MAKALLA AMJIBU LISSU; "HATUWEZI KUELEKEZWA ‘NO REFORM NO ELECTION’ HAWANA FEDHA, WAJIPANGE ..."
HTML-код
- Опубликовано: 26 янв 2025
- Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Kamati kuu ya Chadema iliazimia kwamba ‘No reform no election’ uamuzi ambao umepigiliwa msumari na Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu kwamba kwa sasa wanapigania mabadiliko ya sheria na si vinginevyo.
Leo Jumapili, Januari 26, 2025, akiwa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar, Makalla amesema hao wanaosema ‘no reform no election’ hawana fedha wanatafuta sababu.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Huyu mzee wa ccm haoni aibu kuzungumza maneno yakijinga hivyo
Wala Lissu hawaambii CCM. Kwani nyie ndo serikali
Anaiambia serikali.
😂😂😂😂😂 duh! Haina haja ya kuangalia comedy kwa Sasa!🙌🏿
Hakuna hilo mzee makalla coz janja njanja nyingi tumeziona kwenye serikali za mitaa
Ila kuna chama kina viongozi pointless 🤔😅😅
Yaani hili lizee hiyo nafasi haliwezi makala unasema safali hii kutakuwa na tume huru ya ukweli?mmm inamaana tume iliyopo Sasa sio ya ukweli???
Dah! Madhara ya kushiba dhuluma ndo haya. Ipo siku.....
Cdm inajua kuwatoa mapovu aisse😂😂
Soma alama za nyakati mungu ameshawakataa damu Zina Lia Kwa mungu
Yani ujinga wa watu wa ccm umenifanya ata kuichukia rangi ya kijani. Mtu umevaa na mawani halafu unaongea ujinga hivyo
Kiongz mjinga kbsa Hana hoja yyte anaongea utumbo na jezi yake ya ccm
Wananchi tunataka Tume huru. Uchaguzi
Aaa kumbe safari hii kunatume huru ya uchaguzi vp kuhusu chaguzi zilizopita,haufai kuwa kiongozi.
Mbivu na mbichi kujulikana mwaka huu jah bless
Makala kavimba mwisho hatapasuka
Mbona Samia amepita bila kupingwa ndani ya chama?
Insha Allah ccm haitaanguka kamwe
Ila mm najua lisuuu akianza ya jukwaani watamwelewa😂😂😂
Mhe. Makalla jaribu kuongea hoja(facts) bhasi, kwani nasisi tukisema unaongea kuwafurahisha wajumbe wako, je tutakosea??.
We hela unayo au ndo kiburi cha kodi za wananchi
Kumbe hakumuelewa Lissu.Kichwa kibovu
Nchi sio yenu, Tume huru wateule wa nani
Viburi vya wanasiasa unaweza hisi wana mikataba na Mungu ya kuishi.
NATAMAN LISU AANZE KUUWASHA MOTO🔥🔥🔥🔥
Ataungua mwenyewe
Ccm hatuoni mnachokifanya zaid ya vimdomo tu na wizi, safari tutawang'oa hata kwa kutumia nguvu zetu, msituletee mambo ya kishamba nyie
Tume huru feki itaweza kufanya uchaguzi huru kweri je wagombea hawataeguliwa kweri shida inaazia hapo
Ndivyo mlivyo CCM lakini tem hii mtajua hamjui
kwani lissu ameongea na mbwa? yeye amemtarget mfuga mbwa
Wewe amosi ni ovyo Sana ndiyo maana jpm alikukataa
No reform no election.Aluta continua
CCM AKIR MINGI KUWAONDOA MADARAKAN SIO LEO WALA KESHO 😮😮😮
@@exaverysimon1064
Yasiyowezekana KWA wanadamu KWA MUNGU yanawezekana.
Ccm ni wapumbavu kwl,alafu makala na ccm wajue kwmb hatuwakubali kbx tunataka tume huru,na msipotupa mungu awaamulie kam alivoamua kwa dikteta magufuli
HAKUNA UCHAGUZI Huru na Haki Ndani ya NCHI na Lini kumekuwa na UCHAGUZI Huru na Haki Tangu Uhuru na CHAGUZI ZIMEJAA NGUVU VURUGU UBABE NA KUWAPITISHA WA KIJANI PEEKEE
Wow mpuuzi tukutane kwenye kura
Hicho ndo chama kikubwa kaka maoni siyo ya kupiuza kaa na watu sikiliza maoni usiongee kwa kugulahisha wa chache
Mbona lifom kwanza Kwa kiswahili ni Nini lifom lakujaza 😂😂😂
😅🤣😂shenzi kabisa
@flavianajohn5250 🤣🤣🤭
Tomeichoka ccm kwakwel
Cyo chadem tu vyam vyot vya siasa vinataka tume huru isipokuw nyie ccm,hivi nyie ni wapuuzi eee,ngojeni tusipowaweza sisi mungu atawaweza tu mbn magufuli aliwezwa pumbavu zenu ccm makala huna point hapo kwnd zako mbele huko
"Tutakuwa na Tume huru ya uchaguzi safari hii" wameanza kukiri ukweli
We makala ni mpumbavu kwl,kwnd zako huko tunataka tume huru,mdomo kam unataka kutapika
Bunge linaongwa na nani?
