KIMENUKA; MCHUNGAJI HANANJA AFICHUA YOTE YA TB JOSHUA, WAKRISTO WAMEPAGAWA NIGERIA IMESIMAMA YOTE ..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии •

  • @robertnkyalu3241
    @robertnkyalu3241 Год назад +32

    Kuanzia Leo nakuita Dr Hananja
    Hekima zako wengi hawana
    Big up!! babu yangu Kwa majibu yaliyojaa hekima ndani yake

    • @maliproductiontv5708
      @maliproductiontv5708 Год назад

      Nakuunga mkono atunukiwe na vyuo

    • @rahabuibrahim5324
      @rahabuibrahim5324 Год назад

      Huyu mzee tuna hazina aisee nilimchukulia rahiss kumbeeee duuuu dhahabuu kuliko watu naowajua kanibariki sana

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Год назад +4

    Mchungaji nimekupenda sana Mungu akuweke na akupe maisha marefu na tusiitafute laana Kwa kuongelea vitu ambavo havipo kama wanaweza wapambane na walio hai

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 Год назад +2

    Asante sana mutumishi wa Bwana kwa ujumbe muzuri, karibu tena kwetu IOWA, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.

  • @salomemwambindo8181
    @salomemwambindo8181 Год назад +1

    Mchungaji Mungu akubariki sana kwa hekima yako. Ninakukubali baba.

  • @leahmollel6589
    @leahmollel6589 Год назад +12

    Mch Hananja Mungu akibariki sana! Wewe ni hazina kubwaaa👏👏👏🙏🙏🙏

  • @wiza2309
    @wiza2309 Год назад +11

    Mch Hananja ana Neno, ndiyo maana anaweza kujibu kila aina ya swali kwa Neno, wengibwetu hatuna Neno ila tuna maneno, ni kelele tu kwa jamii na mbele za Mungu. Mungu ambariki sana kwa kazi hii ya kufundisha kupitia mitandao, ni kazi njema na inawafikia watu wengi zaidi walio Wakristo na wasio Wakristo wote tunasikia Neno la Mungu kwa usahihi

    • @GabrielUrassa-b3p
      @GabrielUrassa-b3p 13 дней назад

      Ameen barikiwa kwa kuungana na wengine na kuona hilo

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg Год назад +2

    Asante sana baba kwaufafanuzi mzuri, jamani mtaraniwa kusema vibaya watumishi wa bwana. Mungu tusamehe.

  • @TinaNicolaus
    @TinaNicolaus Год назад +7

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.Una maneno ya hekima na busara sana.

  • @patrickagri185
    @patrickagri185 Год назад +1

    Thank you baba umenena vyema, Mungu akubaliki

  • @sweetlisious
    @sweetlisious Год назад +18

    walidhani wataharibu ukristo ..ukristo utasimama kama Mungu alivyotupa imani

  • @petermbise
    @petermbise Год назад +11

    Mchungaji Hananja nafurahia majibu yako yakiçhungaji Mungu akupe Hekima yakutoa majibu.

  • @josephmandelapenet4587
    @josephmandelapenet4587 Год назад +53

    This Man was an extraordinary he shook the world when he was alive and still shaking when he is dead

  • @maryamsuleiman1509
    @maryamsuleiman1509 Год назад +1

    Asante sana Baba

  • @jaotetv6308
    @jaotetv6308 11 месяцев назад

    Pastor unahekima sana Mungu akuzidishe zaidi.

