KABLA YA KUUMBWA ARDHI NA MBINGU ALLAH ALIKUWA WAPI ? | SHEIKH MSELEM BIN ALY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 47

  • @RichieSpiceTz
    @RichieSpiceTz 4 дня назад

    Alhamdulillah tabaraqallah mwenyezmungu awalinde mashekh wetu wote

  • @SalehDaud-d4f
    @SalehDaud-d4f 27 дней назад

    Maashaallah shekh wetu kweli ukitaka tafsir ya qoroan kwa uhakika fuatilia darasa za shekh msellem wallah utaelew

  • @abiomar1652
    @abiomar1652 Месяц назад

    Mashaallah shukran sheich

  • @AthumanyMvula
    @AthumanyMvula Месяц назад

    Katika mashekhe ninao waelewa shekhe mselemu pia mawaidha yake yanafundisha pia katulia manshallah

  • @FatihuSingano
    @FatihuSingano 2 месяца назад

    Inshallah Allah akulipe Kila kher kwani unatupatia ilmu inayotufaa dunian na akhera

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 2 месяца назад

    Barakallahu fikum sheikh wetu Allah akujaalie afya njema❣️❣️❣️

  • @SimbandumweAmissi-hd3vv
    @SimbandumweAmissi-hd3vv 10 месяцев назад +1

    Asww mungu akupe mwisho mwema na akupe umri mrefu wa fya

  • @AliySefu
    @AliySefu 10 месяцев назад +1

    Mashaalah maneno mazima hakuna shaka

  • @talibally9753
    @talibally9753 Месяц назад

    M nampenda shekhe mselem akiongea kitu un mfahamu kw ufasaha masha Allah

  • @HamadOmar-nc8pz
    @HamadOmar-nc8pz 6 месяцев назад +1

    Mashalla akulipe Kila la kher akulinde Kila baya

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 6 месяцев назад

    Oooh Allah Ibariki na Uvilinde na Hasadi Fitna za Makafir Visiwa vya Zanzibar pamoja na watu wake kama ulivovilinda wakati wa mreno. Allah wape umri wa furaha mashekhe wetu.Amiin

  • @RukiaHassani-r6d
    @RukiaHassani-r6d 5 месяцев назад +1

    Allah akuhifazi tupate faida

  • @MwalengaMdzomba
    @MwalengaMdzomba 5 месяцев назад +1

    Mwenyezi Mungu akulipe wema wako kaamili

  • @zamilmohammed2297
    @zamilmohammed2297 3 месяца назад +1

    Subhanna Allah wataala

  • @FatmaAboubakar-z7o
    @FatmaAboubakar-z7o 7 месяцев назад

    Masha Allah,Allah akulipe kheri kwa mawaidha shekhe wetu.

  • @IddFifteen
    @IddFifteen 7 месяцев назад +1

    Allah akujalie kila la kheri

  • @FatumaMwindadi
    @FatumaMwindadi Год назад +1

    ALLAH. AKBAR

  • @JumaSalim-h1p
    @JumaSalim-h1p 11 месяцев назад +1

    Alhamdulillah Allah atuwekee walikumu Wetu..

  • @zamilmohammed2297
    @zamilmohammed2297 3 месяца назад

    Subhanna hu Rabbill Allamin

  • @mbaroukkhalfani9244
    @mbaroukkhalfani9244 Год назад +2

    Allah's akbar

  • @MbwanaIzaa
    @MbwanaIzaa 10 месяцев назад +1

    Allah akupe uri mrefu shekh

  • @AbubakarMbarouk-b2u
    @AbubakarMbarouk-b2u 2 месяца назад

    Assalam alaikum ustadh mselem Mimi Abubakar mbaruk mtoto Amina sheha amor❤

  • @SaidSuwed-ww5mf
    @SaidSuwed-ww5mf 10 месяцев назад +1

    Allah akurehem

  • @jumakingi1584
    @jumakingi1584 10 месяцев назад +1

    Allah Akbar

  • @HabyarimanaMouhamed
    @HabyarimanaMouhamed 10 месяцев назад +3

    Darasa nzuri lenye mafundisho mazuri

  • @ibrahimngokoe2102
    @ibrahimngokoe2102 Год назад +1

    Mungu ni mkuu

  • @JumaSalim-h1p
    @JumaSalim-h1p 11 месяцев назад +1

    Alhamdulillah

  • @Mbarakashaban-tf1kw
    @Mbarakashaban-tf1kw 9 месяцев назад +1

    Allah amlipe kher zote mselem ally

  • @RichieSpiceTz
    @RichieSpiceTz 4 дня назад

    Mm nipo na wazo kuhusu shekh wetu atufungulie Darsa la online kwa week mara 2 au 3

  • @hilalikaumo3470
    @hilalikaumo3470 11 месяцев назад +1

    Allah ni Mkubwa

  • @SimbandumweAmissi-hd3vv
    @SimbandumweAmissi-hd3vv 10 месяцев назад +2

    Nilicelewa kutokuwa nafata darsa zako sheikh

  • @officialree985
    @officialree985 8 месяцев назад +1

    Mashallsh

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 11 месяцев назад

    Lahaula walaquwata ila billah.....❤

  • @MadinaAli2022
    @MadinaAli2022 2 дня назад

    Jamani tunaomba namba za sheghe

  • @FatumaMwindadi
    @FatumaMwindadi Год назад +1

    🙏

  • @abdosim9051
    @abdosim9051 Месяц назад +1

    Afwan

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 месяца назад +1

    Andike sura gani na aya ipi ilimtuvutie namna ya kusoma

  • @RichieSpiceTz
    @RichieSpiceTz 4 дня назад

    Mwenye nambar ya shekh mselem naiyomba

  • @MakameSilima-g7k
    @MakameSilima-g7k 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg 6 месяцев назад

    Shehe mbona anasema tume badala nime?Kwan alishirikiana na nani?

    • @Until835
      @Until835 3 месяца назад

      Jibu lake lipo .

    • @ClevenMunuo-c3o
      @ClevenMunuo-c3o 2 месяца назад

      Fatilia vizuri mwalim

    • @ClevenMunuo-c3o
      @ClevenMunuo-c3o 2 месяца назад

      Akisema tume hamaanishi kwamba wa mungu ni wengi iyo inaitwa kuelim idhihari liquduratihi yaani anaonesha uweza wake

    • @ClevenMunuo-c3o
      @ClevenMunuo-c3o 2 месяца назад

      Ayo ni maelezo mafupi jaribu kuingia darasani inshaallah Allah ata tufanyia wepesi

    • @ClevenMunuo-c3o
      @ClevenMunuo-c3o 2 месяца назад

      Inshaallah tufatilie tuta pata majibu kwa msg sidhani kama tutaelewana vizuri ila kiufupi majibu yapo