiusnamema1030
    @ignatiusnamema1030 5 лет назад +2

    Wimbo wenye mafunzo kwa watanzania asante saaana
    kutoka kenya

  • @chaudryramos113
    @chaudryramos113 7 лет назад

    Unamheshimu Ramathani unazini mbele ya shaabani, Kama ilishushwa Qurani twendeni miskitini..... Got my Respect Roma

  • @godfreyorago7501
    @godfreyorago7501 5 лет назад +11

    Nan yuko pamoja 2019 kukumbushia utabir wa #roma

  • @cashmoney2802
    @cashmoney2802 5 лет назад

    asee w jamaa ni noma sana Hongera sana kwa maono ya mbele

  • @habillahimsokela6708
    @habillahimsokela6708 Год назад +1

    Kama unaangalia Ngoma hii mwaka 2024 gonga like

  • @pur-ple-girll-304
    @pur-ple-girll-304 3 месяца назад +1

    Nipo kuwaz huyo mtt saiv yuko wap 😊

  • @lennoxduketv
    @lennoxduketv Год назад

    Na kama roma ni king nimekubali uongozi🎉🎉❤❤

  • @derrikdesertman4564
    @derrikdesertman4564 3 года назад

    Huu ndio wimbo pekee ninaoukubalii. Roma haimbi fresh kama hivi

  • @edsonsibuti6914
    @edsonsibuti6914 4 года назад +30

    2020 kuna mwingine humu

  • @dray4763
    @dray4763 3 года назад

    Roma Mungu akuonyeshe njia amen

  • @shamimoally4679
    @shamimoally4679 7 лет назад +1

    pole mnaotafuta c daaaah.......nimeipenda bureeeee

  • @neema_mollel
    @neema_mollel Год назад

    Huu ndo muziki Sasa👌👌

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 5 лет назад +18

    Nani kaangalia hii ngoma juu ya tarehe 14 November 2019. Gonga like hapa

  • @peleziyohana4806
    @peleziyohana4806 6 месяцев назад

    "Watanzania mna uwoga sio amani mnadanganywa"

  • @rukabobugalama2722
    @rukabobugalama2722 4 года назад

    Natamani niirudie kila second kumi ngoma nzuri sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @nassirmohammed2827
    @nassirmohammed2827 4 года назад +34

    kama ubishani wa 2030 ya Roma na 2060 ya madee ndo ilokuleta basi gonga like

  • @Jean-BaptisteOmbeni-nx6kx
    @Jean-BaptisteOmbeni-nx6kx Год назад

    Naangalia ngoma hii hadi Léo 2023
    ROMA Big up

  • @sknapoleonshoo3145
    @sknapoleonshoo3145 2 года назад +7

    BIG UP ✌🏾LEGENDARY ROMA!
    MUCH RESPECT ✊

  • @evaristmajaliwa9428
    @evaristmajaliwa9428 3 года назад

    Bado natembea na mtazamo wa Mwamba Roma, gonga like kama unaikubal hii ngoma mpaka sasa

  • @miadidas7947
    @miadidas7947 6 лет назад +1

    mungu u pam1 ila kweli tz matajili ila mkapa ndo kaichafua nchi mpaka nyerere kamuua lazima tuseme ukweli

  • @norbertlucas4144
    @norbertlucas4144 3 года назад +1

    Muraaa shusha mapanga anaeleta posa tarimee💪💪

  • @munyarubugaismailally111
    @munyarubugaismailally111 3 года назад +9

    Pure hip hop artist 👂👂👂 you may live longer legend 🙏🙏🙏 all the way from Namibia 🇳🇦

  • @teresiyamwacha991
    @teresiyamwacha991 3 года назад

    Daaa good sana nakuombe urdi Tanzania

  • @sadamdominic7030
    @sadamdominic7030 4 года назад +6

    Kama umekuja kuangalia huu wimbo baada ya kusoma ujumbe wa roma like hapa.

  • @suziemgata8925
    @suziemgata8925 3 года назад

    Hii nyimbo ndoiliyomletea shida roma 😰😰mungu ni mwema jamani roma ni zaidi za wasanii hapa bongo😘😘🤔👏

  • @blacklion3672
    @blacklion3672 2 года назад

    7 minutes straight but I had to listen all through. Kazi safi. Mwanangu kuwa uyaone

    • @brianpop.
      @brianpop. Год назад

      8 years late bado marudio lazima ❤

  • @ROMATONGWE
    @ROMATONGWE 11 лет назад +242

    thanx rafiki kwa kuendelea kusupport

    • @djelly7621
      @djelly7621 7 лет назад +2

      Roma Tongwe. ngoma kali sana

    • @eugytech3454
      @eugytech3454 7 лет назад +3

      Big up bro from kenya

    • @isayamollel7327
      @isayamollel7327 7 лет назад +2

      Roma Tongwe rudi mwanangu ,huu wimbo Wa Zimbabwe unanipa Picha flani ndani ya Tanzania,pole Roma iliniuma nafsi ulipo tekwa but kweli MUNGU atalipa

    • @hendryolotuz863
      @hendryolotuz863 7 лет назад +1

      Roma Tongwe njoo marang

    • @edgarkinyaga5729
      @edgarkinyaga5729 6 лет назад +1

      duuuu

  • @AbdulradhaqKhamisi
    @AbdulradhaqKhamisi 3 месяца назад

    Nakubali kamanda wangu

  • @irenekimboy1443
    @irenekimboy1443 11 лет назад +1

    nice one...nisher metisha mbya...nimependa kila kitu ndan apo

  • @asheryibrahimu24
    @asheryibrahimu24 3 года назад

    Hii Ngoma roma ulikaa chini na kutoa kitu bora kwangu

  • @mudhakirudauda7933
    @mudhakirudauda7933 4 года назад

    Mashairi yakiwa ya maana kamwe hayachuji. From 2013 to 2020.

  • @lameckdomisian2907
    @lameckdomisian2907 3 года назад +1

    Nakukubali sana bro 22/ 06/ 1:34 jnne 2021 nasikiliza ngoma hii

  • @hamidumtega2196
    @hamidumtega2196 10 лет назад

    ROMA we upo juu kaka hakuna anaekuweza wangu uciogope we wakandamize2 nyimbo zako 2nazikubali mpaka DIZONGA Big up broo.

  • @Mbewevunjabei
    @Mbewevunjabei 4 года назад +3

    Kama umekuja kuangalia tena huu wimbo baada ya Roma kusema kua tuje tuangalie baada ya wimbo mpya wa Madee gonga like hapa 👇👇👇

  • @ezekielyleonard4087
    @ezekielyleonard4087 4 года назад

    Na kukubali asimia 💯 mpambanaj tupo pamoj brother

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 4 месяца назад

    2024
    Bado miaka 5 hii ngoma itimie...
    Yaani Ivani afike miaka 15 ili askilize alichoambiwa

  • @CoolBoy-xv6pl
    @CoolBoy-xv6pl 4 года назад

    Shabiki zangu hakuna kama ninyi siwezi kuwa mimi bila ninyi endeleeni kusapoti muziki wangu

  • @peterkipngetich8971
    @peterkipngetich8971 3 года назад

    Nampenda Roma...Natamani nimwone live siku moja...