  • @SHELLAAUSI
    @SHELLAAUSI Год назад +2

    Mungu akubariki mchungaji Ananja kwa hekima ya Kiungu

  • @mauajuma3762
    @mauajuma3762 Год назад +1

    Asantee Baba Mchungaji kwa Hekima zako,wengi tungejua hivi

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 Год назад +9

    Tb Joshua is true man of GOD nimefadika sana ktk maombi hadi sasa. He told us before his death watch and pray 🤲🙏🙏🙏

  • @daphnemasogange7353
    @daphnemasogange7353 Год назад +56

    T b Joshua was a true sevant of God, we miss you our father

    • @dancanmwamafupa6806
      @dancanmwamafupa6806 Год назад

      Mungu ndiye ajuae usimsemee kwa mengi tutaona na tabia ya mtu si kuonekana unahubir tabia ya mtu ni pale anapokuwa peke yake kila binadamu ni mtumishi wa mungu jukumu la binadamu kuumbwa ni kumtumikia muumba wake

  • @marinemodest1798
    @marinemodest1798 Год назад

    Barikiwa Mch. Barikiwa sana

  • @dorcasmasinde7349
    @dorcasmasinde7349 Год назад +2

    Asante sana mtumishi wa mungu kwa majibu ya hekima kama ya mfalme Suleiman mungu na akubariki sana.

  • @gracesylvester3717
    @gracesylvester3717 Год назад +1

    TB JOSHUA 😘😘😘😘 NI PRACTICALLY YESU MWENYEW NDANI YA MWILI WA MWANADAM..

  • @MasawefamilyTv
    @MasawefamilyTv Год назад +1

    This man be protected for all costs ❤

  • @SALOMEMWAILENGE
    @SALOMEMWAILENGE Год назад +5

    Mungu akubariki mch Hananja

  • @Sifam634
    @Sifam634 Год назад +3

    Mungu wa mbinguni azidi kukubariki mutumishi

  • @nestasanga8433
    @nestasanga8433 Год назад +5

    Umenena mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sana,wanapigana na imani Yetu Ili kuzika ukristo na Imani zetu,hawataweza

  • @Teulesmwaseba
    @Teulesmwaseba Год назад +1

    Ukiona vizuri hizi ni roho chafu zilizotumwa kushambulia watumishi wa MUNGU na kuwachafua,lengo ni kushambulia watu imani zao wasimwamwini MUNGU na YESU ili wasiabudu MUNGU, shetani awapate vizuri,..ni vita ya kiroho hii, na nyakati za mwisho hizi watumishi wengi wa MUNGU wanafedheheshwa na kudharirishwa sana..imani ya YESU inashambuliwa sana..

  • @noeldismas7340
    @noeldismas7340 Год назад +1

    Dr. Hananja, umebarikiwa na hekima kubwa, Mungu akubariki mnoo, endelea kuelimisha jamii

  • @MaryPamela
    @MaryPamela Год назад

    Asante kwa hekima yako.

  • @joshuaalsel5828
    @joshuaalsel5828 Год назад +1

    Maombi yakusimanga, umeniuwa na cheko.
    Pasta Mungu akubariki

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Год назад +22

    Hananja ni mchungaji mwenye uwezo mzuri wa kusimamia kweli ya Neno la Mungu

  • @JuniorLameck-ek5es
    @JuniorLameck-ek5es 7 месяцев назад

    Mzee nakukubali sana

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 Год назад +1

    Ukihangalia vizuri hili ni boom lililotengenezwa ili kuharibu u kristo maana ingekua kweli lwanini hawakusema mapema watu wote hao amekosa hata mumoja wakutoa siri kweli Mungu atupe uelevu wa kiroho Ameeeeeen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 hii ni vita ya kiroho pia ni kazi ya shetani tuwe makini sana🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 Год назад

      Kwa hiyo hata Mackenzie angekufa mngekanusha kwanini yeye Tu wamekufa wangapi wasafi hatukusikia ya hivyo 👉 Acha watu wajue aliyo Fanya nyuma ya bible usafi WA ulimi sio usafi wa nafsi,,

  • @EzbonKashaga-u8m
    @EzbonKashaga-u8m Год назад +1

    Mungu akubariki mchungaji,Maombi yangu kwako...uanzishe mahubiri ya mtandaoni..ili wengi tupate kulijua Neno la Mungu kweli..na kweli ituweke huru

  • @gwizalandkingaru6732
    @gwizalandkingaru6732 Год назад +1

    Hao wote ni watu wa mungu ndio maana ukweli wa kanisa unauchambua vilivyo na mwisho watu wanawatengenezea kesi kwa ukweli wao wa kumtangaza mungu

  • @anitavictoire1212
    @anitavictoire1212 Год назад +1

    Nakuamini Ka
    Bisa

  • @BenedictaMagantg
    @BenedictaMagantg Год назад +3

    Well said Mchungaji.

