Wao washamba watakuja kumukumbuka Simba akija kufa Mana Tanzania ndivo huwainakuwaga hivo mtu akifa ndowanamusifia mafala hao alikiba hamonaizi hawana pesa Ila kelele nyingi
Babalevo unasemaje boss wako atafuta njia yakutoka njee.wakati alipiga nyimbo na neyo kma alivyo sema S2kizy bt alivimba kichwa akaona ashafika hpo ndio alifelii
Mi mkenya ila nawashangaa sana watanzania kwanza inafaa mumchingee diamond sanamu yeye ndio kawafanya nyote na wasanie wenu mujue kama mziki ni hela, angeku hapatani na mamake ningesema kalaaaniwa ndiio hamumthamini, ila hata akafanya nyimbo mbovu, munafaa mumsalute manake ndio kawainesha njia, sasaivi yutube ya tz bela kupist diamond sijui kafanyaje watu hawawezi kuview sa munampaka matope mupate viewers alafu upate mlo wa siku, niliumia sana kuona nyote sikuzile mulimpa burna boy badala ya kaka yenu na wimbo wake wa WAAH ulikua unatikisa dunia nzima kipindi kile shem on you
Uyo chawa wa diamond awezi kumponda ata kidogo ila ukweli anaujua vzr tu kila siku naongea uyo ni producer wa WCB kama watu hawajui hicho kitu mbona clouds aendi ni wasafi tu
Diamond ni msani wa dunia Naima sio tu tz ata apo Congo anapendwa sana,Ila nitawaomba wa Tanzania mumweshimu msani wenu diamond kwasababu bila yeye kama Tanzania kimziki ungekuwa Chini mno
Burna boy hawezi copy kitu kwa mtu,,,semeni hamna la kuongea,,diamond ana copy mbaya,,,sijaona jipya kwake?,,hata konde ndio kwambaaali kama anafanya kitu
Ukiwa karibu na Diamond platnumz razima ubadirishe maisha...WCB for life👍👍👍
Wivu wao utawaua Simba Baba lao❤️❤️❤️
Kama sio wivu na makasiriko huezi kushindanish Mond🦁 na vitu vya ajabu apa east Africa,
kama humpend sema tu.
Wao washamba watakuja kumukumbuka Simba akija kufa Mana Tanzania ndivo huwainakuwaga hivo mtu akifa ndowanamusifia mafala hao alikiba hamonaizi hawana pesa Ila kelele nyingi
Weeeeee Zombie !!!!!!Haujuiiii…!!!!Ni Simba la Masimba Dangoteee😂😂😂😂😂
😂
@@bigflexatz jamaa anawaburuza sanaa kwny issue ya ubunifu😆😆😆😆
Wabongo ingieni darasani msome kizungu msongeze wasanii wenu mbele kiswahili hakitawapeleka mbali zaidi ya East African
Simba diamond 🇹🇿
5:44 Eti hamna nyimbo hapo
😁😂😂😂
Babalevo unasemaje boss wako atafuta njia yakutoka njee.wakati alipiga nyimbo na neyo kma alivyo sema S2kizy bt alivimba kichwa akaona ashafika hpo ndio alifelii
Mi mkenya ila nawashangaa sana watanzania kwanza inafaa mumchingee diamond sanamu yeye ndio kawafanya nyote na wasanie wenu mujue kama mziki ni hela, angeku hapatani na mamake ningesema kalaaaniwa ndiio hamumthamini, ila hata akafanya nyimbo mbovu, munafaa mumsalute manake ndio kawainesha njia, sasaivi yutube ya tz bela kupist diamond sijui kafanyaje watu hawawezi kuview sa munampaka matope mupate viewers alafu upate mlo wa siku, niliumia sana kuona nyote sikuzile mulimpa burna boy badala ya kaka yenu na wimbo wake wa WAAH ulikua unatikisa dunia nzima kipindi kile shem on you
Noma
😂😂ni kweli.hatuchelewi kusema hamna nyimbo
WW ND unahakil umeongeza point
Tatizo wabongo atupendani
B levo .....noma
Msijisumbuwe kuwa elimisha wanaigeria na wabongo walio vichwa maji
Poa Sana b Levo ba na S2KYZ Baby na wapenda Sana Mondi Watu wanao msema vibaa niwale wanaona hawana level yake i mean wana muwonea wivu.
Hapo Sasa nimeelewa kwann watanzania hawapendi kujiripua kuimba na wamerekan kwamana ni gharama sana
Ety watamuuwa bosi wangu😂😂😂
Am watuwambiadaimondplatnam ikiwagoldkidogoniwake wamdamlefu kutafutanakujiludisha amtumiepesa maana atazawadi atakiwakumpa
Hani nayo sio wimbo baba levo ni kelele.
Kweli kabisa watanzania tunangoja uanguke
Watanzania ni hatari sana😂😂😂 hamna nyimbo hapo
Huwezi kulinganisha domo na burnaboy hell nooooooo
Kwamba burnaboy anakunya dhahabu
B levo chawa pro max
S2kizz baba lao🧐
Dah aisee Tanzania tunakwama sn kw roho zet wenyw
Wanaigeria majuu wako wengi msidanganywe
😂😂😂😂😂watamua boss wako
watakubali tu
Facts zombiee🤑🤑
Ila bongo ni noma kwakweli
Baba levo kua elimisha. Watu wa kulipe😂😂
Ni SIMBA la MA SIMBA SIMBA DUME SIMBA DANGOTE
Simba ❤
Uyo chawa wa diamond awezi kumponda ata kidogo ila ukweli anaujua vzr tu kila siku naongea uyo ni producer wa WCB kama watu hawajui hicho kitu mbona clouds aendi ni wasafi tu
Kwa hiyo kumbe tz nzima lzm aende clouds elimu muhimu
Diamond ni msani wa dunia Naima sio tu tz ata apo Congo anapendwa sana,Ila nitawaomba wa Tanzania mumweshimu msani wenu diamond kwasababu bila yeye kama Tanzania kimziki ungekuwa Chini mno
We zombi noma sana
Negeria wanajaza sababu wapo wengi UK na USA huwezi linganisha.
Anafanya vizuri Nigeria....mfyuuu...ama anafanya kisiri
Waliokua wanazungumzia watanzania wajing ndo hawa
Sasa we ujui diamond anaongoza trending nigeria
Yani nyie ndio wale wale wanaowazungumzia! Hamsupport vya kwenu
Sasa bando lako la jero utapatajee taaarifaa
aisee lzm uteseke
Hamna nyimbo hapo kaiongea kwa uchungu
cha ajabu upo unasililiza habari zake
Umeongea kweli s2kz l. Sisi hatupendi na kufanikiwa ni ngumu sana.
Zombie umenena vyema
jaman ayraStaa ile sability si code za awilo
😂
Zombie,,101
We zombii haujui
Burna boy hawezi copy kitu kwa mtu,,,semeni hamna la kuongea,,diamond ana copy mbaya,,,sijaona jipya kwake?,,hata konde ndio kwambaaali kama anafanya kitu
zombiiiiiii point m2puuuu
ETI HAMNA NYIMBO APO
🤣🤣🤣
😂😂
Kweri zombie
Mondi