Shida ya jeshi na raia Tanzania ni kupiga. Wanajeshi katika Tanzania kuna amani sana kwahiyo hakuna vita sasa nawao wamelelewa na kujazwa kupigana. Tanzania ni amani na waoa wedhajzwa kupigana ndio maana kazi yao kubwa ni kupiga raia ambao hata fimbo hawana. Wanajeshi wetu TZ wote popote waonevu. Unapogwa na Jeshi ukaripoti polisi kwanza polish wanaufyata mkia mbele ya Jeshi. Halafu unapigw na golira unashtaki kwa nyani. Unachekesha sana. Wanajeshi waonevu sana.
Kamanda ametulia sana kwenye majibu,ndio uzuri wa kuajiri wanajeshinwasomi hayo mambo ya kupiga raia yalisha pitwa na wakati,ila ulinzi wa nchi na kambi,japo he has to respect the civilian leaders including the DC na inaonekana DC amejaribu otherway round na ameshindwa
Wananchi wanapenda kuvamia maeneo halafu baadae sheria inapochukuwa mkondo wanaanza kulalamika kwenye mikutano ya Wanasiasa, acha sheria ichukuwe mkondo
Tanzania sizani kama ukipigwa na mwanajeshi utaenda polisi haki utaipata sizani ila wananchi mkimpiga mwanajeshi mtafute nchi ya kuenda kuishi. Nnachoamini meno ya mbwa hayang'atani na siku zote kunguru muoga hukimbiza ubawa wake.
Wakenda Congo wanapigwa kama bisi hasira zao zinarudi kwa raia. Mimi hunambii, jeshi namuogopa hata kukaa kiti kimoja kwenye dala dala akiniangali miguu inanitetemeka. Mara utaambiwa ngariaa mbere unamuangaria nani mmh haa ?!!
Na Jeshi pia lipeleke vielelezo vya tangu 1969 kwamba wao ndio wamiliki. Maamuzi yatatokana na vielelezo halali vya makundi yote matatuu..... vya Jeshi, vya wamiliki na wizara ya ardhi, na vya wenyeji wa tangu mwaka1969... historia na vielelezo mahakamani ni muhimu sana...
Yawezekana kwl jeshi limekosea lakn mkuu wa wilaya anaongea kishabiki ili ashangiliwe. Kasahau kuwa yy ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya na jeshi linamlinda km mteule wa rais. Alitakiwa asolve problem kwa hekima na sio uchochezi wa jeshi kwa wananchi, haisaidii. Mkuu wa wilaya mchochezi tu kwa maneno yake. Hajaongea kisomi
Sasa kama jeshi ni lawananchi manakeke ni familia moja. Ila jeshi haliwagi rafiki na mwananchi, na wanaweza kutembeza kibano, haijalishi wewe nani wala una umri gani. Bora jina la jeshi la wananchi libadilishwe tu.
Kivipi, Acha ujinga, Makonda yupo juu ya sheria? Angenyang'anya ardhi akawapa jeshi, au angelinyang'anya jeshi, RC Chalamila hataki Kiki, anafuata sheria na taratibu, kifupi anaheshimu utawala wa Sheria
Hii nchi issue ya ardhi imeharibiwa na watendaji vilaza wa serikalini. Rushwa wizi ndio imepelekea hali hii leo. Jeshi lazima litengewe maeneo spesho nchi nzima. Na mipaka ijengwe inayoonyesha eneo hilo ni la jeshi. Hii ni mipango ya permanent kwa maeneo ya jeshi. Master plan ya nchi nzima yatengewe maeneo ya jeshi.
