Daaaaah kweli mmevurugwa sana tena sana poleni sana wazee wa simba ila ushauri wangu msimuingize Muheshimiwa Raisi na mambo ya mpiraa hapo aijakaa sawa wazee wangu
Tatizo Simba mnaamini sana Miujiza kwenye mpira. Moira wa sasa unahitaji uwekezaji wa dhati sio uchawi. Tulishatoka huko. Refa hawezi kutoa ubingwa kwa timu.
Hivii huyu mzee hana kazi zingine za kufanya, maan namuona anafany kaz ya mashine anasaga mahindi unga wanasonga ugali wanakula wengine, yanga oyeeeeeee💚💚💚💚
Ila mmeumia sana masikini. Hata sisi Kuna kipindi tulilalamika sana hivyo , ila tukagundua kuwa siraha ni kusajili Timu mzuri na kujipanga na Uongozi Bora.
Simba nguvu Moja kwenye haki hatujawai shindwa najuwa sasa mashabiki wa hizi klabu tunajuana inatakiwa tuzichape kavu kavu ili sasa eshima iwepo nazani hela za selikali sasa zinachezewa npaka zimeanza kututesa na sisi wanasimba
Makamu wa Rais alisema kama mshabiki na ni haki yake baada ya kuelezwa mipango na plan za YANGA ndio akasema haki yake hiyo kama prime minister kujisifu na Simba haki yake pia, HATA AZAM ANGEONESHA KIBU ALIZIDI, NA FAULO ZA NJE YA BOX ZIWE PENALTY ACHENI HAYA MAMBO HAYO
@@saidmansoor8528 Faulo nje ya box kuna faulo ya penalt alichezea na Boka ndani ya box, kuna faulo ya penalt alifanyiwa na Bacca huyo Aucho na Boka wamecheza faulo ngapi za redi kadi, mbona Majaliwa ni simba hajawahi kuongea kwamba simba atakuwa bingwa kabla ya ligi
Kayoko ndiye aangalie dhambi ya rushwa ya mpira ambao kipa alidaka ukatoka nje yeye akaendeleza, haya mambo kipindi cha nyuma mlikuwa mnafunga hadi magoli ya mikono linaanza kujirudia
@@isaackaitira7654😂😂😂mechi zidi ya azam magoli yote yalikua offside mbona ukuongea??? mechi zidi ya Dodoma Jiji sikuona unaisemea Ile penaty ulikua wapi??? Mechi yetu na nyie ya ngao ya jamii magoli mangapi tulinyimwa ?? Mbona sikuona andiko lako sai kayoko ety ana dhambi dhambi mnazo nyie
@@malietamaliet magoli yalikuwa offside gani unajua sheria ya mpira kipa akisha ucheza offside inakufa, ile ya Dodoma ile ni clear ulitaka avunjike mguu ndiyo uweke penalt, mmezoea mbereko ndiyo maana mnafunga hadi magoli ya mikono mmedhulumu Kengold goli la wazi
@@isaackaitira7654 kwani nyinyi hamfungwi kina nani team mbovu game ijayo achezeshe mo na Ahmed Ali alafu uwanja uwe bunju yaani nyinyi mkidhulumu team mwafurahia Bado mtasema sana team mbovu
Kabla ya ligi kuanza kelele za kudhamini timu 8 GSM nilizikia ligi ilipoanza mkawa mnashinda kelele za udhami zikafa ikawa ubaya ubwela tatizo likaanzia kwa cost hapa ndo shida ilipoanzia.ushauri kwa wazee ikikichaka mnachojifichia akitowasaidieni cha msingi tengenezeni timu mwisho. Tambueni Simba ni bora ila Yanga ni bora zaidi 🔰🔰🔰
@@KayandaSalumwe na uyo mama ako ndo hamna akili maumbwa kwann hamkutoka mlipomaliza mechi na Dodoma Jiji ama Ile yetu na nyie ngao ya jamii kumbavu zako
Mzee jikite kwenye sala...uzwazwa na uzee ni mafuta na maji....ukifungwa fungika mzee jipange mtalialia hadi lini😅😅😅....msiwaingize viongozi wa nchi kwenye upumbavu wenu timu hamna mnabaki kulalama. Mlikua mnasema ooh Yanga anashinda goli moja leo hilo hilo goli moja mmeumia panya road wote😂😂😂😂
Aaahahaahaa!! Kelele , vilio, na malalamiko ni furaha na shangwe kwa wana Yanga kama we mwananchi gonga like
Mzee kula ukalale, hayo ni maneno tu mpira mguuni babaaaaa;;;
Boresheni timu
Njooni na fact sio kuropoka ropoka tu wanywa supu ya vibudu 😅
Sisi yanga tumeanza kuligawa taifa. Kwamanenohayo da!
