asante maana umenikumbusha mbali sana pindi baba aliponiuliza ''ukiwa mkubwa unataka nikupe nn? sehemu ya mali, elimu ya juu,au nn sasa ni chaguo lako mwanangu''
Hii tungo ya kiswahil. Umeiimba kwa mahadhi ya mzungu aliejifunza kiswahil. Kwel waswahil hawaupend uswahil wao. Kaz chafu kabisa. Mashairi ya kiswahil yasome kwa mahadhi ya kiswahil. Nakipenda kiswahili. Nakereka na anaekikhini kiswahil.
Hongera kwa kumbukizi nzuri
By heavenlucky
Hongera kwa kumbukizi nzuri yenye ujumbe mzuri.
Mtunzi wa hii tungo ni mzee wetu Yusuf makamba hongera sana mzee makamba
We jemaa nibonge la mbunifu umenikumbusha mbali sna
Dah kitambo umenikumbusha , hongera kwako
Dah long san
Hii nzuri sana
Umefanya kazi nzuri sana!!! Kazi iendelee 😄
hongera sana
asante maana umenikumbusha mbali sana pindi baba aliponiuliza ''ukiwa mkubwa unataka nikupe nn? sehemu ya mali, elimu ya juu,au nn sasa ni chaguo lako mwanangu''
Ya kale ni dhahabu
❤❤
kazi nzuri
Kitambo sana
Me binafsi nataka niingie shambani nkaona nije hapa npate faraja kidogo
"Kama unataka mali utaipata shambani"
Hii tungo ya kiswahil. Umeiimba kwa mahadhi ya mzungu aliejifunza kiswahil. Kwel waswahil hawaupend uswahil wao. Kaz chafu kabisa. Mashairi ya kiswahil yasome kwa mahadhi ya kiswahil. Nakipenda kiswahili. Nakereka na anaekikhini kiswahil.
Hii inaonesha ni kiasigan haupo timam kichwani 😂😂 pole ndugu
@@MIGOPRODUCTION kwel kabisa. Utumwa wa kikolon ndan ya roho ya mtumwa. 🦍
Kaka naona umepandisha au sio
Yaap mguu wakutoka kaka
9c song
Mwanzo mwema
Shairi zuuri lakini mwimbaji anaiga sauti mbovu kabisa
👍👍
😁😁😁😁😁
🙏🙏🙏
2022
😂😂😂😂
7