  • @geffdepoet5974
    @geffdepoet5974 Год назад

    Huyu anajua,,barikiwa sana

  • @josephosborne3072
    @josephosborne3072 5 месяцев назад

    Intelligent man

  • @lilianmoyo316
    @lilianmoyo316 Год назад +2

    Ubarikiwe mchunganyi kwa hekima kubwa

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 Год назад +1

    ❤❤❤❤❤much love

  • @neemambunda2004
    @neemambunda2004 Год назад +1

    Heshima yangu kwako mtumishi

  • @ip_header
    @ip_header Год назад +2

    Well said 👏

  • @Electricalmechanicaltanzania
    @Electricalmechanicaltanzania Год назад +17

    Laiti kama TB joshua angekua Mzungu basi hio documentary ingekua ya masia wa Karne hii.
    Moja kati ya mkakati uliopo nikuopress the african Superiority.
    TB a was great Man of God.

    • @sweetlisious
      @sweetlisious Год назад +5

      TB Joshua alikuwa anapinga ushoga na juzi papa aliongea kuhalalisha ushoga wameona makanisa ya kilokole mengi yamepinga sasa wameona wapitie njia ya kuchafua ulokole na wameshindwa.

    • @geofreymilinga2965
      @geofreymilinga2965 Год назад +1

      Kweli Kabisa

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Год назад

      Yes, na mkakati mwingine ni kuua Imani ya kikristo!
      Hapa wala hoja sio tbjoshua

    • @apostle_AngazaGN
      @apostle_AngazaGN Год назад +1

      uko sahihi kabisa,mtu mweusi awe chini kufuta legacy yake kabisa

    • @godson.gidion7338
      @godson.gidion7338 Год назад

      Mchungaji wetu,ni Yesu Kristo,
      Haya yoooote ni kuchafuana,Wapeleke huko Ushoga wao,kwani Mchungaji wetu Hananja, Yupo sawasawa, Yaani sijui hao wanaojitokeza kumchafua Mtu ambaye tayari ni Marehemu ATI inawasaidia nini ?

  • @abubakaldismasdismasdismas7
    @abubakaldismasdismasdismas7 Год назад

    Ubarikiwe sana mchungaji. Hekima uliyo ionyesha ni ya kipekee. T.B Joshua aliwahi kusema kwamba "Midomo ya watumishi wa Mungu ina mamlaka ya na mamlaka hiyo ni kujenga na wala sio kubomoa"

  • @oliviawakaba5649
    @oliviawakaba5649 Год назад +1

    Mtumishi wa Mungu barikiwa sana.

  • @OmegaDelta-z6t
    @OmegaDelta-z6t Год назад +1

    Jamani jamani watanzania acheni kuwachafua watumishi wa Mungu

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 Год назад +1

    MCHUNGAJI HANANJA ANAAKIL SANA

  • @jeaninekabano9190
    @jeaninekabano9190 Год назад

    Huu ni upinzani wa ukristu wa wazi na Huduma ya T B Joshua Mama Evelyn T B Joshua Mungu atamtumia kwa kiwango cha juu yatapita tuu Wakristo kuweni macho ❤

  • @NeemaWilliam-n7t
    @NeemaWilliam-n7t Год назад +1

    Kwakweli baba yangu nakushuru kwa hekima Mungu aliyokupa barikiwa kwa ufafanuzi na hekima iliyotukuka Mungu akutunze na akupe hekima iliyo ya juu sana

  • @rosepodi4127
    @rosepodi4127 Год назад +7

    😂😂😂😂😂Ameen I love this pastor ❤❤

  • @joycekashalaba3575
    @joycekashalaba3575 Год назад

    Asante mchungaji Mungu azidi kukubariki

  • @petermahimbo3458
    @petermahimbo3458 Год назад

    Dr Rich.

