Nandy X Aslay - Subalkheri Mpenzi (Official Video)

Поделиться
HTML-код

Комментарии •

  • @habiibthefirst5519
    @habiibthefirst5519 11 месяцев назад +27

    Subalheri Africa 🎉 2024...shida yangu tanesco,daima mwana chato tutakukumbuka. Haki ya nani pigo la kigaidi jembe tumebaki mayatima...dawa yao alikua magufuli,mama ametupa pendo letu kwa mabeberu INCHI unalia.

  • @RabyVenance
    @RabyVenance 8 месяцев назад +115

    anae sikiliza wimbo huu 2024 kama mm nan

  • @maguzushija7913
    @maguzushija7913 7 лет назад +69

    Daaaah bonge moja ngoma kama umeikubalii ngonga like twende saw a
    @aslay @Nandy mnakoelekeaa mtaoana maana sio kwa hisia hizo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Flynndiamonds
    @Flynndiamonds 10 месяцев назад +7

    Leo nimerudi kujikumbushia hii nyimbo tuliimba pamoja ila sasa hatupo pamoja 😢ila mapenzi nahisi kulia😂

  • @ilishiramzah4488
    @ilishiramzah4488 7 лет назад +158

    Nawakubali hawa watu...254
    Weka like yako hapa💕💕💕💕🔥🔥🔥💑

  • @WEKESAWISAAC
    @WEKESAWISAAC 10 месяцев назад +141

    2024 and am still stuck here😍

  • @ericmulwa1472
    @ericmulwa1472 7 лет назад +32

    Namkubali Aslay na Nandy from 254 big up guys. Kazi nzuri sana

  • @mariammagili8937
    @mariammagili8937 7 лет назад +196

    aslay fundi wangu kama unamkubali gonga like tumsapport kijana wetu

  • @JanePeter-ft8hv
    @JanePeter-ft8hv 11 месяцев назад +4

    Wabongo wanajua sana kuimba wimbo zao zinamafunzo nakubali ....

  • @nancymwanyae7730
    @nancymwanyae7730 3 года назад +62

    Hebu nitoe majonzi🤩🤩🤩,wapi likes za Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 2021 may Niko ndani

  • @kenphiskikeyaan7669
    @kenphiskikeyaan7669 7 лет назад +150

    who"s feeling the Taarab vibe.

  • @shungujohnjames5342
    @shungujohnjames5342 3 года назад +66

    I love this song as part of African heritage ,it show how in Africa engagement between a boy and a girl.

  • @AminaBaruwani
    @AminaBaruwani День назад +2

    Tw2025😂😂😂mashallah ubaya ubwela❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @SharyMary-s8t
    @SharyMary-s8t Месяц назад +2

    Kweli hakuna mtu mwembamba wala mbaya
    Daah huyo ndiyo Nandy 😊😊

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 7 лет назад +4

    Yaani Aslay jaman nionee huruma mwenzio sio kwa sauti hio Daaah!! Hongeri sanaaaa mmetisha jamani Nandy very good job

  • @wildflowgang4823
    @wildflowgang4823 7 лет назад +61

    Wangapi tuko hapa kabla 1million views

  • @reubencrespus9941
    @reubencrespus9941 3 года назад +38

    The best song and the most underrated song in nandys list

  • @kahawathungu
    @kahawathungu 3 года назад +34

    Absolutely gutted that this song still doesn't have a million views. Huu wimbo ni mkubwa lakini uko underrated sana.

  • @ndaulinendaulina5715
    @ndaulinendaulina5715 4 месяца назад +2

    One of the best duets and one of the best vocals Nandy has recorded. Basically, duets are some of her best work. See, her and Jay Melody.

  • @ahimidiwembonica6164
    @ahimidiwembonica6164 7 лет назад +9

    Mambo ni motoooo mambo ni mazito kweelkweli,. Ngoma imesimamia itaji la mashabiki wenu vilivyo!! Jaah bless

  • @maacomedy8081
    @maacomedy8081 3 года назад +8

    Who is still watching in 2021,penda hili bonge la ngoma...daima ntakupenda silitupi pendo lako. Nandy Aslay kudos!

