Yeeees even me i was delivered thru Emmanuel tv He is a great man.. He brought light into my life. May the grear man .man after Gods heart. Rest my father
RIP to the great man of God Prophet TB Joshua. My heart mouns and rejoices at the same time, God has taken his own home to rest in perfect peace. I will never forget your teaching of love and forgiveness. We love you, we will always do, will miss you forever more You will be forever in my heart. Dance with Angles
Mmh,msizunguke! Ukweli ni kwamba alikuwa askari mwenye rank kubwa,yaani kiroho kiukweli alikuwa level ya juu sana! Pia ameacha alama kubwa kwenye dunia,jamii kupitia Mali,fedha alizokuwa nazo hakujilimbikizia mali! Jmn prophet hakuwa na tawi na alishakataa! Ila kuna wale ambao walikuwa chini yake sio km ni matawi!
Tatizo la waislam huwa wanapenda ugomvi lakin wakichokozwa wao wanakuja juu vibaya mno Kila MTU atulize Iman yake cos duniani Kuna Iman nyingi hatankabla ya hz dini kuja Africa kulikuwa na Iman cca usijifanye una haki kumbe ni mdhambi balaa na matendo zero huo ni upumbavu imeishaa hyooo
Mmi ntaukubali uislam ikiwa wameniambia kuwa wamewakataa majini kuwa si wema ni VIUMBE waovu na pia siku mpinga christo atakapoitwa pia mpinga uislam lakin kma SIJASIKIA hii kitu najua ni ndugu zao kbca wa damu jamii ni moja
siwapendi mbwa hao ,yaan mtu yyte akiwa muislam pemben yangu ni mshirikina na mchawi ndivyo nlivo na experience yangu , yaan hata mpenz wangu nlimuacha alivyoniambia ni muislam yaan siwapendi malaya wa kuongea hao
Tb joshua himself said it before that the age is not the matter the matter is to finish what the man was sent for those who are led by the spirit of God it easier to understand that tb joshua is a real man of God bt if u in flesh everything of God for u it nonsense u will judge by betting bt in God we don't bet we have assurance through faith as communicate with God by the spirit of God almighty
Ni mtumishi pekee aliyesaidia wenye uitaji, ajenga shule, makazi, sadaka kwa wasiojiweza, na aliponya wangonjwa, alifungua vifungo, hakuwa mpenda sadaka, alichokipata aligawana na wenyeuitaji,WALIOBAKI WANAKUSANYA LKN HAWATOI
SHALOM. PROPHET TB JOSHUA AMETWALIWA/AMELALA AKIWA AMETOKA KUTUMIKA MADHABAHUNI MWA BWANA. JE WEWE UNAJIHOJI SIKU YAKO IKIFIKA; UTAONDOKA DUNIANI UKIWA UMETOKEA WAPI? Kazini, vilabuni, bar, kwa sangoma; kwa mchepuko; kuiba; hospital; beach? n.k. wapendwa tukae tayari kwasababu hatujui muda wa kuondoka kwetu hapa duniani.
Birds of the same feathers fly together cause how can two walk together unless they agree???. Holy Spirit Devine give us discernment especially this end times!!! Help us to test every spirit and know if it comes from you!!!