Pumbavuu sanaaaaaa nyinyi Yani mama aache kazi zake kwaajili ya nchi awawaze ninyi mnaojifunga wenyewe kwendraaaaaa YANGA BINGWAAAA
Vituu tunavyopenda😂wanayangaa 😂😂💚💛💚💛 yaaani mpakaa wasemeee bado hawajasemaaaaa💛💚
YANGA BINGWA
Kila timu ishinde mechi zake !!! Azam tv nawapa big up sana#Azam max
Basi Camara ni waziri wa mambo ya nje na Kijili ni waziri wa mambo ya ndani😂😂😂😂😂
Polenii,Wazee,Yanga Bingwa!!
tabulele rahaaaaaaa sana yanga bingwa tena 💛💚💚💛💛💚💚💛💛💚💚💛
Kabla hawajahama ligi tupige game moya ya kuagana 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂urogwe halafu useme umeonewa
Mbna waziri mkuu ni simba na hatusemi acha uchonganishi. Kula Chuma hicho.Acha Kulia mungu atakujalia!!!
Hapo chacha 😅😅😅 wazee wa Yangsc walikua wakitoka mnasema wanalia Lia Sana...😂😂😂
Daaaaah kweli mmevurugwa sana tena sana poleni sana wazee wa simba ila ushauri wangu msimuingize Muheshimiwa Raisi na mambo ya mpiraa hapo aijakaa sawa wazee wangu
YANGA BINGWA💚💛
Wizara imejaa Simba Tff Simba. Kweli hawa vichaa
😂😂😂kaka mi nachekaga tu ,,,,,hawana mantiki hata kidogo
Nahisi haya yote ni maumivu ya kufungwa ingekua kama simba kashinda ile mechi msinge yaongelea Hayo leo
Daaah ukisikia Wazee wa ovyo ndio hawa sasa😂😂😂😂😂😂
Maxxxxxxxiiiih...Wamejiweka wenyeweeeeee😂😂😂😂 Mtalalamika mpaka na sehemu zote za faham mwaka huu yanga bingwaaaaa.....
Nyie like goli Max aliwafumua wala hawakujifunga wenyewe walifumulieq😅
Na mtasemaaaa🤣🤣🤣an mpaka msemaaa an apo badooo🤪🤪
Wewe Mzee acha hizo. Hizo mbinu za kuibomoa Yanga hutafanikiwa
Tatizo Simba mnaamini sana Miujiza kwenye mpira. Moira wa sasa unahitaji uwekezaji wa dhati sio uchawi. Tulishatoka huko. Refa hawezi kutoa ubingwa kwa timu.
Hivii huyu mzee hana kazi zingine za kufanya, maan namuona anafany kaz ya mashine anasaga mahindi unga wanasonga ugali wanakula wengine, yanga oyeeeeeee💚💚💚💚
Weuna
Wemwenyewe hauna kazi unanuka jasho
Mzee Asante kwakutusemea unyonge
Cha msingi serikali yetu ni skivu sana ikiongonzwa na rais wetu mpendwa mama samia atalifanyia kazi suala hili
😂😂😂😂😂Mbona ndo kwanza mechi yenu ya 6 tu, na tayari Msharusha Taulo watani jaman.....tulieni Pambano liendelee tunalize round zote.
Ila mmeumia sana masikini. Hata sisi Kuna kipindi tulilalamika sana hivyo , ila tukagundua kuwa siraha ni kusajili Timu mzuri na kujipanga na Uongozi Bora.
Yanga niwajanja, SIMBA niwashamba,halafu mnamkosea Mwigulu....Umekula lakini,eti niishie apo ,endelea tu,kwaiyo ulitaka REFA akufungie magoli,😢😢Toka apo👉💪👉
Ni sahihi kabisa, GSM na Yanga wanatuharibia ligi. Kwanza tunaanzia kwenye uzamini wa timu 8 kwenye ligi.