  • @aishanelly2026
    @aishanelly2026 Год назад

    Jmani achani maneno..Africa acheni kurubuniwa Ukiristo wet ahuuu wapi Africa!,,, waanatafuta kuendeleza ushoga Africa Mtafuteni Yesu wetu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🧚🏿🧚🏿🧚🏿

  • @nyanchokachacha9954
    @nyanchokachacha9954 Год назад +6

    Umenena vizuri Mchungaji HANANJA

  • @DeusMbalamwezi-h7t
    @DeusMbalamwezi-h7t Год назад +3

    Nashukuru kwa hekimayako Mzee wetu ❤

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 Год назад +3

    HANANJA THE GREAT!

  • @h.jrugashaula1296
    @h.jrugashaula1296 Год назад +1

    Mzee amezungumza kwa hekima sana

  • @FaustinKihambaSaragulwa
    @FaustinKihambaSaragulwa Год назад

    mtumishi uko vzr baba

  • @EricTrillz
    @EricTrillz Год назад +1

    Mwanangu alipokea uponyaji 2016.Na mimi nilipokea blessing nyingi mimi na familia yangu.YOTE YANAYOSEMWA NI UONGO .HAO WALIFUKUZWA KANISANI KW UTOVU WA NIDHAMU.MAAJENTI WA SHETANI.

    • @brendajulius2995
      @brendajulius2995 Год назад

      Kwani waganga hawaponyi wala kubariki ?? Ndugu chunga sana yule mwovu asikupokonye

  • @mohamedmkumbwa
    @mohamedmkumbwa Год назад +5

    True..Mchungaji Hananja..

  • @berthamushi6891
    @berthamushi6891 Год назад +1

    Mtumishi Mungu Akubariki maana Mungu amekufunulia mambo Makuu tena roho hizo zipo nyingi mno za kuwasema watumishi ila kwa ambaye ameshatangulia mbele za haki ni kwamba wanataka kupunguza Nguvu ya Ukristo ili wafanye mambo wanayoyataka.

  • @anza-amenndossa4403
    @anza-amenndossa4403 Год назад +1

    Hawa wote wanaomsema vibaya TB Joshua ni Wafuasi wa MPINGA KRISTO

  • @vukoni1
    @vukoni1 Год назад

    😂😂😂😂 Kila mtu ayingiye uwanjoni ku ingiza goli....
    Ubadiliko ya sauti ni kujifanya kama mtu amesha jua bibilia tayari...
    Uwo mahojiano ni hatari kwa wadanganyifu ya ulimwengu ya leo... Baadhi ya walewanao uwezo la kudangaya Kwa ajili ya kutendea biashara neno ya mwenyezi mungu, wakae stareh siku ya ukumu.
    Shukurani zaidi Mchungaji

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli Год назад +2

    Wivu tu unawasimbua

  • @HappnessJeremia
    @HappnessJeremia Год назад

    Amina mtumishi umenena vyema

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Год назад

    Naisi ni miongoni mwa wachungaji wachache wanaojibu maswali bila unafiki💐💐

  • @sweetlisious
    @sweetlisious Год назад +19

    Hananja una akili sana kwa kusimama na ukristo Mungu akubariki.