Eu estou e Moçambique mais eu sou polícia meu nome: José William miliasse eu quero confiar você também confiar meu deus eu quero ser grande chefi também quero viver bem também minha mãe viver bem 🙏
Ndio mnavo jidanganya hiv yn binadam ban utafikir ww ulikufa ukafufuka ndio ukaon kwmab wakrist wanakwend motoni nizambi kubwa usipend kuhukumu wakat huw
@@hamisimfaumenamwewe193 nasiku zote ukae ujuw kama ulikuwa hujuw sijuw bad kijan sijuw mzee kinacho mpeleka mtu mbingin dini niiman yako wawez swari sawra tano halaf ukawa firauni mkubwa
@@hamisimfaumenamwewe193 yeye kashakufa naww kesha ukiomba maan hujuw siku yak yakuf wal saa basi omba mungu akupe mwisho mwema usianze kumsema malehe nizambi
Na hapo nao hao, waliolala kwa kristo, wamepotea. Ikiwa kwa Maisha haya, tutamtumaini kristo, sisi tu masikini kuliko watu wote. Soma 1 Wacorinto 15:18,19)
@@mamymdogomamy3670 nawe malaya wa kuongea kama mashekhe wenu wachawi tu ,sasa.amekuambia hilo ni jina la.bibi yako ? si la kwake ? au unahisi kila.mtu ana roho ya kishirikina kama wewe
@@zahorsalum663 mmi siwez kusilimu sehemu inayosema majini mema na mabaya akati unajua kuwa hao viumbe ni waovu tu Hakuna mwema ukimzingua mnazinguana na kukuulia mbali ikiwa shetani ni mmoja wa jamii yao huku hyo masih dajali mpinga kristo akitokea humu huku nikiwa nataka kuisikilizia siku moja wamwite massih dajal mpinga uislam mpka kesho sijawah sikia hicho kitu
jaman mim kwamawazo yang uwasipend nikiona mtu anamsema mtu vibaya kabisa apadunian kilamtu nanafas yake usipo mpenda mtumishi wamngu bas unaacha tu wenzako waende usiwafanye wengine wafe kwenye zambi au wafe namatatizo nimeona coment nyingi azipendez kwakweli achen mngu afanye kaz yake kama umenielewa gonga likes
Ni kweli kabisa kumsema mwenzako vibaya ni dhambi hata mungu hapendi wewe unaeona dini yako ni Bora basi baki nayo wewe na wenzio waache waamini wanachokiami iman Ni kitu ndani ya mtu coz muwe waelewa kwakua ni watu wazima
@@dianajohn3493 Biblia ni katabu gn?? Na ni mtume nani aliepewa kitabu kinacho itwa bibilia?? Ss twajuwa vitabu vinne tu haya cha tano kilitokea wp??? Rudi kwa mola wako acha kumkufuru muumba utaenda ingia motoni ukiwa walia jidanganye ww
@@mamymdogomamy3670 kumbe umesema sisi twajua vitabu vinne! Umeilewa hio sentence? Sisi,"" kumbe ni nyie mwajua! Acha nikuambie ukweli hio ni yenu wala sio yetu... Biblia ni takatifu tena ni kitabu kilicho hakikishwa... Hata ukikiona na kikicklhukia hata ukikichoma kinachofuatia nikuambie??? Zitachapishwa Biblia zingine takatifu elfu 30, Upooooo???
Eti mtu akipatiwa Neema ya kuona kule anaweza kuondoka leoleo unajidanganya Bro Ukifa hali ya kuwa si muislm bx Jua ya Kwamba utkaa motoni milele na milele
Ngoja nikupe pole kubwa sanaaaa. Endelea kujihesabia haki wakati kifo hujakiona. Wenzako wanatamani warudi kukwambia okoka we unadili na dini, nakwambia kamwe hyo dini haikupeleki mbinguni. Mwamini YESU KRISTO na kuishi maisha ya KRISTO mbinguni utaenda
Je Mungu ataiacha nchi bila watu wake wenye kupewa maelekezo na yeye...aaaahhh la asha hapana....hivyo Mungu kuna watu wake Duniani ambao ni manabii na mitume ambao Mungu anawapa maelezo namna ya kuwafundisha watu dunia ....hivyo basi manabii dunian wapo kabsa kwasababu Mungu hawezi kuiacha dunia pekee yake......note
Aliye waambia kuna kurest in peace ukifa ni nani Mwanzo huko kuna adhabu ...yaaani no peace at all ila tu kwa walio amini na kufwata aya za Allah Subhana
Kinachonishangaza hawa Wanaojinadi wanatowa huduma za kuponya watu na kufufuwa Wafu (Wachungaji, mitume na manabii) mbona hawawaponyi magonjwa kwa wapendwa wao (famila zao) na Wafiwa wao?! Badala yake hulalamka/husikitika kuwa wamepata pengo kubwa kwa kuondokewa/kufiwa na wapendwa wao ! Napata kizungumkuti kwa hizo huduma wanazozitangaza kuwa wanazitoa zina mafungamano na Mungu Mola Muumba wa Ukweli?!!! Kwa Muumini wa kweli kufa ni furaha, sasa kwanini zunadiwe huduma za Ufufuo/kufufua wafu?!
