GOODLUCK: 'WALITAKA KUNIUA MAPEMA' - AFAFANUA A-Z SAKATA LA KUCHOMA GARI, NABII GEORDAVIE AMJIBU!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 115

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 8 дней назад +3

    Unaye Mungu, wewe ni wa Mungu kweli. Safi sana Goodluck

  • @naisimoinina303
    @naisimoinina303 5 дней назад +2

    Pongezi Kaka. Usimsahau Mungu kwa wakati wowote

  • @MAGRETHERNEST-cu4mb
    @MAGRETHERNEST-cu4mb 9 дней назад +4

    Nyie hamuoni vya rohon mwache good luck mungu kamponya

  • @SesiliaNjala
    @SesiliaNjala 9 дней назад +5

    Giza na Nuru avichangamani. Bora ulivyotii sauti ya MUNGU

    • @ZachariaSihehwa
      @ZachariaSihehwa 6 дней назад

      Angeludxha

    • @ZachariaSihehwa
      @ZachariaSihehwa 6 дней назад

      Kama kwer alisikia saut y mung asa kwa nin angemuliz ko niludish kw nabii au

  • @Coolboys710
    @Coolboys710 5 дней назад +1

    Usisikilize maneno ya watu kakaangu iyo nimaisha yako na Mungu wako fata sauti ya Mungu wala siya mwanadamu🙏

  • @fredyleonardmaths2546
    @fredyleonardmaths2546 6 дней назад +3

    We are praying for u GoodLuck.Every evil Agenda that they are planning after this,Let it be broken in Jesus name.

  • @AminaKassim-u3n
    @AminaKassim-u3n 8 дней назад +5

    Kitanda usicholala hujui kunguni wake. Binadamu anapitia mengi.

  • @damariskambua
    @damariskambua 8 дней назад +1

    Mnang'ang'ana kusema ni makosa mwajuwaje kama Mungu hajamwambia achome gari mwanadamu ni Nani apinge kama ni mipango ya Mungu kufungwa atafungwa kama si mipango ya Mungu mtampeleka na atarudi kumtumikia Mungu bado

    • @MariaKisinda-o5v
      @MariaKisinda-o5v 8 дней назад

      Goolack mungu akutie nguvu sana hata mimi sielewani na ndugu zangu ni matajiri sana kwa sababu ya kutumikia mungu wa kweli hakika mwenye wa mungu hajawahi kuachwa hata siku moja tusikate tamaa wapendwa mungu atupiganie ktk jina la yesu kristo ameeni

  • @PrudenceVedasto-d1t
    @PrudenceVedasto-d1t 5 дней назад +1

    Yafaa sana kumkiliza Mungu

  • @giftrais-ue7mp
    @giftrais-ue7mp 8 дней назад +1

    Angeichoma kimya kimya......unaleta kelele upande wa wa kristo nawengine hawatakuja kwa Yesu

  • @IreneMabala
    @IreneMabala 9 дней назад +2

    Hata akifungwa Mungu atampigania .

  • @abdulmsuya8542
    @abdulmsuya8542 7 дней назад +1

    😢😢😢😢 maskini ,umemdhalilisha baba wa watu😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @IreneMabala
    @IreneMabala 9 дней назад +2

    Na good luck Mungu atapigania

  • @haruniletema5527
    @haruniletema5527 9 дней назад +29

    maono aliyopata kapewa yeye sisi wengini tukishadadia tunajua kilicho mtokea? lazima tukubaliane na maamuzi yake.

  • @MJB-Africa
    @MJB-Africa 8 дней назад +5

    NIKO NA GOOD LUCK KWELI IMAAN IPO KAKA

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 8 дней назад

    Wataaluma wa vyanzo vya uhalifu na pia wataalama wa teologia ya kikrosto ndiyo pekee wana umahiri wa kusikiliza na kuchangia mada ya sheria zenye kutendea haki Goodluck.

