Namna Majeraha ya Moyo Yamefunga Maisha Yako | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 55

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 4 месяца назад +1

    Mimi nimetendwa na mahusiano nimezalishwa nimeteseka, pili nimepita mapito ya biashara na marafiki wamenitenda wamenijeruhi sana nililia sana, ndugu nao wamenijeruhi niliwasaidia leo wamenitenda baada ya kuishiwa fedha, Mungu nisamehe nilijiapiza sitakaa saidia mtu, na sitakaa msamehe rafiki aliyenitenda na nilijiapiza sitakaa saidia yeyote ktk familia yangu Mungu naomba nirudishie moyo wangu wa utoaji na huruma yangu kwa jamii nisaidie Mungu nirudi mwema zaidi ya mwanzo. Nisaidie Mungu nirudi na moyo wangu mzuri

  • @ChristerKok
    @ChristerKok День назад

    Umetukarabati,ahsante baba mchungaji.Makwazo ya kusaidiana ni mengi pabaya.

  • @gracegesare5313
    @gracegesare5313 4 месяца назад +3

    Mwalimu wa kiroho katika mafundisho yako Padre unatutengeneza kweli mwenyenzi MUNGU akupe umri mrefu

  • @aronnzagabulu2468
    @aronnzagabulu2468 4 месяца назад +2

    Mungu akubaliki sana Baba Mchungaji. Umeniponya maana mimi ni mhanga wa hili. Namwomba Mungu anisamehe sana.

  • @MariamLewis-t4x
    @MariamLewis-t4x 4 месяца назад +6

    😭😭😭😭😭 Mungu nakuomba uniponye, Pastor umepigilia msumari nimelia sana. Neema ya Mungu iingilie kati ktkt mapito ninayopitia 😭😭😭

  • @REHEMAMUNA-p5v
    @REHEMAMUNA-p5v 2 месяца назад

    Mungu atusaidie sana nami pia malengo yana haribiwa sana na watu unaoruhusu malengoni mwako Mungu atutetee sana

  • @miriammbwambo-cr4jn
    @miriammbwambo-cr4jn 4 месяца назад

    Mungu unigange moyo wangu maa nimewapa viapo vingi,Kwa mapito ninayoyapitia kwani natamani Niue mtu,lkn kama Mungu uishivyo utaamuru haya machungu yasiendelee kuka ndani yangu katika Jina layesu kristo Amen🙏🙏🙏

  • @celineshirima3533
    @celineshirima3533 4 месяца назад

    Mchungaji kimaro Mungu wa mbinguni azidi kukutunza nashukuru Mungu kwaajili Yako hakika umenifungua sana sana barikiwa mchungaji wangu wa kiroho Amina.

  • @erikalutevele8362
    @erikalutevele8362 4 месяца назад +1

    Amina baba umeniponya maana ndo wakati ninaopitia kwa sasa nina maumivu yasiyoelezeka lakini namshukuru Mungu kwa yote

  • @bahatiernest1500
    @bahatiernest1500 4 месяца назад +1

    Amina 🙏 Asanteh kwa kuendelea kutufungua mtumishi wa Bwana .. Mungu atuhurumie 🙏

  • @beathakisaka6248
    @beathakisaka6248 4 месяца назад +2

    Nimebarikiwa Sana. Tunakuombea sana. Mungu Aendelee kukutumia

  • @OskaFredrick
    @OskaFredrick 4 месяца назад +1

    ©Asante Rev,thank you for school of Healing

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 4 месяца назад +1

    Mungu anisamehe sana nimepita yote hayo uliyoyataja mch naomba rehema

  • @joyceamamo8564
    @joyceamamo8564 4 месяца назад

    Roho Mtakatifu nisaidie sana. Ubarikiwe sana Mch,

  • @MariamLewis-t4x
    @MariamLewis-t4x 4 месяца назад +1

    Mungu akubariki Baba Mchungaji.

  • @ValentineCherotich-bw1nz
    @ValentineCherotich-bw1nz 4 месяца назад

    Amina mungu nibadilishe nimejifungia kweli baraka kwa sababu ya wenzangu walionijeruhi

  • @samwellukumay4086
    @samwellukumay4086 4 месяца назад +1

    Amina sana mtumishi kwa ujumbe nzuri.

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 4 месяца назад +1

    Asilimia zote za maisha mazuri yapo kwenye moyo
    Asilia Mia moja ya magonjwa yanatokana na kutokusamehe na kuwekeza mavitu mabaya moyoni. Yaani usipo safisha moyo wako hakuna kitu unaweza fanikiwa. Moyo wako umebeba destiny ya maisha yako. Kwenye moyo ka kila kitu kizuri kwako

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 4 месяца назад +1

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi 🙏🙏

  • @AgnesHombeje
    @AgnesHombeje 4 месяца назад

    Kiukwer na Mimi nilijiapiza mungu nifungue

  • @tuchannyitike
    @tuchannyitike 4 месяца назад +1

    Very true,Have mercy on us.Lord

  • @VeronicahMary-c3n
    @VeronicahMary-c3n 23 дня назад

    Amen 🙏🙏🙏

  • @deograsianyoni7521
    @deograsianyoni7521 4 месяца назад +1

    Mungu Tuponye.