@@nyabahailani3169 Yesu asema ufalme haujifitini màana kama kuna makristo wengi wa uongo na manabii wao lkn hamuwaoni màana ndio mnawakubali kwavile Imani yenu ni moja ubatizo mmoja au hamjabatizwa kabisa Wala kumwamini Yesu au kudanganyika ulibatizwa ukiwa mtoto hao wapo sawa kwenu hatakama Neno linawakataa.ila yule anaefuata Neno la mungu mnampinga kama mababa zenu walivyompinga YESU na kumwambia ana pepo belzebuli.
We unakitu gan wewe unaesema wenzako unaehukumu wenzako kua ni mafreemason wewe unskitu gan kwa ukamilifu gan ulonao watanyakuliwa wenzako wenzako we we bado kwa unafiki
Mbarikiwe sana watumishi wa mungu mmejibu kwa usahihi sana
Yeeees even me i was delivered thru Emmanuel tv
He is a great man..
He brought light into my life.
May the grear man
.man after Gods heart.
Rest my father
A man of God amepumzika,let his highest teachings leads us..profeth Jonathan n apostal Mwamposa,your God's grace have being my blessings forever
RIP to the great man of God Prophet TB Joshua. My heart mouns and rejoices at the same time, God has taken his own home to rest in perfect peace.
I will never forget your teaching of love and forgiveness. We love you, we will always do, will miss you forever more
You will be forever in my heart. Dance with Angles
Amen
Let love lead,toka nimejua mdogooo...
Mwaposa mtu wa hekima Sana
Kila mtumishi ange respect mafuta ya wengine
Baba hekima yako ni ya juuu Sana, Mwenyezi Mungu wetu akupe maisha marefu baba Mwamposa
Mbarikiwe zaidi Makuhani wa Bwana, maana umetusaidia sisi tunao watazama kama kielelezo cha wito wa kazi ya Mungu
He was one of the pastors/prophets whom I had trusted a lot that he is indeed a true man of God. May his soul rest in peace. Amen
Nimeipenda hiyo pointi ''Yesu alijenga kanisa ndani ya wanafunzi''
Mmh,msizunguke! Ukweli ni kwamba alikuwa askari mwenye rank kubwa,yaani kiroho kiukweli alikuwa level ya juu sana!
Pia ameacha alama kubwa kwenye dunia,jamii kupitia Mali,fedha alizokuwa nazo hakujilimbikizia mali!
Jmn prophet hakuwa na tawi na alishakataa!
Ila kuna wale ambao walikuwa chini yake sio km ni matawi!
Tatizo la waislam huwa wanapenda ugomvi lakin wakichokozwa wao wanakuja juu vibaya mno Kila MTU atulize Iman yake cos duniani Kuna Iman nyingi hatankabla ya hz dini kuja Africa kulikuwa na Iman cca usijifanye una haki kumbe ni mdhambi balaa na matendo zero huo ni upumbavu imeishaa hyooo
Halafu imani ya uislamu sijawahi kuielewa aisee ni wabishi wachawi wafuga majini n.k
Mmi ntaukubali uislam ikiwa wameniambia kuwa wamewakataa majini kuwa si wema ni VIUMBE waovu na pia siku mpinga christo atakapoitwa pia mpinga uislam lakin kma SIJASIKIA hii kitu najua ni ndugu zao kbca wa damu jamii ni moja
siwapendi mbwa hao ,yaan mtu yyte akiwa muislam pemben yangu ni mshirikina na mchawi ndivyo nlivo na experience yangu , yaan hata mpenz wangu nlimuacha alivyoniambia ni muislam yaan siwapendi malaya wa kuongea hao
Ya Mungu n mengi wangwna, weka imani yako kw Mungu na yote itakua sawa,sisi sote tu vyombo,
A man of God with special mission!
