Pole mpz wangu ila sijui hata nakusaidiaje maana hizo dating websites siyo zangu. Labda sababu unatakiwa ulipe kwa currency ya hiyo nchi labda ndiyo maana inakwambia kuwa Huna salmon la kutosha.
@@rebekadorothy6625 watengeneze master card za tigo na voda zina lipa vizur Sana Bila shida then kuwa makini tu na website then wascan mfumo kwenye scam doc kujua kama ni yenyewe isije ikawa ni fake
Madam,zote zinataka ulipie na kudonload pia ila christian connection kwang inagoma kabisa nimejaribu kuingia zaidi ya mara mbili wapi, naomba msaaada wako tafadhali maan ni muhim dear 😢😭😭😭🙏🙏🙏🙏please
Asante sana my dear na karibu tujifunze. Ambayo ilikuwa free ni christian dating ila watu waliivamia naona waliwrka restrictions mpk uingie ndiyo utajuwa. Nyingine zote mpk uingie ujiandikishe ndiyo utajuwa kama ni za kuliia au ni bure.good lucky.
Sijaweka tinder hapo kwenye links so siwezi kujuwa. Ukitaka kujuwa bei lazima kwanza uingie ujiandikishe kabla ya kumaliza kujiandikisha utafika kwenye hamali pa kulipa ndiyo utaona bei na kama hutaki kulipia basi unaacha unatoka zako
@justmad9433 Matapeli wapo kila mahali my dear. Na nilishaelezea jinsi ya kugunduwa matapeli. Pia dating sites za kulipia huwezi kukutana na matapeli maana na wao lazima walipe kabla ya kutumia
@@NduguEzekiel Huna bahati kuna watu wamekutana na wazungu huko na wanakuja kuniomba ushauri. kupata mwenza mzungu nako ni bahati.halafu wangungu nao wameshajuwa wanawake weusi wanapenda kuchuna kupewa pesa na kutumiwa zawadi. unakutana na mtu online leo kesho unaomba akutumiye i phone 14 pro. so ndiyo maana wanaigeria wamekuwa wengi huko kujifanya wazungu maana mnapenda sana kupewa zawadi.
@@NduguEzekiel hahaaaa pole. Ila hata wanaume nao wanapenda mtelezo kuhongwa. Kupata mwenza ni bahati na pia uvumilivu. Matapeli hats Sisi weusi pia ni matapeli vile vile. Unatakiwa kuwa mwangalifu kwenye kila kitu katika maisha yako.
Godfrey magehema ukifika kwenye malipo lazima utaona ni malipo ya Aina gani wanayokubali. Hizi siyo dating website zangu. So malipo lazima wamekuwekea ni bank card gani Wana accept
Kuna za bure na zakulipia. Sijazikariri zipi za bure na zipi za kulipia. Wewe ukipenda ingia ujiandikishe hapo ndiyo utajuwa zipi za bure na zipo unalipia.
Caroline Miracle inategemea na hiyo dating website. kuna nyingine inaweza kukupa free kusoma na kujibu messege 1 tuu halafu ukipata messege nyingine lazima ulipiye kwanza. sasa ni wewe mwenyewe unauwamuzi kama unaona messege unatumiwa nyingi na unauhitaji kweli wa mtu basi ni bora ulipiye ili uweze kusoma na kutuma messege kwa watu. na unapolipia usisubiri mpaka mtu akutumiye messege ukilipia basi na wewe ingia usake unaowapenda halafu unawatumia message.
Joe Joshua hapo kuna mambo mawili. moja inawezeka huyo dada yeye anamakaratasi na anaogopa kuwa unaweza kumtongoza ili akolee umwambiye unataka muowane ili uchukuwe karatasi baadaye umwache so hapo hakuna mapenzi. so anaweza akakuuliza kama unamakaratasi ili kama na yeye anayo basi mnakuwa mmependana na hakuna kuharakisha mambo ya kuowana. pili inawezekana na yeye mwanamke hana makaratasi so hataki kupoteza muda wake kwa mwanaume ambaye hana makaratasi. i hope nimejibu swali lako vizuri.