  • @leahmollel6589
    @leahmollel6589 Год назад +2

    Nawaza tuu kwa sauti! Haya yanayosemwa kuhusu mtumishi huyu Joshua hivi kwa wazungu kwao hayapoo! Waafrika na wakristo Mungu atupe jicho la tatu😭🙏

  • @masrorynashon1079
    @masrorynashon1079 Год назад

    Baba Mzee hananja Mungu akutangulie unafaa kwa ushauli

  • @oswardmwakalobo7031
    @oswardmwakalobo7031 Год назад +1

    Nakukubar sana

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 Год назад +9

    BBC waongo Sana wanachonganisha dini na WAUMINI

    • @esthersongambele3497
      @esthersongambele3497 11 месяцев назад

      Uko sahihi wachonganishi Sana, wanataka tuharibikiwe na Mungu wetu ni mwema Sana hatarihusu hayo juu yetu

  • @joycekundo-uu5su
    @joycekundo-uu5su Год назад

    Asante Mtumishi kwa ku waelezea mazima kabisa

  • @judicalosika7642
    @judicalosika7642 Год назад +1

    Una AKILI SANA Mch. HANANJA.
    UNASEMA KWELI KABISA KABISA.

  • @mercylema8327
    @mercylema8327 Год назад +2

    Ubarikiwe Mch umesema ukweli Binadamu wengine hawaonagi mema ni kutafuta mabaya tu

  • @angle3600
    @angle3600 Год назад +7

    Nimecheka nimecheka hapo pa watumishi kuhaha,utadhani mganga kaona msekule😂😅

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial Год назад +5

    Baba mwenye hekima ambaye namsikiliza ❤

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 Год назад +1

    Alikuwa anabakwa akiwa wap? Malazote izo ? Kama sio unafki

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc Год назад +2

    Ubarikiwe pasta

  • @faithfaith-zr6gz
    @faithfaith-zr6gz Год назад +2

    Asante baba umenena vema.

  • @stellahzacharia8743
    @stellahzacharia8743 Год назад +1

    Waseme wasemavyo wamepungukiwa na maono mnao msema mtumishi wa Mungu hali hayupo mlikuwa wapi akiwa hai wanao msema vibaya ninyi wenyewe siku yenu ipo mtasemwa na mtatoa hesabu wachumia matumbo mnakazi yeye kamaliza je ya kwenu mmeyaficha

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 Год назад

    The great Hananja

  • @osianamwabuka2321
    @osianamwabuka2321 Год назад +11

    Hao ni mawakala wanatafuta kupotosha kanisa la Mungu,sio wakristo wala wanafunzi wa yesu kweli

    • @loemaangelo8779
      @loemaangelo8779 Год назад

      Mungu akuweke muda mrefu ili uendelefe kutuelimisha nakutufundisha hekima mungu awe pamoja nawe daima

  • @enesskatiti3818
    @enesskatiti3818 Год назад +1

    Mch huyo mwanamke atubu vinginevyo ana laana kwa kumchafua marehemu joshua

  • @allandavid752
    @allandavid752 Год назад

    Mbona hawaandiki documentary ya Bonke??

  • @faithfaith-zr6gz
    @faithfaith-zr6gz Год назад +3

    Asante Asante baba kabisa, Hiyo ni roho ya wivu.

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 Год назад

    Wakristi wajihadhari sana, kwa maana wanashambuliwa kuua Ikristu Bilaa kujijua,
    1. Mata T.B Joshua,
    2. Mara Mwamposa
    3. Mara Papa Francis anapakaziwa hivi, tofaiti kabisa na maneno aliyosema
    Hizo ni mbinu, amkeni wakristu

  • @ApolloniaMwinula
    @ApolloniaMwinula 5 месяцев назад

    Ntashangaa sana,hivi n nn mtu ameshakufa,SS inatusaidia nn hata alitenda machafu! Mtafutege kazi za kufanya!

  • @emmanuelthomas4967
    @emmanuelthomas4967 Год назад +5

    Wewe mtumishi wa MUNGU kweli, wafundishe wachungaji wanaofundisha uganga badala ya NENO. Barikiwa sana Baba.

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Год назад +1

    Points sana

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 Год назад +7

    😂😂😂😂😂Ila huyu Baba nampenda sanaaa

  • @WillywiliamkihongossKihongoss
    @WillywiliamkihongossKihongoss 11 месяцев назад

    Uko vzur mchungaji weka nambazako tukutumie sadaka wafundishe wakristu wenzetu

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 Год назад +1

    Hekima za mchungaji Hananja

  • @nancykiama8734
    @nancykiama8734 Год назад

    Undanganyivu unaolenga watumishi wa mungu hakufanya Yale!!!