💔😢😢
Mtumishi tb Joshua umepigana vita sawa.umemaliza mbio.lala salama .
Asanteni kwa faraja
Mtumishi wa Bwana umelala katika Bwana .Tutaonana baadaye
Amen
Alikuwa mpigaji Kama wapigaji wanaomjadili. Kila kitu kina mwisho....
Songa mbele mtume wa mwenyezi mungu
Shujaa amemaliza kazi
Wah ni msikitiko mkubwa Sana alver the world 😳can't believe he's no more
Pole mtumishi
Kweli kabisa kila huruma INA Siri yake
Rest in peace Man of God you are true man of God
May His Soul Rest in Peace. He was really man of God 😢😭🙏
RIP the man of God
May his soul rest in peace 😭🙏🏽
And we waiting any time. One Travel.
RIP profit TB joshua
@@christiankambuga9338 Go to hell
Duh siamin 😭😭😭💔💔💘
RIP the man of God,
All we must return to him R.I.P,,TB joShua
KUMALIZA KAZI KUNATEGEMEA MAKUSUDI YA MUNGU NDANI YAKO. KAMA KAZI YAKE KAMILISHA UKIWA NA UMRI MDOGO SWALA LA UMRI SIYO HOJA.
Tb joshua himself said it before that the age is not the matter the matter is to finish what the man was sent for those who are led by the spirit of God it easier to understand that tb joshua is a real man of God bt if u in flesh everything of God for u it nonsense u will judge by betting bt in God we don't bet we have assurance through faith as communicate with God by the spirit of God almighty
May his soul rest in eternal peace
Rest in eternal life God's general TB Joshua,,😥😥😥😥
Ni mtumishi pekee aliyesaidia wenye uitaji, ajenga shule, makazi, sadaka kwa wasiojiweza, na aliponya wangonjwa, alifungua vifungo, hakuwa mpenda sadaka, alichokipata aligawana na wenyeuitaji,WALIOBAKI WANAKUSANYA LKN HAWATOI
Amen.
Rip mtumishi
Hakika Shujaa amemaliza kazi Apumzike kwa Amani
R.I.p prophet Joshua
Mungu akupumzishe kwa amani
SHALOM. PROPHET TB JOSHUA AMETWALIWA/AMELALA AKIWA AMETOKA KUTUMIKA MADHABAHUNI MWA BWANA. JE WEWE UNAJIHOJI SIKU YAKO IKIFIKA; UTAONDOKA DUNIANI UKIWA UMETOKEA WAPI? Kazini, vilabuni, bar, kwa sangoma; kwa mchepuko; kuiba; hospital; beach? n.k. wapendwa tukae tayari kwasababu hatujui muda wa kuondoka kwetu hapa duniani.
Amina mnoo Mungu atusaidie tumalize mwendo salama
Birds of the same feathers fly together cause how can two walk together unless they agree???. Holy Spirit Devine give us discernment especially this end times!!! Help us to test every spirit and know if it comes from you!!!
