Jinsi ya kupika bagia za viazi /potatoes bajia
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- BHAJIA ZA VIAZI
mahitaji
-----------------------
Unga wa dengu kikombe 1
kothmir
maji 1/2 kikombe
chumvi kjko 1 kidogo
binzari 1 / 2 kjko kidogo
pilipili ya unga 1 / 2 kjko kidogo
tangawizi na swaumu kjko 1 kidogo
manjano 1 / 2 kjko kidogo
Tamu hizo. Asante mum
So good
N8ce sana
Tunaita kabaizza
Naweza penda Kula Kila siku na chai ya maziwa...