Ushuhuda wake unafanana na wangu nilitupwa shimoni nikaibukia juu sana kwa waliyonitendea nanilivyo kwa sasa hakuna anayeamini ni kamzozo kila cona,nilianza mwaka kwa machozi ya uchungu mkubwa,lkn ilipofika mwezi wa5 mungu akasikia kilio changu amenipa dabo dabo siwezi kuelezea kwa kirefu mungu nishahidi daaaah sifa nautukufu zimrudie mungu awezaye kutenda mambo makuu kuliko yale tuyawazayo na tuyaombayo ameeeen
Hata Mimi wanadamu wamenipa maisha feki,haya si maisha yangu ..naamini kwa mafundisho yako na kwa msaada wa yesu kristo...maisha yangu yatapata kibali kipya
Amen mtumishi wa mugu hakika mungu anarizisha ukuu wake na sifa na utukufu ni kwa shujaa wa msalaba kupitia hizo shuhuda na mimi naomba mungu akanifunguliye milango na nifunguwe biashara yangu kwa jina la yesu kristo amen🙏🙏🙏
Munguuu akubarikiii sanaaaa.....Mchungajiii elionaaa hakika kweli ww ni mwana wa Munguuu utatufundisha mengi mazuriiii na mafundisho yako yamenijengaaa sanaaa
Baba mchungaji Mimi hizi shuhuda huwa zinanitia moyo sana na kunipa hatua ya kusonga mbele.Ubarikiwe sana baba ipo siku nitakanyanga katika madhabahu ya kijitonyama.
Kweli sjayaona bado. Nitamtukuza Mungu kila kukicha,mambo yote yanawezekana mbele za Mungu, Mungu ananipenda sana,na nitayaona matendo yake makuu mno. 🙌Nitasimama tena.🙏🙏🙏
Namshukuru Mungu sana naishi kwa Imani ya MUNGU wangu nayapitia mengi lakini Sina hofu Wala mashaka kwani yupo ambaye ananipambania na sitomuacha kamwe NAMPENDA SANA SANA SANA asante kwa yote naomba pia uitunze Familiya ya mama MUNA tuwe wa Imani daima
Pasta. Umeongea kitu ambacho kimetokea kwenye maisha yangu. Kifupi. Mwaka Jana. Mpk MWAKA huu Mambo yametokea kwenye maisha yangu mpka. Naogopa lkn naamini mungu yupo. Ntasimama. Wote. Wamenikataa lkn nimebaki na mungu tu kwasasa. Nilie zani. Mke nae kanikimbia lkn ndani ya moyo wangu. Naona Kuna nguvu ya utajili. MKubwa mno. Japo. Sasa mambo. Yamekuwa magum sana. Kila nikikata. Tamaa. Nasikia nguvu ndani yangu kuniambia unaweza. Simama. NATAMANI sana. Nikutane na wewe sana. Pasta. 😢
MCHUNGAJI UWE UNANYOOSHA MAELEZO KIDOGO. Sasa mtu alisema hana mtaji halafu unasema ulimwambia afungue kampuni hivohivo inawezekanaje bila hela ukagungua kampuni???
Ushuhuda wake unafanana na wangu nilitupwa shimoni nikaibukia juu sana kwa waliyonitendea nanilivyo kwa sasa hakuna anayeamini ni kamzozo kila cona,nilianza mwaka kwa machozi ya uchungu mkubwa,lkn ilipofika mwezi wa5 mungu akasikia kilio changu amenipa dabo dabo siwezi kuelezea kwa kirefu mungu nishahidi daaaah sifa nautukufu zimrudie mungu awezaye kutenda mambo makuu kuliko yale tuyawazayo na tuyaombayo ameeeen
Amina! Napokea mafundisho ya Leo Kwa Jina la Yesu KRISTO. Barikiwa pastor
Napokea katika jina la Yesu kristo naomba Mungu anisaidie nivuke hapa nilipo
Hata Mimi wanadamu wamenipa maisha feki,haya si maisha yangu ..naamini kwa mafundisho yako na kwa msaada wa yesu kristo...maisha yangu yatapata kibali kipya
Amen mtumishi wa mugu hakika mungu anarizisha ukuu wake na sifa na utukufu ni kwa shujaa wa msalaba kupitia hizo shuhuda na mimi naomba mungu akanifunguliye milango na nifunguwe biashara yangu kwa jina la yesu kristo amen🙏🙏🙏
AMEN, shuhuda zinabariki na kuinua kiwango cha Imani, 🙏.
Munguuu akubarikiii sanaaaa.....Mchungajiii elionaaa hakika kweli ww ni mwana wa Munguuu utatufundisha mengi mazuriiii na mafundisho yako yamenijengaaa sanaaa
Nimeipenda hiyo baba mchungaji uliposema matatizo yapo ila mwenye kuondoa matatizo yupo Amina
ahsante Baba mchungaji,napokea baraka zako
Baba mchungaji Mimi hizi shuhuda huwa zinanitia moyo sana na kunipa hatua ya kusonga mbele.Ubarikiwe sana baba ipo siku nitakanyanga katika madhabahu ya kijitonyama.
