Hawa Vijana ni Mfano wa Kuigwa, Wanaingiza MAMILIONI Kupitia Kilimo cha "TIKITI MAJI".,Wanauza KENYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 окт 2024

Комментарии • 15

  • @RubabaTv
    @RubabaTv  8 месяцев назад +1

    Kwa ushauri na usaidizi zaidi wasiliana nasi 0764 148 221

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester Год назад +1

    Big uo sana vijana wenzangu lakini pia rubaba TV asante Sana kwa kutufunza na kutuhamasisha

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 Год назад +1

    Safi sana

  • @juliuskigulah6681
    @juliuskigulah6681 Год назад

    Hongera brother

  • @themistoclesbitta349
    @themistoclesbitta349 Год назад

    Naomba no ya huyu bwana nimtafute anaweza kunisaidia na mm nikalima chini ya usimamizi wake.

  • @mwijage348
    @mwijage348 Год назад

    Vidoni umeshafika uko

  • @FidonPhilberth
    @FidonPhilberth Год назад +1

    Sio kupka content kitu real

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 Год назад

    Pongezi vijana ,kwa motisha na hamasa ktk kilimo pasipo ubinafsi shamba limependeza hakika. Pongezi pia Kwako Imani Rubaba kutuletea hii makala. Nimeipenda hiyo kuwa; hatua kidogo tu mtu asijifanye boss. Ni kweli kwani binafs mwanzo wa makala nilihis unaongea na kibarua.

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  Год назад

      Asante kwa kuendelea kua nasi

  • @KatulebeJaphet-jr4br
    @KatulebeJaphet-jr4br Год назад

    Mbona gharama ni kubwa kwa hekari mbili millioni 6 , hizo mashine shilingi ngapi na mashamba kukodi shilingi ngapi?

  • @ModesterJ
    @ModesterJ Год назад

    Milioni sita hela yote hiyo au mnapika content nn

    • @johnwakaba180
      @johnwakaba180 Год назад

      170k per acre Kenya money sio mengi bana

  • @ngokaelihudi6705
    @ngokaelihudi6705 Год назад

    Naweza pata mawasiliano