Hujui unachoongea. Huyu bwana sio mkweli. Tumempa hela zaidi ya mwaka kwa ajili ya mashine ya kuzalisha umeme hakuna alichoweza. Anadanganya huku akijua kuwa anadanganya.
Tattoo kubwa sana tunalo kwa Hawa Waandishi wa Habari Uchwara. Hawakutaja Jina Kamili Ła Mlengwa, hawajaweka contact zake na social media. Hawaja sema wkwamba anapatikana wami. Wameweka Ma link yao tu hapa. Pumbav sana.
@@rockymalisa9446mzee usilazibishe, huyo sio mgunduzi, mimi mwenyewe nimeunda generator ya 9kva kwa kutazama wazungu walivounda, watu walianza kutengeza hizo zaidi ya miaka 40, hata mimi ninayo kubwa kuliko hiyo, nimeunda mimi mwenyewe,, inaendesha pamp ya kuvuta maji 140 mita kutoa chini ya mwamba wa kisima, na kupikia kwa majiko yote ya umeme home. Pasi, microwave, refrigerator. Oven ya 2000 wat.
Ni kweli kabisa. Huyu bwana sio mkweli. Tumempa hela zaidi ya mwaka kwa ajili ya mashine ya kuzalisha umeme hakuna alichoweza. Anadanganya huku akijua kuwa anadanganya.
Yan nashindwa kuelewa kwann mabeinki serikali kwenye haya mambo haitoi mpunga brother, utengeneze nyingi zaidi kwa ufanisi, issue ni wabongo hatuaminiani
Huyu bwana sio mkweli. Tumempa hela zaidi ya mwaka kwa ajili ya mashine ya kuzalisha umeme hakuna alichoweza. Anadanganya huku akijua kuwa anadanganya. Wala kiwandani kwake hatumii umeme wake bali wa Tanesko
Kwa Nini wa Tanzania wengi Wana ROH mbaya kama yaviongozi waho Pali yakumsapot mwezenu nyinyi Tena ndo wakwanza kuwa chafuwa akili zenu na vihongozi wenu ni Moja tu 😲😲😲😲 munapitwa akili na guruwe
Kila jambo lishaelezewa, cha kwanza unatakiwa kuelewa nishati huwezi kuzalisha mwanadam unaweza badili nishati kutoka kwenye umeme kwenda mwanga, sauti, joto nk.
mzee usilazibishe, huyo sio mgunduzi, mimi mwenyewe nimeunda generator ya 9kva kwa kutazama wazungu walivounda, watu walianza kutengeza hizo zaidi ya miaka 40, hata mimi ninayo kubwa kuliko hiyo, nimeunda mimi mwenyewe,, inaendesha pamp ya kuvuta maji 140 mita kutoa chini ya mwamba wa kisima, na kupikia kwa majiko yote ya umeme home. Pasi, microwave, refrigerator. Oven ya 2000 wat.
Kazi nzuri ila kwenye upande wa ku-remove excitor (battery) ungeongeza electornic switch (High speed switching) ili kuboresha ufanisi Zaid Kuliko kuendelea kuiondoa Excitor manually after the machine attain 1500rpm.
Usidanganye watu bro, ni waz kabisa wewe sio injinia, hiyo mashine haifanyi kazi, cha pili unit ni kipimo halisi kama hujui sema hujui, kifupi injini altenator ya 20kw hii kwa saa moja inazalisha 20 unit (20kwh)
Hongera brother
Safi sana bro unaeleweka sana🙌
Kuna watu watakoment ujinga tu huku…ni wale walikuaga wanasugua mikono darasani afu wananusa kama inanuka mavi ya kuku😅
Bro ongera sana bro achana na izo guruwe zinazo penda kukukatisha moyo endeleya tu na ujuzi wako
Hujui unachoongea. Huyu bwana sio mkweli. Tumempa hela zaidi ya mwaka kwa ajili ya mashine ya kuzalisha umeme hakuna alichoweza. Anadanganya huku akijua kuwa anadanganya.
Kazi nzuri hata kuiga ni kazi ngumu
Naomba namba yake
Tattoo kubwa sana tunalo kwa Hawa Waandishi wa Habari Uchwara. Hawakutaja Jina Kamili Ła Mlengwa, hawajaweka contact zake na social media. Hawaja sema wkwamba anapatikana wami. Wameweka Ma link yao tu hapa. Pumbav sana.
Kuna tofauti ya kugundua na kubuni.
Kuna tofauti ya innovation na invention hio si invention ni innovation coz tayari hayo mambo yapo
Kweli hajagundua yeye video kama hiyo zimejaa tele RUclips.
Kama hajagundua bas gundua wewe tuone kama hivi
Wewe unawezq nini zaidi ya kwenda chooni😅
@@rockymalisa9446mzee usilazibishe, huyo sio mgunduzi, mimi mwenyewe nimeunda generator ya 9kva kwa kutazama wazungu walivounda, watu walianza kutengeza hizo zaidi ya miaka 40, hata mimi ninayo kubwa kuliko hiyo, nimeunda mimi mwenyewe,, inaendesha pamp ya kuvuta maji 140 mita kutoa chini ya mwamba wa kisima, na kupikia kwa majiko yote ya umeme home. Pasi, microwave, refrigerator. Oven ya 2000 wat.
Unawivuu
Brother naomba namba ya huyo jamaa
Tapeli,hamna free energy labda solar.😂😂😂
Ni kweli kabisa. Huyu bwana sio mkweli. Tumempa hela zaidi ya mwaka kwa ajili ya mashine ya kuzalisha umeme hakuna alichoweza. Anadanganya huku akijua kuwa anadanganya.
