Asalam alekum Ombi. Kama sisi ni wateja wakubwa wa hi chanal yenu . Tunaomba haya mawaiza ya shekh mselem . Yatengezeeni ups . Kwa sababu hizi recklama za mabiasha zimekuwa nyingi mpala zinakera hupato utulivu wa mawaiza . Ahsante
Mi nahisi Hawa hawapo kwa ajili ya dini bali kwa ajili ya biashara ya dini,kwa sababu heading hizo zipo kwa ajili ya kuvutia biashara.Pia Nina mashaka na uadilifu wao,wanakera kuzidi magazeti ya udaku.
Kama ambavyo ukisoma heading za media zingine ukakuta maudhui tofauti unafutilia mbali ,na hapa pia ukianza kusikiliza ukakuta ni maudhui tofauti siku ingine unapita mbio tu,yaani Hawa waingia ktk kuzuilia watu ktk khayr sijui hawajitambui? Kero tupu.
Upumbavu wa hali ya juu kwa mtu anae weka title ya uongo usitafute views kwenye dini ya mwenyenzi mungu , una waibia waislam na kuuzusha uongo wa maandish, sheikh wetu tuna mpenda na tuna mfatilia sana msimtumie sheikh wetu kwa kupata views kwenye tv yenu
Mbona hawa wanarusha hizi video za shekhe hawaandiki Heading inayo fanana na ujumbe wa mawaidha yenyewe. 😮😮😮kichwa cha habari ya video inasema vyengine na shekhe akitoa ujunbe uko tofauti na kichwa cha maneno😫🥱🥱ina kera kweli. Kazi kuandika uo go na kutaka kumdhalilisha shekhe wetu.
Mashaallah Mashaallah wa barakallah Shaikh MselemBinAliy
Masha Allah sheikh am also getting you here in Uganda Assante
Mashallah Mashallah
ALLAH AKUHIFADHI FITNA ZOTE
Mungu akupe hucni hatima
Mashallah
Shukran sana Shekhe ❤
Mwezimungu akupe maisha marefu
Yenye afya njema ndan yake
Asalam alekum
Ombi. Kama sisi ni wateja wakubwa wa hi chanal yenu .
Tunaomba haya mawaiza ya shekh mselem .
Yatengezeeni ups .
Kwa sababu hizi recklama za mabiasha zimekuwa nyingi mpala zinakera hupato utulivu wa mawaiza .
Ahsante
Shukran ( Sheikh Mselem) Tunakusoma Tukiwa , DSM.
Alwah akujalie neema
Allah...amin
Shekh Allah Skype afya njema uzidi kutuelimisha
Tunafatilia sana
Uhibbuka fillah shekh Musellem
kwanini huwa munandika headings za mipasho? kwanini usiandike tu "tafsiri ya qurani suratul Al amran aya fulani hadi fulani?"
Mi nahisi Hawa hawapo kwa ajili ya dini bali kwa ajili ya biashara ya dini,kwa sababu heading hizo zipo kwa ajili ya kuvutia biashara.Pia Nina mashaka na uadilifu wao,wanakera kuzidi magazeti ya udaku.
Kama ambavyo ukisoma heading za media zingine ukakuta maudhui tofauti unafutilia mbali ,na hapa pia ukianza kusikiliza ukakuta ni maudhui tofauti siku ingine unapita mbio tu,yaani Hawa waingia ktk kuzuilia watu ktk khayr sijui hawajitambui? Kero tupu.
Nymaz boya
Acha tuu 😂😂
Salam walykum
Adil tv
Upumbavu wa hali ya juu kwa mtu anae weka title ya uongo usitafute views kwenye dini ya mwenyenzi mungu , una waibia waislam na kuuzusha uongo wa maandish, sheikh wetu tuna mpenda na tuna mfatilia sana msimtumie sheikh wetu kwa kupata views kwenye tv yenu
Sihaba kuna mtu kasema mana nlizani mie tu.. wanaujinga wa kupindukia
Ataka kuuliza swali
Naweza kuuliza swali
Bila shaka uliza Akhii
MashaAlla Sheikh Mselem Allah akuhifadhi na akujaalie maisha marefu