Kwetu nyumbani ilikuwa nyumba ndogo ya 2 rooms udongo, nilikuwa na vision when i grow up nitajenga permanent house, as I'm typing nimeanza kujenga nyumba ya mawe, our God is always faithful.
Mungu nisaidie kusudi lako litimie kwangu na zaidi uniwezeshe katika maono niliyo kua nayo yatimie katika mwaka huu tunao ingia wa 2025,,,,God bless you pastor George pamoja na kanisa la JRC,,, watching from Kenya.
Haleluyaaa Mungu nashukuru kwa kunikutanisha na Mtumishi wako ingawa ni kwenye mtandao lkn nimejifunza mengi na nimevuka kwa mengi sana natamani siku moja nije mwanza nitoe shuhuda nimshuhudie Mungu.
Ntumishi wa mungu nifuniliye hii ndoto niliota usiku wa kuamukiya leo,Nlipanda gari na katika gari hili ilikuwa imejaa abariya na ilikuwa inajiendesha yenyewe hakuwa Na ndereva hadi tukafika tulipokuwa tunaenda.
Naiweivyo Mtumishi wa Mungu tunajivunia Uwepo wa Mungu alioweka ndani yako kwa ajili ya utukufu wake Mungu. Nawafuatilia nikiwa Marekani Na Ninafurahia sanaa kwa kujifunza Neno lenye nguvu na lenye samani naamini nitafikia (KUSUDI) la Mungu juu ya Maisha yangu Amen.
Kwetu nyumbani ilikuwa nyumba ndogo ya 2 rooms udongo, nilikuwa na vision when i grow up nitajenga permanent house, as I'm typing nimeanza kujenga nyumba ya mawe, our God is always faithful.
Mungu akupe kibali utimize lengo lako Amen, 🙏🏿
Kama Mimi Mungu anisaidie nimalize finishing
Nilikuwa na maono ya Kununuwa shamba mungu ameniwezesha nimenunuwa,Sasa nataka mungu aniwezeshe ninjenge nyumba 🙏🙏🙏
Mungu nisaidie kusudi lako litimie kwangu na zaidi uniwezeshe katika maono niliyo kua nayo yatimie katika mwaka huu tunao ingia wa 2025,,,,God bless you pastor George pamoja na kanisa la JRC,,, watching from Kenya.
Ameni mtumishi maono yangu mwaka huu ni kuvuka hatua nyingine kutoka nilipo kwenda juu zaidi
Amen. God bless you. Naomba bwana anifunulie maono katika maisha yangu. Barikiwa sana mchungaji.
Haleluyaaa Mungu nashukuru kwa kunikutanisha na Mtumishi wako ingawa ni kwenye mtandao lkn nimejifunza mengi na nimevuka kwa mengi sana natamani siku moja nije mwanza nitoe shuhuda nimshuhudie Mungu.
Amina Amina nimebarikiwa sana mchungaji MUNGU akubariki sana kwa somo napokea unabii huu wa leo navuka mwaka salama kwa jina la Yesu kristo
Mungu anipemaono katikamwakahuu
amina baba mungu akupandishe viwango na viwango
AMEN Asante Mungu
Eeh mungu naomba ufadhili wako kw mwaka wa 2025 🙏🙏mchungaji mungu akubariki San
Amen Asante sana pastor kwa somo zuri sanaa
Am blessed na nitafanyia kazi maono ambayo Mungu amenipa….
Amen amen kwa kweli hili neno ni langu ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏
Amena Amena Amena Mungu anipe maono mazuri katika 2025
Amina Amina Amina
Amina mtumishi masomo yako yananibariki
Amina ❤❤
Amen 🙏
Amen,,Mungu akubariki sana Mtumishi
Amen mtumishi mungu atusaidie
Amen Eee Mungu wangu timiza maono yangu 2025
Roho Mtakatifu achilia maono ndani yangu yakatimie 2025. Asantee Yesu ameeeeeen 🙏
Atleast nimefuata unavyofunza na kweli nimepata maono ya 2025na mungu na azidi kukuonekania pastori
Amen
Ntumishi wa mungu nifuniliye hii ndoto niliota usiku wa kuamukiya leo,Nlipanda gari na katika gari hili ilikuwa imejaa abariya na ilikuwa inajiendesha yenyewe hakuwa Na ndereva hadi tukafika tulipokuwa tunaenda.
Bado hujapata kanisa LA kristo unaabudu sehemu haina neno la kweli
Amen barikiwa sana mtumishi wa MUNGU nimejifunza kitu
Mungu akutunze mtumish wa mungi
Naiweivyo Mtumishi wa Mungu tunajivunia Uwepo wa Mungu alioweka ndani yako kwa ajili ya utukufu wake Mungu.
Nawafuatilia nikiwa Marekani Na Ninafurahia sanaa kwa kujifunza Neno lenye nguvu na lenye samani naamini nitafikia (KUSUDI) la Mungu juu ya Maisha yangu Amen.
Mungu anisaidie kukaa na yeye mwaka huu ili niweze kujua maono yangu na kutimiza kusudi lake
Bwana YESU jifunue Kwangu. Nakutumaini wewe pekee
Napokea nyota mpya ya maono yangu ameeeeeen
Nimepokea uponyaji kwa Jina lipitalo majina Yote Jina la Yesu mwana wa MUNGU
Maono yangu 2025 ..BABA MUNGU..tenda kulingana na upendo wako
Halelua
ASANTE YESU
NIMEPOKEA MAONO
UBARIKIWE BABA
Roho mtakatifu naomba unipe maono ya mwaka 2025.
Si kwa uwezo wangu nipo nilivyo ni kwa Neema yk Mungu 🙏
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen 🙏🙏
Amen.
Amina
Amen 🙏🙏
Amen🙏🙏🙏
Nakubali
Amina
Amen
Amina
Amen.