HUYU ASKOFU NI BALAA, BILA KIFICHO AMPA ZA USO RAIS SAMIA SAKATA LA BANDARI, AWATAKA WATUBU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 548

  • @godlovengonde6636
    @godlovengonde6636 Год назад +9

    Ahsante Baba, hakika umetumwa na Mungu. Umenena vema sana

  • @danieljonkey-vh8fc
    @danieljonkey-vh8fc Год назад +19

    Mungu awaone vingoz ambao wanalikana Taifa hili kama Ni kweli nchi yetu inauzwa Mungu hatanyamaza katika hili

  • @TedyMatiku-tr8qw
    @TedyMatiku-tr8qw Год назад +7

    Umeongea vizuri Sana mzee kama mchungaji na kama mzee waheshma mshauli tu mama asiruhusu bandari zetu kwenda

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 3 месяца назад +1

    Mungu ni maamuzi wa haki

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 Год назад +4

    ❤❤❤❤❤❤❤ Aminaa kiongozi nyinyi ndio mboni zetuwaTZ

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 Год назад +15

    Ni kweli mbowe alikuwa wa kwanza kutadhaharisha watanzania tumeliwa na huu mkataba .Mbowe Mungu akubariki sana.!

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt Год назад +3

    Amina Baba Ubarikiwe umenena bila hata kuogopa

  • @hasannrazarro
    @hasannrazarro Год назад +11

    Ubarikiwe Sana baba, umesimama Kama Yohana na kumwakilisha Mungu wa haki. Bwana Yesu akutangulie.

  • @CastrochipaloCastro
    @CastrochipaloCastro Год назад +2

    Semaaaa

  • @MaikoMkwawa-fk9tc
    @MaikoMkwawa-fk9tc 7 месяцев назад +1

    Wewe baba ni mshumaha kwetu mungu akupe maisha marefu

  • @aloycegasper5188
    @aloycegasper5188 Год назад +4

    Amina❤

  • @benedictoshadrack2573
    @benedictoshadrack2573 Год назад +7

    Hivi kumbe ukihoji mkataba huo wa bandari inakuwa kosa tena duuh ama kweli nchi hii haki nikizungumukuti Mungu tutetee na utusaidie pia

    • @laborapetro5117
      @laborapetro5117 Год назад

      Sio kweli huyu mzee muongo hakuna mkataba wa bandari kunabmakubaliano ya Dubai na Tanzania.. maana yake mkataba wa bandari hakuna na hawa wote wanatumika na wale wanufaika wa bandari

  • @fidel7im
    @fidel7im Год назад +1

    Njaaa atari😂😂😂😅

  • @EmanueliSimbwe-ru5fu
    @EmanueliSimbwe-ru5fu Год назад +15

    Hapo sawa Baba Askofu Mungu akupe kutokunyamaza

  • @ahimidiwerishya8523
    @ahimidiwerishya8523 Год назад +6

    Amina mtu wa Mungu. Mwenye masikio na asikie sababu inauma sana kweli sikumtegemea rais kufanya maamuzi haya

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Год назад +13

    #KATIBA MPYA #OKOA BANDARI ZETU. Wao ccm kama serikali wakikutana na viongozi wa dini,ni halali lakini wananchi kupitia chadema wakiwaomba watumishi kukutana nao ni haramu,ni tishio kwa Amani ya nchi!!? Ajabu kabisa! Wakipitisha mkataba bila kuwashirikisha wananchi,ni halali,lakini wananchi wakihoji ni kuchochea vurugu, kupinga maendeleo, ni kushirikiana na mabeberu kuipinga serikali ili kuvuruga Amani ya nchi!!? Hii ndio lugha ya wachache katika serikali ya ccm kwa wananchi tuliowapa dhamana! Isaya33:1,7-10 Tuwalaani kwa sauti kuu, wasikie,na Mungu atusikie vilio vyetu.

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 Год назад +1

    😄😄😄Ukiona Mtumishi wa Mungu anajihusisha na siasa ujue mbele za MUNGU hasomekiii huwezi kumtumikia MUNGU na siasa 🇹🇿🇹🇿
    Wanaoongozwa na ROHO wa MUNGU hao ndio wana wa MUNGU

  • @shahiidabdallah3579
    @shahiidabdallah3579 Год назад +1

    Mbona hamuongelei memorandum of understanding Kati ya serikali na kanisa?mnalenu jambo.😮

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 6 месяцев назад +1

    Baba askofu ubarikiwe wew umeitwa kwa jina la yesu kristu Bwana wetu, barkiwa sana,

  • @ponsianaprotas8990
    @ponsianaprotas8990 Год назад +4

    Ameeeeen! Ubarikiwe sana.

