Whos laugh last laughs the best na mwisho wa dhambi ni mauti.and finally YOU CAN FIGHT DESTINY BUT YOU CAN NOT CHANGE DECTINY..thank ANKOJAY kwasimulizi iliyo na mafunzo...lakini angetwambia hilo kijani tujaribu...tumbunguze uchawi jamani😅😅😅😅i love❤❤❤❤❤ this....natamani siku moja niote ndoto za kweli kama huyu binti.Alafu hizi likes zinaobwa na mtu wa kwanza ku comment zina faida gani nami nianze kuziitisha
❤❤❤jamn nimeipenda sana hy str nineskiliza mwanz mbaka mwisho nimejiskia furaha sana ila nilitaman yule mam angefariki pamoja na wanawe Tena Kwa ajili mbaya San.
Ahsante sana kwa simulizi nzuri ,inafundisha sana jamani kama Kuna wenye roho mbaya kama mama Neema huku na wamesikiliza hii simulizi nafiri ataacha mara moja
Mungu anakupa tatizo anakupa na akili ya kutatua. Playston amelogwa na kupitia changamoto kwa sababu tu ya mapenzi yake kwa neila. Na neila kapitia changamoto na kumuokoa playston kwa sababu anampenda........... Pongezi pia baba neila Pongezi kwa mama mkwe❤. Ila nimesikitika sijasikia kilichompata yule aliyemtoa bikla neila kule shule... Nilitaman amuone neila akiwa na mwanamme kuliko yeye. Na angeenda kuomba kazi kwa neila hahaha...anko jay mungu akabaliki kazi yako.... Pamoja na sauti taaaaaaam. Inayomfanya mtu asichoke kuiskiliza... Together😢😂❤
Kaka ake neira.. Kaka mwenye upendo bila kumsahau naima shoda ake wa kwanza neira ❤. Joeri rafiki wa kiume mwenye hekma❤. But bila kumsahau mama jemsi❤. .... Wenye roho kama ya neira❤. Mungu awabariki... Mimi ninayo ila sijamfikia neira😂😂😂😂. Nimeipenda sana hiii simulizi. Imenifanya niliye nicheke nitabasam niudhunike na kufulaiiiii❤
Asante sana dada Lisa mwala pia ankoJay tunakushukuru sana Kwa kutusimulia story nzuri yenye mafunzo ndani yake hakika tunapata kujifunza mengi ❤❤❤ We love you so much ankoJay
Anko J...mimi huwa sijali kuwa wa kwanza au wa mwisho. Langu kubwa ni simulizi zako za kusisimua na kuelimisha. Nawashukuru sana pamoja na mwandishi wa simulizi hii. Lots of respect from Mombasa, Kenya ❤❤
Pole san neria kwa papito ulio pitia pamoja na mumeo kwa paito ila mungu ni mwaminifu aliwakomboa katika jaribu nimejifunza mengi kupitia hiii story kila jaribu linapoingia linapa kutokea poleni sana mungu awalinde
Kweli maisha yanataka uvumilivu na utengemee mungu sana mana wakulao sio wa mbali ni wakaribu tu mana ndo wanakujuwa vizuri 😢😢😢 nimelia sana ila do yandunia😭😭😭
Thank so much Anko J I appreciate you Man. Ukiwa na disguise and dysfunctional family kama hii unahitaji rehema za mola tu kuishi nao. Vinginevyo utamwaga damu ya Mtu.
Bidada nelia poleni sana kwa maisha ulioyapitia yamenikumbusha mengimwenzio kwa ninayopitia Nina Imani nami yataisha ilimuladi nimuamini mwenyezi mungu
Pole sana Neria hayo nimapito tu...Mungu ndo muweza wa yote ...Asante anko Jay kwa simulinzi nzuri jmni .