Jackson Wilson unapofungua wakati unajaza form utajuwa tuu kama hii dating website unatakiwa kulipa au ni ya bure. ila pia naandaa video ya kuja kuwaelekeza watu jinsi ya kujaza, kulipia na jinsi ya kuanza kuchat na mtu .so kaa tayari nakuja na mambo mazuri soon.
Beatrice Emanuel kuna link za dating website karibia 13 kama moja inakataa si unajaribu hizo nyingine? Halafu hizo zinazokataa inawezekana hujazi form vizuri au labla ukiandika unaishi tanzania hawakubali jaribu kuweka upo South Africa uone kama itakubali.
Babyire website zipo hapo chini baada ya hayo maelezo. nimeweka link wewe ni kufunguwa tuu inakupeleka moja kwa moja mpk kwenye website unaangalia kama umeipenda basi unajiunga.
Anna Solomon habari nzuri. Bila samahani my dear. Hizo dating website siyo zangu. Ni dating website ambazo wazungu/ waafrica wengi duniani wanazitumia. So ukiwa na maswali yoyote unaweza kuwatumia email kuwauliza. Ila kingine ambacho naweza kukushauri unapojiandikisha kama dating website ni free wataandika na kama dating website ni ya kulipia pia watasema na huwa wanaweka kabisa bei na muda kama ni week,mwezi au mwaka na kiasi chake so kuwa makini.
@@rebekadorothy6625 ndio wanaweka bei dada dorith, na kama ulivosema kwa mwezi au week, lakini tatizo kama nimeweka Elfu 53000 au 69000 Tsh.. na nimeambiwa ni mwezi lakini Cha ajabu nachati hata dakika 30 hazifiki.. na unakuta mmefikia hatua nzuri na mtu , nauliza labda kwa sababu Bado mgeni yawezekana Kuna sehemu naacha wazi labda nifunge, Mimi nipo Datint My age.na Dating @
@@annasolomon9855 mimi siwezi kujuwa ipi nzuri na ipi siyo nzuri maana hapo nimeweka links 12 au 13 za dating website. Niliyoingia na kuwaelekeza watu ni hiyo ya kwanza ya Christian connection. So Pole siwezi kukushauri. Wewe India mwenyewe angalia ukiona nzuri basi ji register
Hidaya John unatakiwa ujiandikishe Kwanza ukimaliza kama ni dating website ya kulipia unatakiwa kulipia kabla hujaweza kuona au kuchat na watu. Ukimpata ya free pia nayo lazima ujiandikishe.
@@yusraomary unatakiwa kuwa na Email address. Pia angalia video jinsi nilivyojaza. Wakati wa kujaza usipojaza jazz Mambo muhimu hawezi kukukubalia kufunguwa. Pia kama ni dating website ya kulipia unatakiwa ulipiye pia.
Magnetic Peter kama website siyo ya bure lazima ulipie. Anglia maelekezo ya kulipa yanataka ulipe kutumia nini kama ni card lazima ufanye hivyo ili uweze kuwasiliana na watu kwenye hiyo eebsite
Asante Kwa maelekezo mazuri kabisa
Karibu sana mamie tujifunze
Mambo vp upo poa
@@omanhh2875 mambo poa. Asante kunijulia hali
@@rebekadorothy6625 dad samahn mm nimelipia lkn sms ikitumwa kwangu nikifungua inatk ten nillipie
@@rebekadorothy6625 inaandk Get 3 months for $ 69:99
Dada me Nina salio kwny visa card lkn nikifanya malipo yanakataa kwny app hii match and meet wanadai sina salio naomba unisaidie
Pole mpz wangu ila sijui hata nakusaidiaje maana hizo dating websites siyo zangu. Labda sababu unatakiwa ulipe kwa currency ya hiyo nchi labda ndiyo maana inakwambia kuwa Huna salmon la kutosha.
Master card siyo kila card ina kubal malipo online
@@rebekadorothy6625 watengeneze master card za tigo na voda zina lipa vizur Sana Bila shida then kuwa makini tu na website then wascan mfumo kwenye scam doc kujua kama ni yenyewe isije ikawa ni fake
Madam,zote zinataka ulipie na kudonload pia ila christian connection kwang inagoma kabisa nimejaribu kuingia zaidi ya mara mbili wapi, naomba msaaada wako tafadhali maan ni muhim dear 😢😭😭😭🙏🙏🙏🙏please
@@HusnaBaraka zikitaka kulipia siwezi kukusaidia Maana siyo zangu. Na siku zote vitu vizuri ni gharama sasa ni wewe mwenyewe mpz wangu. Pole.