  • @MillicentMutanu-i6t
    @MillicentMutanu-i6t 6 дней назад

    God is there for you brother nothing will happen in your life....God fights for his people 🙏🙏

  • @LivingstonOdhiambo-qt8et
    @LivingstonOdhiambo-qt8et 2 дня назад

    Waa mungu baba tusaidie😢 sana sisi wanao🙏🙏

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 8 дней назад +4

    Hangelichoma na kama ni Mungu alimwambia asiendeshe nadhani angeendelea kuomba apate maelekezo ya atalipeleka wapi

    • @eaglecrown1101
      @eaglecrown1101 8 дней назад

      Point

    • @MedzaMalanga
      @MedzaMalanga 7 дней назад

      Mungu ampe mwelekeo gani mwingine mbali nahuu. Acheni tamaa nyie

  • @MhandoNeema-s2w
    @MhandoNeema-s2w 8 дней назад +2

    Mambo ya MUNGU hayaelewek kwa watu ila kwa mtu aliekusudiwa,,,endelea mbele kaka

  • @Coolboys710
    @Coolboys710 5 дней назад +1

    Je angeli fariki !!!

  • @BobErick-er6qm
    @BobErick-er6qm 8 дней назад +2

    Pastor wote zi wabaya but huyu na wengine nawajua na wauwaji wanatumia majini kupata pesa na kunyonya waumini.pia kuchukua nyota za watu wameteka akili za wanawake sana.254

  • @AminaWilliams-d5x
    @AminaWilliams-d5x 8 дней назад +2

    Ila hata ukifwatilia maandiko matakatifu ya mungu katika mathayo tunaona kwamba biblia imeandika yakwamba watajitokeza manabii wauongo watakao Kuja kwa jina langu sasa sisi wanadam hatueliwi lakini tumeona yakwamba maandiko yanasema mtu atakayeona anaaone lakini tusimlaumu godlak labda yeye Kuna mambo ameyaona

  • @DenisRamadhani-mg1gu
    @DenisRamadhani-mg1gu 8 дней назад +1

    Mungu ni mkubwa " Mwabudu Mungu peke yake

  • @Leocadia-w1v
    @Leocadia-w1v 6 дней назад

    Mungu akulinde kijana mcha Mungu

  • @EdinaWaziri
    @EdinaWaziri 4 дня назад

    Gari simamishatu bari zawadi pia inaweza kuku tesa au kukutokea piani hivyo kama SHERIA itamufikisha mahakamani atajiereza nasisi ndiyo tutajua kiricho tokea.

  • @NjoholleSolloOlesoyaih
    @NjoholleSolloOlesoyaih 8 дней назад +3

    Sheria ya kitumwa , ifutwe mara Moja kama IPO kweli haifai, mtu achome mali yake halafu afunguliwe mashitaka kivipi kaua mtu? Hii Sheria kama IPO imepitwa na wakati, Leo nchi zingine wanatekeleza magari Kila siku na hafungwi mtu

    • @lucymmsafiri1486
      @lucymmsafiri1486 4 дня назад

      Haya ni mageni, ati mtu ateketeze gari lake halafu ati afungwe? Daaaah

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 8 дней назад

    Mungu anachukia kuchoma Mali ambayo Mungu amekufanya upewe

    • @neemamanase3915
      @neemamanase3915 8 дней назад

      We unajuwaj lilikuwa ni gari? We nawe akili yako ipo matakoni kama ya huyo mtowa gari😏

  • @getrudejoseph2259
    @getrudejoseph2259 6 дней назад

    Good luck huenda ulicho Fanya ni sahihi lkn hii ishu ni Yako ww na Mungu usingeleta social media kama kunamtu mwingine ambaye pengine ni mwema anataka kukubariki huoni kua umeufunga mlango lkn pia aliekupa hii gari huenda anakutazama huoni kua umejitengenezea uadui bibilia inasema enendeni Kwa hekima kati Yao walio nje, watu wangu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa Daudi alijifanya chizi mbele ya mfalme kuokoa uhai wake

  • @ZadokAsaph
    @ZadokAsaph 8 дней назад

    Vile alivyofanya si vizuri angetafuta msaada vile angesaidiwa kisaikologia,heri angeiuza.

