Ni maombi yangu kupitia huduma hiii huko iringa Mungu Wetu mwema Utulindie watoto wetu dhidi ya maovu wanayofanyiwa ikiwemo ubakaji na ulawiti maana ni janga kubwa kwa Sasa tusikie maombi yetu 🙏🙏
Mungu tusaidie kama taifa la Tanzania tupaye kuelewa Mungu anasema na sisi nini juu ya somo hili la mifumo kwasababu linerudiwa mara nyingi nyingi sana,Mungu tupe kuelewa na kufanyia kazi katika kila sekta hasi kifamilia....Amina!
Hakika mwezi ulioisha nalipewa nalipewa taarifa nikiwa hapa china sasa kuwa kuna nihudhurie sasa mtumishi ubarikiwe nipo pamoja nawe kunajambo ambalo MUNGU amekusudia. ubarikiwe nijambo ajabu sana katika ulimwengu wa roho, sasa natamani nikirejea nyumbani nataman haja yangu ipate kibali nitashudia nakumtukuza MUNGU kupitia sermina hii.
Nami muniombeye mimi na jama langu na ndugu zangu na mama yangu. Na inchi yetu ya Congo vita ninyigi sana tunataka Amani
MUNGU ATAMPONYA MAMA YAKO DAMU YA YESU INA NGUVU SANA
Amen Mungu amekusikia
Tunaomba afanye kitu Congo
Tunaiombea amani congo
Mungu awakumbuke watu wa Congo
Asante Mungu kwa kunipa kibali cha kusikiliza semina hii
Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu zaidi❤
Mungu akubariki mwl, umefanyika majibu kwenye maswali yangu mengi, nguvu inayonipa kuendelea mbele.
YESU WANGU NAKUOMBA UNIPE MAARIFA UJUZI ELIMU NA HEKIMA NIWEZE KULIELEWA HILI SOMA LA MIFUMO .
Jambon mwalimu munguawa bariki nimimi Déborah nikiwa Congo goma
Asanteni sana kwa kurusha mafundisho haya kwa njia ya RUclips. Hata tulio mbali tunaweza kunufaika
Aminaaa
❤
Mfalme wa Amani, MUNGU WA MBINGUNI, anaona mioyo yenu, msikate tamaa, iko siku Congo itakuwa na Furaha, Amani na kicheko
Damu ya Yesu ipite kwenye mifumo itusaidie peke yetu hatuwezi Yesu.Roho Mtakatifu tusaidie
Ni maombi yangu kupitia huduma hiii huko iringa Mungu Wetu mwema Utulindie watoto wetu dhidi ya maovu wanayofanyiwa ikiwemo ubakaji na ulawiti maana ni janga kubwa kwa Sasa tusikie maombi yetu 🙏🙏
Mungu Baba tusaidie na Tufundishe namna ya kuiombea mifumo kiusahihi
Mungu Baba naomba unikumbuke na mimi na familia yote 🙌
🙏🙏asante kwa somo zuri
Asante kwakuja iringa umetukung,utavumbi ya ibilisi iliyotushika uchovu wakiroho umetuamsha ktk usingizi wakiroho
Kwa Kweli Wana Iringa Tulifurahii Uwepo Wako Na Ulitutoa Machoz Ulipolia Kwa Ajiri Yetu🙏
Roho ya mpinga kristo iondoke kwenye maisha ya familia yangu kwa jina la yesu kristo
Mungu tusaidie kama taifa la Tanzania tupaye kuelewa Mungu anasema na sisi nini juu ya somo hili la mifumo kwasababu linerudiwa mara nyingi nyingi sana,Mungu tupe kuelewa na kufanyia kazi katika kila sekta hasi kifamilia....Amina!
AMINA
asante Yesu
Yesu nisaidie kupitia ibada hii nivuke
Ubarikiwe Sana mtumishi nabarikiwa nikiwa china
Damu ya Yesu inanena mema.
MUNGU tunakushukuru kwaajili ya hii semina mjini Iringa
Ameni Mungu anisaidie
Hakika mwezi ulioisha nalipewa nalipewa taarifa nikiwa hapa china sasa kuwa kuna nihudhurie sasa mtumishi ubarikiwe nipo pamoja nawe kunajambo ambalo MUNGU amekusudia. ubarikiwe nijambo ajabu sana katika ulimwengu wa roho, sasa natamani nikirejea nyumbani nataman haja yangu ipate kibali nitashudia nakumtukuza MUNGU kupitia sermina hii.
Asante mtumishi kwa kuja iringa😊
Mungu niponye damu yangu
Mungu awabariki sana
MUNGU Nisaidie KATIKA ELIMU yangu
Amen
Vifungo vimekua kelo sana
amina
Yesu tusaidie kwenye hii mifumo
🎉 amen thank you Jesus
Amen thanks
Mungu usiipite familia language Danish ya hii semina
Ameen
Ameeen
Noelia Shores
Naomna nivuke na Mimi
From Hungary
Napokea neema ya kufunguliwa kwenye mifumo
🙏
Mungu nashukuru kwa kuniponya sifa na utukufu ni kwako
Ubalikiwe sana mwalim
Ili somo ni nondo sanaaa, ila ukilielewa na kuweza kuli apply MUNGU atusaidie
Cassie Highway
Bwana asifiwe, naomba watu wa media waruhusu ku download pasipo kuitaji kulipia Asante.
Zulauf Street
Kupitia maombi haya naikabidhi Saudia Arabia mkononi mwa Bwana vita ya Palestine isivuruge ili nirudi Kenya salama
Hii mbona Haina sehemu ya kudaload
Ameni Mungu anisaidie
Amen
Amen
Amen