Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hadija oyeeeeeee!! Hadija Shabani ww umekua sababu ya sisi kuonekana bora zaidi. Mungu wambinguni akutunze ww na kizazi chako Amin.
oyeeeeee ameeen my love asante sana
Nimepika Leo so yummy.Your recipes are the best 👌
MashaAllah darsa lakwanza lilikuwa n vibibi nikaweza, nikaja katles za mbogamboga alhamdulilah nw am going to try nyama ya kukaanga,, ila msaada wa vipimo vya badia za dengu
Hey kipenzi karibu sana jaribu kueka vipimo kulingana unaga wako usijaze ssanaa
Mungu Akubariki Amina❤
Ahsante Da Hadija Jazakallah khayr Nmeipata❤❤❤❤❤
Hadija nakupenda sn mamy yan recipe zako nikijaribu zinatoka vilevile❤
Napenda sana jamani ❤❤
Maa sha ALLAH ni nzuri sana
Thanks Dad❤️❤️
Very tasty
Maa shaa Allah
Tabarakallah
Hizi bhajia zinakaa tamu sana🥰😍
Tamu sanaa sis
Ma shaa Allah nimemiss😋😋
Haziishi utanu hizi😘
mpnz mbn mm zinakua ngumu cjui wap nakosea
Dida hio ya green naeza eka dhania?...ama hio ya green nini
Masha allah hadija.
Asante sana dada
Mouth watering yum
Thanks you dearest
Mashaallah kpnz ninzri Sana mungu akuzidishie
Allahuma ameen love
Shukraan Jazilaan.
Afwan love
Mashaalllah❤❤❤❤❤❤
Mashallah tabarak Rahman shukran 🥰🥰🥰🇴🇲❤👌
Afwan darling
Unga wa dengu unaweza kutengeneza mwenyew au kuna mahali unauzwa?
Zinauzwa supermarket
Ningependa kujua jinsi ya kutengeneza bhajia ya viazi na unga was ndengu
Next video darling ❤️❤️
Je dania waweza weka
Bajia za Kihindi😋
Eeeh jomba🔥🔥
Masha Allah shukran siz
Afwan mpenzi
MaashaAllah
MashaAllah
Wapendwa naweza changanya na ngano
Usichanganye na ngano labda uwe unatarajia matokeo tofauti na si bajia
Mvuje hauliwi.dadangu
Unaliwa tunaeka kwenye chakula tokea tumezaliwa hadi leo
Kumbe huwek sukar
❤❤
kwan amila huwek
Unaeka baking powder
Na maj niya uvuguvig au bard
Kumbe bila viazi pia inakua
ndio inaezekan dear
Mimi nataka za biashara jmn hiyo paketi nikilo moja pakingi poda kiasi gani na hausuri uumuke unakanda tu nakunza kupika
Naona watu wanaweka unga wa ngano inawezekan
Yummy
Shukran ankooli
Tamu sana
🙏🙏
❤️❤️❤️
Et Amira haihitajiki Da khadija?
Ndio nimeshangaa 😮
Unaeza tumia all purpose flour ama lazima gram flour
Lazima gram
Hauweki hamira?
No
Hayo majan ya mvuje ndo mmea gan
Tumia dania tu
Na kama hauna unga wa dengu?
Lazima unga
Dengu gani ya yellow ama?
Unga wa dengu/gram flour
😋😋😋😋😋😋😋❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Umeweka hamila?
Ameweka baking powder
😋😋😋😋😋😋😋😋
Minaomba kama unalink
gni?
Je naweza tumiya unga wa ngano?
hapana love
@@HadijaSheban Asante wangu
@@HadijaSheban sasa ni unga ngani uho
@@HadijaSheban kwa English unaitwaje?
nilikuwa ninauliza hoho unasaga au unakatakata
unakata kata dear ndogondogo au kugrate
Sorry dear siwezi tumia unga wa ngano
Huezi
Mbna kunawengne wanawek hamira wanweka ngano au unga wa sembe vp kuhusu nyinyi
Hio sijui kwakweli
Naomba kuuliza kwenye bajia huweki hamira
Hapana ni baking powder
@@sumeiyah8246 Asante dear
Hauweki dear
Shukran sumeiya
Mbona amira hujaweka
mvuje ni nn
@@fatmahamedhamed4349makani fenugreek
Maa sha ALLAH
Tabarakallah ❤️❤️❤️