Tatizo nyie makenge wa kijani hamuaminiki wanafki wanafki ckuzote na waongo waongo na hiyo riform mnayo ikataa au mnapo kataa kutowa uhuru wa uchaguzi huwa mnaogopa nni ikiwa kweli mmefanya kila kitu mnacho amini ni bora katika nchi? Mmejenga mashule zahanati barabara kwahiyo mnashindwa nni kuweka chaguzi huru kwa kuamini sera zenu?
..unajb ww ni tume ya uchaguzi au ww ni Mh.Raisi?
Endeleeni na huo ujinga ila Siku zenu zinahesabika,,,Wananchi msieende kupiga kura,ni kupoteza muda tu
Huyu kichwa kina mavi
Makala wewe ni mkunduu
Wew ni choko
@@kassimualli1755Choko ni mama yako alieshindwa kukulea vizuri ukajua upi ujinga upi welevu mbwa koko wewe
Kabisa choko yeye mwenyewe akagongwe na ccm@@aidankakulu398
Haya ndo madhara ya kujiamini kulitiliza afu kichwani empty!
Kweli kabsa
Halafu nie ccm mtakuja kutuletea Vita watu walishawachoka Bado tu mnatumia ubabe mtatufanya siku moja tuwe kama wakimbiz wakati tumezoea Aman kisa uroho wa madaraka
Wew ndo umewachoka usiseme watu jisemee wew mwenyewe
Hiyo evance,nafikiri ni wale wa 2000
Kwani pesa za uchaguzi zinatolewa kwenye mfuko wa mtu we bwege kweli
Mzee tunakuamini ,tunakuheshimu ,naamini unaelewa maana ya no Reform no Election ,
Makala nduguyangu zungumza kama mwenye kujijua,leo umerudi hapo unajisahau,Au nawe unawafurahisha wa kwako pia nchi hii ni ya watanzania sio ya chama ambacho ni kundi la wachache,msimpotoshe Rais kwa maslahi yenu mlio pembeni tu kwakuwa siku ya mwisho atalaumiwa yeye .
Hivi hawa wanaopiga makofi ni wakina nani
Tutawapaa tu hela😂
NO REFORM NO ELECTION.
LISU WAKABE KOOO HAPOHAPO.
CCM haina ishu hatuipend
Makalla huna akili na uwezo wako mdogo uchaguzi wa serikali za mitaa tumeona tamisemi na usalama mlivyofanya wizi wa kura hii sio nchi yenu
👏👏
Kwann ayakuepo
Lissu atawanyoshaa tuuu nabado
hatukuelewi mzee ulieshiba pesa za walipa kodi amabao ni sisi tunataka katiba mpya tume huru sio hizo engua engua huyo sio mbowe huyo ni lissu kwahio hadanganyiki anataka aone vitendo sio maneno
Ni ufisadi tu CCM
Tume hiyo huru unayo isema iko wapi makala?
Mbona ccm tunaogopa uchaguzi ulio huru na wa haki?
Pili tusidanganyane ,chadema ndiye mpinzani wa kweli wa ccm.
Na kama hakuna polisi na mabunduki yao, ushindani ni wa 50/50 ccm Vs chadema. Huu ndiyo ukweli.
Nchi ya ajabu wajinga wanaongoza wenye akili
No reform, no election. Otherwise tutaona kama safari hii
Wewe unasema kama nani sasa
Na ukisema hawana fedha unamaanisha wananchi hatuna fedha ni kweli tutachanga guvu zetu kudai katiba mpya
Hahahaaaaaa hii ni hatali
Sasa mnatufanya wajinga siyo...endeleeni na upuuzi wenu
Chadema mumekosea njia fikirieni vizr muje upya tunawahitaji
Chadema mmetuonesha waTanzania kwamba uchaguzi unapaswa kua wa wazi na sio uchaguzi wa siri eti piga kura uondoke ila waTanzania tunatabu sana unamchagua mtu unaondoka anae tangaza mshindi anakuwa yule anae taka ashinde uchaguzi je atamtangaza nani mshindi?
Huyu kijani anatuchukuliaje sisi wananchi napata hasira sana uchaguzi uwe huru na haki na katiba mpya basi hicho ndo tuna kitaka wenye nchi tusitishane hii nchi yetu sote sio ya chama kimoja tu kama ambavyo ccm wanavyo jilazimisha.
