SABABU ZA MAISHA KUWA MAFUPI SIKU HIZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 18

  • @mohammedbakari3988
    @mohammedbakari3988 2 месяца назад +2

    Nikipata likes 1,000 kwa kua wakwanza kucomment napiga pressure ups 200

  • @subhero24
    @subhero24 2 месяца назад +2

    Shukrani sana

  • @MIGANGASDACHOIRTZ
    @MIGANGASDACHOIRTZ 2 месяца назад +1

    Huu ni ukweli uliodhahiri barikiwa sana kwa kutukumbusha mambo msingi kama haya

    • @RJHOPETV
      @RJHOPETV  2 месяца назад +1

      @@MIGANGASDACHOIRTZ Hakika

  • @charlessamson6625
    @charlessamson6625 2 месяца назад +1

    Hii ni zaidi ya Darasa.

  • @EnocknyamaruriRaphael
    @EnocknyamaruriRaphael 14 дней назад +1

    Ubarikiwe sana kwa Elimu Hii nzurii

    • @RJHOPETV
      @RJHOPETV  14 дней назад

      Barikiwa zaidi ndugu

  • @JoanfitnessTv
    @JoanfitnessTv Месяц назад +1

    Ni kweli kabisa mtindo wa maisha wa sasa ni changamoto, umeelezea vizuri sana❤

    • @RJHOPETV
      @RJHOPETV  Месяц назад

      Barikiwa mtaalamu

  • @tomborathomas2124
    @tomborathomas2124 2 месяца назад +1

    Ushauri bure barikiwa ndungu yangu nitalifanyia kazi

  • @EconiaMaduhu
    @EconiaMaduhu 2 месяца назад

    Kwakweli nimekupata vzr kaka

    • @RJHOPETV
      @RJHOPETV  2 месяца назад

      @@EconiaMaduhu Barikiwa bro

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 2 месяца назад +1

    Bado sikubaliani na ushauri wako, maana kuna mtu anaishi kijijini na anafanya kazi ngumu kuliko mazoezi ya kidaktari! Na bado anaugua presha, sukari, maono yangu mimi haya magonjwa sugu tumeletewa na wazungu.

    • @RJHOPETV
      @RJHOPETV  2 месяца назад +1

      Hamna shida ndugu endelea na maisha ambayo unaona ni sahihi