Napokea kwa jina la Yesu maisha yangu haya feki nayavua kwa jina la Yesu Amina
Mungu wangu ,Baba yangu, Nimekukimbilia ww .nakuomba nipokee ushuhuda huu uwe njia kwangu
Aminaaa baba naamina maombi yako. Na mungu akuinue azaidi
Kweli sjayaona bado. Nitamtukuza Mungu kila kukicha,mambo yote yanawezekana mbele za Mungu, Mungu ananipenda sana,na nitayaona matendo yake makuu mno. 🙌Nitasimama tena.🙏🙏🙏
Amina Naomba nirudishe nilivyopoteza vyote
Hapa ndio naamini umuhimu wa kuwa mtu wa imani. Yakatishayo tamaa ni mengi mno tuzidi kuombeana 😊
Mungu aturudishie maisha yetu yalo potea
MUNGU nisaidie mimi heavenlight nitoke hapa kwenye haya madeni mana haya sio maisha yangu,kweli mimi ndio huyo wa pili
Namshukuru Mungu sana naishi kwa Imani ya MUNGU wangu nayapitia mengi lakini Sina hofu Wala mashaka kwani yupo ambaye ananipambania na sitomuacha kamwe NAMPENDA SANA SANA SANA asante kwa yote naomba pia uitunze Familiya ya mama MUNA tuwe wa Imani daima
Kwa huu ushuhuda napokea maisha yangu halisi.
Yeah tunapona baba.....najifunza usimdharau mtu yoyote yule Yesu anabariki
Mchungaji MUNGU akubariki sana tunakupenda tunabarikiwa na mahubiri yako
Mungu azidi kukutunza sana mtumishi wa Mungu.
Ameeen Ameeeen Ameen 🙏🙏
Kwa kweli hata sisi tuliombali kidogo na hapo ulipo tunatamani kuwasiliana nawe kabisa...Tunakupateje Baba kwa mawasiliano mengine ukiachana na Huku
Amen mungu nionee huruma mm nimekuasi kwa matendo yangu
Baba MUNGU akuongezee upako zaidi umekuwa mentor wangu sana
Amen, naomba nionane nawe mtumishi. Mimi niko mbozi - Songwe
Amina
Following up from Kenya
Amen amen amen amen amen
Naimani nami nasiku yangu mungu atanitendea barikiwa baba mchugaji 🙏🙏🙏
Mungu nikumbuke nitoke apa nilipo
Ahsante sana baba mchungaji
Fadhila@kombe Amina
Baba Mchungaji kimaro Mimi nainuliwa Sana na mafundisho yako...natamani uniombee..naomba kupata mawasiliano
Mungu atukumbuke na sisi.
Wee Mungu na Mimi napokeaa
Yesu kumbe unatenda kiasi ichi tena na kwangu bac baba nakuomba baba
Hakika Mungu ni mwema Kwa waaminio huo ni ushuhuda halisi
Nikweli matatizo yapo namwenye kuyaondoa pia yupo🙏🙏🙏
Amen Amen
AMEN AMEN AMEN
Natamani kurudi shule, nikafanye Qt
Nimepona
Nisaidie na Mimi nifunguliwe ktk maisha yangu haya sio maisha yangu naitwa Anna Zablon nisaidie mchungaji
Hivi Mch.Kimaro haya mambo unayofundisha hapa mbona ndiyo yananikabili?.Mungu nisaidie nivuke hapa.
Amen
Baba mchungaji niombee na Mimi Mwanangu Mary apate watoto yupo kwenye ndoa mwaka na miezi na anasumbuka Sana na tumbo muombee mchungaji
Anza hospital kwanza!!!!
Amina
Huo ndio Ufalme wa Mungu, umekuwa halisi!
Mmtumishi naomba uniombe napitia sana baba
Aminaaaa
Mchungaji mafanikio yanapatikana kwajitihada au kuongozwa naMungu
Vyote viwili vinahitanika mosi anza na Mungu then jibiidishe na kazi
Mchungaj natamani nionane na wewe angalau naweza kupata msaada nimehangaika sana naomba niambie sehem ulpo nije tuonane
AMINA
Pasta. Umeongea kitu ambacho kimetokea kwenye maisha yangu. Kifupi. Mwaka Jana. Mpk MWAKA huu
Mambo yametokea kwenye maisha yangu mpka. Naogopa lkn naamini mungu yupo. Ntasimama. Wote. Wamenikataa lkn nimebaki na mungu tu kwasasa. Nilie zani. Mke nae kanikimbia lkn ndani ya moyo wangu. Naona Kuna nguvu ya utajili. MKubwa mno.
Japo. Sasa mambo. Yamekuwa magum sana. Kila nikikata. Tamaa. Nasikia nguvu ndani yangu kuniambia unaweza. Simama.
NATAMANI sana. Nikutane na wewe sana. Pasta. 😢
Mungu yu upande wako kaka
MCHUNGAJI UWE UNANYOOSHA MAELEZO KIDOGO. Sasa mtu alisema hana mtaji halafu unasema ulimwambia afungue kampuni hivohivo inawezekanaje bila hela ukagungua kampuni???
Kampuni si alikua ameshafungiwa ndio akapata matatizo
Amen. Amen
Amina
Amen
Amina
Amen
Amen