Mtoto aliyezaliwa ni Yesu Kristo Ambaye ndiye aliyetabiriwa kiunabii kwamba atazaliwa ndani ya kanisa la Mungu ndani ya ukoo wa Wayahudi. Na unabii huu ulitimia kwa njia ya Mariam na Yusuph ambao walikuwa sehemu ya hilo kanisa la Mungu nao walikuwa ni wa ukoo wa Yuda yaan Wayahudi -Soma Luka 2:4 -
Hivyo huyo Mwanamke anayetajwa kiunabii sio Bikra Maria Bali ni Kanisa la Mungu ambamo huyo bikra Maria ni sehemu ya hilo kanisa. Ingawa unabii huo ulitimia kupitia yeye. Kwa ufafanuzi zaidi sikiliza kwa makini somo mwanzo Hadi mwisho, Sehemu ya kwanza na ya pili utaelewa vzr Mpendwa.
God revive prophecy
Hakika nimebarikiwa sana, nimejifunza kitu ambacho nilitamani kukijua Mungu akubariki sana sana
Ameeen
Nice
Be blessed
Amen
Amen 🙏🙏🙏💞
Ameeen sana
Nimeielewa hiyo sura ya 12 maana nilikuwa naisoma inanitatiza haaa Hilo jina la mwanamke namba ilivyotumika hapo
Mtumishi samahani...
kama huyo mwanamke ni Kanisa je huyo mtoto aliyezaliwa na kanisa ni nani???