Sasa Wananchi Awana Mazoezi Kipigo Cha Kazi Gani Wewe Mjeda Mpaka Umeitwa Mjeda Kwasababu Umefunzwa Mazoezi Sasa Kwenda Kumpiga Mtu Asie Na Mazoezi Ni Uonevu Usio Na Mana Shelia Za Nchi Zipo
Jeshi nini mimi niliasi jeshi kwa ujinga wa kupiga wananchi bila kosa na niliwapiga wanajeshi wenzangu kwa ujinga wao na wanachi msiogope pambaneni nao hawana ubavu zaidi tu wao watakuja na silah mkiwazidi msiogope nguo
Jeshi linapofanya maamuzii liheshhimiwe na si busara kutatua migogoro na Jeshii letu.hadharani na kubishana..Mkuu wa Wilaya hapo hapana busara itumike..Jeshi letu lipo kwa ajili ya kutulinda..vikao vya ndani vianze kwanza..ardhi Tanzania ni kubwa Sana wananchi wakapewe eneo lingine lengo ni mipaka yetu iwe salama na ilindwe..Viva JWTZ❤❤❤❤
Tatizo la ccwatanzania uwoga mwingi nenda hata makao makuu yajeshi utasikilizwa kunawengine wanajeshi hawana tamaa navitu vyawatu hiyo nitamaa tu Imewaingiya
Jeshi ni mali ya wananchi,huanza jeshi kufika kisha maisha ya wananchi yafuate,ikifikia hatua jeshi haliwezi kuendelea na shughuli zake sababu ya uwepo wa wananchi,basi linatakiwa kutafuta eneo jingine kwa ajili ya shughuli zake. Jeshi linaweza kupewa eneo lolote na likaendelea na shughuli zake,ila wananchi inawezakuwa changamoto zaidi.
Jeshi kupiga wananchi sio sawa wao Wana mazoezi wananchi hawana mazoezi mkuu wa majeshi aliangarie Ilo adi kule karagwe kagera wanajeshi wanachukua wake za watu mwanaume ukileta kujitetea unapewa kwata vijana wanaotoka dapple wanasumbua sana kwenye jeshi letu mkuu wa majeshi aliangarie kwa jicho la Tatu isiwepo chuki kati ya jeshi na Raia mambo ya kupigana waachieni Askari police ndo wanalinda raia na Mali zake
Ukiamua hivo sawa ila kama una plan kubwa za maisha yako unakuwa mpole pamoja na kuchukua mkeo huyo ni binadamu pia ana mapungufu yake subira inatakiwa sana kwenye jambo kama Hilo ndo maana Kuna wakubwa wa hizo kesi japo inaumiza ila no namna
Busara wakajitetee wapi? Akhera mbele ya uwanja wa hukumu? Sasa wakisubiri kujitetea akhera muda utakua umeisha, hapo ni kusukumwa jehanam kwa kupiga wenzao, wajitetee kabisa.
Hivi wafrika tunakwama wapi?Mchina ana hati ya kumiliki lakini muafrika asie mtanzania anaekewa vikwazo kama vyote.Is that really pan africanisim which mwalimu championed it?
Wengine mnacoment msicho kijua napia kuna kulewa Amani ndan yake ndiomana mnatusi jeshi . Na jeshi halina shida na maeneo km mkiona jeshi linawakera mlihamishe liende hata mkoa Mwingine na usalama wa maeneo hayo kuanzia banadar na usawa wa bahari mlinde nyie.
Kwahiyo mkuu wa wilaya na yeye anaongea kama raia tu au hajui mamlaka yake ndani ya wilaya yake et leo mkuu wa mkoa tunaomba utusaidie useme neno tupone kwahiyo inamanisha yeye hatoshi kwenye wilaya yake husika
Kuna jeda mmoja eti alinizingua eti nivue nguo yenye rangi zao,ni nani mwenye haki miliki ya rangi duniani hilo la kwanza wajeda wa tz ni wajinga walio wengi hasa hawa wadogodogo wakitoka mafunzoni tu ni kwenda kuonea raia ndio maana mkienda kongo mna dediii
Wewe tii maagizo tu, kwa nini huvai kanzu ya kiislamu kama wewe ni mkristo au kwa nini usivae joho la padri? Kama wewe mwanamke kwa nini usivae ya kiume, au kama Wewe mwanaume kwa nini usivae sidiria? Wewe heshimu tu taratibu, basi.