Acheni viherehere wazee Simba itawaua mshazeeka,nendeni mkacheze na wajukuu nyumbani jamani wazee mtakufa bure,timu lenu bovu
Tunataka na commentator abadilishwe tunamtaka Peter Dury na Jube Begrm au John Champion
Huyu mzee kichaa
Kichaa mama yako
Duuh maneno ya huyu mzee aibu naona mimi ...wazee awajielewi hata kidogo
Kijiliiii oyeeeeeeh
Kila kitu mnapeleka kwa mh mama Samia nyinyi wazee wa simba acheni mslalamiko yasiyo na msingi
Hata msemaji wao amesema simba itashuka daraja
Makolo mpkaa mnyee😂😂😂😂
Simba nguvu Moja kwenye haki hatujawai shindwa najuwa sasa mashabiki wa hizi klabu tunajuana inatakiwa tuzichape kavu kavu ili sasa eshima iwepo nazani hela za selikali sasa zinachezewa npaka zimeanza kututesa na sisi wanasimba
Mamae mpaka mseme😂😂
Makamu wa Rais alisema kama mshabiki na ni haki yake baada ya kuelezwa mipango na plan za YANGA ndio akasema haki yake hiyo kama prime minister kujisifu na Simba haki yake pia, HATA AZAM ANGEONESHA KIBU ALIZIDI, NA FAULO ZA NJE YA BOX ZIWE PENALTY ACHENI HAYA MAMBO HAYO
@@saidmansoor8528 Faulo nje ya box kuna faulo ya penalt alichezea na Boka ndani ya box, kuna faulo ya penalt alifanyiwa na Bacca huyo Aucho na Boka wamecheza faulo ngapi za redi kadi, mbona Majaliwa ni simba hajawahi kuongea kwamba simba atakuwa bingwa kabla ya ligi
TEAM lenyewe mumesha muuzia mod sasa kelele za nn
Mbona wanamfundisha ya kuongea😅😅
Nanyinyi leteni marefa wakwenu walio wapeni magoli zanzibari
Nenda Zanzibar sio Tanganyika uku Yanga mzee
Mara hii limefika kwa rais! Duuh😂😂😂
Nikweli kabisa yanga inasaidiwa na vigogo
😂😂😂😂 Nzengeli angalia unavyotaka kuwauwa wazee hawa😂😂
Kayoko ndiye aangalie dhambi ya rushwa ya mpira ambao kipa alidaka ukatoka nje yeye akaendeleza, haya mambo kipindi cha nyuma mlikuwa mnafunga hadi magoli ya mikono linaanza kujirudia
Haya majamaaa aseee😂😂@@isaackaitira7654
@@isaackaitira7654😂😂😂mechi zidi ya azam magoli yote yalikua offside mbona ukuongea??? mechi zidi ya Dodoma Jiji sikuona unaisemea Ile penaty ulikua wapi??? Mechi yetu na nyie ya ngao ya jamii magoli mangapi tulinyimwa ?? Mbona sikuona andiko lako sai kayoko ety ana dhambi dhambi mnazo nyie
@@malietamaliet magoli yalikuwa offside gani unajua sheria ya mpira kipa akisha ucheza offside inakufa, ile ya Dodoma ile ni clear ulitaka avunjike mguu ndiyo uweke penalt, mmezoea mbereko ndiyo maana mnafunga hadi magoli ya mikono mmedhulumu Kengold goli la wazi
@@isaackaitira7654tulia dawa iingie yaani bado 🤣
Nabado mpaka mseme yanga itawatesa sana
Wanasimba tuwe makini sana timu yetu inataka kusambaratishwa
Na tutaisambaratisha🤣🤣🤣
Na bado mpaka mhame nchi
Leo ndiyo mnalia na kayoko kawabeba sana
Ona Aibu Mzee wangu!
Mzee una ushaidi na hayo unayoongea!
Akiambiwa alete ushahid wa awo mawazr cjui atatoa wap
Miaka minne yanga hawajaongea mna midomo sn simba
Nakushauli Mzee fanyaibada achana nampila niushauriwangu
Jibu unalo. Sisi wananchi mzee tutawakera mpaka basi
Bado. Nabado mtathema sanaaaa
Hivi kwa mpira gani mlionao Simba mpaka Yanga wahonge marefa. Nyie tengenezeni timu. Maneno maneno hayo hayawasaidii
Wechoko kwani yanga wanampila gani wakumfunga simbà
Mtalia sana jinga
MPIRA ni uwekezaji wazee wangu Simba hamna timu pale
Ndiyo mmewekeza kwa marefa ndiyo mtaji wenu
Hata wakija tena Simba tutawafunga hawana timu😂
@@rajabdibwa6415 Kwa jinsi mlivyoweka kwa marefa kama Aragija, Kayoko na Sasii mtashinda na mipira iliyotoka nje
@@rajabdibwa6415😂😂😂😂sasa walitaka aseme yanga hatakuwa bingwa
Kwa hiyo mawaziri walimzuia Ateba asifunge goli? Vipi mechi yenu na Coast?
Ila mmekosa Cha kusema aiseee
Tiff karibu wote simba, mawaziri simba kibao spika simba mpaka bungeni kuna simba na Uyanga hamloni hilo.