Yan nashindwa kuelewa kwann mabeinki serikali kwenye haya mambo haitoi mpunga brother, utengeneze nyingi zaidi kwa ufanisi, issue ni wabongo hatuaminiani
Wanapatikana wapi ndugu naomba namba tafadhari
Sio vzr kuwahoji bila kutoa mawasiliano
Kwa idadi ya wavumbuz wa umeme ambao nishawaona, serikal ingewatumia tanzania tusingepata tabu ya umeme kabis
Vyakawaidatuu😂
Mbona hamjaweka mawasiliano yake.... anapatikanaje?
Naomba namba please
Huyu bwana sio mkweli. Tumempa hela zaidi ya mwaka kwa ajili ya mashine ya kuzalisha umeme hakuna alichoweza. Anadanganya huku akijua kuwa anadanganya. Wala kiwandani kwake hatumii umeme wake bali wa Tanesko
Totally, lack of understanding of the law of energy and its mechanism
nimescroll hatimaye nimekutana na comment ya mwanasayansi sio hawa ubaya ubwela
Huyo hajagundua huyo kaaangalia kwenye youtube hata mimi naweza hio
mbona mawasiliano yake hamjaweka?
Jitahidini sana kuonyesha chombo kilicho buniwa na si watu watu hapo mtakiwa mmeupiga mwingi
Kwa Nini wa Tanzania wengi Wana ROH mbaya kama yaviongozi waho Pali yakumsapot mwezenu nyinyi Tena ndo wakwanza kuwa chafuwa akili zenu na vihongozi wenu ni Moja tu 😲😲😲😲 munapitwa akili na guruwe
Mbunifu nakuhitaji sana ,maana mashine za dizeli zitanifirisi
Achana nazo tumia petrol utafuahia maisha diesel ngum
Number yake iko wapi?
Matumizi yake ikoje io mashine ya kuzalisha umeme.mana tanesko oohhh
Hello
Kila jambo lishaelezewa, cha kwanza unatakiwa kuelewa nishati huwezi kuzalisha mwanadam unaweza badili nishati kutoka kwenye umeme kwenda mwanga, sauti, joto nk.
mzee usilazibishe, huyo sio mgunduzi, mimi mwenyewe nimeunda generator ya 9kva kwa kutazama wazungu walivounda, watu walianza kutengeza hizo zaidi ya miaka 40, hata mimi ninayo kubwa kuliko hiyo, nimeunda mimi mwenyewe,, inaendesha pamp ya kuvuta maji 140 mita kutoa chini ya mwamba wa kisima, na kupikia kwa majiko yote ya umeme home. Pasi, microwave, refrigerator. Oven ya 2000 wat.
Naomba namba yako
Namba yako please
Tunapataje namba za huyu jamaaa m on hamkuziweka kwenye mahojiano
Kazi nzuri ila kwenye upande wa ku-remove excitor (battery) ungeongeza electornic switch (High speed switching) ili kuboresha ufanisi Zaid
Kuliko kuendelea kuiondoa Excitor manually after the machine attain 1500rpm.
Sasa huyo mtangazaji hajitambui mbona hajamwambia namba ya cm kwa Tanzania ili aweze pata wateja
vip nayule alogungundua umeme wa smaku nae aliishia wapi jamani?
Duu, yule wa sumaku ni kichomi hakuna umeme pale
Kweli kabisa..tena yeye ili kuwa ni rahisi kweli haina kelele..daa serikali bhana
@@Expedito2512 jamani hakuna umeme akati serikali wamethibitisha kabisa na hata kwake tuliona kabisa umeme unawaka!!!
@@mch.deosinkala3120 asee nchi yetu hakuna kitu kabisa
Hawa jamaa wanapotea ghafla... baadae kimyaaa... sijui ndio wataharibu biashara za watu... au na wao mizinguo tu
Naomba mawasiliano ya huyo jamaa (Mangana)
Kaka wengi tunashida na umeme huo tafadhali tia no ya mawasiliano
Naomba namba yake ya simu
Umeshapata namba ya huyu engeneer?
Mawasilianoooooo
Samahani naomba namba yake kupitia email yangu
Hongera sana boss ila naona hujatoa maelekezo mawasiliano yako na bei ya hicho kifaa
Usidanganye watu bro, ni waz kabisa wewe sio injinia, hiyo mashine haifanyi kazi, cha pili unit ni kipimo halisi kama hujui sema hujui, kifupi injini altenator ya 20kw hii kwa saa moja inazalisha 20 unit (20kwh)
Sauti ndogo
hakuna siri hapo kaka.wabonga kibao wanatengeneza hizo.na kwenye youtube hiyo kitu zipo kibao.kwaiyo ww sio mgunduzi wa hiyo kitu ,ww umecopy tu.
Mwambie aache uongo
MTAMBO MWEPESI HUO ,UKIPATA MOTA YA KUZUNGUSHA WHEEL YAILI NA UKIPATA MOTA INAYO ZALISHA UMEME TAYAR USHAMALIZA KAZI
Kagundua au kaunga unga vitu ambavo vimeshatengenezwa na wenzetu bhana
Unga unga basi na wew tuone
Ww umeunga ungann au umeunganga roho mbaya na chuki
Asiyejua atachukulia poa mimi niliwahi kuishia njiani big up my brother wengi tumefeli
Huyo hajagundua ' kaiga kwa wahindi.