  • @MamaMalcolm523
    @MamaMalcolm523 7 дней назад +1

    Si angeirudisha tu kwa mwenye alimpa badala ya kuchoma

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 8 дней назад +2

    Kwani gari si alisha pewa. Sasa ukipewa si la kwake. Akichoma ndio lenu.

  • @methodmichael9590
    @methodmichael9590 9 дней назад

    Williamkivugo ww unataka wote wawe kama ww ambaye Ni muasi Na mtenda mchukizo kwa Mungu wako Mungu anaisikia Sauti YA watoto wake Na watoto nao huisikia Sauti YA baba Yao Yani Mungu wao ww cyo Mtoto kwake unataka uijue hiyo Siri ya kusikia saut ya Mungu ata Mungu akiongea Na ww utajua kama Ni yy hivyo wakristo wanaisikia Sauti YA Mungu kwa sababu Mungu ni Baba Yao Na wao Ni watoto kwake

  • @EsauMalaki
    @EsauMalaki 7 дней назад +1

    Sheria kaen mbali na hili maana hli n jambo LA kiroho mbna huwa hatambui ushirikina mnasema serkar haiamn ushirikina mwachen bahna

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 8 дней назад +1

    Yuko sahihi sisi hatujui yaliyomtokea huyo kijana Janani msibeze hii Dunia kuna mambo mengi

  • @SokoloJonson-c4w
    @SokoloJonson-c4w 8 дней назад

    Kwer nimeamin masikini akipata ana kuwa jeuli Leo huyo nae niwakuchoma Gali kwer mungu ana kuoona

  • @Charlzlomo
    @Charlzlomo 9 дней назад +1

    Ulokole ni kuwa na akili za kiroho na kimwili huu wa sasa wa kuchanganya imani na ushirikina ni wazimu na ujinga na uchanga wa kiroho wa kutomjua MUNGU, vizuri namiaka karibu 30 ndani ya imani iknow what Iam say

  • @PetronilaMakuyu-mf4id
    @PetronilaMakuyu-mf4id 6 дней назад

    May God fight for you in Jesus name

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 8 дней назад +1

    Wasio na macho ya Rohoni ndiyo wanaosema hamjui huyo kijana mauzauza Gani yalimtokea kuhusu hiyo gari

  • @RoseKingu-o8q
    @RoseKingu-o8q 8 дней назад

    Pole sana

  • @gabrielademba5010
    @gabrielademba5010 8 дней назад +2

    Si angerudisha kwa mwenyewe kuliko kuchoma,

  • @nelliegodfrey-zq5vz
    @nelliegodfrey-zq5vz 8 дней назад +3

    hata mkimfunga MUNGU aliyemtoa hapo atamtoa tu.

  • @AnnaMchomvu-cx7rb
    @AnnaMchomvu-cx7rb 9 дней назад

    Hana Mungu kijana

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x 9 дней назад +5

    Huwez kujuwa mtu vita aliyonayo nyie mnaotukana hamjui mlitendalo

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 8 дней назад

    1:49 1:49 1:50 1:50 1:50

  • @eliudymwanandenje7229
    @eliudymwanandenje7229 8 дней назад

    Asinge posti hii, ndo makosa ya kutaka hata mambo yako ya siri unataka dunia yote ijuwe. Kuna mengine syo lazima, tafuta kujulikana na Mungu syo wanadamu.