Daaaah,lkn ni machungu kweli kweli
Kweli nata like zangu kutoka kwa anko jay from🇧🇮🇧🇮🥰🥰🥰
Tulio kuwa tuna subiria RUclips tujuwane hapa ❤❤❤
Tupo
Hahahaha hatari sana hadi watu walikata tamaa
Waaoooh tumekumbukwa leo
Tupo
Pole neria mungu akupe aman n upend kweny ndoa yako❤
🎉🎉🎉mauwa yako ankojay
🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹
Niwangapi tuko part 3 mafunzo Mazuri sana neria wewe ni mwanamke jasiri sana 😢😢😢😢😢😢😢
Daaaaaah adi nimetowa machozi pole sana neria 😢😢
Mungu akubaliki sana anko jey tumeisubili sana
Hongera kwa kaz nzur msimuliaji na mwandishi
Pole sana Neria n mapito Mungu atakulipia yote ayo n mma ko 2
Kweli kabisa
Mafunzo mazuri ❤❤ Neria ulikuwa na subra ❤
Wow wow wow ngoja nikae kwakutulia 💃💃💃💃💃 Asantee akojay kwakutujari🫂
Yan ni 🔥 asante Lissa Mwalla mumbalkiwe sana tena sana na Anko Jay ❣️
🪑🎧🤭😂🤣
Whos laugh last laughs the best na mwisho wa dhambi ni mauti.and finally YOU CAN FIGHT DESTINY BUT YOU CAN NOT CHANGE DECTINY..thank ANKOJAY kwasimulizi iliyo na mafunzo...lakini angetwambia hilo kijani tujaribu...tumbunguze uchawi jamani😅😅😅😅i love❤❤❤❤❤ this....natamani siku moja niote ndoto za kweli kama huyu binti.Alafu hizi likes zinaobwa na mtu wa kwanza ku comment zina faida gani nami nianze kuziitisha
❤❤❤jamn nimeipenda sana hy str nineskiliza mwanz mbaka mwisho nimejiskia furaha sana ila nilitaman yule mam angefariki pamoja na wanawe Tena Kwa ajili mbaya San.
Hatimae tumekumbukwa leooo💃💃💃❤️❤️❤️♥️♥️
Wow
Ahsante sana kwa simulizi nzuri ,inafundisha sana jamani kama Kuna wenye roho mbaya kama mama Neema huku na wamesikiliza hii simulizi nafiri ataacha mara moja
Mamb
Na waaache mara moja
Hatimaye Leo Ankojay katuletea mwish wa neria tuliisubir Kwa hamu sanh❤❤❤❤
Miaka buku anko jay😍😍😍
Piga keleleeeee, asantee anko
Oyo oyo oyoooiiiiiioo
Asante anko jay tulikuwa tunaisubilia kwa hamu sana
Ongera dda Neria kwa yote uliyopitia Mungu azdi kukupa furaha katika ndoa yko In Sha Allh
Too interesting and touching story I learned alot
Mungu azdi kuwapa furaha nyote mlioko kwa.ii kaz In Sha Allh
Asante sana anko jay Kwa simulizi mzuri sana na yenye mafunzo mazuri
Mungu anakupa tatizo anakupa na akili ya kutatua. Playston amelogwa na kupitia changamoto kwa sababu tu ya mapenzi yake kwa neila.
Na neila kapitia changamoto na kumuokoa playston kwa sababu anampenda...........
Pongezi pia baba neila
Pongezi kwa mama mkwe❤.
Ila nimesikitika sijasikia kilichompata yule aliyemtoa bikla neila kule shule... Nilitaman amuone neila akiwa na mwanamme kuliko yeye. Na angeenda kuomba kazi kwa neila hahaha...anko jay mungu akabaliki kazi yako.... Pamoja na sauti taaaaaaam. Inayomfanya mtu asichoke kuiskiliza... Together😢😂❤
Kaka ake neira.. Kaka mwenye upendo bila kumsahau naima shoda ake wa kwanza neira ❤. Joeri rafiki wa kiume mwenye hekma❤.
But bila kumsahau mama jemsi❤.
.... Wenye roho kama ya neira❤. Mungu awabariki...
Mimi ninayo ila sijamfikia neira😂😂😂😂. Nimeipenda sana hiii simulizi. Imenifanya niliye nicheke nitabasam niudhunike na kufulaiiiii❤
Daah makubwa Kusema tu ukweli neria anaujasiri wa ju
Sanaa
Asante sana dada Lisa mwala pia ankoJay tunakushukuru sana Kwa kutusimulia story nzuri yenye mafunzo ndani yake hakika tunapata kujifunza mengi ❤❤❤ We love you so much ankoJay
Asante Anko Jay kwa simulizi nzuri tu sana na inafuza tu sana na mwenye kusimuliya kabarikiwa na sauti nzuri tu sana 😀 Thank you Anko Jay ❤
Daaah uncle hapa umenipatia funzo katika maisha yangu be blessed ❤
Anko J...mimi huwa sijali kuwa wa kwanza au wa mwisho. Langu kubwa ni simulizi zako za kusisimua na kuelimisha. Nawashukuru sana pamoja na mwandishi wa simulizi hii. Lots of respect from Mombasa, Kenya ❤❤
Ahsante sana 🙏
Asante Ankojay kwa muendelezo w Bitu Neria
Asante Anko J na Lissa kwa simulizi nzuri yenye mafunzo pole dada Neria umepitia machungu makubwa.