Mnazeeka vibaya nyie mapaka😂😂😂
Paka mama yako na baba yako
Wanunuzi wa mechi ni Simba
Team mbovu sana
Uwe na timu nzuri ununue marefa
@@isaackaitira7654 kwani nyinyi hamfungwi kina nani team mbovu game ijayo achezeshe mo na Ahmed Ali alafu uwanja uwe bunju yaani nyinyi mkidhulumu team mwafurahia Bado mtasema sana team mbovu
Kabla ya ligi kuanza kelele za kudhamini timu 8 GSM nilizikia ligi ilipoanza mkawa mnashinda kelele za udhami zikafa ikawa ubaya ubwela tatizo likaanzia kwa cost hapa ndo shida ilipoanzia.ushauri kwa wazee ikikichaka mnachojifichia akitowasaidieni cha msingi tengenezeni timu mwisho. Tambueni Simba ni bora ila Yanga ni bora zaidi 🔰🔰🔰
Pameanza kuchangamka sasa ata mechi kumi bado🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mezali mnaweza kujifunga mnawezahata kujinyonga
Wazee wa Simba hawana akili😅😅😅
Mama yako ana akili
@@KayandaSalumwe na uyo mama ako ndo hamna akili maumbwa kwann hamkutoka mlipomaliza mechi na Dodoma Jiji ama Ile yetu na nyie ngao ya jamii kumbavu zako
acha ujinga kumtukania mzazi mwenzio@@KayandaSalum
unabwabwaja tu utalia sana tu
Mzee jikite kwenye sala...uzwazwa na uzee ni mafuta na maji....ukifungwa fungika mzee jipange mtalialia hadi lini😅😅😅....msiwaingize viongozi wa nchi kwenye upumbavu wenu timu hamna mnabaki kulalama. Mlikua mnasema ooh Yanga anashinda goli moja leo hilo hilo goli moja mmeumia panya road wote😂😂😂😂
Duuh huyu mzee ana jitambua kweli
Shida ya Simba moja ukiwaambia Simba mbovu hawakubali
Timu yako ndiyo mbovu inayonunua marefa
Mzee mpira wa simba na yanga unaambatana na utani.pole
Hamujielewi nyinyi yanga lavel nyingine acheni kutafuta pa kufia mpira umewash 2:15 inda
Pameanza kuchangamka huyu mzee atatoka machozi aisee😂😂😂😂😂Alikamwe anawatesa sana jamani
Wataje tuwajue nass
Wamekwisha mpaka wazee wanakosa uvumilivu hatari wafungwe simba haoooo
Nyie wahuni tu😂😂😂
Njaa mbaya sana uyu mzee ni njaa tu inamsumbua
Nilijua ni vijanà tu kumbe hadi wazee wa simba hamnazo,KWÀNI SIMBA MNADHAMINIWA NA GSM MBONA TUNAWAFUNGA
😅😅😂😂 Nimecheka kwa nguvu sana
Hongela sana wazeee tupiganie haki
Siwezi kukutukana mzee wangu...Ila kiukweli umepagawa sana....
Nani kakuloga mzee wangu?
GSM,,,miaka elfu kumiiiii yanga African.
Na bado mutateseka sanaa 💚💚💛
Mzee mnafiki uyu😅😅😅😅
Je mngeshinda mngeyasema hayo?
Mzee andaa timu yako ya simba vizuri 3:37
Nenda chadema ndiyo chama kinachokufaa
Huo ndo utani wazee wangu😂😂😂😂😂
Daa! Pole sana mzee, bado sindano nyingi zinakuja.
Poleni Simba Nzengeli😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Sasa ulikuwa wapi wakati kabla ya mechi
Waambie,tena waeleze ukweli, walishapewa tuta nje ya box mwanza wapuuzi sana hawo
Hii mechi angechezesha refa wa nje kulikuwa kuna nyekundu ya wazi kabsa, ingekuwatena 5😢
wazee kama hawa nikupiga risasi na kuuwa kuma la mamaako mpira uchezwi kwa siasa
Huyu mzee ni kuma eti 😢😢😢 yanga bingwa matako yako
Sasa waongeaji wangapi hpo?
Mzeee njaaa kali sana hakunywa supu jana anahasira
Mzee umeongea ukweli sana
Dah huu mwaka hawa wazee watakufa vibaya kwa pressure
Hayo ni yawazee bado ya watoto wa simba mpaka msema kimoko kinaumaa
Mmmh. Maneno ya mkosaji
Mzee hauna point umeongea ujinga tu hayo nimakasiliko yakufungwa.
Uyu Mzee simuelewi hata
Msemaji Ahmedi alisema huu mwaka Kila kiungo Cha mwili kita lalamika naanza kuziona