@@HusnaBaraka kama imagine siwezi kukusaidia pole maana siyo dating website zangu. Labda ujaribu hizo za kulipia kama Una uwezo. Pole
Ok madam maelezo mazuri haya nataka utungishe proses zifuate😊
Nimeipenda dada
@@mkiwasaidy843 Asante sana na karibu tujifunze
Asantee dear sister
Karibu sana tujifunze
@@rebekadorothy6625 asantee kipenzii changu
asante dada nimeona na nimeingia ila sijafanikiwa kuunganishwa maana zote zinataka ulipie ndio wakufungulie uchati hamna ya free unayoijua
Christian connection
Sasa anti hongera kwanza but kwa mafunzo yako ila nilikuwa nauliza hakuna ambayo iko free kila kitu mpak kutuma text??
Asante sana my dear na karibu tujifunze. Ambayo ilikuwa free ni christian dating ila watu waliivamia naona waliwrka restrictions mpk uingie ndiyo utajuwa. Nyingine zote mpk uingie ujiandikishe ndiyo utajuwa kama ni za kuliia au ni bure.good lucky.
Thenk you to sharing thise eduction
Suwena Sunde Asante sana na karibu tujifunze.
Iv wanapatikana kweli jamani
Mama nisaidie iyo link mie nilichelewa kijua hii kitu m ninaitaji sana kuolewa na mzungu
Links zote zipo hapo wewe bonyeza itakupeleka moja kwa moja kwenye dating websites utafunguwa na kujaza tayari upo unatafuta mwanaume wako
Dada naomba namba yako kuna vitu nahitaji anisaidie pls pls
@Evelynjohn3171 nitafute facebook.number yangu ya simu sitoi kwa mtu yoyote Ile.
Asante dada
Karibu Sana tujifunze.
Nimeelewa vizur dada
Karibu tujifunze
Ahsante
mimi nahitaji mzungu❤❤
@@AlphaSilau-i7w ndiyo uingie utafute mwenyewe hutafutiwi
Beigan inakua mm npo south Africa na card ya bank gan inatakiwa nilipe inanishinda hpa nisaidie dada angu nahangaika sana kw hili
Dollar John kwenye malipo lazima waweke ni card gani ambayo inakubalika kwenye malipo.kama card yako haipo kwenye hizi zilizowekwa basi huwezi kulipia
Okay
Bimekubalika??
@@dollarjohn9292😂
Dada natafuta mchumba wa nnje ya tanzania
Sasa si uingie utafute nimeweka links hapo. Mimi simtafutii mtu mchumba.
Application gani hzo
Soma maelezo vizuri
@@rebekadorothy6625 darting website ni zipi
Asante sana,, vipi upande wakufanya malipo unisaidie plz
,@bostineoduor2510 gusts maelekezo ya jinsi ya kulipia na card gani za bank wana accept utaweza kulipa
18:20 @@rebekadorothy6625
But madam mbona ziko Zina goma izi website
Jamami website zipo zaidi ya kumi moja ikigoma si unafunguwa nyingine na kujaza
@@rebekadorothy6625 but madam please naitaj mawasiliano kama hauta jari
Huko face book kukupata sikuoni jmn naonana na kina rebeka wengi jmn umenambia picha yatoto siioni
@@rebeccajaphet6032 nipo ila sinaweka picha yangu kuna picha ya mtoto mixed race angalia Rebecca smith’s
Dada kama ni appy ya tinder unalipia kuanzia shingapi
Sijaweka tinder hapo kwenye links so siwezi kujuwa. Ukitaka kujuwa bei lazima kwanza uingie ujiandikishe kabla ya kumaliza kujiandikisha utafika kwenye hamali pa kulipa ndiyo utaona bei na kama hutaki kulipia basi unaacha unatoka zako
@@rebekadorothy6625 asante
Napenda but nimeshindwa kuongea jomon plz I need
Lugano Mwaikambo sasa ukishindwa kuongea hata hao watu utawasiliana nao vipi? Lazima ujifinze kiingereza.
hahaha tulio chelewa shule hii inatupita, 😂😂😂
Hi
Helow,
Madam naomba kujua hizi app sites za kiislam
Angalia zipo hapo kuna links zaidi ya kumi hapo.
