WATU WATANO WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA NJOMBE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 44

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 3 года назад +7

    Safi sana ukiua na ww lazima uuliwe,kupunguza haya mashetani duniani
    Jicho kwa jicho,jino kwa jino....

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 3 года назад +1

    Ukiuwa kwa panga na ww utakufa kwa panga 😭😭😭 Mwenyezi Mungu atuhurumie

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 3 года назад +13

    Kama ulikusudia kuuwa nawewe ukiuliwa Kuna ubaya gani?

  • @code_rapper6317
    @code_rapper6317 3 года назад +2

    NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUDA WAKO
    HILI KUTAZAMA NYIMBO YANGU YA WEKA HILI KUIPATA BOFYA PICHA YANGU KUSHOTO NAAMINI MTAUPENDA
    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @titogood9684
    @titogood9684 3 года назад

    Jamani duuh Mungu utuokoe

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 3 года назад +2

    Inilhukmu illalillah

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 3 года назад +1

    Nyong kbsa

  • @tinluwna3783
    @tinluwna3783 2 года назад

    Safi

  • @elicanageorge1319
    @elicanageorge1319 3 года назад +3

    KWANINI TUSIWAONDOE MIGUU KUANZIA KWENYE MAGOTI NA MIKONO KUANZIA KEENYE VIWIKO THEN WATIBIWE KUFA WAJE KUFA WENYEWE.

  • @mzeeomary5780
    @mzeeomary5780 3 года назад +6

    Nisawa kwani niwa pumbafu unaenda kuuwa kwa sh.300000 unatoa nafsi ya mwenzako washenzi kabisa

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 3 года назад +1

    Wanyonye tu waliomuua nae ni binadamu si kuku

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 года назад

    Basi wanyongeni msifuge watu mkawalisha bure

  • @autodiagnosiccenterzanziba2980
    @autodiagnosiccenterzanziba2980 3 года назад +1

    Nyonga tu

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 года назад

    Duu jamani watu hawa sasa nao watakoma

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 3 года назад

    Ungewahukumu kutobolewa macho kwa spoku ya moto

  • @azizajuma4324
    @azizajuma4324 3 года назад +1

    Ivi kumbe jmn hii hukum ya kunyongwa Iko Tu dash hebu badilikeni binadamu was kuhukumu Ni mngu pekee jmn duuh Ila Dunia inawatu wenye Rohit jmn khaaa

    • @vascokasambala2159
      @vascokasambala2159 3 года назад

      Unasema ivo kwakua hakufanyiwa ivo ndugu yako

    • @rutundajames2820
      @rutundajames2820 3 года назад

      Na anaeua n mungu tu sas kw nn mtu aue

    • @azizajuma4324
      @azizajuma4324 3 года назад

      Sasa awo shetani anawapitia Na mngu Hua anawalipa Apapa duniani Na mahakama je Ni nn kinawapitia?wataenda kujibu nn Mbele Za mngu Na wao Ni viongozi Na Huo uongozi walio nap Ni shamans mpaka mngu anajua mngu atunusuru waja wake Na madhila Jaha Ni kweli inauma lkn Mmmmmh

    • @rutundajames2820
      @rutundajames2820 3 года назад

      Kwan Aziza according to ur religion hukum ya muuaji n ipi

  • @adiladil345
    @adiladil345 3 года назад +2

    Wesha zoea hao

  • @geroldjacob9845
    @geroldjacob9845 3 года назад +1

    Nyongaaa kabsa tuone 300000 itawasaidia?

  • @peterlaurent4046
    @peterlaurent4046 3 года назад

    iv bongo wananyonga kweli??

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 года назад

    Madhali wameuwa nao wauwawe tu

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 3 года назад +2

    Mhhh hukumu ya kunyongwa hadi kufa inatishaaa ila kumuua mtu kwa kumchoma moto hadi kufa inatisha zaidi unahitaji kuwa na moyo wa tofautiii iseee duh 🙄

    • @gloryidelya9899
      @gloryidelya9899 3 года назад

      Walio fanya ivyoo ni hatar mioyoyao migumuuu mnoo

  • @kevinouma7896
    @kevinouma7896 3 года назад

    Pas

  • @catherinepamphili1242
    @catherinepamphili1242 3 года назад

    Mhhhh

  • @zakariakamala6184
    @zakariakamala6184 3 года назад +1

    Kwann hukumu ya kunyongwa isibadilishwe?

    • @faithjonathan3845
      @faithjonathan3845 3 года назад +3

      Kuna shida gani kumnyonga mtu aloua?
      Siku ukiuliwa ndugu yako ndio utaelewa.

    • @paskalimallya749
      @paskalimallya749 3 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 3 года назад +1

      Ibadilishwe iweje....kupigwa risasi au kuchomwa moto,ukiua lazima uuliwe

    • @zenajuma159
      @zenajuma159 3 года назад

      Kwanini watu wanauliwa bila ya hatia wasiwaache walee familia zao

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 3 года назад

      @@zenajuma159 dada umesikiliza huu mkasa au umesoma kichwa cha habari tuuu

  • @doublektv5449
    @doublektv5449 3 года назад +1

    Duuh

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 3 года назад +1

    *NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 💥💥💥💥*

  • @othumanbakar9385
    @othumanbakar9385 3 года назад

    mmmmmmm nnna