Sana
Leo nimekua wa kwanza asante Anko Jey nimefurahi sana
😂 kwa sababu huku mnaona mlioo lipia Tu
Hii simulizi imenitoa Hadi machozi maisha ya duniani ni safari ndefu Sana tunapitia mengi jaman🙏
❤❤❤
Asante sana Anko J kwa sehemu hii ya mwisho from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with Love❤❤❤
Pole san neria kwa papito ulio pitia pamoja na mumeo kwa paito ila mungu ni mwaminifu aliwakomboa katika jaribu nimejifunza mengi kupitia hiii story kila jaribu linapoingia linapa kutokea poleni sana mungu awalinde
Kweli maisha yanataka uvumilivu na utengemee mungu sana mana wakulao sio wa mbali ni wakaribu tu mana ndo wanakujuwa vizuri 😢😢😢 nimelia sana ila do yandunia😭😭😭
Nimewahi jamn acha nisikilize kwanza ❤❤❤❤❤
Asante anko jay Kwa simulizi tamu mungu akubariki sana shukran
Iseee niliisuburia San kwa hamu hii part 3bado tuu kidogo niinunue
Nilikuwa nasubilii hapa ankojay simulizi tamuu na tunainjoi 🥰🥰🥰
I'm happy now ankojay umekata kiu ya wengi ❤❤❤
tunakupenda sana boss wetu🎉🎉🎉🎉🎉
That why i love you😊 Asante sanaaa Anko J hatuangushani ipo siku utafika mbali kwa wema wako iko love kwako😊🥰 free kiss for you😘😘😘😘
Free kiss 😊😊😊
Hongera. Ankoj. Wangu. Mungu. Akubariki. Na. Kazi. Zako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇮🇹🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jmn hii simulizi la huyu dada dah nimeli nimecheka nimeuzunika dah mungu anatoa watu mbili jmn nyiee ❤
Asante sana jamani kazi njema ankojay. Nelia Mungu akupe maisha marefu kwa moyo wako
Asante sana dada Lisa kwa simulizi hii nzuri yenye mafunzo makubwa na Ankojay kwa sauti yako nzuri na ya kuvutia.
Nmeipenda mno
Nzur sana
Pole sana neria Kwa mapito unayopitia dasa!! inasikitisha sana Kwa mapito hayo pole sana friend neria😢😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Pole. Sana huyo. Ni mama. Malaya😅 neria pole huyo ni mchawi. .malaya mshike mumeo maombi🎉❤❤
Venye nilikua naisubiria kwa hamu❤asante anko j mungu akubariki pia🥰
Kazi nzuri anko asante sana Na pole sana dada Neria kwa mapito
🎉🎉🎉🎉🎉nakupenda pia ankoj mapesa asante xn ❤❤❤❤
Ankojay shukran sana mungu akubariki We love you ❤❤❤
Asante Anko jay kwa mwenderezo
Nawapenda sanaa japo c wajui wala c waon💓💓💓
Nimejifuza kitu daaah ila nimeliaaa San 😭😭😭😭😭 Asante San anko j na sauti yako zuri kuliko ❤❤❤
Nakupend sana NERIA ❤❤❤
Mvumilivu sana
pole san dada angu NERIA😢😢😢
Asante Anko Jay much love from 🇰🇪
Ahsante anko Jay Mungu akubariki
Thank so much Anko J I appreciate you Man. Ukiwa na disguise and dysfunctional family kama hii unahitaji rehema za mola tu kuishi nao. Vinginevyo utamwaga damu ya Mtu.