Ahsante dada, mie nipo tinder ila naona % kubwa ya watu wanaonitafuta ni wabongo wenzangu😢 sijui nifanyaje
@@AshaMombo-kx9ur pole jaribu hizo dating websites nilizoweka hapo uone kama unaweza kukutana na watu tofauti na wabongo.😄😄😄
Ok
@@AshuraAthmani-q8t karibu tujifunze
Niunganishe sasa madam
@@RosemaryKimario-q3n nimekupa mchongo unajiunganisha mwenyewe.
Mm na kila kitu na nina miaka mpka sasa sijampata 😢😢
@@ShettaShabani-no5gm kumpata mtu ni bahati
Natamani unielekeze binafsi maana sielewi website ni nini na inatumikaje
@@EvaJackson-fb3cy angalia video zangu nimeweka maelekezo yote hapo
Ivi kunauwezekano wakupendwa ingawa lugha aipandi?
@@Baba_Veronica ndio ila shiva itakuja hamtokuwa mnaelewana kwa hiyo lazima ujuwe lugha hata kidogo
Au wewe uni tumie ftiend request maana aion hadi kichwa imeuma
Nitumie jina lako unalotumia Facebook
Ivi dad huna group la wassp
@@ShinMinah-m9t hapana sina. Pole
Nipe namba Yako m nataka mzungu aniie
Jamani mimi simtafutii mtu mzungu. Nimekuwekea links za dating websites India mwenyewe utafute. Number yangu ya simu sitting kwa mtu yoyote yule
18:20@@rebekadorothy6625
Tunaopata tabu ni sisi tunaopenda wazungu ila kingereza mtihani
Mariam John Jitahidi ujifunze na usione aibu kuongea hata kama unaongea kiingereza broken. Ukiwa na mazowea ya kuongea utajikuta tuu umeshajuwa
@@rebekadorothy6625 Ni Kweli Kabisa Mimi mwenyewe ninajifunza
@@monicadamiani7658 Asante sana my dear na karibu.
@@rebekadorothy6625 Asante Mommy
@@rebekadorothy6625 Naomba Number Yako
Dada habar nashida naomba kuuliza naomba namba
Nitafute Facebook
dada nataka mchumba mzungu kma yuponiunganishe nae
Jamani nimewawekea links mtafute wenyewe mimi sina muda wa kumtafutia mtu mzungu. Nitatafutia wangapi???
Thank you for sharing, can wait for another post
Awwww thank you so very much for your support. I will drop next video very soon. 🙏🙏🙏😘😘😘
Naomba namna ya kulipia
@@godfreymagehema6282 unalipia kwenye app directly
Unaelekeza vizruri sana
Cauthary Mcharo Asante sana na karibu.
Samahani nilikua nakuliza jinsi ya kulipia ili kuweza ku reserve message
@user-ld1fq9dd5s fuata maelekezo kwenye dating website wameandika huko unalipaje na card gani wanataka kwa malipo
Nn inalipiwa jamani sa siwezi pata ju sijalipia
naitaji
@@DoreenDominic ingia utafute mwenyewe hautafutiwi.
@rebekadorothy6625 naomba ilojina Dada ntafute
@ nimeziweka hapo links na nimekuelekeza jinsi ya kujiunga fungua jiandikishe utafute.
Ni wazungu wa nchi gani?
