The Lord Almighty God bless you mummy, and fight back your enemies,they have no power over your life in Jesus name, you have been a blessing to many through your songs,
Welcome back mum nakupenda mpaka nachanganyikiwa. kama na wewe unampenda mpaka unachanganyikiwa gonga like tuende sawa tz Kenya uganda East Africa kwa ujumla mpoo?
what a victory what a win by the army of christ we are more than conguerors in christ jesus who died for us and rose on the third day tena morning si mchana ama jioni
Walikua wanangoja my husband akufe ,,, walienda Kwa mkanga ili mume wangu akufe,,but God 🙏 Mungu Naye Ni Nani,,,pesa Sio Kila kitu,,,my enemies watangoja Sana,,, 😂😂 lazima tuomoke wapende wazipende 🤣🤣🤣 kunga'ra Ni lazima,,,nimekol my husband now ako sawa glory be to God,, Wenye wivu watagoma Sana,, God you're the living God,, hakuna kama Wewe,,,
Rose dugu yangu rudi kwamungu ambaye nimo1 hafanani nakitu chochote wala hana mshirika nakiumbe yeyote!Mungu nimoja namungu hawezi kuwa mfano wasanam kama wanavyo abudu zehebu laroma yesu kirto wakimuweka mbele nakuungama zambi zao waumini hao!!rudini kwamungu moja nayesu kirto atawapokea kwashangwe ninabii wakweli
Glory to God,,,she was only weary, but in pursuit...... Like Gideon and his soldiers, when they were pursuing the two kings, like Moses, lifting his two hands for Israelites to fight and win....season is indeed the key to breakthrough.
Sitawahi kuchoka kusikiza nyimbo zako Rose ...nyimbo zako hunibariki sana...mwenyewe najiskia vibaya sana wakati unapitia mambo magumu kama haya lakini mungu hamwachi mja wake jikaze Mama yetu
Ile maswali nilikuwa najiuliza peke yangu sasa mungu ameyajibu, ya kwamba watangoja sana, 🙇kama unakumbaliana nami eti watangoja hadi wafe weka👍....penda wewe sana Rose. ❤
kwan kusilim si ni maamuzi yake,,ata wewe akipenda M/Mungu utasilimu tu,,unashangaa nn bado wapo wengi ata kina jaclen welpa watarudi tuu na tutawaowa wapate raha ya dini, dini yenye wawadda na mahaba.
Karibu nivujike miguu kutoka Facebook nikuje nione Jose,ad what I see is two different Jose,hapa na yule anatread mgojwa no comparison May God heal him ad remember kitu moja alifanya ikafurahisha Mungu give him strength to dance for Him again 🙏 😢
Jamani huu wimbo umenibariki Sana wabaya wangu wanaonisubiri watasubiri Sana naomba ajipange / wajipange upya Walio pamoja namimi naomba like na comment nzenu
Watangoja Sana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁MUNGU YUPO KUTUTUTEA WAJIPANGE UPYAA HAO NIMEKUPENDA SANA DADA ANGU ROSE NEEMA NI YAKO TUUU N BARAKA YAKO N YAKO TUUUU LAZIMA UPAE JUUUU WAOOOOOOOOOOOOOO UMEBARIKIWA
MUNGU NI YEYE YULE NA HATA MIMILELE. HUWA ADANGANYI HUMTOA MTU KUTOKA KATI YA WAFU NA KUMKETISHA NA WAKUU. KAZI YAKO MUNGU HATOIACHA IPOTEE, ZIDI KUSHANGAZA NA KUSHANGAZA ZAIDI NA ZAIDI UMEOKOA WENGI SANA KAZIYAKO HAITA POTEA KAMWE.
Father, this woman is a wounded soldier.Strengthen her hands that are tired and knees that tremble with weakness.Revive her, rescue her and heal her.God punish her enemies. Defend her and stand for her Lord. Every arrow that is thrown to her, i stand in her gap and return it to the sender. I know you are not yet done with her in Jesus name!