Anaongea kutaka sifa mbele ya wananchi wakati yeye ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilaya. Na Jeshi ndio linamlinda. Alitakiwa aongee kisomi ili kuweka mambo sawa na sio kulikandamiza jeshi km aongeavyo. Mi simo😂
@@Wamoyothenumberone hakutakiwa kuzungumza vile kwa mkuu wa kikosi cha Jeshi la wananchi wake ...akiwa kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilaya ... Kazungumza lugha ya kutokumuamini yule kamanda,isiyo na busara ... Angetumia akili kidogo ingesaidia...anyway watatatua
Hapo chanzo ni serikali inashindwa kutenga maeneo,hasa linapokuja swala.la fidia .Wananchi ni kama upepo tu na wanajisikia fahari kuishi karibu na kambi za jeshi,yakitokea ya kutokea kama Mbagala wataelewa tu,ccm mmeshindwa kutawala,mkuu wa wilaya anatamani kuongoza.mgogoro.
Hapa unatamani Makonda ndo angelisimama hapo hili jambo lingeisha papo kwa papo... Kingine hii nchi kuna viongozi wameamua kuwa machawa hadharani sasa hiyo kofia aloivaa SSH inatafta nn hapo kama siyo uzwa....
Kwani kila mkuu wa mkoa anavaa hiyo kofia? Hayo ni mapenzi yake na uhuru wake wee hutakiwi kuumia sababu binafsi yako uwezi kuvaa kofia ya namna hiyo pia maamuzi yako yanaheshimiwa.
DC hayo mambo ni ya ndani, Wewe ni kiongozi wa ulinzi na usalama kwenye wilaya, hukupaswa kulalamika hapo, hayo mambo ungeyashughulikia kabla ya ziara ya RC, wewe ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya, hivyo vyombo vipo chini yako
Yani mkuu wa mkubwa chalamila hamnakitu Yani anaambia co kwamba simamisheni kupiga watu kwanza rusubiri Yani wanajeshi Kuna Sheria inasema wanajeshi kukiwa na mgogoro na wananchi wawapige wewe mkuu wa mkowa hufai kabisa Rudi shule,
Kama vip km mnaona jeshi linawasumbuwa mlihamishe likakae hata kigoma mbaki na kigambon yenu jeshi hawana shida na maeneo wenyewe popote mkisema wahamie wanahamia .
Kama hawasiki na Wananchi wake wanapigwa afanyeje kama wewe utetei Wananchi wanaoishi kwenye ardhi Wanamiliki kihalali atete nani? Wavamizi ambawo wanasema uwongo mbele za Mamlaka mbili? Mkoa na Wilaya nani Mkuu wa Kamati ya Ulinzi ? Acha atutete tuna hati na ardhi ni yetu Sio Yao ndio tunapigwa hamna uwongo hapo

HONGERA CHALAMILA KWA KUFUATA MISINGI YA UTAWALA BORA
AIBU KUBWA KAMA JESHI LINA PIGA WATU
Shida ya jeshi na raia Tanzania ni kupiga. Wanajeshi katika Tanzania kuna amani sana kwahiyo hakuna vita sasa nawao wamelelewa na kujazwa kupigana. Tanzania ni amani na waoa wedhajzwa kupigana ndio maana kazi yao kubwa ni kupiga raia ambao hata fimbo hawana. Wanajeshi wetu TZ wote popote waonevu. Unapogwa na Jeshi ukaripoti polisi kwanza polish wanaufyata mkia mbele ya Jeshi. Halafu unapigw na golira unashtaki kwa nyani. Unachekesha sana. Wanajeshi waonevu sana.