  • @annasumaye3633
    @annasumaye3633 Год назад +2

    Mungu akulinde mtumishi umenena vema

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 6 месяцев назад +1

    Tuna hitaji watu wa Mungu zaidi kama ww wakufundisha watu,

  • @MaikoMkwawa-fk9tc
    @MaikoMkwawa-fk9tc 7 месяцев назад +1

    Kwakweli kizuri akidumu mtangulizeni mungu sana katika ukweli wenu nakujitoa mbele yetu na mbele ya mungu

  • @PauloMajaba
    @PauloMajaba 7 месяцев назад +1

    Hongera sana baba umeongea kama baba ujapendelea chadema wala ccm unaimarisha amani na uhuru

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 Год назад +4

    Mungu ni mwema Mungu akubariki sana

  • @RachealMndambi-kv9sd
    @RachealMndambi-kv9sd Год назад +4

    Eee Mungu Tunusuru,Tusaidie,Ingilia kati.Tupe hekma na busara za kuchanganua mambo.Aameni

  • @MuyuyiThesecond
    @MuyuyiThesecond 10 месяцев назад +1

    Nimeamua salama na family yangu nimetafuta mikono imepeleka kinywani nashkru Mungu..,, maana nchi hii hakuna mwanasiasa wala mwanadini naona wote waigizaji tu.

  • @olivaerasto6669
    @olivaerasto6669 Год назад +15

    Mungu ni WA haki.kitafahamika kimoja wapo.Mungu atawaumbua

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 Год назад

      ni kweli maana wanalazimishamkataba mbovu na hao wanao tumwa kusumbua viongozi wa dini walamba asali hawajali mali adili za taifa

  • @renatusideogratas-qr6en
    @renatusideogratas-qr6en Год назад +3

    Mungu you pamoja na wasema kweli watanzania atujalala bunge limepowa Sana ata miradi mingi atujui atima yake.

  • @AnnaniaNzelani
    @AnnaniaNzelani Год назад +5

    Jamani kiukweli hii nchi tusikae kuogapana, sasa mnatupa elimu ya nini Jamani. God bless our country give us peaceful mind.

  • @RitaOisso
    @RitaOisso Год назад +1

    Wote mnaotukana poleni sana hata mtuite makafiri Yesu atabaki kuwa Mungu, na ninyi mnabaki kutukana ,ila mwishi wa maisha mafupi ya hapa Duniani Mungu tu.Kwa hiyo mm ctukani dhehebu lolote , maana najua Mugu ni mmoja

  • @aloycegasper5188
    @aloycegasper5188 Год назад +11

    Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Neema wajalie viongozi wetu walete umoja na amani wawezi kutuongoza vema ktk hili la bandari lisituumize kwa maslahi ya wachache

  • @GOTRIPMLELWA
    @GOTRIPMLELWA Год назад +3

    Hakika rais Samia umeikosea Sana nchi hiii inakubid utubu

  • @meryfrank5272
    @meryfrank5272 Год назад +2

    Safi sana askof hiyo ni mzr, kitu vzr so serikalini tu ata vitu vyako binafsi huwezi kuachia kiholela jamn ,

  • @kaundavyoseena6514
    @kaundavyoseena6514 Год назад +7

    Msema kweli huyu Mtu. Viongozi wengine waoga yumkini hata wa dini!

  • @ShaibuMniwa-gy8do
    @ShaibuMniwa-gy8do Год назад +9

    Mama mimi ni muisilamu
    Ila mama mh SAMIA
    Chukua haya Maneno
    Yafanyie kazi haya
    Mimi nimemwelewa
    HanaBay yako xaiiii
    Iiii imeogea kasikazini
    Bado kuxali

  • @SalimaOmary-sf4qe
    @SalimaOmary-sf4qe Год назад +1

    Mbona alivyoongeza ajira na mishahara hamjaongea mbona wachina wamewekeza British wamewekeza hamjaongea

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 Год назад +4

    Hawa ndo watumishi wa mungu tunao wahitaji! Mbona kwenye mikutano ya ccm waga wanakwenda? Baadhi ya viongozi wa dini siku izi wamekuwa wanafiki sana na wachumia tumbo tu