Am I the only one excited about this? I shed tears when I heard all the afflictions this lady had gone through. Watangonja sana uanguke...May God hold your hands and lead you Rose 🌹
Rose wewe ni Mashine ya Yesu. Kwa ufupi unakoboa na kusaga hakuna ibilisi anayepaswa kukatiza huduma yako, watu wameokoka kupitia wewe. Tarajia Ushindi kwa yote unayopitia. Adui waendelee kusubiri haswa.
, whatever God ordained no one can curse,, as devil owes nothing bt to kill steal, destroy.. Rose God grace s sufficient fr you. Ths s God's, doing never tire to extol n praise hs holy name as God Wil scatter yr foes who came in one way to destroy yr talent bt Wil go in 7 ways silencing them 4rever never to rise against hs annoitted ones.
Daaah....maskin ya Mungu ma Rose Muhando😥😥😥😥 u didn't DESERVE what your ENEMIES did to you ila bora ungali na SAUTI ya KUMWIMBIA Mungu😒😒😒😒😒😒😣😣😣😣😣😣😣 😥😥😥😥😥😢😢😢😓😓😓😓😓😓😭😭😭😭😭😭.....mali na majumb ya kifahar yote bure tu but uzim wa milele ndo kila kitu so hope you get well soonest maan sio kwa KUHARIBIKA uko Lord😥😥😥😥😥😥😥😪😪😪😪😪😪😔😔😔😔😔😔😞😞😞😞😞....it's very amazin and interesting seeing you still standing and singing/dancing for the L oird Jesus mama so you are the strongest woman ever by the way👍👍👍👍👍👍👍👌👌👌👌👌👌👌👌👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.
Mpaka machozi yananitoka nakupenda sana we dada kuna wakati ulinibariki na nyimbo zako nilipo kuwa kwenye magum nililia sana nilipo kuona upo na hali ile lakini amini mungu yupo na anatenda atapigana juuu yako ulitusaidia na kutubariki wengi na nyimbo zako mungu akusimamishe tena
Mungu wa mbunguni uliye wavushe waizrael pigana na wanao pigana na mtumishi wako Rose muhando songa mbele mama yangu,mwanadamu ukiaibishwa atakucheka ukiinuliwa atajifanya anakupenda ng'ang'ana na yesu mpaka kieleweke
Hongera mama ,usikubali kunyamaza sasa lipua kabisa tunakpenda na tunakuombea ,hao mahasidi biwembe ndio wataliwa sio Rose muhando tena washindwe sana Ufunuo wa yohana 3.9 tazama nimeweka mlango mbele yako ambao hakuna wa kuufunga,Rose Muhando atazidi kuvuma wapende wasi pende.kama hawaamini walikula nyasi.
Team Rose nipeni like Kama mnakubali kazi zake😍😍😍,mtangoja Sana
Kenya tunakupenda rose,usirudi tanzania tena.
I like her songs
iluv my siz ROZE.
Watangoja sana watasuburi sana
Nice rose
Watangoja sana mpaka wa kauke 254 nataka like za empress rose muhando 💞💞💞💞💞💞👏👏👏👏
👏 👏 👏 👏 wakenya tumekubali
tumekubali dadangu 👌👌👌💛💛💛💛
Watangoja sana ,nimebarikiwa
Becky Becky 🙏🙏
@@pendomkami8079 ameeeen watangoja sana in Jesus name I declare u will shine in Jesus name
Machozi yamenijaa sana nilipo angalia huu wimbo,yaani nimeiangalia mara 6.....walio pamoja na mimi wagonge like....258
The Lord Almighty God bless you mummy, and fight back your enemies,they have no power over your life in Jesus name, you have been a blessing to many through your songs,
Pole dadaangu nakupeda sana
Ni huzuni sana kumuona mama yetu akiwa kwa hii hali lakini mateso ni ya mda tupu ijakuwa usiku ni mrefu sana.
Isaih 29:11 mungu anakuwazia mawazo mazuri wala c mabaya. So look 4ward six
+Lucianak mukhwana nikweli umeongea kama wezee kumi wakiwa walevi👍
my Mom from Tanzania watangoja sana Mungu atakuinua tena kama tai, kama unamkubali Sana Mama yetu, gonga like yako hapa
Watagoja
May God heal you my sister rose
Kweli watangoja sana .