Walikuonea wapi au unachuki nao jisemee wewe usifate mkumbo
Inaonekana jeshi wanafosi kuchkuwa ilo eneo 😢
Kamanda ametulia sana kwenye majibu,ndio uzuri wa kuajiri wanajeshinwasomi hayo mambo ya kupiga raia yalisha pitwa na wakati,ila ulinzi wa nchi na kambi,japo he has to respect the civilian leaders including the DC na inaonekana DC amejaribu otherway round na ameshindwa
Jeshi letu tunalo amini
Kutulinda leo ndio linawadunda wanainchi aibu sana😢.. Alafu Jeshi sindio serikali
Makonda amewamshaaaaaa
Shala hilo lifike kwa Rais
Wananchi wanapenda kuvamia maeneo halafu baadae sheria inapochukuwa mkondo wanaanza kulalamika kwenye mikutano ya Wanasiasa, acha sheria ichukuwe mkondo
Hh a akl
Tanzania sizani kama ukipigwa na mwanajeshi utaenda polisi haki utaipata sizani ila wananchi mkimpiga mwanajeshi mtafute nchi ya kuenda kuishi. Nnachoamini meno ya mbwa hayang'atani na siku zote kunguru muoga hukimbiza ubawa wake.
Wakenda Congo wanapigwa kama bisi hasira zao zinarudi kwa raia. Mimi hunambii, jeshi namuogopa hata kukaa kiti kimoja kwenye dala dala akiniangali miguu inanitetemeka. Mara utaambiwa ngariaa mbere unamuangaria nani mmh haa ?!!
Usiogope kwani umemfanya nn?
Na Jeshi pia lipeleke vielelezo vya tangu 1969 kwamba wao ndio wamiliki. Maamuzi yatatokana na vielelezo halali vya makundi yote matatuu..... vya Jeshi, vya wamiliki na wizara ya ardhi, na vya wenyeji wa tangu mwaka1969... historia na vielelezo mahakamani ni muhimu sana...
Huyu ndio Mkuu wa wilaya anaejitambua, apandishwe cheo anastahili
Aisee kwa uelewa wako!
Kwanza hao wajeshi maeneo Yao yote hayana hati
Yawezekana kwl jeshi limekosea lakn mkuu wa wilaya anaongea kishabiki ili ashangiliwe. Kasahau kuwa yy ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya na jeshi linamlinda km mteule wa rais. Alitakiwa asolve problem kwa hekima na sio uchochezi wa jeshi kwa wananchi, haisaidii. Mkuu wa wilaya mchochezi tu kwa maneno yake. Hajaongea kisomi
inaonekana kabisa jeshi ndyoo lenye tatzo na dhuluma zitawaangamiza watu
Kuna vitu havipo sawa,,,mkuu wa wilaya ni mwenykt wa usalama kwenye wilaya. Ko ni kama haya mazungumzo mm tu nimejiuliza
Sasa kama jeshi ni lawananchi manakeke ni familia moja. Ila jeshi haliwagi rafiki na mwananchi, na wanaweza kutembeza kibano, haijalishi wewe nani wala una umri gani. Bora jina la jeshi la wananchi libadilishwe tu.
Kwani nyie huwa mnapigwa na wanajeshi kwenye matukio gani mbona sis huu mwakwa wa arobain tunaishi nao jirani bila vita
Jeshi kuweni wa kweli
Eneo ni lajesh Wananch wamevamia
Jeshi kama mnawapiga wananchi kweli mnawakosea sanaa wananchi maana tunawategemeeni nyie.