Ukijiandikisha utawaona utajuwa wa nchi gani
Wanaijeria ni wengi huko matapeli yameweka pictures za wazungu
@justmad9433 Matapeli wapo kila mahali my dear. Na nilishaelezea jinsi ya kugunduwa matapeli. Pia dating sites za kulipia huwezi kukutana na matapeli maana na wao lazima walipe kabla ya kutumia
@@rebekadorothy6625 nilishatafuta sana nikakutana hadi na namba zao hadi email lakini wapi, inaonesha wazungu hawana muda na watu weusi
@@NduguEzekiel Huna bahati kuna watu wamekutana na wazungu huko na wanakuja kuniomba ushauri. kupata mwenza mzungu nako ni bahati.halafu wangungu nao wameshajuwa wanawake weusi wanapenda kuchuna kupewa pesa na kutumiwa zawadi. unakutana na mtu online leo kesho unaomba akutumiye i phone 14 pro. so ndiyo maana wanaigeria wamekuwa wengi huko kujifanya wazungu maana mnapenda sana kupewa zawadi.
@@rebekadorothy6625 me sio wa kike sasa ni wa kiume
@@NduguEzekiel hahaaaa pole. Ila hata wanaume nao wanapenda mtelezo kuhongwa. Kupata mwenza ni bahati na pia uvumilivu. Matapeli hats Sisi weusi pia ni matapeli vile vile. Unatakiwa kuwa mwangalifu kwenye kila kitu katika maisha yako.
Hi abari yako mm natafuta muzungu wamya 24 akiwa naweza kupata
Fahima Hassan angalia video zangu zote RUclips nimeelezea
.mbona Tanzania haitaki
Ikikataa jaribu kufunguwa nyingine. Kuna links zaidi ya kumi hapo
Naomba namba yako
Mamie njoo Facebook
Lucy
Sasa mimi sijuwikulipiya
Lucy Sampa Ukifata maelekezo ya dating website uliyojiunga utaona
Plusieurs nisaidiye namba Yako dada
@@irishuraannabella7108 nitafute Facebook inbox
Sasa unalipia kwa dora au tz bank unayo weza kulipia niipi
Godfrey magehema ukifika kwenye malipo lazima utaona ni malipo ya Aina gani wanayokubali. Hizi siyo dating website zangu. So malipo lazima wamekuwekea ni bank card gani Wana accept
Mi nimekupenda bure Dada Rebeca hakika ukweli unakuweka huru.
Asante sana. 🙏🙏🙏
Mm mbona sioni pa kujiunga dada
queen Mwambene mbona nimeweka link kama 13 hivi angalia vizuri utaziona au angalia video ambayo nimeelekeza wapi zipo na jinsi ya kujiandikisha.
Nimeona kipenzi
@@queenmwambene8062nimefurahi umeziona.
mm mbona hua zisioni hapa shida nini
Sawa dear
FatumaHassani Karibu my dear.
Jamn nisaidien mm mana izo website mm sizioni
Aisha Chikwaulo website zipo nimeweka link ukifunguwa utaziona ujiandikishe
Hellow
Hi,
How can I get a white man
@@MelaniaChikira @user-xo4di3vq2m there is the links I put down below for dating website. Open them and registered then start looking for one.
Fb unatumiya jina gan?
Wizzy Liker natumia jina hili hili
mbona mm web site zilipo
Angalia vizuri zipo hapo chini nimeweka links zaidi ya kumi
@@rebekadorothy6625
Tatizo WENGINE hatujuwi kiengereza
Sasa kama hujui kiingereza nakushauri Acha tuu yakupite maana hutoweza hata kujiandikisha wala kuwasiliana na hao wazungu wenyewe
Mambo dada hiyo website zipo wap na mm nijaribu bahat yangu
Mauwabanda2746 dating websites zote zipo hapo kwenye hiyo video chini kuna links nyingi tuu wewe chaguwa mwenyewe ipi unataka kujiandikisha.
Nimejaribu nimeshindawa kuingia
@@mauwabanda2746pole ukijaribu ya kwanza ukishindwa jaribu nyingine maana zipo zaidi ya 10 hapo
@@rebekadorothy6625 poa asante nitajaribu tena na vingeleza vyenyewe vya kuombea maji jamn
Naomba namba zako dada
Nitafute Facebook mamie
Kulipia mbona inazingua
Dollar John soma vizuri maelekezo ya jinsi ya kulipia. Huwa wanasema cards hapo ambazo unaweza kutumia kulipia.