Kweli mungu ni mwema sana.usikate tamaaa mwamini mungu
Kabsaa Mungu akisema amesema
Haleluya, Nafurahi sana kumuona tena Rose, kama nawewe unafurahi gonga like team Rose tujuane.
God don't let yourservant to be ashamed for it is written ,Mathias wanyama
Yes
Eddison Garama that's true
Mathew Live and we open a serious WhatsApp ya kumwombea na progress yake
Watangoja sana
I came to watch this song after seeing Jose suffering on afrimax..😢😢
Kama kuna mwenye anamkubali rose gonga hapo twendeni sawa
Mungu ni mwema
Watangoja sana
Namkubal yuko vzr kwa jumbe za kugusa
Thanks almighty
Kwa sana my spiritual mami
Welcome back mum nakupenda mpaka nachanganyikiwa. kama na wewe unampenda mpaka unachanganyikiwa gonga like tuende sawa tz Kenya uganda East Africa kwa ujumla mpoo?
mungu ni mwema ,
what a victory what a win by the army of christ we are more than conguerors in christ jesus who died for us and rose on the third day tena morning si mchana ama jioni
Ako saw aendelee kutukuza mungu
👍🤗
Tunapeda yeye sana tukiwa Kenya Nakuru
Walikua wanangoja my husband akufe ,,, walienda Kwa mkanga ili mume wangu akufe,,but God 🙏 Mungu Naye Ni Nani,,,pesa Sio Kila kitu,,,my enemies watangoja Sana,,, 😂😂 lazima tuomoke wapende wazipende 🤣🤣🤣 kunga'ra Ni lazima,,,nimekol my husband now ako sawa glory be to God,, Wenye wivu watagoma Sana,, God you're the living God,, hakuna kama Wewe,,,
Unaoendeza sana Rose..songa mbele Mungu yupo..nakupenda sana sana sanaaaaa....kama nawe wampenda gonga like apa
Mungu akubariki sana dada Rose
Nampenda sana mimi Rose ubarikiwe mno
Utavuma tu wapende wasipende Rose wewe ni wa mungu
Amen and Amen....
Ukweli kabisa watangoja
Amen
Amen
wamevakihuni nyimbohazinaupako mana bibilia inasema kuwa mutawatambua kwamatendoyao
Kama unafurahi kuona Rose akiwa amepona hivi vidonda vya kwenye hii video...gonga like
Fanya kazi ya mungu don't listen to what haters say...anayelipa ni mungu....wakenya likes ziko wapi?????tunakupenda mama
Esta bueno te miro desde Uruguay buenos movimientos
Amen watangoja Sana waone mwisho wetu lakini hawatauona ....... Team Rose mko wapiiii
Beatrice Wanjiku kwako fundi Rose watangoja xn huyo meneja mkundu wa bibi ake mzaa baba ake
Tupo
Watagonja sana
Rose alienda wapi
Who is here after Baruthi Tv interview..
Be humble,No situation is permanent only on Gods hand we are safe🎉
MAY THE LORD REMEMBER THIS WORDS IN THIS SONG AND HEAL YOU JOSE DRAMA
God will heal him in Jesus name
Wah hii nimoto sana. .wapi likes za rose jameni. .nipaa sana kama tai
Almost mad ju ya hii song momma,kuidance imekuwa ka dose kwa nyumba
Wapi likes 500 zkae hapa kwa rosee chaap!!
Mungu akuinue zaidi Rose muhando
Rose dugu yangu rudi kwamungu ambaye nimo1 hafanani nakitu chochote wala hana mshirika nakiumbe yeyote!Mungu nimoja namungu hawezi kuwa mfano wasanam kama wanavyo abudu zehebu laroma yesu kirto wakimuweka mbele nakuungama zambi zao waumini hao!!rudini kwamungu moja nayesu kirto atawapokea kwashangwe ninabii wakweli
Glory to God,,,she was only weary, but in pursuit...... Like Gideon and his soldiers, when they were pursuing the two kings, like Moses, lifting his two hands for Israelites to fight and win....season is indeed the key to breakthrough.