Nyie Wanajeshi mnaopiga raia.. Hamuoni aibu... Nendeni Kongo hukoo mkapigane na wenye mafunzo wenzenu.... Achane kuonea raia wema
Punguza mdomo
@@DennisMkumbala acha kuingilia mambo wew
Ndugu yangu punguza mdomo ,,,,ujuaji sio mzuri
@@DennisMkumbalaAcha upumbavu kama wewe mwanajeshi nenda kapigane congo huko sio unaleta upumbavu hapa
@@mayanmlingwa4250Tulia dawa ikuingie wewe
Hii case angekuwa Makonda ingeisha hapahapa
Umesema kweli
Kivipi, Acha ujinga, Makonda yupo juu ya sheria? Angenyang'anya ardhi akawapa jeshi, au angelinyang'anya jeshi, RC Chalamila hataki Kiki, anafuata sheria na taratibu, kifupi anaheshimu utawala wa Sheria
HONGERA CHALAMILA KWA KUWA UNAFUATA UTAWALA WA SHERIA
@@PeterJohn-sg4oeLkn ujue mkuu wa mkoa ndiye mkubwa kwa majeshi yote yaliopo kwenye mkoa wake
Jeshi la Bongo
Hii nchi issue ya ardhi imeharibiwa na watendaji vilaza wa serikalini. Rushwa wizi ndio imepelekea hali hii leo.
Jeshi lazima litengewe maeneo spesho nchi nzima. Na mipaka ijengwe inayoonyesha eneo hilo ni la jeshi. Hii ni mipango ya permanent kwa maeneo ya jeshi. Master plan ya nchi nzima yatengewe maeneo ya jeshi.
Kosa ni sera ya serikali kutokua na taasisi rasmi inayosimamia arthi kutoa vibali na kuacha hawa viongozi weny njaa, unategemea nini??
Huyu brigedia atumbuliwe anaharibu Image ya Jeshi la wananchi kazi yao nikulinda mipaka nasio kupora ardhi😢
Sasa Wananchi Awana Mazoezi Kipigo Cha Kazi Gani Wewe Mjeda Mpaka Umeitwa Mjeda Kwasababu Umefunzwa Mazoezi Sasa Kwenda Kumpiga Mtu Asie Na Mazoezi Ni Uonevu Usio Na Mana Shelia Za Nchi Zipo
Jesh lnapiga wtu jesh lenyew dhaifu bla n siraha znawabeba
YAANI JESHI SASA HIVI LIMEKUWA LA KIHUNI SANA 😂😂😂 SASA WANAPIGA RAIA ILI IWEJE SI UPUMBAVU HUO
Sema abubakar chalamila mtu sana dar anaiweza
Jeshi nini mimi niliasi jeshi kwa ujinga wa kupiga wananchi bila kosa na niliwapiga wanajeshi wenzangu kwa ujinga wao na wanachi msiogope pambaneni nao hawana ubavu zaidi tu wao watakuja na silah mkiwazidi msiogope nguo
😂😂😂😂acha kuhqmasishq watu....nenda kawapige wewe
Kwahiyo kwakuwa wewe ulifanya ujinga huo unataka na wananchi wadharau jeshi lao linalowalinda?
Ulistahili kuondoka jeshini
Tatazo wanajeshi wa Kiafrika Ubabe mwingi. Kwasababu untouchable
Jeshi linapofanya maamuzii liheshhimiwe na si busara kutatua migogoro na Jeshii letu.hadharani na kubishana..Mkuu wa Wilaya hapo hapana busara itumike..Jeshi letu lipo kwa ajili ya kutulinda..vikao vya ndani vianze kwanza..ardhi Tanzania ni kubwa Sana wananchi wakapewe eneo lingine lengo ni mipaka yetu iwe salama na ilindwe..Viva JWTZ❤❤❤❤
Wewe vip yaan hatakama linaonea lisiambiwe Acha uwogo ucyo kuwa nakichwa wala miguu
Tatizo la ccwatanzania uwoga mwingi nenda hata makao makuu yajeshi utasikilizwa kunawengine wanajeshi hawana tamaa navitu vyawatu hiyo nitamaa tu Imewaingiya
Wewe unayesema wananchi wanaonewa Una uhakika? Au upo unasikiliza wananchi wanaposema? Hivi hujuh hakuna watu wanao zamia maeneno km watanzania?