    • @neemamanase3915
      @neemamanase3915 8 дней назад

      Acha awaaibishe mashetan😏

    • @cellinamuro6872
      @cellinamuro6872 8 дней назад

      Waaibike na bado album ingine inakuja atubu Baraka mana mauti ipo dirishani Ole wenye kuwapotosha na kuwaungamanisha na kuzimu Yesu atadili na nyie tubu wewe unaejiita nabii mkuu utaumbuka sana mwaka huu

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 9 дней назад +1

    Mbona wenzio waliopewa magari hawajachoma moto,
    Hawezi tajiri kufanyia uchawi maskini, 😅😅😅
    Utakuwa una matatizo ya akili😅😅😅. Unatakiwa ushtakiwe kwa kuchoma mali kwa makusudi?, si ungerudisha sasa. Wewe unaweza choma Hadi fedha za serikali.

  • @GraceSimba-nj7ml
    @GraceSimba-nj7ml 8 дней назад +2

    Kaweka mtandaoni si kwa kutajana umarufu Bali ili sotetujifunze kitu kupitia hili

  • @nmconsultinggrouplimitedpr245
    @nmconsultinggrouplimitedpr245 8 дней назад +1

    Kwa nini ampe gari kwani Gudluck hakuwa na uwezo wa kununua gari?uchawi wa saa nne asubuhi huu,Mwenye haki ataishi

  • @BaadayazkFalaja
    @BaadayazkFalaja 8 дней назад +2

    Jamani ungenipa mm bc mwenzio cna ht troli

  • @MankaChola
    @MankaChola 6 дней назад

    Angenipa hata mimi jaman nikosa kubwa kuchoma gari wakati sisi wengine tunatamani kupata hilo gari

  • @alakomba6830
    @alakomba6830 4 дня назад

    Anguko hiloooo, maana aliànza kiroho anamaliza kimwili

  • @CumaEmedi
    @CumaEmedi 8 дней назад

    I'vi uyo mungu unamchkuliaje kama mshikaji wako au mbona nyie wakilisto manakuwa na akili kama kismvu kilicho twangwa😊😅

  • @Elisha-d5w
    @Elisha-d5w 6 часов назад

    Ni kwann alikubali kulipokea akalichome c bora angerikataa tu,

  • @SUMAIYAFILAM
    @SUMAIYAFILAM 9 дней назад

    Mungu alimwambia uchomwe gari tu pesa je

  • @rofinkitali3765
    @rofinkitali3765 8 дней назад

    Silver ni fedha na sio shaba. Mwandishi asiyo msomi.

  • @Veronica-z6b4t
    @Veronica-z6b4t 8 дней назад +2

    Ukome kama ulivyokoma kunyonya mshenzi wewe wakristo wamekukosea nn taja mtu husika nyoko wewe.

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 4 дня назад

    Kwani ukipata zawadi kama umechoka nayo aliyetoa inamuusunini apo😂😂😂

  • @ChamKidakule
    @ChamKidakule 9 дней назад +3

    Wajinga wanao mfuatilia mlitaka afe binadamu wengi sio waelewa mtu akifa Shelia inaongozwa na nanani muache ni halaka sana

  • @qrankmw.
    @qrankmw. 8 дней назад +1

    ...ehh..kifungo hakifai hata kidogo...maana hakuhatarisha maisha ya mtu yeyote.....
    ...kile ambao angefanya ni: angepeana gari liuzwe na hela kusaidia maskini...
    ..lakini limekua ilivyokua...
    ..aachwe huru bila swali...
    ...wote wamkumbuke magufuli alichokisema...hata pesa chafuu hatutaki...