Sitawahi kuchoka kusikiza nyimbo zako Rose ...nyimbo zako hunibariki sana...mwenyewe najiskia vibaya sana wakati unapitia mambo magumu kama haya lakini mungu hamwachi mja wake jikaze Mama yetu
Mungu akusaidie Dada ju hayo mambo magumu unayoyapitia katika maisha
Hata mimi nahisi vibaya sana na kumhurumia kwa yale anapitia. Lakini tayari Mungu ashambadilisha upya
Ubarikiwe sana dada Rozy mungu ni mwema
Ila mshikilie xna yesu dada wasipate tena upenyo mumy
Pia mimi
This is just four years ago 😢 and Josee yuko vile yuko sasa enyewe hakuna ajuae ya Kesho, namwombea uponyaji wa haraka kwa jina la Yesu
Ewe Mungu pigana nao wanaopigana na Rose Mhando mkinge na maadui wanaotaka kumrudisha nyuma. Amina kwa wimbo wenu mzuri hakika mmenibariki.
Amen
Mtangoja xana maadui rose muhando for jesus
I just saw this man on Afrimax the state he’s in I pray God answer his prayers love from the Caribbean 🇰🇳🇰🇳🇰🇳🇻🇬
Same here life is unpredictable 😢😢😢😢
Adui mtangoja😂😂 namtaona🎉kwangu
Ile maswali nilikuwa najiuliza peke yangu sasa mungu ameyajibu, ya kwamba watangoja sana, 🙇kama unakumbaliana nami eti watangoja hadi wafe weka👍....penda wewe sana Rose. ❤
aminaaaaaa
hakika mungu ni mwema sanaaa adui watangoja sanaa
Acheni mungu aitwe mungu wasemaji mnaojua kuhukumu nakujiona mu wasafi kazi kwenu
I love you Rose
@@siphamange277 Asifiwe yesu
Watangoja tuuuuuu
Brikiwa Rose Muhando ni kweli watangoja sana
Iko juu
Amen
Yes we will mount with wings like agles and shine like morning star. What a message.
Hii imeweza. .
My favorite Rose Muhando,,,,,All the way from 254#
jamani watu si mmetuambia amekuwa mwislamu mpaka machozi yakanilenga nimeumia tangu jana!... haleluyaaa!!!
Hao ni maadui tu. Watangoja Sana 👏
Meekness Maziku wazushi wasiomtakia mema dada Rose.
Watangoja sana mwisho watalaniwa
Wanamzushiatu mi nikashangaa abwiye unga kwa miaka khumi na kila akiimba sauti na umachachali upo pale pale
Hao ni wabaya wake..?ila Rose muhando bado Christian
If you believe God can lift you up despite your enemies fighting for your downfall can i get a like ..
vizuri sana
I have watched Jose on Afromax,he is really sick and totally in need of our help. He is abandoned and need dialysis. Kindly,let us give him back life.
oyoooooooo wanaosubiri usilimu wapiiiiiiiiiii
mtangoja sanaaaaaaaaaaaaaa...😂😂😂😂
Hahaa
kwan kusilim si ni maamuzi yake,,ata wewe akipenda M/Mungu utasilimu tu,,unashangaa nn bado wapo wengi ata kina jaclen welpa watarudi tuu na tutawaowa wapate raha ya dini, dini yenye wawadda na mahaba.
kweli watangoja sana
😂😂😂😂
Ismail Tarimo ok
Rose dadangu nakupenda tu Sana God bless you, nyimbo zako zanibariki tu Sana sana
Nawatangoja sikuhaitofika
Karibu nivujike miguu kutoka Facebook nikuje nione Jose,ad what I see is two different Jose,hapa na yule anatread mgojwa no comparison May God heal him ad remember kitu moja alifanya ikafurahisha Mungu give him strength to dance for Him again 🙏 😢
Welcome back Rose i love the new energy ⚡⚡⚡⚡⚡❤️❤️❤️❤️ kama wampenda pita na like 👍👍👍
Yes
That’s not a energy She’s trash now
😘😘
Ndioooooo
Yes
Like mingi hapa jaman kwa wanaoamini watangoja saana kwa dada Rose
Cha Mungu ni Cha Mungu tu kweli hiyo ni Shida kweli watangoja sana
Jina na Bwana wetu liinukiwe kwakuwa Mungu wetu hawaachilie walio wake. Haleluyaaaaaa.