  • @tinertv1382
    @tinertv1382 Год назад +6

    Kabisa mtumishi wache wamseme mimi sitanyanyua mdomo nilipokea uponyaji

    • @geofreymilinga2965
      @geofreymilinga2965 Год назад +1

      Tupo pamoja na mm nilipokea Uponyaji ambao madaktar bingwa walishindwa

  • @irenesanga1255
    @irenesanga1255 Год назад

    Ukristo haufi kwa kashfa za Joshua. Walikuwa wapi? Mungu ndiye hakim wa Joshua ni Mungu. Ukristo daima

  • @جاااحظمجنون
    @جاااحظمجنون Год назад

    Hapa nikanisa linachafuliwa so wakirito tuwe macho hizi siku n za mwisho Huyu TB Joshua alisaidia weji sana Mungu tusaidie😢😢😢😢😢😢

  • @janetkiewo351
    @janetkiewo351 Год назад +54

    Walimsema Bwana Yesu ubaya wa kila namna yeye akiwa mti mbichi watamwachaje T.B. Joshua? Shetani anatafuta kulipa kisasi alikanyagwa sana na T.B. Jishua. Hakuna jipya. Bwana Yesu aliwaasa wanafunzi wake kuhusu haya haya! Mungu ailaze pahali pema roho ya T.B. Joshua.

    • @paschalsafari9747
      @paschalsafari9747 Год назад +3

      Alikuwa wakala wa shetani

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 Год назад +1

      ​@@paschalsafari9747yesu alikuwa wakala wa shetani?duuh wew kwel duuh, rudi kuzimu muda wenu bado haujafika

    • @lellovenance5702
      @lellovenance5702 Год назад

      Watu walitishwa waliogopa kufa alikuwa na pawa haya yule aliyemfata akiwa anajirekodi mbona alijikataa tena mbona ni kikundi cha watu, lakin yesu alionya watakuja watatumia jina lake vibaya

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 Год назад

      @@lellovenance5702 hivi wew kwa akil zako mtu anabakwa mara tatu, wanafunz wak weng tu wanapinga hiyo ishu, tb Joshua alishaingia kweny ugomv na media na magharib alipokuwa against ushoga bro, tatizo lilianzia hapo, fuatilia, Yesu mwenyew katukanwa na kasingiziwa mengi, soma talmud utajua, matunda ya tb Joshua meng ni mema, hta nafundisho yak,nafikir tujikite kweny mazur maana mengi sana achana kusuport huu uongo, pawa gan wew mbele ya bbc

    • @LastdayJesu4153
      @LastdayJesu4153 Год назад +2

      Siku za mwisho zinaambatana na watu wenye tabia hizi zinazoendelea hakuna jipya mtumishi.

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Год назад +1

    Labda wanataka kufilisi na kuweka zuio katika kanisa

  • @PhilomenaStephern
    @PhilomenaStephern Год назад +4

    NI NJIA YA MPINGA KRISTO.
    WANACHAFUA WATU WA MUNGU ILI KONDOO WATAWANYIKE.
    NA WATUMISHI WENGINE WASUBIRI YAMETABIRIWA NA WAKRISTO WENGINE MAMBO YANAWAIJIA OMBENI SANA
    MAMBO YAMEANZA MTAONA NA MTASIKIA MENGI.
    TUOMBE SANA SANA WAKRISTOTUKO VITANI TUOMBE SANA.

  • @danielmushi5755
    @danielmushi5755 Год назад +3

    Hao wanaosema kuhusu TBJOSHUA ni waovu mno ,mie nilifika Kanisani kwake,nilikutanaye naye ,aliniombea na nilipona.Lengo la hawa wahuni ni kupinga Ukristo.