  • @SylivesterJoseph-s2f
    @SylivesterJoseph-s2f 8 дней назад

    Huyo kisaikolojia hayuko sawa hueenda kaweuka

    • @priscajube4239
      @priscajube4239 7 дней назад

      Pengine aliona ajali mbele yake. Lakini hawa watu wa dini nao ni kama wehu

  • @PascaliThomas
    @PascaliThomas 9 дней назад +1

    Shelia ifuatwe

  • @fadhili_masoi
    @fadhili_masoi 9 дней назад +1

    imani ndogo

  • @SalomeMagwaza
    @SalomeMagwaza 15 часов назад

    Tenda wema nenda zako

  • @tanunewstz
    @tanunewstz 8 дней назад +1

    KIKI izi mtochoma adi wake zenu akili amna ujinga tupu

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 8 дней назад

    Huyu jamaa muacheni mbona hofu nyingi hivo Kama hamuamini Mungu

  • @kendramartin3707
    @kendramartin3707 9 дней назад +1

    Yan watangazaji kitawaramba na nyie mbona hamsemi pale aliposema Nabii Mkuu hausiki????wanaotaka kumuua si aliyempa gar??

  • @gloryValentine-y9e
    @gloryValentine-y9e 8 дней назад

    Naomba kujua ni section ip ya kweny penal code inatoa adhabu kwa kosa kama hilii

  • @DevotaSanga
    @DevotaSanga 7 дней назад +1

    mungu huwa anaongea na mtu mmoja huwa haongei na kundi la watu

  • @YakoboErenesty
    @YakoboErenesty 6 дней назад

    Mbn afafan naistoshe sumesha mpatia ssa ya nni udis tena au ulimtunzisha

  • @DeonisBihopho
    @DeonisBihopho 9 дней назад +5

    Wewe michael suala la ndoa ya gozbert linakuhusu nini?pia gari halikuhusu .yeye ndiye anajua magumu anayoyapitia msipende kurahisisha mambo.YESU amemuokoa.dezo ina gharama zake.

  • @HajiMaulid-w1u
    @HajiMaulid-w1u 8 дней назад

    achame nicheke kasikia saut yamungu hahaha!!watuniwajinga waiman

  • @AbedySteven
    @AbedySteven 7 дней назад

    Xaxa hyo c u ngempa m2 hata zawad

    • @jamessumpa02
      @jamessumpa02 7 дней назад

      sikia vizuri amesema kuwa haikustahili kupatiaaaa hata mwingine kabisa

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 8 дней назад +1

    Kama ndivyo hakupaswa kulekodi au kuipost hiyo video ya kulichoma moto😢

  • @godianmahenge8339
    @godianmahenge8339 9 дней назад

    Hamna lolote Kuna jambo la kisiasa wanataka tu watu wajikite huku tu

  • @Hamylove_25
    @Hamylove_25 8 дней назад +1

    Pata hizi nyepesi nyepesi Konde Gang yataka kumsaini Msanii mpya anaeitwa Hamy Love anaetamba kwa wimbo wake wa Subira andika Subira by Hamy Love ukaone utamu wa huyo mwamba

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 9 дней назад

    Sasa wewe ni mlokole unamuomba mungu Sasa umeshindwa kumuomba akusaidie? Au mungu hakuamini wewe ni mlokole feki

  • @WilliamKivugo
    @WilliamKivugo 9 дней назад +1

    Wakristo hawajawahi kuwa na akili yani jitu kabisa linadiriki kusema eti lilisikia sauti ya Mungu ivi Mungu mnamchukuliaje nyie wakristo

