JIFUNZE KUSHOOT MUSIC VIDEOS | OUTDOOR SET | HOW TO SHOOT MUSIC VIDEOS | FULL COUSE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 60

  • @Laur-z7p
    @Laur-z7p Год назад +1

    Daaah asante Sanaa bro

  • @KingJoakim-nu3hr
    @KingJoakim-nu3hr 2 месяца назад

    Unyama sana

  • @ladyasmatrommy
    @ladyasmatrommy 2 года назад +2

    Wew kaka unajua sana

  • @MzeebabaYeba-bb2nc
    @MzeebabaYeba-bb2nc Год назад +1

    Kazi mzuli

  • @JosephNduwayezu-d8d
    @JosephNduwayezu-d8d 11 месяцев назад +1

    Vizuri kaka

  • @SamwelKibenelo-ok1wj
    @SamwelKibenelo-ok1wj Год назад

    Nimependa

    • @JuliusMorice
      @JuliusMorice Месяц назад

      Kakangu nina future ya kia kushuti movie za wanyama naniuze malasiya au marekani nisaidie kaka

  • @westvoice8024
    @westvoice8024 2 года назад +1

    director wangu asee video kali sana

  • @goodluckmachangu5941
    @goodluckmachangu5941 5 месяцев назад

    Uko vizuri nijifunza mengi 😊

  • @sheldajuma-ys5dh
    @sheldajuma-ys5dh Год назад +1

    Yap yap

  • @trommyentertainment
    @trommyentertainment 2 года назад +4

    👌🏾😎

  • @nickonerfk
    @nickonerfk 2 года назад +1

    Bro uko vzr sana

  • @senimange20
    @senimange20 2 года назад +1

    Naomba kuuliza director romi ile aliyoshika uyo jmaa ya njano nn na ni kwann ni mhimu

    • @trommyx
      @trommyx  2 года назад +1

      Ile ni reflector ambayo huwa natumia kama sehemu kuna jua kari sana maelezo zaid karibu darasan

  • @mkstudiotz5235
    @mkstudiotz5235 Год назад

    Nice

  • @goodluckmachangu5941
    @goodluckmachangu5941 5 месяцев назад

    Wimbo mzuri sanaaa aiseee anaitwa nani tuangalie video

  • @westvoice8024
    @westvoice8024 2 года назад +1

    Asante sana director T.romy x

  • @mariamedward
    @mariamedward 2 года назад +2

    Nawezaje kuweka neno SUBSCRIBE chini ya video kuria

    • @trommyx
      @trommyx  2 года назад

      Duuuu

    • @goodluckmachangu5941
      @goodluckmachangu5941 5 месяцев назад

      Kwenye baadhi ya app za ku edit kuna hizo layers zina hayo maandishi au pia unaweza kundika wewe mwenyewe tuu

  • @mugishajanvier6194
    @mugishajanvier6194 2 года назад +1

    Asant sana kak nimekufuatilia mwanz mwisho unaelewa unacho kifany so nataman kua naujuzi kama wako na ningepend tujuane zaidi

  • @dirakidaramadhani369
    @dirakidaramadhani369 2 года назад +2

    Binge la kitu

  • @CramoTzcomedy
    @CramoTzcomedy Год назад

    Nifundixh jinsi ya kuxet kamer iwe inashut wat nne au zaid

  • @Challytech
    @Challytech Год назад +1

    Kk uko vzr japo manen yko tukikufuat inbox unatukomoa so poa

  • @mrbongotz
    @mrbongotz 2 года назад +1

    Mr

  • @emmanuelmasabo8194
    @emmanuelmasabo8194 2 года назад +1

    Bro salute, Mimi nimeona was it flat profile eeh?

  • @madiasgerald2909
    @madiasgerald2909 2 года назад +2

    Broo nikoni ninzur kwa video?

