Asalam Alaykum ndungu zangu ninaomba mnisaidiye kwa Duwa Mimi ninasumbuliwa na nguvu za giza . pamoja navitimbi vibaya vya Wanadamu . Kwajina naitwa Mohamedi. Ya Allah nakuomba Mimi kiumbe chako siji wezi peke yangu ivi nitakriba Mwaka 6 sijielewi Ya Allah niokowe kwajanga hili Amen
Mashallah Shekh wangu, Allah akupe umri mrefu wenye kheri na pia MAELEZO yako ni ya kweli, hata hapa Saudia khutba no moja nchi mzima na kiukweli tufuate uislamu sio tufuate waislam, waislam tumekua na mambo ya ajabu na sio uislamu unavotakiwa. Shukran Sana Shekh Othman Michael. Niko Saudia mwaka Saba Sasa kutembea ni njia ya kusoma ni asbabu ya riziki tu.
Sheikh nikuhabarishe, Kuna ustadh mmoja. Yupo handeni Kijiji kinachoitwa mbagwi ukweli yupo dhofl Hali.Kupitia wewe Nina Imani walau kheir itamfikia.mimi Niko Moshi na sinna uwezo wakumsaidia.Anaitwa ustadh Hussein.Namuomba Allah akupe fikra kwake Amiin
Asalam Alaykum ndungu zangu ninaomba mnisaidiye
kwa Duwa Mimi ninasumbuliwa na nguvu za giza .
pamoja navitimbi vibaya vya Wanadamu . Kwajina naitwa Mohamedi. Ya Allah nakuomba Mimi kiumbe chako siji wezi peke yangu ivi nitakriba Mwaka 6 sijielewi Ya Allah niokowe kwajanga hili Amen
Mtafute Sheikh Maiko , upate dawa
Mashallah Shekh wangu, Allah akupe umri mrefu wenye kheri na pia MAELEZO yako ni ya kweli, hata hapa Saudia khutba no moja nchi mzima na kiukweli tufuate uislamu sio tufuate waislam, waislam tumekua na mambo ya ajabu na sio uislamu unavotakiwa. Shukran Sana Shekh Othman Michael. Niko Saudia mwaka Saba Sasa kutembea ni njia ya kusoma ni asbabu ya riziki tu.
Sheikh nikuhabarishe, Kuna ustadh mmoja. Yupo handeni Kijiji kinachoitwa mbagwi ukweli yupo dhofl Hali.Kupitia wewe Nina Imani walau kheir itamfikia.mimi Niko Moshi na sinna uwezo wakumsaidia.Anaitwa ustadh Hussein.Namuomba Allah akupe fikra kwake Amiin
Mashallah sheikh Allah akujaalie umri mrefu wenye furaha na amani.Swali moja_Ili kuwa mcha mungu wa ukweli nifanyeje?
Jazakallah khayran
Mashaallah mola akuhifathy
Kumradhi nimepitiwa ye ustadh I hussen ni kipofu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂ya kusengenya imepita
Muhabi huyo ...kila kitu yu wajua yeye.....