LISSU NA WASIRA WANAKUBALIANA KWENYE HILI, ASKOFU BAGONZA AWEKA WAZI KUHUSU UCHAGUZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 23

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 8 дней назад +1

    No reform no election 💪🔥💯

  • @shabanimohamed7353
    @shabanimohamed7353 8 дней назад +2

    Nilitaka lissu awe mwenyekiti amekuwa sasa nataka tume huru na katiba mpya kabla ya kuingia ktk kupiga kura hayapo hayo nachoma kadi ya kupigia kura na sina mpango wowote wa kufuata haki yangu ya kikatiba ya kupiga kura. Akili yangu ipo vizuri siwezi kila miaka kuongozwa na watu wasio na maono.

  • @zamberimturi5593
    @zamberimturi5593 8 дней назад +1

    No reform no election
    Viva lisu tuko nyuma yako timu haki

  • @MonicaChacha-b5z
    @MonicaChacha-b5z 9 дней назад +1

    Lissu nakubarianae nae syo huyo wasira kazeeka mpaka akili

  • @RobertjohnKasanu
    @RobertjohnKasanu 8 дней назад

    No, reform no election

  • @KyelaparalegalUnit
    @KyelaparalegalUnit 8 дней назад

    Nakubaliana ikiwezekana uchaguzi usogezwe mwakani mambo yakiwa sawa

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 9 дней назад +1

    Nani anataka kupoteza muda wake kwenye uchaguzi ambao utalatibu wake ni mbaya.nakama mfumo wauchaguzi ni mbaya halaka yanini kuingia kwenye uchaguzi utakao tuletea vifo na vilio?kwaajili ya uchavuzi kama huu tunduma wagombea waliuawa ma yoni na kwingineko kwingi tumechoka bola uchavuzi usiwepo ccm na wasila mtatumaliza ebu itoshe

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 8 дней назад

    Huyu Mzee Wa CCM Amechoka hata kwa mwonekano tu na jinsi anavyoongea. Ni kama TINUBU WA NIGERIA - NO INTUITION, NO INGENUITY; NO BROAD, WIDE, AND LONG TERM VISION FOR THE COUNTRY. THE ONLY VISION AND MISSION HE HAS IN STORE IN STAY IN POWER ( KAMATA DOLA); THEN WHAT !!😂😂😂 = VERY GOOD REPRESENTATION OF THE RULING PARTY/CHAMA DOLA😂😂

  • @LazaroMwakatage-c9l
    @LazaroMwakatage-c9l 8 дней назад

    Nakubaliana asilimia 1oo askofu bagonza

  • @VenanceNjau-k4n
    @VenanceNjau-k4n 8 дней назад

    Kama mfumo uliopo una kasoro na pande zote wameliona hilo kuna shida gani kulirekebisha hilo tatizo likaisha tukafanya uchaguzi huru na haki bila kulaumiana, linawezekana kabisa ccm wakiamua tuachane na visingizio muda hautoshi, kwani bandari ilichukua muda gani kujadili nakukubaliana. Na hilo tufanye hivyo

  • @shabanimohamed7353
    @shabanimohamed7353 8 дней назад +1

    Mtazamo wangu ni kheri huyu mama aendelee kukaa madarani hata kwa miaka mitatu lakini tuhakikishe tumepata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi full stop.

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 9 дней назад

    Wasila huwezi kunfananisha na wasila.lisu nimtupafecti wasila ha jiopya

  • @EdwardJonas-og9xi
    @EdwardJonas-og9xi 8 дней назад

    Kweli mfumo wa uchqguzi umealibiwa haufai ulegebishwe kwanza ili tupate viongozi tunawataka km wananchi

  • @LaweJackson
    @LaweJackson 6 дней назад

    Ukweli ni kuwa chicken hii ni yet sote kama mda hautoshi ni vyema madam usogezwe mbele ili marekebisho yafanywe ninapendekeza uchaguzi ufanywe 2027 ili amani idumu hii sio dhambi Hata Lisu alisema

  • @KyelaparalegalUnit
    @KyelaparalegalUnit 8 дней назад

    Uchaguzi ulio fanyika ndani ya chadema uwe ni mfano wa kuigwa

  • @StanslausMashamba
    @StanslausMashamba 9 дней назад

    No reform No election

  • @BashiruHamza-k1q
    @BashiruHamza-k1q 9 дней назад

    Tubadilishe mfumo kwanza ndo tuingie kwenye uchaguzi

  • @ROBERTMGOGOSI
    @ROBERTMGOGOSI 9 дней назад

    No reforms no election

  • @adamuabdul3240
    @adamuabdul3240 9 дней назад

    Kweli ni mbaya usogezwe mbele

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 8 дней назад

    No reforms no election