Rest in peace
Daaa
Rip tu mshukuru Mungu amemleta hapa Duniani naamechukua kilicho chake japo tumempenda lakini Mungu kampenda zaidi
Nilicho kiona Hawa wote walikua hawamfuatilii nivigumu hata wao kumuelezea
RIP TB.Joshua
Amemaliza kazi ila maumivu ni makubwa kwa Mataifa*+*Xrxixpx BABA TB,Joshuwa*+*
R.I.P
Prophet Tb Joshua Onother level Rpc Baba Umetuacha vifaranga tunaliwa tu na mwewe
Mh
R I P MTUMISHI WA MUNGU
Rest in peace our daddy
R,I,P TB JOSHUA
RIP. May his soul relaxy in heaven
😭😭😭😭😭
Usihukumu maana kwako hakuna mwenyehaki
Eu estou e Moçambique mais eu sou polícia meu nome: José William miliasse eu quero confiar você também confiar meu deus eu quero ser grande chefi também quero viver bem também minha mãe viver bem 🙏
R I P TB joshua
Rip mungu akupunguzie azabu yakaburi
Hana chake keshakwenda motoni. Hakuna mkristo atakae pona. mahala pema Waislamu tu.
Ndio mnavo jidanganya hiv yn binadam ban utafikir ww ulikufa ukafufuka ndio ukaon kwmab wakrist wanakwend motoni nizambi kubwa usipend kuhukumu wakat huw
@@hamisimfaumenamwewe193 unamnyoishea mwenzio kdole kumbuk kunavingin vinaludi kwako
@@hamisimfaumenamwewe193 nasiku zote ukae ujuw kama ulikuwa hujuw sijuw bad kijan sijuw mzee kinacho mpeleka mtu mbingin dini niiman yako wawez swari sawra tano halaf ukawa firauni mkubwa
@@hamisimfaumenamwewe193 yeye kashakufa naww kesha ukiomba maan hujuw siku yak yakuf wal saa basi omba mungu akupe mwisho mwema usianze kumsema malehe nizambi
Rest in peace Tb Joshua
Mzee wa Upako yeye anasemaje....!!?
HUKUONGELEA KWA SABABU . MABABA ZENU WA KIROHO HAWATOKI NJIA MOJA.
Kufa katika Kristo ni faida, nikiskia mtumishi kafa katika huduma ni kupumzika katika Kristo
Kwanini afe mwenyenguvu hivyo 😲
Na hapo nao hao, waliolala kwa kristo, wamepotea. Ikiwa kwa Maisha haya, tutamtumaini kristo, sisi tu masikini kuliko watu wote. Soma 1 Wacorinto 15:18,19)
@@hamisimfaumenamwewe193 anzia mstari wa 12 utaelewa
@@anna19805974 Sawa wewe soma 1 Wacorinto 15:14,15) mie nishasoma na kuelewa kitambo
@@anna19805974 Badili Dini njoo kwa Uislamu raha sana. Dini ya Bwana Yesu
Amen R.I.P Prophet Joshua 🙏😭😭
No no
Rip TB Joshua
Jmnieeee mbona mchungaji mwamposa km anafanana na madebe lidai
😀😀😀 tatizo umemuangalia sana
🤣🤣🤣🤣
Una pepo wew
@@adimmpole9439 me naona anafanana na yeye
TB Joshua ameitwa na aliyemwajiri, kwamba ni Mungu sijui kwamba ni Shetani sijui.
RIp Mungu akulaze màhala pema peponi
Pole sana mtume mwamposa kwa msiba wa mkubwa wa tb Joshua shuja sasa shika usikani sasa
@@amiriramadhani7631 mjomba jina lako ni Amiri lakini unanipa wasi wasi sana
@@amiriramadhani7631 Tumieni majina yenu acheni kuchafuwa majina ya waislam nyinyi
@@ismailjuma3692 unaendekeza huo ukhafiri wenu mbwa nyie , eti kama Amiri ndio asimtakie safar njema ? kwenden huko
@@mamymdogomamy3670 nawe malaya wa kuongea kama mashekhe wenu wachawi tu ,sasa.amekuambia hilo ni jina la.bibi yako ? si la kwake ? au unahisi kila.mtu ana roho ya kishirikina kama wewe
ETI ANAITWA MTUME MWAMPOSA KHAA!!!!
Ulitaka aitweje??