  • @geraldtarimo7379
    @geraldtarimo7379 2 месяца назад +4

    Me ndoo wa mwisho kusikiliza huu wimbo mwaka huu 2024

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 7 лет назад +75

    Kazi nzuri🔥🔥🔥+254 show love✅🙌💯

  • @najmamohamed6060
    @najmamohamed6060 7 лет назад +4

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah 😘😘😘hapo umenipata ahswaaa

  • @SagarSudais-oe1zx
    @SagarSudais-oe1zx Год назад +79

    2024 ❤️ viewers gonga 👍 like

  • @rhodarrrzaa
    @rhodarrrzaa 3 года назад +87

    I thought this song would have more views wtf??! It's an amazing piece of work

    • @SIO-iw3zh
      @SIO-iw3zh 3 года назад +3

      It has close to 10 million views on Aslay's Channel

    • @estherblack2770
      @estherblack2770 2 года назад +1

      Probably because the girl and the boy got in trouble for repeating someone else's song.

    • @amxkizzyyusc5226
      @amxkizzyyusc5226 2 года назад

      @@estherblack2770 the song belong to who

  • @husseinmuganza8355
    @husseinmuganza8355 Год назад +1

    Kama kuko yule amejiita king alafu aslay ndo mungu wa Bongo flava 👑👑👑👑🇨🇩 drc twakupenda

  • @DavidBen-ws7sy
    @DavidBen-ws7sy 8 месяцев назад +29

    2024 tujuane Kwa likes 100 tafadhar

  • @agnessbahamu3931
    @agnessbahamu3931 2 года назад +5

    Nandi alikuwa kadogoo apaa ❤️❤️❤️na song bado inawika

  • @RomanusTv
    @RomanusTv 7 лет назад +35

    Upo vizuri Nandy Madela, Aslay nawe hukoseagi

  • @ONJAHWorldwide
    @ONJAHWorldwide 10 месяцев назад +5

    NIPO HAPA 2024 nimeikumbuka hii kazi

  • @emmanuelboshe1547
    @emmanuelboshe1547 7 лет назад +11

    Wow wat a brilliant song jmn...mmegundua kipya ahn asee naqbal sanaaaa ahn

  • @MwombokaPili-kg5un
    @MwombokaPili-kg5un 7 месяцев назад +11

    Gonga like kama tupo na ili goma 2024

  • @andrewkalubi3524
    @andrewkalubi3524 7 лет назад +1

    Mtotoo uyo yupo sirious na ajira ake safiii sana@nandy & aslay...good job

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 7 лет назад +3

    Huyu jamaa fundi! Congratulations
    #TeamAslay💪💪💪

  • @pmall8867
    @pmall8867 2 года назад +2

    Nime Toka tazama original yake then nime kuja hapa....Kazi nzuri Sana👍👍👍

  • @elizabethtaabu262
    @elizabethtaabu262 3 года назад +7

    It is the simplicity of the two for me. PERFECT

  • @agnaskanyai3381
    @agnaskanyai3381 2 года назад +6

    Dats my African princess❤ never disapoint,,love the voice of nandy

  • @jacksontesha3652
    @jacksontesha3652 7 лет назад +6

    oyoooooooo, i was waiting for this hata kusikiliza bado, but i know the song is beautiful as you are

  • @hdproductionske1258
    @hdproductionske1258 3 года назад +10

    My most favourite from 255. Mad love for the African Princess

  • @kijogootv2842
    @kijogootv2842 6 лет назад +1

    nandy sisi mashabiki wako mbona tukifanya cover za nyimbo zako tukiweka youtube zinafungiwa tatizo nn jaman is just kushow love tu na si vinginevyo..

  • @erickhaule8680
    @erickhaule8680 7 лет назад

    nakumbuka huu wimbo enzi hizo nimemtungia issa matona alifurahi sana na tena tunaingia kusikiliza hizi nyimbo kwa shiring 10 yaani raha sana bigup aslay

  • @PaulineNasoro
    @PaulineNasoro 7 месяцев назад +1

    Aslay huu wimbo uliweza bro hongera sana much ❤❤❤❤ 🇰🇪

  • @tiktoktanzania2832
    @tiktoktanzania2832 7 лет назад +12

    Daaah...i love you ,i love u na sitaacha kukupenda aslay..