Habali kujiinga ni aje maana sierew
@@AgnesThomass habari nzuri nimeweka maelekezo yote kwenye video angalia Utampa jinsi ya kujiandikisha
Nifanyeje natafuta mchuma wa kizungu
Nimeelekeza jinsi ya kujisndikisha kwenye dating websites angalia video kuna links mimeweka jiandikishe utafute huko
Nauliza izo dating zipo zabule au zakulipia nakama zakulipia shingap
Kuna za bure na zakulipia. Sijazikariri zipi za bure na zipi za kulipia. Wewe ukipenda ingia ujiandikishe hapo ndiyo utajuwa zipi za bure na zipo unalipia.
Apo tatizo kwenye namna ya kulipia. Acha tuangalie itakavyokuwa.
Thumna Thumna malipo lazima yafanyike kwa jinsi website ilivyoweka utaratibu wao.
@@rebekadorothy6625 nasubir iyo video ulosema ingine. Nitafanya ivyo.tatzo sehemu niliyopo kutoka ni ngumu. Yan kwa ajili y kutuma iyo pesa.
nice
Zamanna Musa Thank you.
Nita wezaje ku jiunga
Angalia kuna video nimeelezea ukiiangalia utaelewa nini unatakiwa kufanya
Jaman mi natamani sana nakuomba we mwenyew unitafutie tafadhali mana mm sizielewi
Fatuma Hassan tafuta mtu akusaidiye. Kila mtu akitaka nimtafutiye nitatafutia wangapi. Nimewawekea hapo kila mtu afanye mwenyewe
OK dear acha nijaribu
@@fatumahassani2015 Sawa
@@rebekadorothy6625 habar madam ...iyo wew sait IPI...
@@yonahmremi6053 nimeziweka zote hapo chini. Nimeweka na links kabisa
Rabda mtuwekee group mtuchanganye na ao wazung
Asha Masoud ulishawahi kuona wazungu wapo kwenye group? Wazungu wapo kwenye dating website ingia utafute Ila hao wa group hakuna
@@rebekadorothy6625 sijui namna ya kulipa
Kama huna paspoti je?
@chrestina Tina jl9cs passport si zinapatikana uhamiaji jamani.
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏❤️
Samahani naomba kuuliza ukitaka kuchat ni lazima uwe umelipia ndo unaweza chat naye maana mm kila nikituma sms unaenda moja ya pili naambiwa nilipie
Caroline Miracle inategemea na hiyo dating website. kuna nyingine inaweza kukupa free kusoma na kujibu messege 1 tuu halafu ukipata messege nyingine lazima ulipiye kwanza. sasa ni wewe mwenyewe unauwamuzi kama unaona messege unatumiwa nyingi na unauhitaji kweli wa mtu basi ni bora ulipiye ili uweze kusoma na kutuma messege kwa watu. na unapolipia usisubiri mpaka mtu akutumiye messege ukilipia basi na wewe ingia usake unaowapenda halafu unawatumia message.
Jambo dada.naomba unitumie majina ya hizo dating app
Niunge basa na mwaarabu boss wang
Jamani nimewapa mchongo bado mvivu kutafuta huyo mwarabu.
Kwani fedha ya kulipia ni shingap?
Anna Solomon wakati unajiandikisha kama website ni ya kulipia lazima watakuwekea bei na ni muda gani kama ni siku, week, mwezi au mwaka.
HOW CAN YOU MAKE PAYMENT
John Onyango kila website inamaelekezo yake ya jinsi ya kulipia unapojisaliji mwisho utaona maelekezo ya jinsi ya kulipia.
Kwanini wanawake wengi wa kutoka Africa wanaoishi Europe na North America ukimtongoza cha kwanza anauliza kama una karatasi
Joe Joshua hapo kuna mambo mawili. moja inawezeka huyo dada yeye anamakaratasi na anaogopa kuwa unaweza kumtongoza ili akolee umwambiye unataka muowane ili uchukuwe karatasi baadaye umwache so hapo hakuna mapenzi. so anaweza akakuuliza kama unamakaratasi ili kama na yeye anayo basi mnakuwa mmependana na hakuna kuharakisha mambo ya kuowana.
pili inawezekana na yeye mwanamke hana makaratasi so hataki kupoteza muda wake kwa mwanaume ambaye hana makaratasi. i hope nimejibu swali lako vizuri.
Makaratasi ya mini?