  • @JeremiahMugeta
    @JeremiahMugeta Год назад +3

    Jeremia mugeta kutoka mara tz@@@😢😢😢
    Asante sana baba askofu mungu akulinde,maana umewambia haki na kwel kuhusu bandari yetu maana ndio injini ya nchi,,,na wazo langu Kama sio katiba ya nchi huyo rais alikuwa ni WA kunyonga,

  • @JoshuaRichard-x5g
    @JoshuaRichard-x5g Год назад +1

    Mungu akubaliki sana askofu

  • @iddymuro
    @iddymuro Год назад +11

    Huo ndiyo utumishi bora wenye kumpendeza Mungu badala ya kumpendeza binadamu atakayekufa kama wengine

  • @ChachaNyamhanga-q2y
    @ChachaNyamhanga-q2y Год назад +1

    Mungu anawaona

  • @LexsoniMbilinyi
    @LexsoniMbilinyi Год назад +2

    Selekali yeti mungu aitazame kwajicho la husuda tunateseka sana wenyehali ya chini

  • @WitnessEmanuel-rb6bu
    @WitnessEmanuel-rb6bu Год назад +2

    Sema baba

  • @bullekisimikwe3852
    @bullekisimikwe3852 Год назад +12

    Safi sana Askofu, ikibidi tufunge na kuomba walau siku 3 ili liwakute jambo zito mpaka mkataba ufutwe

    • @lameckluyungu6737
      @lameckluyungu6737 Год назад +2

      Kwa nini hawana uchungu na nchi yetu, hawakumbuki waarabu walitufanyia nini wakati wa ukoloni, rushwa imewapiga upofu Tunataka bandari zetu zibaki.

    • @YaziduHante
      @YaziduHante Год назад

      Kwel na tumbo zao zinatufanya tutaumia wote

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 Год назад +8

    Sasa basi hii DP World tuwape Zanzibar,Zanzibar wanaitaka leo DP World,sababu itakuwa Dubai ya Afrika,lakini basi, msije mkafanya choyo na husuda,

    • @elikarimugayewi3105
      @elikarimugayewi3105 Год назад

      Zanzibar ni Tanzania

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 Год назад

      @@elikarimugayewi3105 sasa ni sawa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania,na bandari Tanganyika ina mamlaka yake na Zanzibari ina mamlaka yake y bandari,kama hamuwataki DP world wapeni Zanzibar,msimsingizie Mama yetu Samia mambo mabaya,msitunge mambo ya uwongo,umesema kuna genge,hilo sio kweli,maaskofu wenzako wamesema,mama anaiuza nchi,leteni ushahidi,wacha ujanja ujanja,una Jambo lakini utalitapika

  • @Generosembaule-zb5en
    @Generosembaule-zb5en Год назад +1

    Mungu akulinde Askofu

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 Год назад +4

    Lord of mercy 😢 tunakuhitaji🙏

  • @evaristokitinusa7251
    @evaristokitinusa7251 Год назад +2

    Ubarikiwa mtu wa mungu

  • @emeresianamichael5163
    @emeresianamichael5163 Год назад +3

    Baba mungu akufunike asante kutuwakilisha Sauti yetu

  • @aronligazio7403
    @aronligazio7403 Год назад +6

    Hili ni taifa nzuri saana, Kuna mahala tunapenda....

  • @joyceathanasi8435
    @joyceathanasi8435 Год назад +11

    Watanzania tuendelee kupiga kelele mpaka kieleweke,Mungu awabariki na kuwalinda.

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 Год назад +4

    Ongera baba kwa maneno ya kujenga

  • @abrahamkalinga4291
    @abrahamkalinga4291 Год назад +6

    Viongozi wetu ni wezi sana Tanzania

    • @omarkabogo1580
      @omarkabogo1580 Год назад

      Acheni kupotoswa nyinyii, kuenimakini

    • @esamwakilasa
      @esamwakilasa Год назад

      ​@@omarkabogo1580kupotosha kwani hujauma tugawane kama nawe umetafuna Asali

  • @NeemaJulius-qo2xz
    @NeemaJulius-qo2xz Год назад +13

    Mungu wetu tunakuomba utusimamie Kwa ajili ya hili

  • @mahubirikarismatikikatolik8281
    @mahubirikarismatikikatolik8281 Год назад +2

    Safi sana Baba Askofu, mwenye masikio na alisikie neno hili.