    • @DavidCurtis-e4c
      @DavidCurtis-e4c 9 дней назад +1

      Bro Ukiwa na imani ya kiroho ndio unaweza elewa, hivi ulishawahi kutaka kwenda safari ukaghairi kwemda ila kunaroho unavutana nayo inakwambia usiemde na nyengine inakwambia uende tu, halafu usipoemda unaambiwa gari ulilotakiwa kusafiri au ndege hakuna alietoka wamekufa wote, sasa hiyo ndiyo tunaita roho ya ki Mungu waliokufa maana zao zilikamilika walitakiwa kufa hivyo, ila ungelazimisha kwenda na ukaenda uka nawewe basi tunasema roho ya mauti ilikutanda, so yakikukita ndio utaelewa vizuri, binafsi kala yangu nilimuota usiku wa saa tisa kuwa amepata ajali ya na amefariki nikawa nalia usingizini mwenzangu akanisha vipi mbona unalia unanini? Nilistuka sana sana nikawa sielewi nikweli au nilikuwa ndotoni maana nilikuwa na machozi kweli ikabidi nimpigie cm na akapokea ila sikumwambia ndoto niliyomuota hivyo yukaagana nikamuahidi nitampigia cm siku ya off yangu na yeye pia anakiwa off ili niweze kumwambia juu ya ndoto niliyomuota anapaswa afanye ibada sana sio nzuri hata haikufika siku ya off yetu nikapigiwa cm amefariki niliumia sana nilipoelezea watu wa imani tena kwa dini zote walinibia nilikosea sana nilipaswa kumuombea na hata kufunga kwa ajili yake maana roho ya mauti ilisha mvaa tooa siku nilipoota. Mambo ya kiroho ni wito sio kila mmoja anaweza akaelewa maana, Sasa wewe kama unataka kuwa kama Nabii Musa alikuwa akisikia sauti tu ya Mungu mwishoe akamwambia Mungu nataka nikuone😂 kishindo kimoja tu alifunga macho na kughairi kumuona Mungu, Mungu huonekana kwemye ibada ya kweli na sio za kinafiki, na haijalishi mkristo wala Muislam, ukiwa mcha Mungu kweli ukawa msafi mwilini kila wakati moyo wako mwema heshima kwa wakubwa na wadogo busara na hekima kusaidia masikini mafukara mayatima wajane wagonjwa kufanya kazi kwa bidii kutokuwa mvivu kufikiria cha kuongea kwanza kabla ya kutamka tu kutokuwa na tamaa za aina zote, haya ni baadhi ya kuyazingatia ukiyazingatia haya nayo ni sehemu ya kusema na Mungu ukamsikia na ukatekeleza maana ameagiza haya kwenye Kuruani na Bibilia

    • @AgnesNjige
      @AgnesNjige 9 дней назад

      Wew ndo huna akili

    • @RamlaMburi
      @RamlaMburi 9 дней назад

      Najiluliza nabii mkuu anaongea na Mungu ambaye anashutumiwa kwa uchawi, Good luck naye anaongea na Mungu Tena, khhaa!! Kwahiyo kumbe ht ukiwa mchawi unaongea na Mungu.​@@AgnesNjige

    • @Hamylove_25
      @Hamylove_25 8 дней назад

      Plz reply hii comment yko kwangu ina kitu muhimu ​@@DavidCurtis-e4c

    • @eliamtanzaniaog6380
      @eliamtanzaniaog6380 8 дней назад

      Weee.ndo jinga

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 8 дней назад

    Kiki aliyokuwa anaitafuta kashaipata

  • @winygidarossa9472
    @winygidarossa9472 8 дней назад

    Ni wivu tu huo

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 8 дней назад

    Spiritual confusion and mental disorder. It simply doesn't add up.

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 9 дней назад

    Afungwe Kabisa Mpuzi huyu anaishi na Mke bila Ndoa Kuna usherani uliozidi huo huyu ni Mpuzi POLICE Kamatenii Mpuzi huyu MARAMOJA anakesi ya Kujibu Mjinga huyu.

  • @0689TAG
    @0689TAG 9 дней назад +1

    Si angemrudishia mwenyewe kwanini achome

  • @djdogobaiza
    @djdogobaiza 4 дня назад

    Hajafanya poa kuchoma anafaa achukuliwe hatua

  • @BashirMatora
    @BashirMatora 9 дней назад

    Kichaa wewe una choma gari acha ujinga wewe

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 9 дней назад

      Watu mshakuwa wapumbavu sana mnawaza vitu tu na sio uhai wa mtu