Makaratasi ya nini
@@babawamapaka5821 karatasi za kuandikia barua
@@Globalsportschannel-ca barua gani samahani dada naomba unifafanulie nikufahamu kiundani
Jmn dada nataman nipate mme uko nammi ila izo deting sizion
Jamani nimeweka links za dating websites zaidi ya kumi unasemaje huzioni
Zipi ndo website za bure? Ungefafanua zile zinazolipiwa na za bure ili watu wajue.
Jackson Wilson unapofungua wakati unajaza form utajuwa tuu kama hii dating website unatakiwa kulipa au ni ya bure. ila pia naandaa video ya kuja kuwaelekeza watu jinsi ya kujaza, kulipia na jinsi ya kuanza kuchat na mtu .so kaa tayari nakuja na mambo mazuri soon.
Itanisaidia kujua jmn 😊
Nielekezen jaman
Jamani maelekezo yote nimeweka hapo ukiangalia video vizuri utaelewa
naona kama nimechelewaga leo ndio nasikia iki kipindi kbsa
I gdnce Karibu tujifunze my dear.
@@rebekadorothy6625 asante nafatilia kbsa
Dada napenda sana wazungu naomba Mungu nipate mzungu mzuri
Rose Sylas Mungu ndiyo kila kitu ukimuamini na kuomba kwa imani utapata.
Asante sana dadangu Nina Imani ntapata Mungu atatenda
@@rosesylas3502 Amen Amen Amen 🙏
Pia mm n muzungu jua ndo kali
@@benjamenkimatu3196 hahahaa...kbs!
Kingereza nitatizo ilanatamanikupata mzungu
@user-ro8nd9yi2z bila kujuwa kiibgereza utawasiliana vipi na huyo mzungu?
Hizo link zote zmegoma kbisa
Itakuwa umeshindwa kujiandikisha vizuri su umeshindwa kufunguwa links.
Utakuwa umeshindwa kuzifinguwa vizuri hizo links
Kama nimepata alafu kingereza kinasumbua itakuwaje kuhusu kuongea
Inabidi ujifinze kuongea kiingereza au Lugha ya uyo mtu uliyompata maana sasa mtaelewanaje???
@@rebekadorothy6625 me naeza kuongea kidogo nawezaje kujifunza kuongea kwenye mtandao yaani nahitaji kujifunza ila sio kwenda shule
Mbn app kwangu inagoma
Tumain Kaaya Watumiye messege wenye app uwaulize maana siyo yangu
@@rebekadorothy6625 dada Rebeka nisaidie napata Sasa mzungu
@@tumainkaaya9075 Ndiyo uingiye kwenye website utafute. si nimewawekea website kama 13
Hizo websites ni Zipi ??
Neema Lema Nimeziweka hapo kwenye hii video ukifunguwa utaziona. ukishindwa kuona tafuta video ya mwisho kuweka nimeelekeza wapi hizo website zilipo.
Mbona sizion haziji
Sijaelewa Ila natamani nijaribu bahati dada naomba unierekeze
Agnes Nyanda mamie ni kitu gani unataka nikuelekeze niambiye
Dada samahani nipe namba yako
Cauthary Mcharo nitafute facebook
Naitaji mwarabu maana Mimi najuakiarabu
@user-ro8nd9yi2z mimi simtafutii mtu mwenza au rafiki. Hata utake machinations lazima utafute mwenyewe mimi nimekuonyesha tuu njia
Dada natafuta mchuma
Ingia jiandikishe utafute mwenyewe. Mimi sitafutii mtu mchumba
Mbona hazipo hizo dating website
Elizabeth Munaranara unauhakika hazipo au wewe huzioni? maana hii video nimeeleza na kuweka link 13 za dating website.
Nimeziona dear thankx so much
@@elizabethmunaranara824 karibu my dear.
Mimi zinakataa sijiu nakosea wapi?
Beatrice Emanuel kuna link za dating website karibia 13 kama moja inakataa si unajaribu hizo nyingine? Halafu hizo zinazokataa inawezekana hujazi form vizuri au labla ukiandika unaishi tanzania hawakubali jaribu kuweka upo South Africa uone kama itakubali.