Jeshi ni mali ya wananchi,huanza jeshi kufika kisha maisha ya wananchi yafuate,ikifikia hatua jeshi haliwezi kuendelea na shughuli zake sababu ya uwepo wa wananchi,basi linatakiwa kutafuta eneo jingine kwa ajili ya shughuli zake.
Jeshi linaweza kupewa eneo lolote na likaendelea na shughuli zake,ila wananchi inawezakuwa changamoto zaidi.
@@RamadhaniSuruwananchi wanadhani wanajeshi huwa wanapiga watu hovyo hovyo tu bipa sababu.
Jeshi kupiga wananchi sio sawa wao Wana mazoezi wananchi hawana mazoezi mkuu wa majeshi aliangarie Ilo adi kule karagwe kagera wanajeshi wanachukua wake za watu mwanaume ukileta kujitetea unapewa kwata vijana wanaotoka dapple wanasumbua sana kwenye jeshi letu mkuu wa majeshi aliangarie kwa jicho la Tatu isiwepo chuki kati ya jeshi na Raia mambo ya kupigana waachieni Askari police ndo wanalinda raia na Mali zake
Mimi ukimchukua mke wangu kwa nguvu ujue umejichongea kaburi
Ukiamua hivo sawa ila kama una plan kubwa za maisha yako unakuwa mpole pamoja na kuchukua mkeo huyo ni binadamu pia ana mapungufu yake subira inatakiwa sana kwenye jambo kama Hilo ndo maana Kuna wakubwa wa hizo kesi japo inaumiza ila no namna
sjawahi kujuwa majina ya vyeo vya wanajeshi wa maji pamoja na kmkm anaejuwa tafadhali anijuze
Jeshi mbona ni la wananchi!!! Au maanake Nini?
Hv hii nchi ni ruksa kwa raia wa kigeni kumiliki Ardhi? Naona mchina nae analalamika
Makonda yupo wapi❤❤
Yani huyu hanampya
Wote twatakuwa wanajeshi! Hayo ni mafunzo tu,kila bindamu anaweza,si muujiza!
NCHI HII! AU VIONGOZI HAWA WENYE DHURUMA!!! HATA KAMA NI WA KIJESHI!!! WATAISHA LINI???
Kigamboni ipi Hiyo
Kwamujibu wa maelezo ya bibi wanajeshi wanapora eneo,
Serikali kuu kupitia mkuu wa mkoa jeshi ligawiwe eneo lake. Si busara wanajeshi kujitetea hadharani hivi.
Busara wakajitetee wapi? Akhera mbele ya uwanja wa hukumu?
Sasa wakisubiri kujitetea akhera muda utakua umeisha, hapo ni kusukumwa jehanam kwa kupiga wenzao, wajitetee kabisa.
Chalamila SSH Samia Suruhu Hassan
Makonda Nike na Jesus did it.
Tutatega viazi kwenye shamba hilo
Hivi wafrika tunakwama wapi?Mchina ana hati ya kumiliki lakini muafrika asie mtanzania anaekewa vikwazo kama vyote.Is that really pan africanisim which mwalimu championed it?
Wenyewe yanajua kupiga tu
Mambor c yapo mengi jamni ao wanajeshi vip asee wanapig wananchi da! Atarii sanaa aiseeee hi nchii najuta
Hivi kweli tunarasimisha utaratibu huu utumike kusuluhisha changamoto zinazoikabili Jamii.
Wengine mnacoment msicho kijua napia kuna kulewa Amani ndan yake ndiomana mnatusi jeshi . Na jeshi halina shida na maeneo km mkiona jeshi linawakera mlihamishe liende hata mkoa Mwingine na usalama wa maeneo hayo kuanzia banadar na usawa wa bahari mlinde nyie.