  • @sammydat2151
    @sammydat2151 2 года назад +1

    tuadarie tuturioya installation plz plz sammy dat mkenya

    • @trommyx
      @trommyx  2 года назад +1

      Ya installation ya kitu gani

  • @bongoonlinetv5101
    @bongoonlinetv5101 2 года назад +1

    Kaka hante kwa kutupa funzo

  • @makalasankaraanzuruni5813
    @makalasankaraanzuruni5813 2 года назад +1

    bom trabalho

  • @directorrai49
    @directorrai49 2 года назад +1

    Bro napenda unacho kifanya

  • @directorrai49
    @directorrai49 2 года назад +1

    Asante Sana bro kipo nilicho jifunza na kipo nitakacho kuliza ili nami nipate kujua ...hii camera ulie tumie ni Canon Ya ngap au !?D- ?Ngapi.. kingine nauliza tu si kwa ubaya shot bahazi Zina vumbi mfano Apo akiimba kwenye matofali na anapo lumbana na mama yake kuusu redio.. nataka tu kujua ubunifu wako au Rens ilikuwa jau kwa maeneo ayo..!? nilicho jifunza shot umenyeosha Sana na maelekezo yako kwa muhigizaji mazuli Sana ... Asante bro

    • @trommyx
      @trommyx  2 года назад +1

      Hiyo na canon c100 mark ii ni cinema camera
      Ilo sio vumbi kwenye lens 😅 hiyo picha ni mbichi yani ipo flat so sikutaka kuikaza sana nilitak ikae rang kwa mbali but 👍🏾

    • @directorrai49
      @directorrai49 2 года назад

      Sinaga baya na wewe umenifunza mengi mm nitataman sikumoja utoe pind la satting za light nyakati za uck bado inanichanganya

  • @ImaniChoir-uy3kp
    @ImaniChoir-uy3kp Год назад +1

    Naomba Niambiee 📷 Camera Nzuri kwaajli ya ku shoot Choir na ntaipateje Nipo Mbulu 🙏🙏

  • @Mongenius_tz
    @Mongenius_tz 2 года назад +1

    Kaka 😁pananichanganya pale anapopotea yule mama kwenye kufua ngua pale...by solomon hc

    • @trommyx
      @trommyx  2 года назад +1

      Karibu nikufundishe zaid 😁

  • @ThanosSolomon-zf7jv
    @ThanosSolomon-zf7jv Год назад

    Nataka nijue jinsi ya kuweka colour

  • @swahilipodcasts
    @swahilipodcasts 2 года назад +2

    Okay 👍🏾

  • @nestoryjaphet59
    @nestoryjaphet59 2 года назад +1

    Kaka nisaidie namb yako kk

  • @sammydat2151
    @sammydat2151 2 года назад +2

    NI COMERA GANI??? YACHINI ABAYO INA VIDEO NZURI ????

  • @Mongenius_tz
    @Mongenius_tz 2 года назад +1

    Bro tunakupenda kwasababu unafundisha vizuri saana nakama ungekua na shule ungekua na wanafunzi wengi ila nikuombe kitu kimoja naomba utujali wanafunzi wako tunapopiga simu na kukuuliza maswali kuhusu hizi kazi na utujibu vizuri maana tunatumia hela zetu za bando kukufuatilia wewe kaka🙏🏾🙏🏾

    • @trommyx
      @trommyx  2 года назад +1

      Karibu sana ukiwa na shida nipigie simu hakuna tatizo 👍🏾

    • @Challytech
      @Challytech Год назад

      Uyo kk jeul ukimfuat inbox swal kukuelez 10 Sasa duh😢

  • @FraaTheboy-mz1zc
    @FraaTheboy-mz1zc 6 месяцев назад

    Naomba namb yko kaka nijue meng m namiaka 16 ila maujuzi ninayo

  • @Mussamedia2958
    @Mussamedia2958 Год назад +1

    Brooo nitakucheki

  • @producerdantez
    @producerdantez 2 года назад +1

    mie mwanafunzi mgeni hapa nafanya audio production sana lakini nmeanza kujifunza video sasa nawe

    • @trommyx
      @trommyx  2 года назад +1

      Karibu sana

  • @yusuphsanga7194
    @yusuphsanga7194 Год назад +1

    Huyu msanii anaitwa nan bro ili tukaicheki hii video

    • @trommyx
      @trommyx  Год назад +1

      anaitwa West Voice kama unataka kuangalia hiyo video link hiyo apo 👉🏾👉🏾👉🏾 ruclips.net/video/gR-LycXVEt0/видео.html

  • @hammycheetah5602
    @hammycheetah5602 2 года назад +1

    Ivi kwanini wakati wa ku shoot huwa mnafunika na kitambaa cheusi

    • @trommyx
      @trommyx  2 года назад +1

      Njoo WhatsApp