watangoja sanaa tenaaa neemaa yako ni yako tu dada rosee mungu akubariki nimependaa wimbo umebeba hisia kubwa kutokana na mambo yanayoendelea mitandaon mungu akubariki 💪💪💪
Rose rudi kwa magoti uombe tu Mungu akupiganie coz si watu wanakupiga ni shetani..na sasa ni kama unapigana kwa mwili tena dada yetu...imba nyimbo za kuabudu Mungu na kutukuza na utaona tu mwenyewe jinzi ushindi utaonekana..nakupenda sana lakini omba sana Mungu ndiye a natoa ushindi katika ukimya wetu.
mungu akuinue zaidi na utafute kanisa ile wanaomba , maana Anglican Church ni kama catholic church tafuta yesu anakupenda sana Dada yetu Kenya twakupenda
Jose utapona...just be strong...don't give up....
watangoja sanaa tenaaa neemaa yako ni yako tu dada rosee mungu akubariki nimependaa wimbo umebeba hisia kubwa kutokana na mambo yanayoendelea mitandaon mungu akubariki 💪💪💪
Watasubiri sana,Ubaya ni fupi nice message
Thank you Jose for blessing us with this song tonight at mwiki, kasarani during the crusade 🎉😊
Nice song ,God bless ,u
Watongoja sana .God bless you rose
Mungu akulinde na mpango yote ya watu wabaya. Enda mbeleeeeee rose muhanda
Ni kweli watangoja sana. NEEMA yangu ni yangu tu. May God uplift more Jose na Rose Muhando
Instructor mwas
Rose rudi kwa magoti uombe tu Mungu akupiganie coz si watu wanakupiga ni shetani..na sasa ni kama unapigana kwa mwili tena dada yetu...imba nyimbo za kuabudu Mungu na kutukuza na utaona tu mwenyewe jinzi ushindi utaonekana..nakupenda sana lakini omba sana Mungu ndiye a natoa ushindi katika ukimya wetu.
Fridah Maingi Andika Mungu Kwa Kuanza Na Herufi Kubwa
wapi likes za dada rose muhando, i was told she has gone back to muslim religion
Safi Sana naomba tuimbe wato
Watangoja sana kweli,God is on my side
Mungu akulinde sana Rose wangu
Nice song
Awesome song
Abedy Kilemi heeee we love you siz Rose nyimbo zako ziliokoa dinia mzima. Madui watashindwa
.hiyo ni talent yako watangoja sana
mungu akuinue zaidi na utafute kanisa ile wanaomba , maana Anglican Church ni kama catholic church tafuta yesu anakupenda sana Dada yetu Kenya twakupenda
Wewe kwani Catholic awaombi
wacha wagoje shauri zao
Huda wanaomba tofauti sana ,
@@aksantedeborah7913 kwani maombi nani uwa anajbu si Mungu kwa ivo sisi binadamu tusijudge hehee
kama vile Rose Muhando alipona hata wewe Jose utapona
Quick recovery Jose 😢
ubalikiwe.dada muhando
Waao nice one
Rose ki maoni yangu ungepumzika uka recover then ukarudi umpya na moto moto nyimbo.yani usingekuwa na haraka na kujitokeza.ungekaa kimya kwanza
cha Mungu ni cha Mung
Not able to save offline
Amen
Paulo
Nice song