  • @abuutrica8036
    @abuutrica8036 7 лет назад +14

    Kama Umeilewa Hii Combination Ya Aslay & Nandy Fanya KuLike Twende Sawa

  • @SDM2024-z4s
    @SDM2024-z4s 2 месяца назад +2

    Nandy everyday ana push hard ku-develop

  • @mashaclassic2345
    @mashaclassic2345 7 лет назад +5

    Hahahahhaha jomon nyimbo tamu sana had nimesikia raha mashaallah hongeren sana Aslay na nandy

  • @chambasadallah5625
    @chambasadallah5625 7 лет назад +1

    mmejua kutulia humuu nimeifurahiiia mno ngomaaaa 🔥🔥🔥🔥 hadi nataman kulia

  • @sarahachieng8036
    @sarahachieng8036 3 года назад +15

    I'm still loving this song in 2021 and I love these two more now

  • @kimaget8214
    @kimaget8214 3 года назад +4

    Kazi safi sana.. hii ngoma inahit mpaka leo💯

  • @vailetfred7246
    @vailetfred7246 6 лет назад

    Aslay na Nandy nawakubali knomaaaa.... Heb nitoe majonz unijuze shda yako..... shda yang xjiwez nakupenda peke yako

  • @sahalikenethoscar5296
    @sahalikenethoscar5296 2 года назад +5

    nashangaa kwann hii hit song imeshindwa kufikisha 5m views jmn

  • @juliaphilemon4347
    @juliaphilemon4347 7 лет назад

    daaah cjui ata nisemeje 😘😘😘 wimbo umekuna moyo wangu kinoma

  • @mluyakapaya5589
    @mluyakapaya5589 7 лет назад +8

    Bonge ya Ngoma.......nawakubali sanaaa

  • @barakayussuf7796
    @barakayussuf7796 7 лет назад +1

    Zanzibar asili yake huo mzigo ila mmetisha more 🔥 🔥

  • @mansoormajura6200
    @mansoormajura6200 7 лет назад +5

    from Zimbabwe. I like very good this song. nandy & aslay music muzuri Sana.

  • @neemafelician2272
    @neemafelician2272 7 лет назад +4

    uwiii aslay we ni shidaaa mbona unanikosha sanaaaaa

  • @darasfamilly8236
    @darasfamilly8236 4 года назад +15

    Très belle chanson, avec Aslay,nandy un zouke bien réussi, dans duos magnifique, très beau paysage, de la terre ferme, de Zanzibar, que du succès, bonne chance à vous deux.

  • @houssamagourram4836
    @houssamagourram4836 6 месяцев назад +1

    Absolutely beautiful song. Greeting for Australia ❤

  • @Optaty_tz
    @Optaty_tz 3 дня назад

    This was the best duo🥰

  • @officialkingperfect26
    @officialkingperfect26 4 дня назад +1

    Still listening 2025🎉❤

  • @leyxon_delee
    @leyxon_delee 7 лет назад +15

    mmetishaa.. nawapenda sana AFRICAN PRINCESS NA AFRICAN KID

  • @afyapesa1501
    @afyapesa1501 7 лет назад +3

    Ajajajajajajaaaaaa 🔥🔥🔥❤️❤️❤️, Thanks for taking me back to those days, I dedicate this to myself

  • @rachelmichael4730
    @rachelmichael4730 7 лет назад

    ooh aslay shida yangu sijiwez daawa yangu sura yako...... nakupnd nakupenda sana askay sijui kwann

  • @jamwashjoni2355
    @jamwashjoni2355 4 года назад +2

    aslay x nandy 2020 this jam is forever alive!!!! such music hits different kwanza if you know you have someone..

  • @youssoufabdou9916
    @youssoufabdou9916 3 года назад +17

    Une excellente chanson qui continue à traverser toutes les Époques et tous les Continents🙏👍💕💕

  • @mumumutale1142
    @mumumutale1142 2 года назад +7

    My favourite song of all time 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @cynthiahoumah1055
    @cynthiahoumah1055 6 месяцев назад

    In my next life please I need aslay and Nandy singing this song in my wedding 🎉❤

  • @gabowmohamed909
    @gabowmohamed909 7 лет назад

    Ngoma Kali...big up Asley & Nandy....kwanza hyo part ya "usini ache baby "

