HIVI NDIVYO DIAMOND,ZUCHU,MBOSSO walivyowasili kwenye PARTY RUANGWA/UTAPENDA DIAMOND na ZUCHU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 сен 2023
  • ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram rickmediatz...
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 33

  • @priv524
    @priv524 9 месяцев назад +3

    Zuchu a true woman after that vedeo she stood up and come to the show and support her man..... every man can be careless but this kind of support means a lot to them...... Diamond you said to God give a woman and He have you🎉🎉🎉🎉

    • @user-wi6uk1vz1h
      @user-wi6uk1vz1h 7 месяцев назад +1

      ZUCHU femme courageuse et aimante nombreuses baisseront la tête

    • @user-wi6uk1vz1h
      @user-wi6uk1vz1h 7 месяцев назад +1

      Et oui je te félicite ma fille tu es une épaule pour ce garçon

  • @upendokariro4252
    @upendokariro4252 9 месяцев назад +7

    Leo Zuchu kapendeza akijijulia ni mrembo huyu binti sema hajapata wa kumuongoza kwenye mavazi.

  • @user-xy4tz3ql2j
    @user-xy4tz3ql2j 9 месяцев назад +22

    Zuchu mwaya kamatia hapo hapo Mwanangu usiachie watu Wana wivu sana, nakuambia hamna mtu asiyemtaka daimond hata huyo Mange kimambe anawishi dai amtongoze kwa hiyo Roho zinawauma usiseme, wasikujaze opepo kabisa wenzako wanataka kukutoa kwenye Reli, wakisema ndiyo kwanza ziddisha mapenzi kwa daimond wakikwambia Kinganganizi wambie bado sijaweza kungangania Vizuri, walimwengu Ndivyowalivyo na wivu, waambia Kila mttu ana nafasi yake,

    • @zenahmugo1974
      @zenahmugo1974 9 месяцев назад +4

      Kweli kabisa 👌 wanatamani wapate hyo nafasi sana

    • @roselinebianga3439
      @roselinebianga3439 9 месяцев назад +3

      Very true

    • @sharonamondi1854
      @sharonamondi1854 9 месяцев назад

      😂😂😂

    • @kantai737
      @kantai737 9 месяцев назад +2

      Sasa unawezaje kumng'ang'nia, mtu asiyetaka kung'ang'aniwa, na kwani zuchu ndo alimtongoza simba?? Simba mwenyewe hapo anajua kapata , mwanamke., huyo ni aliasing anajua akimwacha atajutia.

    • @elizabethchabluma-zw5qz
      @elizabethchabluma-zw5qz 9 месяцев назад +1

      Ndugu umemaliza Sina la kuongeza hapo

  • @user-yd8sp4es9n
    @user-yd8sp4es9n 9 месяцев назад +2

    Simbaa na chui motooo

  • @user-ht8bn4bm7k
    @user-ht8bn4bm7k 5 месяцев назад

    Diamond platnumz

  • @louloubika8603
    @louloubika8603 9 месяцев назад

    Zuchu love you ❤❤❤❤❤

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 8 месяцев назад

    Maaashalla kuna walioandikiwa kutumika na wengine wapumzike walie kivulini tu

  • @user-ne4ik6zr6f
    @user-ne4ik6zr6f 9 месяцев назад +3

    Sasa wewe mwandishiwahabari kilichokufanya usiorozeshe jina la raivani apo nikipi au unachuki nae etyww😅

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 9 месяцев назад

    Vani boy

  • @BenjaminGondwe-po5dq
    @BenjaminGondwe-po5dq 9 месяцев назад

    Ayse diamond ni star mmmm hamisa mobetto tanasha zari aaliyah

  • @typohneprofiel515
    @typohneprofiel515 9 месяцев назад

    Zuchu chunga na huyo m. kuna magonjwa

  • @sylviembirize
    @sylviembirize 9 месяцев назад

    Q❤❤❤❤🎉

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 9 месяцев назад

    Makoti ya Nini? Joto lote hilo!

  • @dianamonyo1960
    @dianamonyo1960 9 месяцев назад +2

    Leo shoga angu kanoga

    • @MznahKache-fw7dc
      @MznahKache-fw7dc 9 месяцев назад

      😅😅😅

    • @kantai737
      @kantai737 9 месяцев назад +3

      Yuanoga kila siku, usipoangalia na macho ya wivu, zuuh anavaa kuendana na mazingira, when she has to be badass she is , when she is supposed to be cute she is, huyu ni mwanamuziki, si muigizaji.toafutisha.

    • @dianamonyo1960
      @dianamonyo1960 9 месяцев назад

      @@kantai737 kwaiyo kuongea ivo imekuwa wivu😂😂aya maana yangu ni kwamba leo kanoga zaidi

    • @ashahassan4281
      @ashahassan4281 7 месяцев назад

      Kapendeza