Kulipa sh ngp mamy
Hidaya Nassor bei siwezi kuijuwa. Wewe ukifunguwa na kuangalia au kujiandikisha utaona ni kiasi gani unatakiwa kulipia.
Nataka Muzugu wakuniowa na niko amerika
Hey
Dada hiyo website unaipataje ss
Babyire website zipo hapo chini baada ya hayo maelezo. nimeweka link wewe ni kufunguwa tuu inakupeleka moja kwa moja mpk kwenye website unaangalia kama umeipenda basi unajiunga.
Naomba namba yako nipate maelekezo zaidi
Habari dada, samahani naweka Hela lakini inaenda haraka Sana.
Anna Solomon habari nzuri. Bila samahani my dear. Hizo dating website siyo zangu. Ni dating website ambazo wazungu/ waafrica wengi duniani wanazitumia. So ukiwa na maswali yoyote unaweza kuwatumia email kuwauliza. Ila kingine ambacho naweza kukushauri unapojiandikisha kama dating website ni free wataandika na kama dating website ni ya kulipia pia watasema na huwa wanaweka kabisa bei na muda kama ni week,mwezi au mwaka na kiasi chake so kuwa makini.
@@rebekadorothy6625 ndio wanaweka bei dada dorith, na kama ulivosema kwa mwezi au week, lakini tatizo kama nimeweka Elfu 53000 au 69000 Tsh.. na nimeambiwa ni mwezi lakini Cha ajabu nachati hata dakika 30 hazifiki.. na unakuta mmefikia hatua nzuri na mtu , nauliza labda kwa sababu Bado mgeni yawezekana Kuna sehemu naacha wazi labda nifunge, Mimi nipo Datint My age.na Dating @
@@rebekadorothy6625 labda nikimaliza Kuchat Kuna mahali natakiwa kufunga?
@@rebekadorothy6625 unaweza niambia dating nzuri ya kwako Ili niweze kujaribu huko?
@@annasolomon9855 mimi siwezi kujuwa ipi nzuri na ipi siyo nzuri maana hapo nimeweka links 12 au 13 za dating website. Niliyoingia na kuwaelekeza watu ni hiyo ya kwanza ya Christian connection. So Pole siwezi kukushauri. Wewe India mwenyewe angalia ukiona nzuri basi ji register
Na taka mukristo wakuaziya myaka 40 45 wa ndoa
India utafute mwenyewe na wakati wa kujaza uandike na hiyo miaka unayotaka
Mimi pia nataka mzugu
Mimaa Juma ingia kwenye dating website utafute. Mimi nimewapa links ila simtafutii mtu mzungu.
Acha ujinga tafuta pesa ww
Dada mbna ukiunga zinakata hizo dating
Hidaya John unatakiwa ujiandikishe Kwanza ukimaliza kama ni dating website ya kulipia unatakiwa kulipia kabla hujaweza kuona au kuchat na watu. Ukimpata ya free pia nayo lazima ujiandikishe.
Dada mbona nashindwa jinsi ya kujiunganisha
@@yusraomary unatakiwa kuwa na Email address. Pia angalia video jinsi nilivyojaza. Wakati wa kujaza usipojaza jazz Mambo muhimu hawezi kukukubalia kufunguwa. Pia kama ni dating website ya kulipia unatakiwa ulipiye pia.
Naomba hiyo app
Cauthary Mcharo Angalia kwenye video yangu nimeziweka hapo links.
Kwenye malipounafanyaje dada yangu
Magnetic Peter kama website siyo ya bure lazima ulipie. Anglia maelekezo ya kulipa yanataka ulipe kutumia nini kama ni card lazima ufanye hivyo ili uweze kuwasiliana na watu kwenye hiyo eebsite
Na galama za kulipia shingapi
Cauthary Mcharo gharama za kulipia utakapojiandikisha utaziona. hizi siyo dating website zangu. so siwezi kukwambia gharama ni kiasi gani.
Nataka mapezi wakudumu
Nitumie namba yako tuongee
Naitaji kupata mke wa kizungu
msaada wako tafadhari
Abraham Frumence India kwenye hizo website ujiandikisha kuna za kulipia na nyingine ni bure utafute mke huko huo ndiyo msaada wangu kwako.