Assalam aleyqum,maidha matamu mazuri Sana, ALLAH awape umri na afya..sheikh juma amir nakupenda baba yangu siku ALLAH akinijaaliya kuozosha wanangu,nia yangu nikuchukuwe ww uwe kadhi wao uwaozeshe in shaa ALLAH
Shukrani Sheikh kutuelimisha kuhusu NDOA. Makosa yetu kama jamii ni kutoweka mikakati ya kielimu, kwa njia ile sahihi. Masomo ya Dini tunayafanya ni ya kuhusu Watoto wa Madrasah. Wakifikia kuitwa vijana masomo hukatishwa. Lawama wanabeba watakao beba. Lakini tukumbuke, Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, ametueleza wazi tunavyofaa kufanya. Amesema, كلكم راع وكلكم مسؤول عن رعيته Kwa hivyo, tuelimishane. Na tukumbushane malipo kwa Allah aliyoahidi Mtume,Swalla Allahu alayhi wa sallam, kwa kuelimisha ilmu yenye manufaa ni makubwa.
mashaaAllah ALLAH akulipe kila lenye kheri sheikh wang nakukubali saana
Masha Allah, masha Allah, masha Allah. Tunashuru sana Sheikh wetu kwa mawaidha mazuri jazaka LLAHUL khayra Kipenzi chetu.
Masha Allah
Assalam aleyqum,maidha matamu mazuri Sana, ALLAH awape umri na afya..sheikh juma amir nakupenda baba yangu siku ALLAH akinijaaliya kuozosha wanangu,nia yangu nikuchukuwe ww uwe kadhi wao uwaozeshe in shaa ALLAH
Shukran Allah Akubariki
Ma Shaa Allah
Darsa zuri Sana wallah sheikh Juma amir huwa sichoki kuskiliza darsa zake
Ya kweli na anafurahisha😀
Allah akujaze kheri sheikh wetu
Amen
Shukran kwa kutuelimsha mawaidha swadakta
Mashaallah tabarakallah mawaidha mazuri mngu akuzidishie umri mrefu
Amen
Shukrani Sheikh kutuelimisha kuhusu NDOA. Makosa yetu kama jamii ni kutoweka mikakati ya kielimu, kwa njia ile sahihi. Masomo ya Dini tunayafanya ni ya kuhusu Watoto wa Madrasah. Wakifikia kuitwa vijana masomo hukatishwa. Lawama wanabeba watakao beba. Lakini tukumbuke, Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, ametueleza wazi tunavyofaa kufanya. Amesema,
كلكم راع وكلكم مسؤول عن رعيته
Kwa hivyo, tuelimishane. Na tukumbushane malipo kwa Allah aliyoahidi Mtume,Swalla Allahu alayhi wa sallam, kwa kuelimisha ilmu yenye manufaa ni makubwa.
😅 33:07 😅😅😅😊😊😅😊
😅 33:07 😅😅😅😊😊😅😊
Mashaallah❤
Mashaallah
Allah akupe umri mrefu sh❤
Alhamdulillah
Masha Allah mwenyez mungu akujalie umri mrefu kwenye manufaa zaidy kwa vijana kwako sheikh juma amri
Amen
Masha Allah shekh mawaidha madhury mnoo Allah akulipe...❤️
Amen
Allah huakbar maneno sahih. Allah akujaze kheri kwa kuwa muwazi kuwatetea wanawake kujua haki zetu.
Shukran
Afwan
Masha Allah mawaidha mazuri Alhamdulillah twahitaji muendelezo Allah awawezeshe baraka llah shukran🙏🏿
Shukran
❤Asante sana shekhe wetu
Shukran sn sheikh Allah akubariki
Mashallah shekhe wetu Allah akulipe
Aslm my shekh ataniimina Allah waljilata minashaytwani
mashaAllah 😊😊
Ma sha Allah, Sheikh Juma Amir is so interesting
maneno mazima sheikh Mungu akuwekee akuepushe kila la shariii
Masha Allah ❤❤❤
Jazakumullah.khaira❤
Alhamdulilaah
Shukran mwenyezimngu akupe afya akuhifadhi uzidi kutufahamisha
Amen
Shekh wangu mpendwa💓💓💓
MashaAllah
Manshallah Shukran
ALIY BASHIRU
Shukurani jazila Allah akulipe kilalakheri inshaallh
Amen
Asalam aleikum allah akbar
Walykum salam
Masha'allah nimejifunza lkn muondelezo mambo 100 nipata machache tu
❤❤❤❤❤❤
Sheikh juma amir
Ok
Aslm aleikum naomba no za sheikh ninatatizo
Aslamu Alykum
Tuma msg kwa whatsapp
Jaman ntaka group lake LA whatsapp
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh jamani mwenye namba ya huyu shekh anipatie
Assalam alaikum naomba namba zenu namimi nipate ushauri mzuri kutoka kwenu nyinyi masheikh shukran
0727796400
Naam
Mashaa llah mawaidha mazur