Ukiwaona ni kama watu!
Sasa unakuta mkulugenzi mtumishi wa uma unastukia unamuona amevaa jez ya chama halafu huku unasema msimiz wa kula atasimamia kweli
Hana hela anataka haki, kwa nn mtumie mabilioni?
Tume huru mbovu ya wezi badilishe mfumo mpiya muone
Mmezoea wiz hakuna time Hulu tz
Wezi wa kula nyie watu
Bado kidogo tu, huu mwaka sijui,ila mtaijua Gen Z,wa Tz.yaani tumechoka kula mle nyie nawasanii, mjiandae tu. Tunaye mwamba hapindishagi maneno.
Bunge lenyewe Halina hadhi hata kwa kifupi Msie mtaka Sasa Kaja. Jipangeni CCM
Haya ndio mawazo aliyokuwanayo hata Gadafi wa Libiya akadhani Walibiya bado ni mazuzu wanaweza wakaendelea kutawalika kidikteta kisha mambo yakamharibikia vibaya, CCM oneni mbali.
Ww mbona atukuelrwi mzee
Sasa wewe una wasiwasi gani Mheshimiwa?
makala wewe mpumbavu tu😅😅😅
👍
Sikilizaneni jamani msitupeleke kubaya hawa Genz wakihamasishwa wanahamasika bila sababu. watanzania wakielezwa ukweli kwa mifano wataelewa mfano;
Kuna chaguzi tatu hapa hazikuwa nzuri na watu wote wanajua. Tupadilike jamani
Chadema chama cha wauni
CCM chama chamanyonyaji wa lasimali za nchi
Una uthibitisho Mkuu???😮. Tufaamishe unayoyajua.
Muhuni mwenyewe kenge wa kijani wewe
Wezi wamebaaa.chezea.lisu.wewe
TUTAKUWA NA TUME HURU MARA HII, KUMBE MIAKA YOTE HAIKUWEPO! CHAMA HICHO KIMOJA NI CHAMA KIKUU CHA UPINZANI SIO SWALA DOGO
No election bila tume huru
Natamani kusikia ccm mkizungumza mambo ya msingi. Sio hayo ya porojo porojo
Amenenoma maana anakula keki ya Taifa huku wananchi mlo wa tabu
Hiki chama dah!!!, kwa majibu haya kwa cheo ulicho nacho mtapoteza imani kwa wanao wapigia kura, jibuni hoja kw majibu sahihi ambayo ukimweleza mtu mwenye akili timamu anakuelewa, kunamapungufu mengi katika chaguzi zetu, unajua watu walikua hawaendi kujiandikisha wkiona haina maana kwenda kuchagua kwasababu watu wanakua na matokeo yao, na ilizihirika kw baadhi ya viongozi wa chama kauli za kuvunja moyo wapiga kura kama kauli kadhaa za nape na yule mkuu wa wilaya kama sikose, msaidieni mama kujibu hoja vizuri bado tunaimani na mamaetu dr alie kuja kuiponya nchi, mana ni msikivu sana kuna reform hazija fanyika kaeni vyama vyote mfanye makubaliano na muadhimie kitu kimoja, baada hpo muapelekee tume ya uchaguzi ili yafanyiwe kazi
Subirini muone, mwaka huu mtalala mmevaa viatu
Katiba mpya munaogopa kwann
Yan mtu anaongea km ana akili et anasema akukuwa na tume huru sasa iv ndo itakueepo kwann aikuepo atuna iman na nyie tena t
Sikuwahi kukupenda mbwa wewe
Hamna hofu ya mungu
Bunge lipi ?
Endeleeni kutuongoza ccm hao mak wengine wakalime
HILO NI SWALA LA WA-TANZANIA SIO LA VYAMA VYA SIASA ACHENI KUTUVURUGA. KWA NINI KILA CHAGUZI KUNA MALALAMIKO YA WIZI WA KURA NA KUWA NA VITUKO VINGI KWENYE VITUO , NA KUTUMIKA NGUVU KUBWA. KUMBUKENI , WA-TANZANIA TUNATAKA AMANI.
Baba zima halina........
Et tutakuwa na tume huru safari hii kwaiyo anatuaminisha kwamba aikuepo si ndio kwamba saiv ndo itakuepo watanzania shitukeni awasio watu wakuaamini
Ccm wana kiburi cha madaraka hawataki kusikiliza maoni ya chama kikuu cha upinzani chadema hata kama wanatoa mawazo mazuri kwa maslahi ya nchi
Chadema hawana jipya wakalime mbona sisi tumerud shamba mnang'ang'ana kukaa mjini hamupawez
@swedywamba5535 kwani kiswahili unakijua vizuri ivi ccm na chadema nani mroho wa madaraka miaka 63 na leo hii ni 2025 bado wanang'ang'ania tu