Mchina nae anadai ardhi,aende zanzibar kama atapata
Kwahiyo mkuu wa wilaya na yeye anaongea kama raia tu au hajui mamlaka yake ndani ya wilaya yake et leo mkuu wa mkoa tunaomba utusaidie useme neno tupone kwahiyo inamanisha yeye hatoshi kwenye wilaya yake husika
Ujui kinachomkuta
Jeshi ni laovyo linapiga Rai wake badala ya kulinda
Kuna jeda mmoja eti alinizingua eti nivue nguo yenye rangi zao,ni nani mwenye haki miliki ya rangi duniani hilo la kwanza wajeda wa tz ni wajinga walio wengi hasa hawa wadogodogo wakitoka mafunzoni tu ni kwenda kuonea raia ndio maana mkienda kongo mna dediii
Kwaiyo una izo nguo mpaka mda huu.
Wewe tii maagizo tu, kwa nini huvai kanzu ya kiislamu kama wewe ni mkristo au kwa nini usivae joho la padri? Kama wewe mwanamke kwa nini usivae ya kiume, au kama Wewe mwanaume kwa nini usivae sidiria? Wewe heshimu tu taratibu, basi.
Huyu mkuu wa wilaya kazingua ....
Mbili angekaa na wawakilishi wa team hizo zote mbili kutatua huo mgogoro
Huu mgogoro nimkubwa saaan
Anaongea kutaka sifa mbele ya wananchi wakati yeye ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilaya. Na Jeshi ndio linamlinda. Alitakiwa aongee kisomi ili kuweka mambo sawa na sio kulikandamiza jeshi km aongeavyo. Mi simo😂
Hajakomaa bado anaishi kwa mihemko
@halimamwingu4478 inasikitisha sana
She talks like a mere mwananchi ....kama third party
Sijui wanatolewa wapi??
Wanamuabisha sana mama samia wa watu
@@Wamoyothenumberone hakutakiwa kuzungumza vile kwa mkuu wa kikosi cha Jeshi la wananchi wake ...akiwa kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilaya ...
Kazungumza lugha ya kutokumuamini yule kamanda,isiyo na busara ...
Angetumia akili kidogo ingesaidia...anyway watatatua
Yani watu 6 wa family moja ndiyo walipwe fidia?? Heeeee uwiiii. Waziri wa Ardhi Jerry slaa aliangalie hili kwa kina
JJesh linajiongezea maeneo si huko tu ,nimpango endelevu wa kupora ardhi za raia jiran
Wananchi ndio wanavamia maeneo ya Jeshi
Mkuu wa Wilaya wapewe mauwa yao
Mkuu wa wilaya nikabila gan
Hapo chanzo ni serikali inashindwa kutenga maeneo,hasa linapokuja swala.la fidia .Wananchi ni kama upepo tu na wanajisikia fahari kuishi karibu na kambi za jeshi,yakitokea ya kutokea kama Mbagala wataelewa tu,ccm mmeshindwa kutawala,mkuu wa wilaya anatamani kuongoza.mgogoro.
Hapa unatamani Makonda ndo angelisimama hapo hili jambo lingeisha papo kwa papo... Kingine hii nchi kuna viongozi wameamua kuwa machawa hadharani sasa hiyo kofia aloivaa SSH inatafta nn hapo kama siyo uzwa....
Kwani kila mkuu wa mkoa anavaa hiyo kofia? Hayo ni mapenzi yake na uhuru wake wee hutakiwi kuumia sababu binafsi yako uwezi kuvaa kofia ya namna hiyo pia maamuzi yako yanaheshimiwa.