LISSA MWALLA....utunzi wako ni wa moto sana ubarikiwe mana mpk tamthilia kwenye tv tumeziweka kando
❤❤sante ankjay 😊😊
Jamani,kosa ufanyiwe na kusingiziwa kuwa umefanya wewe kaa,kazi za shetani ni kizunguzungu tu
Jaman yanaumiza sana
Yanaumiza sana ila mwisho waubaya ni aibu 🎉🎉🎉
Mateso ya mwenye haki nimengi ila Mungu humuponya nahayo yote
😂😂😂😂 kayombo kanichekesha Bora atulie na mwanamke mmoja aisee
Anko jay nakupenda bule jaman maana tunainjei sana na simuliz tam tam ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana Ankojay, naendelea kusuppport kazi yako... Endelea kuleta simulizi tamu 🥰🥰🥰
Ahsante sana
🤎
Asante sana Anko Jay Mungu akubariki ❤ from Kenya 🇰🇪
Bidada nelia poleni sana kwa maisha ulioyapitia yamenikumbusha mengimwenzio kwa ninayopitia Nina Imani nami yataisha ilimuladi nimuamini mwenyezi mungu
Finally anko Jay ,simulizi yenye mafunzo mengi, kweli malipo ya ubaya,,,
Asante sanaaaaa Anko J kwa kutufuraiaha na kutupa part 3
Ghaaaaa,,,ghaaaaaaa,,,,familia ngumu sana ,mam neema na mdogo wake Neria ghaaaaaaa,niseme tena ghaaaaaa
Félicitation à toi Neria être patiente!!!!
❤❤❤❤hongera sana anko key ❤❤
Mapenzi shkamoo
❤
Adi nlkua naiotaa aki
Asante anko jay
Nimekuwa wakwanza naomba like zenu jamn
Pia mm wakwanza nipe like
Ahsante
Stor tamu kuliko sukal
Pole sana my love 😢😢😢
Jamani nimelia sana😢..ila mafunzo ni mengi tu.kweli tumtumanie Mungu kwa kila kitu
Nimeipenda iyo simulizi nakila amutegemeyaye mungu n'a mungu umusaidiya
Waah asante sana kaka Jay be blessed haki
Asante sana ankojey simulizi zinakuga nzuri sana zinaelemisha bay the way ankojey 🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤
Salute you Anko J, thanks 👍👍👍 for part 3.Blessings
Wow Anko Jey thanks for giving us a story from beautiful angel NERIA much love ❤
Woo anko hey for good story neria
Pole sana neria hakika mungu ni mwema mungu ndio kila kitu kwetu sa na mamb ya ushirikina hayana nguvu mbele ya mungu
Anko kweli tumeingoja sana ❤
Finally😊😊😊
Uwiii asante Anko j jamani jamani nahisi niruke ruke kiss kiss kiss 💋💋💋😘💋💋😘💋💋😘💋💋😘💋💋😘💋 Anko j nakupenda muuunoooo
Nahisi Ankojay me nampenda zaidi yako jamani❤❤❤❤
Natamani awe rafiki yangu huyu kaka mzuri na huyu dada Lisa mwalla jamani duhh nampenda sanaa
Ahsanate sana Anko jay na daa lissa mwalla kwa kutupa burudani maridhawa 😊😊wacha nienjoy zangu mie,,babawatoto kasahau nguo zake 😂😂😂😂
Wow Anko Jay Asante sana kwa simliz nzuri na yenye mafunzo
Such a great story 👏❤
Thenxs alot Mr Jay be blessed 🙏🙏🥳🥳,,,japo ni uchungu bt siku zote kila chenye mwanzo kina mwisho na siku zote tunapaswa kuwa watu wa kusamehe
Haya Mambo yapo ,saana ,anko j,na da mwana Lisa,Allah awajalie umri mtimilifu,kweli mnatutuliza mawazo
Finallly😊😊😊
😢😢Wooo hongera sna Neria ana roho ya utu n uvumlvu snaa shukuran kwa anko Jay
Asante ilikuwa nangoja ya bure😂😂😂😂
Asante Sana Dada Neria Kapitia Mkubwa. Mungu Kamupingania
Nzuri sana tuna kupenda asante anko j
Woohoo japo nimechelewa lakini sisana
Loooh,Neria pole sana,ni simulizi tu lkn inaumiza kama maisha halisi
Asant kaka Ancle jei
Siku zote malipo nihapa hapa duniani Akhera hesabu Neria unamoyo mm huo moyo sina ningewatoa katika maisha yangu kabisaa