  • @josephambrose2215
    @josephambrose2215 Год назад +12

    Safi sana Askofu, wachane ukweli Samia na ccm yake

  • @ZabroniGimonge
    @ZabroniGimonge Год назад +6

    Tuokolee inchi huyu rais hafai kutongoza kwa mwana mke ni kiumbe dhaifuu

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 Год назад +2

    Sasa naanza kujifunza Jambo naninakumbuka, maneno ya magufuli kuwa mtanikumbuka kwa mazuri ai kwa mabaya,sasa tunamkumbuka , mungu mrehemu ,yaani sunia hii basi tu,tuliombee Taifa letu

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 Год назад +6

    semeni Saba watu wa mungu, tuko nanyi pamoja

  • @peteradamu4081
    @peteradamu4081 Год назад +1

    Tanzania kikubwa uzima tu.😂😂😂😂😂😂

  • @johnpeter9051
    @johnpeter9051 Год назад +5

    Sawa kabisa

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 2 месяца назад

    Mnao Mkosoa Mama Samia Wt Wachungaji Watumishi Wa Mungu Mnaoongea Na Mungu Mnaokwenda Mbinguni Mkarudi Jamani Mbona Wasikii Wa Dini Nyingine

  • @RamadhaniAndambike-oq5on
    @RamadhaniAndambike-oq5on Год назад +2

    Nchi itakua salama two sisi tumuombe mungu na inatakiwa watapigwa namungu hao wote nawatake wasitake wataelewa two mungu awabariki viongozi wetu wa dini kwakupiania haki ya nchi hii

    • @ErickJohn-c3h
      @ErickJohn-c3h Год назад

      Hongera udin mbali na maslah ya nchi

  • @geofreyjonas4901
    @geofreyjonas4901 Год назад +9

    Well said our bishop, tupambanieni waumini wenu Bishop 😢

  • @feristadaudi6599
    @feristadaudi6599 Год назад +3

    Mchugaji tumwombe sana mungu tuko nyakati za mwisho paspo mungu hatujui twedako

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Год назад +2

    Nchi imekuwa ya kidicteter mungu na ashuke kilio tunachokililia mungu ukaonekane

  • @evaristokitinusa7251
    @evaristokitinusa7251 Год назад +1

    Hongera sana Asikofu

  • @lucymarawa864
    @lucymarawa864 Год назад +2

    Mungu amekutoa mtumshi Asante

  • @kavulatikivurunzi
    @kavulatikivurunzi Год назад +2

    Nikweli tunakupenda sana

  • @MuddyFesto
    @MuddyFesto Год назад +4

    Asante sana askofu kwa kusema ukweli bila kumung'unya mungu akusimamie katika hilo

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 Год назад +2

    Kunawatu wanazani watanzania ni wapumbavu ,nawaonea huruma sana maana Kila dhambi italipwa hapa hapa duniani

  • @salumbinabed6906
    @salumbinabed6906 Год назад +3

    Yes muheshi miwa Samia tunakuombo waznzibari tupe sisi hiyo dp world

  • @ThomasErro-tx9td
    @ThomasErro-tx9td Год назад

    Huyu ni mchungajia au ni mwekiti wa chadema, amekoza maadili za kazi zake

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 Год назад +1

    Mnasifia vitu hsta pale watu wanapikuwa wamepotoka kwenye tafsiri! Mungu atusaidie

  • @ClementinakapewaLihepali-pg5lo
    @ClementinakapewaLihepali-pg5lo Год назад +2

    Sema mzalendo wa kweli

  • @husseinwaziri2796
    @husseinwaziri2796 Год назад +22

    The contract should be read to the public so that everyone to know what is inside.

  • @nunguhassani1743
    @nunguhassani1743 Год назад

    WATU WASIOONA Wana AKILI na VIONGOZI wazuri sana TUNAO KWENYE UONGOZI NA kipofu so Nemo zuri huitwa WASIOONA rekebisha Hilo kiongozi ILI IENDELEE na MAFUNZO ya MIKATABA

  • @Pius-p6d
    @Pius-p6d 2 месяца назад

    Kubwa tuiombee Amani Nchi yetu jamani.sio munaunga mkono tu huko mbele hamjui kitatokea nn.hayaa.

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 Год назад +2

    Tumepat mtu sahihi wakutusemea jmn Mungu tusaidie lipite

  • @justusbuleli
    @justusbuleli Год назад +8

    Kwa kweli inakatisha tamaa juu ya nchi yetu ya tanzania

    • @shabanbaheza4711
      @shabanbaheza4711 Год назад

      Nyie makafir ni mbwaaa ngurue inawadhuru

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu Год назад

      @@shabanbaheza4711 Sasa nyie waisilamu kutwa kutukana ndivyo mnavyofundishwa misiktini?