Swala hili ni la kiutawala, very bad planning
Ila wizard ya ardhi mheshimiwa slaa haki itendeke. Jeshi ni la wananchi . Jeshi litende haki
Na wananchi wasivamie maeneo hovyohovyo kisa eneo liko wazi😢
DC hayo mambo ni ya ndani, Wewe ni kiongozi wa ulinzi na usalama kwenye wilaya, hukupaswa kulalamika hapo, hayo mambo ungeyashughulikia kabla ya ziara ya RC, wewe ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya, hivyo vyombo vipo chini yako
DC wa Ovyoo Sana anazoza Mbovu Sana mbele ya kamanda
Chalamila unakosea kulihujumu jeshi .kazi za jeshi hamzijui au mnajitoa ufahamu
Jeshi la Tanzania halina kazi msubiri vita nchi jirqni mpelekwe chambo basi
Mnaweka viclip nusu nusu kwanini
Kuna dada mweusi hapo kakaachini anabinyua mdomo dada kimbia ukiona jeshi linakuja wekunja sura wakuuwe
Yani mkuu wa mkubwa chalamila hamnakitu Yani anaambia co kwamba simamisheni kupiga watu kwanza rusubiri Yani wanajeshi Kuna Sheria inasema wanajeshi kukiwa na mgogoro na wananchi wawapige wewe mkuu wa mkowa hufai kabisa Rudi shule,
Such a District Commissioner we need
Alishindwa kupata audience kwa Afande Amiri Jeshi Mkuu. Pia hana ushahidi wa watu waliouawa na Jeshi.
Hatuwezi kuwa na jeshi la kihivi......labda la nchi nyingine.......malizeni hizi mambo bhana tukae kwa amani na kupendana.
Kama vip km mnaona jeshi linawasumbuwa mlihamishe likakae hata kigoma mbaki na kigambon yenu jeshi hawana shida na maeneo wenyewe popote mkisema wahamie wanahamia .
Mkumbuke wanajeshi mtaondoka madarakan mkagombee mikoan kwenu mkajenge duh
Mkuu wa wilaya km ana ushahid weka mezani. Ukwel ujulikane
Huyu chalamila anawazuga wananchi
Zuluma nimbaya jamaan
Hii Nchi ni yetu wote au ina wenyewe? Na kwetu ni wapi?
Uko ni wapi Kigamboni ipi wenyekujuwa
Huyu .mkuu wa wilaya kaharibu kama vipi mama mtoe icho cheo.mingine ni siri yangu
Walipaswa kuongea ndani lkn yeye anaonyesha wilaya imemshinda km wanajeshi wanapiga watu.
Mkuu wa wilaya hatoshi,yeye ni mkubwa kuliko wanajeshi kwanini hakuchukua hatua?
Kama hawasiki na Wananchi wake wanapigwa afanyeje kama wewe utetei Wananchi wanaoishi kwenye ardhi Wanamiliki kihalali atete nani? Wavamizi ambawo wanasema uwongo mbele za Mamlaka mbili? Mkoa na Wilaya nani Mkuu wa Kamati ya Ulinzi ? Acha atutete tuna hati na ardhi ni yetu Sio Yao ndio tunapigwa hamna uwongo hapo
Wanajeshi form 4 failure ndio wanao piga raia
Ungeenda apo nevy ukawaambie ayo maneno😂
Wewe uko na Elimu Gani na imekusaidia nn makamanda endelea kulinda Taifa la Tz na mipaka yake
Na mwenye PhD hafanyi kazi hiyo😂😂
Hao wanajeshi hawana kaz hadi wapig3 raiakam vip watafutiwe sehemu yenye vita wakajipime huko
😂😂😂😂😂wapelekwe congo
@@petermanala6138 Mara ngapi? Walishapiga Uganda, Comoro, Seychelles, South Africa n.k. baada ya dhiki ni faraja.
@@theemperor8229 faraja kupiga wananchi?
Jamanii na sisi Eneo letu LA tondoloni wanajeshi wanasem Lao kesi haiishi mpka Leo basiii tujue km lao tuondoke hizi kesi nyingi
Namchina.....!?