Karibu tena Dada Roze Hatunabindi kumushukuru Mungu wetu kwa yote aliyo yatenda. Amen.
Malkia Muhando Mungu akupe maisha marefu
Muhando she is a Strong woman,May God keep fighting for her👍🏻👍🏻👍🏻
Amen
Amen
Amen,
Rose muhando💪💪💪💪wataendelea kungoja tena sana love you mamaaaaaaa
Akinyi Teckler sanl
Team Kenya gonna like if u appreciate our lady Rosa muhando your song are doing amazing
Amakwel mungu nimwema
Welcome back mum,God bless you .
Haswa watangoja sana
keep it real kwani anaimbia wakenya au anaimbia Mungu
Kama zote mungu muweza
Waoh soo powerful pitia kwangu pia Jose
Jamani huu wimbo umenibariki Sana wabaya wangu wanaonisubiri watasubiri Sana naomba ajipange / wajipange upya
Walio pamoja namimi naomba like na comment nzenu
Asante yesu maaana shetani ameshindwa,yeeeeeees mwisho watalaaniwa,Amen
Watasubiri sana hawatakuona
Amen
Wajipange upya,
Amen watangoja sana
That is the work of God to his people
Aaaaah....I really love this.....neema yangu....Ni yangu wacha wasubiri....waone
walidhani rose amefika mwisho... our God is Gracious
naomba,.niangalie naagin kwa kiswahili
eti niangalie?
Infact now they feel ashamed
Yesu mwema juu ya huduma yako mama
Watangoja Sana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁MUNGU YUPO KUTUTUTEA WAJIPANGE UPYAA HAO NIMEKUPENDA SANA DADA ANGU ROSE NEEMA NI YAKO TUUU N BARAKA YAKO N YAKO TUUUU LAZIMA UPAE JUUUU WAOOOOOOOOOOOOOO UMEBARIKIWA
Mujipange upia. Mungu akutetee Rose My dear friend. Tunakuombea. Kenya tunakupenda
Watangoja sana sana.maana nitapaa kama tai nitangara kama nyota.maandui wako lazima wajipange upya
, nikupenda darozi ninakuombea
pole sana mama misukosuko
iseee kweli shetani kajipange Dada wewe kaza but I nakupenda had I nimepona homa yangu
True❤❤....watangoja sana kuanguka kwangu.....with God am more than a conqueror
Am happy to see my favorite singer Muhando, wapi like zake watu wangu.
Nimekujuza 1000
@@tokasontouchclean2146 ,70⅞70077
Hakuna awezaye kuizuia kazi ya Mungu Rose songa mbele Tonga like kama unamkubali Rose
watangoja sanatu kabisa mubalikiwee
Tema checheee shetani ashangae kashindwa ktk jina LA Yesuuuuuu.
Kenyans have been fighting for this talent and making her feel at home,blessed Kenyans for standing with this woman of God
Much ❤️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
111qq 😂😂😂😂😂
M
❤❤❤❤
Rose napenda music kutoka nikiwa 15years mum love u big wish one day will met u
Mtangonja Sana neemah yngu Ni yngu tuu 2020 here likes
Alafu mtu aseme Rose Muhando alichizi ?
Nakubali wimbo huu watangoja Sana
Amen
Pamoja xn god blees us
Its very sure that watangoja saaaaana!! AMEN !!!
Watagoja sana mpaka wakauke kau kau kwa neema yake bwana.. Maadui wàkaukiwe kabisa
Watching from the city that never sleeps, New York city!!! Watangoja tu!!!! Kenyans love you like their own Rose❤
Watangoja sana kuanguka kwako Rose utapaa zaidi mama we love you here in KENYA and more grace keep going mummy
Watangoja tuuuuuu
@@solomonkorir mungu yu pamoja naye na tunamuombea
Huyo mkali kabisa
Hongereni
MUNGU NI YEYE YULE NA HATA MIMILELE. HUWA ADANGANYI HUMTOA MTU KUTOKA KATI YA WAFU NA KUMKETISHA NA WAKUU. KAZI YAKO MUNGU HATOIACHA IPOTEE, ZIDI KUSHANGAZA NA KUSHANGAZA ZAIDI NA ZAIDI UMEOKOA WENGI SANA KAZIYAKO HAITA POTEA KAMWE.
