BMT wapo wapi, TFF wapo wapi, waziri wa michezo yupo wapi. Mbona Simba waliifuatilia sana. Lakini Yanga wapo kimya, ndio Yale mtoto ana mng’ata sikio mama yake. Anasema akiwa anadokoa nyumbani mama yake hakumfokea. Sasa hivi anaenda jera kwasababu ya mama yake. Ndio TFF, wizara ya michezo na BMT, FIFA akiishusha daraja Yanga msishituke
Hata Vyama vya siasa kwenye Mkutano Mkuu hawaendi wanachama nchi nzima bali huenda kwa kutumia wawakilishi. Kadhalka Bungeni hatuendi nchi nzima bali kuna wawakilishi tu. Eti Yanga haiwezi kuwa na Rais.....Karia na Mwabukusi ni Wenyeviti? Shubaaaamit!!!
Huyu Mzee akapimwe akili. Yuko na nani ajajitambua Yuko peke yake na aeleweki? Tawi lenye wanachama mia kigoma wataudhuria mkutano dar? Ana watoto wamuonyee aache kuvuruga mpira wa nchi hii na WA Tanzania hawapendezwi na upumbavu wa aina hii
Tupo pamoja na mzee magoma
Eti anasema '"watafungiwa" badala ya tutafungiwa.. Huyu si Yanga
ukienda fifa utashindwa sbb ulienda mahkamani kinyume na fifa inavotaka lkn nenda sisi tufurai gombaneni mwakawenu utopolo
Yanga tukicheza tutafungiwa kusajili,magoma asikizwe jamani
MZEE MAGOMA TUKO PAMOJA NA WEWE HADI FIFA.
BMT wapo wapi, TFF wapo wapi, waziri wa michezo yupo wapi. Mbona Simba waliifuatilia sana. Lakini Yanga wapo kimya, ndio Yale mtoto ana mng’ata sikio mama yake. Anasema akiwa anadokoa nyumbani mama yake hakumfokea. Sasa hivi anaenda jera kwasababu ya mama yake. Ndio TFF, wizara ya michezo na BMT, FIFA akiishusha daraja Yanga msishituke
Mbona leo comments zimekuwa fupi na zina heshima tukaneni tena tuone
Mapenzi yenuwenyewe lakini magomayupo yuposahihi
Mzee tuko pamoja
Makolo mbona maneno mengi ebu mchangieni aende FIFA mbona maneno mengi hamuendi kwenye vitendo
Yanga Afrika nyuma ametiwa mwiko.
Tena uyu ally kamwe ndio yuko na hiyo tabia ata juzi kareta ya kagoma
Huyu hana akili,yeye ndio aliyeanza kuipeleka Yanga mahakamani halafu anataka kwenda FIFA kuishtaki Yanga kwa kupeleka kesi mahakamani.......
Agombee uongozi Yanga ili aje asimamie mambo anayoyataka
HATA MZIZE WAMEMTANGAZA ANATAKIWA NA WYDAD. MZEE SHULE YAKO IKO JUU.
Mzee ana akili sana ila mabunju hawaelewi
Hili Lizee Jinga Sana Halioni Hata Aibu Lina Tamaa Ya Hela.
Kwann katiba si yanga .........fata katiba inavyosemaaa
Mahakama kuu si ndio alituaminisha wanatenda haki? Kwa nini anapinga mamuzi ya haki?
Hata Vyama vya siasa kwenye Mkutano Mkuu hawaendi wanachama nchi nzima bali huenda kwa kutumia wawakilishi. Kadhalka Bungeni hatuendi nchi nzima bali kuna wawakilishi tu. Eti Yanga haiwezi kuwa na Rais.....Karia na Mwabukusi ni Wenyeviti? Shubaaaamit!!!
Magoma huyo mzushi aache tamaa huwo ni utapeli
😂😂😂😂huyuu Mzee amezoea wizii wizii kupigaa. Sasa wamebanwa hakuna njiaa ya kuingiaa. Wivu unamsumbuaa tuu hakuna lolotee
hujui unacho kiongea ww..
Huyu Mzee akapimwe akili. Yuko na nani ajajitambua Yuko peke yake na aeleweki? Tawi lenye wanachama mia kigoma wataudhuria mkutano dar? Ana watoto wamuonyee aache kuvuruga mpira wa nchi hii na WA Tanzania hawapendezwi na upumbavu wa aina hii
Magoma jamani mpeni kazi
Mtu asiye mwanachama analiwezaje kufungua kesi wakati hana maslahi na klabu anayoishitaki?
Mzeee magoma anahoja msimpuuze asikilizwe
Msikilize Wewe Kolo.
Huyo asiwadanganye sio mwanachama
Wa
FIFA
Hawezi
Kwenda
Huko
Ni
Msanii huyo