We inakuuma Nini.......au nawe ulikuwa unataka uitwe mtume
We inakuuma Nini.......au nawe ulikuwa unataka uitwe mtume
Unataka tufuatilie online tv yako!!!? Kazi na muda huo hatuna. Wala hujulikani hata na mbwa wa jirani yako
Mtume😎😎, sawa mtumeni awapake mafuta.
Laanatuallah enyi makafiri.mikojo km huyu kumfananisha nimitume mtu wenyewe kujisaidia hatawadhii.
Mpumbavu uliekithiri kaa mbali mpinga Kristo!!
Kuishi ni Kristo na kufa ni faida!
Achana na SSI WWE kenge nni nyie mmezoea zarau na kurithi kwa waarab wa maka
@@capteinchuimchafu7894 hahaha hakuna mtume yyt kuazia adam mpaka muhammad .katokea nchii yakimakharibi.slimuni ili mupate radhii zamungu nyy.
@@zahorsalum663 mmi siwez kusilimu sehemu inayosema majini mema na mabaya akati unajua kuwa hao viumbe ni waovu tu Hakuna mwema ukimzingua mnazinguana na kukuulia mbali ikiwa shetani ni mmoja wa jamii yao huku hyo masih dajali mpinga kristo akitokea humu huku nikiwa nataka kuisikilizia siku moja wamwite massih dajal mpinga uislam mpka kesho sijawah sikia hicho kitu
Do!!? Ndg zetu mnatuachaga hoi mnapeana utume Kama karanga hahahha
Kwani kunatatizo gani?
@@kakorejrboyz6447 tatizo lipo kubwa
@@kakorejrboyz6447 tatizo lipo kwani mchezo kama huo yesu mlimfanya mungu
😂😁😂😂😂 Tunashindwa kuwaelewa kbx
🤣🤣🤣🤣🤣Umeona eeeh
jaman mim kwamawazo yang uwasipend nikiona mtu anamsema mtu vibaya kabisa apadunian kilamtu nanafas yake usipo mpenda mtumishi wamngu bas unaacha tu wenzako waende usiwafanye wengine wafe kwenye zambi au wafe namatatizo nimeona coment nyingi azipendez kwakweli achen mngu afanye kaz yake kama umenielewa gonga likes
Kweli kabisa kila mtu na imanii yakee sijui kwann wanasema we zaoo vby hvooo
Ni kweli kabisa kumsema mwenzako vibaya ni dhambi hata mungu hapendi wewe unaeona dini yako ni Bora basi baki nayo wewe na wenzio waache waamini wanachokiami iman Ni kitu ndani ya mtu coz muwe waelewa kwakua ni watu wazima
@@ramarama6141 yeah upo sahihi kabisa siyo vizurii kabisa Alf hakuna binadam mkamilifi ni mungu pekee yakee
Mtume???
Yani kumbe hizi ndio zama za masihi dhejal zimeshaingia tayari Allah atusitiri yarrab
@@mamymdogomamy3670 kwa kwel asee
@@mamymdogomamy3670 hujui ya biblia endelea Nw Quran!
@@dianajohn3493 Biblia ni katabu gn?? Na ni mtume nani aliepewa kitabu kinacho itwa bibilia?? Ss twajuwa vitabu vinne tu haya cha tano kilitokea wp??? Rudi kwa mola wako acha kumkufuru muumba utaenda ingia motoni ukiwa walia jidanganye ww
@@mamymdogomamy3670 kumbe umesema sisi twajua vitabu vinne! Umeilewa hio sentence? Sisi,"" kumbe ni nyie mwajua! Acha nikuambie ukweli hio ni yenu wala sio yetu... Biblia ni takatifu tena ni kitabu kilicho hakikishwa... Hata ukikiona na kikicklhukia hata ukikichoma kinachofuatia nikuambie??? Zitachapishwa Biblia zingine takatifu elfu 30, Upooooo???
Eti mtu akipatiwa Neema ya kuona kule anaweza kuondoka leoleo unajidanganya Bro Ukifa hali ya kuwa si muislm bx Jua ya Kwamba utkaa motoni milele na milele
Yesu ashstufia msalavani! Waendao motoni wananajijua.