Keep it up rose more blessings are yet to come.
Father, this woman is a wounded soldier.Strengthen her hands that are tired and knees that tremble with weakness.Revive her, rescue her and heal her.God punish her enemies. Defend her and stand for her Lord. Every arrow that is thrown to her, i stand in her gap and return it to the sender. I know you are not yet done with her in Jesus name!
Wow lovely who is here with me 2020
Am I the only one excited about this? I shed tears when I heard all the afflictions this lady had gone through. Watangonja sana uanguke...May God hold your hands and lead you Rose 🌹
Like kwa rose mhando jamani😍😍😍mama anajua kuimba bhana mpaka ukisiliza unahisi kubalikiwa
Kabisa kwanza nimependa anabyoimba n pamoja n vijana wawili wanabyocheza
queen Samora true
kwel rose ww kiboko imba xana maana wtu wamechonga juu yako
mungu ndie mtetezi wko Roxe muhando
Kama drama kama video wapi likes za kasarani ACK raod mwiki..
Da Rose Muhando nakutakia maisha marefu kwa jina la yesu, songa mbele mama
The devil and agents have been defeated
Hata waoseme Bado mum ametiliwa mafuta mabichi mara tena, be blessed Jose
Peter Mulei thanks
Mungu nimwema sana
Jose tunatambua talent sana
Yes,watangoja sana 😍😍😍Mungu akupiganie
Cudrah Harleena
Kabisa dear ni maombi yng upae zaidi kwa viwango vya juu zaidi. Watangoja sana uteketee lakini Mungu anakuwazia mema jipe moyo mkuu
Rose wewe ni Mashine ya Yesu. Kwa ufupi unakoboa na kusaga hakuna ibilisi anayepaswa kukatiza huduma yako, watu wameokoka kupitia wewe. Tarajia Ushindi kwa yote unayopitia. Adui waendelee kusubiri haswa.
Amen. Mungu ndie mtetezi wake. Namuombea sana Dads Rose
god is good rose
Cudrah Harleena amen
Hii nyimbo ime hit....
"CHA MUNGU NI CHA MUNGU. .."akishusha Neema..UTUKUFU UNASHUKA...JESUS IS LORD
Na kweli mtangoja sana
Yani umenikumbusha mbali sana wimbo
Ninafurahi sana kuona roza kupona
Sasa tusubiri mipasho baada ya gospel.. Samahani nilikuwa napita tu... Rose mshike vyema Yesu bado unayo nafasi yakutenda makuu.
hapo poa
Kwa kweli,, na hiyo ni mipasho ya gospel haki
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mipasho ya gospel
, whatever God ordained no one can curse,, as devil owes nothing bt to kill steal, destroy.. Rose God grace s sufficient fr you. Ths s God's, doing never tire to extol n praise hs holy name as God Wil scatter yr foes who came in one way to destroy yr talent bt Wil go in 7 ways silencing them 4rever never to rise against hs annoitted ones.
Agri100%(Ben from. Nairobi. Kenya)
🙏🙏🙏🙏cha mungu Ni cha mungu tuuuu 🙏🙏🙏🙏🙏
Daaah....maskin ya Mungu ma Rose Muhando😥😥😥😥 u didn't DESERVE what your ENEMIES did to you ila bora ungali na SAUTI ya KUMWIMBIA Mungu😒😒😒😒😒😒😣😣😣😣😣😣😣 😥😥😥😥😥😢😢😢😓😓😓😓😓😓😭😭😭😭😭😭.....mali na majumb ya kifahar yote bure tu but uzim wa milele ndo kila kitu so hope you get well soonest maan sio kwa KUHARIBIKA uko Lord😥😥😥😥😥😥😥😪😪😪😪😪😪😔😔😔😔😔😔😞😞😞😞😞....it's very amazin and interesting seeing you still standing and singing/dancing for the L oird Jesus mama so you are the strongest woman ever by the way👍👍👍👍👍👍👍👌👌👌👌👌👌👌👌👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.