  • @forminaformina7694
    @forminaformina7694 4 месяца назад +1

    Amina..mtumishi

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 4 месяца назад

    Mungu tusamehe sana sisi tu wadhambi tunahitaji neema yako

  • @helenlucas2103
    @helenlucas2103 2 месяца назад

    Amen

  • @mamsaramamassawe.4797
    @mamsaramamassawe.4797 3 месяца назад

    MUNGU akubariki sana sana

  • @sabinakinunda3127
    @sabinakinunda3127 4 месяца назад

    Amina baba Ubarikiwe sana.naomba namba Yako .

  • @gracemsilu2757
    @gracemsilu2757 4 месяца назад

    School of healing. Asante baba.

  • @EsterMbena-q4z
    @EsterMbena-q4z 4 месяца назад +2

    Nimegusaswa mtumishi kama ilikua majelaha yangu

  • @ValentineCherotich-bw1nz
    @ValentineCherotich-bw1nz 4 месяца назад

    Amina,

  • @fancytulula9537
    @fancytulula9537 4 месяца назад

    Ameeeen... Pst✅✅✅

  • @grace-rh3vv
    @grace-rh3vv 4 месяца назад

    Amen. Amen

  • @roseofficials7189
    @roseofficials7189 4 месяца назад

    Amina 🙌🏾 napoke uponyaji

  • @hadidjaissa9154
    @hadidjaissa9154 4 месяца назад

    Mungu akubark

  • @CatherineNzeki
    @CatherineNzeki 4 месяца назад

    Mchungaji kama umenihubiri mimi ,nshaumizwa sana na watu nliowahi kuwatendea wema mpaka nkaapa sitawai kusaidia tena ila MUNGU Kupitia kwako umenena nami.MUNGU ANIREHEMU NA WEWE AZIDI KUKUPA HEKIMA

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 4 месяца назад

    Amina

  • @theonestinamushumbusi1381
    @theonestinamushumbusi1381 4 месяца назад

    Asante mchungaji

  • @endeshyamat6773
    @endeshyamat6773 4 месяца назад

    Asante sana pastor

  • @NiceMuro
    @NiceMuro 4 месяца назад +1

    Umenifungua mtumishi kwani Nami NI mmojawapo WA waliojeruhiwa,lakini KUANZIA Leo naomba mungu anifungue

  • @evaomondi8218
    @evaomondi8218 2 месяца назад

    Mtu mbaya akikupoteza, mateso ni ya kwako.Sawa kabisa!

  • @rozaliamashoke324
    @rozaliamashoke324 4 месяца назад

    MUNGU Nisamehe ...
    Na umniponye

  • @vincenciaweja
    @vincenciaweja 25 дней назад

    Ooh my Lord forgive me, I welcomed my inlow later all he abused me aprostitute

  • @DianaMacha-jf8gw
    @DianaMacha-jf8gw 4 месяца назад +1

    Duuu mchungaj mbona leo umenihubiry😢

    • @reginamluviji9405
      @reginamluviji9405 4 месяца назад +3

      tupo sawa jamn hata mm amenigusa ofisin na kuchukia makabila ya watu waloniumiza

  • @newhopeonline5818
    @newhopeonline5818 4 месяца назад +1

    Jamani naomba namba ya huyu mtumishi

  • @reginamluviji9405
    @reginamluviji9405 4 месяца назад +2

    HILI neno la leo ni mm kabisa yan huyu baba kama ameniona mm 🥲

  • @MonicaFasha
    @MonicaFasha 4 месяца назад

    Umegusa sisi tupo. 12 lakini ni matatizo tupu.

  • @SwaiJackson
    @SwaiJackson 4 месяца назад

    Mungo naomba ututangulie kwasababu tunapoteaa wengi

  • @endeshyamat6773
    @endeshyamat6773 4 месяца назад

    😅😅 ila mchungaji mmefanan hadi pua

  • @fleviahella9818
    @fleviahella9818 4 месяца назад

    Gqhlbs
    🙏👩‍⚕️😊

  • @QueenJacob-gd2pq
    @QueenJacob-gd2pq 4 месяца назад

    Aminaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SwaiJackson
    @SwaiJackson 4 месяца назад

    Amina

  • @mamsaramamassawe.4797
    @mamsaramamassawe.4797 3 месяца назад

    Amina