@@peteryukunda9239 Endelea kujindanganya
Ngoja nikupe pole kubwa sanaaaa. Endelea kujihesabia haki wakati kifo hujakiona. Wenzako wanatamani warudi kukwambia okoka we unadili na dini, nakwambia kamwe hyo dini haikupeleki mbinguni. Mwamini YESU KRISTO na kuishi maisha ya KRISTO mbinguni utaenda
@@neemashao4749 Hahaha mwapasiana utume kama Corona ya china😂😂😂vile
Pole Hassan sadiki mashehe wamekudanganya kinyume chake ndio usipompokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako unaenda kuzimu
TB JOSHUA KILA UAPISHO WA MAGULI ALIKUJA NA WAMESHANA MIEZI TU MMMMMH
Hivi jamani mnapata wapi nguvu ya kujiita mtume acheni kukufuru jamani hivi mitume mnawajua kweli
RIP MY DADY PROPHET TB JOSHUA
Hakuna Mtume zama hizi wacheni kudanganyana.
Ismail usi-comment jambo usilolijua.Wapo watu wa imani yako walipata uponyaji kwake
@@bonnyngowo7567 kwani mimi sishangai kwani hata mataktari wanaponyesha ila si kwa uwezo wao bali ni kwa idhni ya Mola.
@@bonnyngowo7567 Sasa hiyo ni Imani au ni uwiblis??
Je Mungu ataiacha nchi bila watu wake wenye kupewa maelekezo na yeye...aaaahhh la asha hapana....hivyo Mungu kuna watu wake Duniani ambao ni manabii na mitume ambao Mungu anawapa maelezo namna ya kuwafundisha watu dunia ....hivyo basi manabii dunian wapo kabsa kwasababu Mungu hawezi kuiacha dunia pekee yake......note
@@archardflorian77 Rudi kwa mola wako umtake msamaha utaenda chomwa ukifa ukiwa kafiri
Aliye waambia kuna kurest in peace ukifa ni nani
Mwanzo huko kuna adhabu ...yaaani no peace at all ila tu kwa walio amini na kufwata aya za Allah Subhana
Kinachonishangaza hawa Wanaojinadi wanatowa huduma za kuponya watu na kufufuwa Wafu (Wachungaji, mitume na manabii) mbona hawawaponyi magonjwa kwa wapendwa wao (famila zao) na Wafiwa wao?!
Badala yake hulalamka/husikitika kuwa wamepata pengo kubwa kwa kuondokewa/kufiwa na wapendwa wao !
Napata kizungumkuti kwa hizo huduma wanazozitangaza kuwa wanazitoa zina mafungamano na Mungu Mola Muumba wa Ukweli?!!!
Kwa Muumini wa kweli kufa ni furaha, sasa kwanini zunadiwe huduma za Ufufuo/kufufua wafu?!
🤮🤡 mwamposa ni mtume au freemason tu
Ulichosikia ndiçho sahihi si usemacho Mungu akusaidie
@@frankjohn8706 mafreemason wote hao
@@nyabahailani3169 Yesu asema ufalme haujifitini màana kama kuna makristo wengi wa uongo na manabii wao lkn hamuwaoni màana ndio mnawakubali kwavile Imani yenu ni moja ubatizo mmoja au hamjabatizwa kabisa Wala kumwamini Yesu au kudanganyika ulibatizwa ukiwa mtoto hao wapo sawa kwenu hatakama Neno linawakataa.ila yule anaefuata Neno la mungu mnampinga kama mababa zenu walivyompinga YESU na kumwambia ana pepo belzebuli.
We unakitu gan wewe unaesema wenzako unaehukumu wenzako kua ni mafreemason wewe unskitu gan kwa ukamilifu gan ulonao watanyakuliwa wenzako wenzako we we bado kwa unafiki
Mwulinze Mungu atakujibu