  • @aliothman7930
    @aliothman7930 Год назад +5

    Wapenda bure mmekwisha

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 Год назад +3

    safi sana askof

  • @DevidiAnangisye
    @DevidiAnangisye Год назад +3

    Tatizo lao wanajikubali sana hao walio pita bila kupingwe kuna siku mungu atatulipia kilio chetu

  • @kamishina7853
    @kamishina7853 Год назад

    Gazeti la mwanahalisi Limewataja wenye mkataba huo wa bandari mubovu Wamelitishia kulishitaki gazeti hilo

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Год назад

    Mbona muanzilishi wa huu Mkataba amenyamaza ila ajua kuwapigia Mahakama kubadilisha maamuzi ya kesi.

  • @josephat66
    @josephat66 Год назад +6

    Hayo mapya na mazuri sana.. jmn nchi hii ni watu wote wenye elimu, masikini, kipofu,kirema,bubu,mtoto hivyo muliopewa mamlaka na makundi yote haya ebu jitafakarini kwa hali hii mtafanya kirema atembee na bubu aongee.. Dah namkumbuka JPM

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 4 месяца назад

    Mm nimuisilamu huyu askofu amesimamia haki kwakweli hao viongozi wa kiislamu wengi maslai yao na kutaka magar kutoka selekalini

  • @chloecallie3619
    @chloecallie3619 Год назад +5

    Genge la wahuni achia nchi yetu kwa Jina la Yesu

  • @NDEWARA
    @NDEWARA Год назад +7

    Ni hatari kubwa sana viongozi wa dini kuhutubia kwenye majukwaa ya siasa😢😢

    • @ibrahimgwasma1223
      @ibrahimgwasma1223 Год назад +1

      Maana ya hiyo kitu ni kwamba kuna viongozi wa dini na viongozi wanaotumia kivuli cha dini kujipigania

    • @GilesKhamis
      @GilesKhamis Год назад

      Nchi imevamiwa

  • @IbrahimMasoud-bc3gy
    @IbrahimMasoud-bc3gy Год назад

    Kwanini Tanzania mambo haya mabaya yanatokea utawara wa waislam,hapa najifunza kwamba ukishaachana na dini basi Imani inaisha,na ndio maana Hawa watawala wenye nembo ya uisilam ni waongo

  • @edwinmhema3191
    @edwinmhema3191 Год назад

    Bora jesh lichukuwe nch Kama raisi hawezi kuwa na mfumo Sheria hii bandar makubaliano jamani hata nyumba ya kupangisha inamkataba

  • @saidmtenda1628
    @saidmtenda1628 Год назад +3

    Mtakufa na roho mbaya zenu,mwacheni Mama afanye kazi, viongozi wa dini ya Kikristo mlizoea kupitisha mizigo bure, DP world itawakomesha.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Год назад +1

      HALAFU KUNA BAJETI YA KODI ZA WANANCHI KILA MWAKA ZIENDE KWAO HII LAZIMA TUPINGE WASI TULETEE USENGE MAFISADI HAWA.

    • @odamssanga9025
      @odamssanga9025 Год назад +1

      Utajuta kwa maneno yako hayo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Год назад +1

      @@odamssanga9025 UTAJUTA WEWE MPIGA DILI BANDARINI.

  • @YohanaSeme
    @YohanaSeme Год назад +2

    Ubalikiwe mtumishi

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 Год назад +3

    Hilo genge la majasusi was magharibi, wanalinda uchimi wa nchi zao zinazopigwa na urusi. Mama ana kazi Moja tu ...........

  • @tumainpeter7534
    @tumainpeter7534 Год назад +1

    Amina

  • @emeresianamichael5163
    @emeresianamichael5163 Год назад +3

    Tanzania niya mungu

  • @kavulatikivurunzi
    @kavulatikivurunzi Год назад

    Wakkakushinda kwaulinzi na entelejensia

  • @daudilfrans996
    @daudilfrans996 Год назад +1

    shida bandari yetu imeingiana na siasa na udini tufate dini . tuache siasa alafu chadema Kuna ukabila na udini mwalimu Nyerere. alikaza udini mama yupo vizuri tuache udini

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Год назад +3

    Ni NENO la wakati ndilo litaiponya SI Tanzania tu bali dunia nzima, naomba mnipe nafasi ya kufundisha katika media zenu .