Lovely song mum watangoja sana love watching your songs
I love you so much mamy
Mungu akusaidie akupe maalifa
Amen mungu na akuinue kabisa
Jamani kama kunamtu mwenye huu wimbo watangoja sana anitumie samahani
Watangoja sana , 254, watching from baghdad Iraq
How is that land Leah simiyu
Warundi tunakupenda sana mama rose muhando mungu akupe wepesi mama
Haswaaa warundi tunakumiss sana maman wajipange ufya kbs amen amen
Mungu ni mwema kila aminiye kuwa mungu ni mkuu aseme amen
atapaa juu kama tai haleluya
Neema yangu ni yangu tu🙏🙏🙏a wonderful song
kweliii mungu ni mungu rose hakika watangojaa xana🙏🙏
Mpaka machozi yananitoka nakupenda sana we dada kuna wakati ulinibariki na nyimbo zako nilipo kuwa kwenye magum nililia sana nilipo kuona upo na hali ile lakini amini mungu yupo na anatenda atapigana juuu yako ulitusaidia na kutubariki wengi na nyimbo zako mungu akusimamishe tena
Ibrahim Deogratious mungu yupo
@@aksonbomba5085 ameen
Kabisa mammy unatubariki tu sana
Blesss song God bless you Jose
Hakika km ipo ipo tyuuu... Meneja mchawi Mkubwa utasubiri sana na Oliver wako Unayemtangaza.. ... Hatma ni laana tyuuuu
Your past is over dear vaa vaz la eliya from today
@@salomecosmas4367 Amen
@@salomecosmas4367 bad baraka zake atakufa nazo katu hawawezi chukua my
Sana Adui zetu lazima watangoja sana
Waaaaaaaaaaaooo
Kama drama kama video. Jose uko juu nice song
May GOD bless jawabu studios 🎙 🙏 ❤
Mungu wa mbunguni uliye wavushe waizrael pigana na wanao pigana na mtumishi wako Rose muhando songa mbele mama yangu,mwanadamu ukiaibishwa atakucheka ukiinuliwa atajifanya anakupenda ng'ang'ana na yesu mpaka kieleweke
ya mungu mengi ata ayubu alitukanwa baadae akawa mshindi
Aaaamen wangoje wachoke
Hongera mama ,usikubali kunyamaza sasa lipua kabisa tunakpenda na tunakuombea ,hao mahasidi biwembe ndio wataliwa sio Rose muhando tena washindwe sana Ufunuo wa yohana 3.9 tazama nimeweka mlango mbele yako ambao hakuna wa kuufunga,Rose Muhando atazidi kuvuma wapende wasi pende.kama hawaamini walikula nyasi.
Wachane. Sanahawo. Mashetani. Kabisausiwawogope.sana
Yes i support u
Mungu akubariki Rose Muhando
@@estherkagechu7550 true
@@peterantonymindolo8723 kabisa
Umefanya powa sana kurudia kuimba ili umuaibishe huyu ibilisi... Eti amekutupia majini 10 yamurudie mwenyewe kama nilivyo omba in Jesus Name
Watangoja sana,i love this bigg tune...ts so amazing..#KAS B of #UKA song was here
Wanaosubiri kuanguka kwako Rose ukweli watachoka sana, Wafilipi 1:6
Kazi njema kweli. Paeni kabisa.
Watever the situation I still love you Rose Muhando...May God be with always...shetani Hana nafasi katika maisha ya mwana wa Mungu
Rose Anaimba vizuri Sana. Nyimbo zake huwa zimejipanga tu. Akuna kuforce Mistari
Mungu. AKUBARIKI SANA
Rose Muhando mbarikiwa wa Mungu
His grace is sufficient.....when he says yes non can say No.....u r blessing mama rose #watagoja sana.
Uuuuui!watangoja sana,watasubiri saaaana mwisho mtalaaniwa.Neema hadi Nema katia jina la yesu.
Nikweli nimeuelewa
Tuko wapi wale tumeletwa hapa na #Akothee_Kenya? Tuone kwa likes👍👍👍
Mimi nimeletwa hapa na Akothee boss lady
@@janecatherinewarue2553 😂🤣😂🤣na wazunguz
Watangoja sana. Likes 2k za Rose ziko wapi?
Nimefurahi Sana kumuona tena Rose anaimba mungu amumbariki sana