  • @mariammagili8937
    @mariammagili8937 7 лет назад +1

    jamani aslay mumuache tu sio kwa kujua hukuuuu baba respectt

  • @BenedicteSyakehya-dh7qt
    @BenedicteSyakehya-dh7qt 2 месяца назад +2

    Kwani aslay ameenda wapi ??❤

  • @JeanBaptisteCalo71
    @JeanBaptisteCalo71 6 лет назад +19

    Nandy African queen with an angelic voice indeed

  • @mercyrobert8305
    @mercyrobert8305 7 лет назад +6

    Noma sana keep it up guys 💜💜

  • @matieunsengiyumva4415
    @matieunsengiyumva4415 3 года назад

    Daaahh!!! Nandy ulikua mdogo saana

  • @allytwahir39
    @allytwahir39 7 лет назад +1

    Princess nandy aslay akuoe uwe shemej tuuuh 🔥 🔥 gomaaaa

  • @simonseyongwe
    @simonseyongwe 7 лет назад +1

    Nawakubali bonge moja a mishup ii mmeisha uu sanaaa #TheAfricanPricess hatareeee

  • @theodoralameck2786
    @theodoralameck2786 2 года назад +4

    Hii nyimbo ni daima na daima nzuri haizeeki 🔥❤️

  • @jamwashjoni2355
    @jamwashjoni2355 2 года назад +5

    More like Therapy Swahili X Tarrab.. This is Timeless music

  • @masudimasudi9101
    @masudimasudi9101 7 лет назад +5

    Mnyonge mnyongeni akiyeni mpeni ajmn wnweza xn aslay utapata akiyakotuu kaka angu

  • @mariammusa6545
    @mariammusa6545 3 года назад +7

    What a sweet song Mashallah with Romantic words 👌❤❤🔥🔥🔥

  • @jamilahabdullah6221
    @jamilahabdullah6221 7 лет назад +6

    amakweli mnavipaji watoto mlibalikiwa

  • @ianhamisi813
    @ianhamisi813 3 месяца назад +2

    Wangapi wataisikiza 2025☝️🥰

  • @sylivestermajaliwa5173
    @sylivestermajaliwa5173 Год назад +10

    am still loving this in 2023

  • @ndayikengurukiyejeanmarie9195
    @ndayikengurukiyejeanmarie9195 7 лет назад

    inabidi team wasafi na team kiba wahamiye kwako team slay big up sana unaweza .

  • @wizzytown6700
    @wizzytown6700 7 лет назад

    Daaah aslay anaimba km vile Mzee yusufu Daaah ngoma Kali hiii

  • @misswamboh9585
    @misswamboh9585 6 лет назад +5

    Nice combo❤,,this video deserves a million and more views

  • @johnjosephchacha2772
    @johnjosephchacha2772 7 лет назад +1

    Nandy dada angu unajua mpaka unaboaaaa😘😘😘😘

  • @Eddie25502
    @Eddie25502 7 лет назад +1

    Aslay umembaka Nandy Golden voices.... jiwe na January ....❤️❤️

  • @peninasilvi2938
    @peninasilvi2938 7 лет назад +8

    Aww ngoma Kali sana 😘😍😍

  • @sadamali41
    @sadamali41 7 лет назад +1

    Kama unamkubali aslay gonga like twende one million

  • @stacynzilani2012
    @stacynzilani2012 7 лет назад

    Masha Allah 🙌🙌🙌🙌imwezaaa ✔️✔️✔️✔️

  • @inallahitrust1888
    @inallahitrust1888 7 лет назад +1

    Kaz nzur sana Nandy na Aslay, appreciate😘😘😘

  • @ApondiStella-ih7nn
    @ApondiStella-ih7nn Год назад +1

    Hiyo wimbo inanikumbusha mbali sanaah

  • @edintonshayo1007
    @edintonshayo1007 7 лет назад +3

    oooooo niceeeeeee nimeipenda kila mudaa nasikiliza

  • @mvp_highlights
    @mvp_highlights 7 лет назад

    Bonge la beat,,,,Inatafuta views milioni Nane hii

  • @joycegabriel8916
    @joycegabriel8916 3 года назад +11

    2022 still song ni 🔥🔥🔥, nikisikiza hii song natamani kupenda tna baada ya kuvunjwa moyo.

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 7 лет назад

    Mpo kikazi zaidi nandy x aslay kazi zuri sana

  • @vumimanga9363
    @vumimanga9363 7 лет назад +2

    Big up kwa wote kazi nzuri na inavutia

  • @irenemrema9776
    @irenemrema9776 7 лет назад

    Wooh! Wooh! Wooh!! Nimewakubali sana, so nice

  • @paulgodwini2910
    @paulgodwini2910 7 лет назад

    Nandy ft aslay hamkoseagi duuu mmenishinda tabia ngoma tamu iyooo ni moto