Daaaa nakukumbuka Ndg yang Tulivokutana Hospital ya Ikonda Njombe. Pindi na muguza Baba uliweza nipatia kiasi chapesa ilikiweze kusapot kuguza Babayang Niseme Pumuzika kwa Amani
Safi. Mungu ampokee pumzikoni yeye aijua imani na matendo yake. Kuwa na wake watatu wanaojuana na kujulikana ni uhalisia zaidi wa mwanaume kuliko unafiki wa kujionesha kuwa na mke mmoja tu ingali utitiri wa michepuko. Hivyo mtu anoonekana kama vile ni mwema kwa vile anajitahidi kuwa na unafiki wa hali ya juu.
@@alanjoseph4550 wewe ndo hujitambui, Mwandulami mwenyewe ndie aliyesema kwamba kwa design yake likikamilika kwa asilimia 100 ,bas litajua limegharimu bilioni 1. ( Hilo unaloona halihakamilika, sasa wewe unajua angeweka materials gan humo ndani ili kufikia gharana hyo aliyotaja?), mwandishi kakosea nin sasa hapo 😀😀😀😀. Umeambiwa kaburi pia lilipaswa kuwa na library😀😀😀😀
@@TM.Sullusi Kama alizungumza kua litagharimu hio pessa ni sahihi yy kuzungumza kwakua alikua mganga wa jadi manak3 waganga wa jadi uongo ndio wa kwao😭
Why our people leaving so young? Is so painful long live children of Africa . So sad I can understand 1/4 of Kiswahili bkoz it has mixed of alk Bantu African Languages. Rest in Peace.
@@dianajohn3493Nan alikwambia kuwa ukiwa utakutana na yesu, MUNGU pekee ndiyo atatoa hukum na siyo yesu maana hata Yesu mwenyew atahukumiwa na MWENYEZI MUNGU MTUKUFU, sasa sijuw nyie matahira mnamuabud na kumtukuza yesu kwann wakat yeye pia ni mtume Kama walivyo mitume wengine nasiyo Mungu
Ha haa kwani alisema anataka kuzikwa nazo?kwa nn watu huwa wanapenda kupangia watu matumiz ya hela walizotafuta wenywe?tafuten zenu mtuonyeshe jinsi mnavyojua kusaidia jamii
Kwahiyo huyu ndo mtoto wa marehu 😅😅😅😅 Tuelewane kitu kimoja kama alikuwa Catholic basi alikwa anazini na hao wananwake wengine maana catholic huowa mke mmoja
Huyu si ndo mganga mwandulami marufu toka enzi zile ss wadogo kabisaaaaaaa nmkumbuka sana mganga mwandulami baadhi ya wafanyabiashara wa iringa watamkumbuka sana
Inawezekana ikafika hadja kaburi sio hilo hapo unaloliona lenyewe lipo chini sana niliwahi fika wakati wa uhai wake marehemu huko ndani kuna mambo mengi sana iliwahi rushwa hewan wakati mwenyewe yupo hai alikua anaelezea ni hataree aisee
Hiyo ni dini ya wazungu,pia acha kutumia akili za wazungu, wadada walivyo wengi unahis wataolewa na kina nani? Au wadange Hadi siku ya mwisho? Oeni hata kumi muwatunze dada zetu,na siyo kuwachezea
Yaan mtu ni mganga wa kienyeji afu watu wanasema dahhh ameenda Mbinguni, hahahahaaa jmn hivi Mbinguni mnadhani ni geto au!!! Ameenda jehanamu ya moto!!! Huo ndo ukweli!!! Andaa kwanza roho yako ndo uandae kaburi, akili ya kitoto sana!!! Haya kazi kwenu!!!
❤ that's is good uyo ni mwafirica kamili Amina kabisa 🥰👋🙏🇰🇪🙏🙏🙏
Du!!! Innalilah wa Inna ilaihi rajuul,, nashukuru mungu kwakunipa neema ya uislamu,
👌
😂😂😂😂😂
Daaaa nakukumbuka Ndg yang Tulivokutana Hospital ya Ikonda Njombe. Pindi na muguza Baba uliweza nipatia kiasi chapesa ilikiweze kusapot kuguza Babayang
Niseme Pumuzika kwa Amani
Wow
Kumbe alikuwa mtu wawatu
Thx 4 da show
Pumzika kwa aman mzee mwndulami ulikuwa rafiki yangu, babu yangu,baba yangu vilevile kama kaka nafasi hizi zote ulifiti kwangu. Nitakukumbu daima.
Safi. Mungu ampokee pumzikoni yeye aijua imani na matendo yake. Kuwa na wake watatu wanaojuana na kujulikana ni uhalisia zaidi wa mwanaume kuliko unafiki wa kujionesha kuwa na mke mmoja tu ingali utitiri wa michepuko. Hivyo mtu anoonekana kama vile ni mwema kwa vile anajitahidi kuwa na unafiki wa hali ya juu.
Intelligent people who fought for the whole Southern Africa to be independent we dont forget we Salute you Tanzanian
0
Amelala anapostahili watu wenye imani juu ya Mungu wanajua yupo wapi basi
HUO NI UCHAWI TUU. MAANA HATA YESU HAKUJIJENGEA KABURI. 😊😊😊
Punguza ujinga kichwani
Mtoto wa malehemu hb😋😋
Poleni wafiwa mbeleyake nyuma yetu
Mgumu amemgomea sasa muone mungu yupo.juu ya wote
Pumzika kwa Aman babu yangu
Mbn inaonekana mtoto wake mkubwa halafu baba mdogo
Huyo ni bonge kashiba mafuta tuu Ukiwa na mifupa mingi na mwembamba umri unajificha kwapani.
Ndio nimeshangaa mana hii mitandao kwa kutudanganya hawajambo
Huyu alianza kuzaliwa
Hao ndiyo wakinga matajiri wa kujenga magorofa kariakoo poleni Sana na msiba ndugu zetu wa njombe.
Mzee Mtaragala Chirangi
Hatari sana
Tamaduni za waislael kujijengea makubuli
Kwan hapo hawezi oza milele ama ataoza 2 kujenga hvyo v2 vyote s ageendea n sadaka 2
Labda Billion1 ya Zimbabwe...!
True😀😀
kabur la thamani halimpeleki mtu mbinguni, maskini alijiandalia sehemu ya kuhifadhi mwili unaooza padala ya roho. Mungu ampokee mbinguni mbinguni
Daaa! Yaani mtu maskini bwana
Acha mafund wapate pesa yakuwalisha watoto
Kwani ukimkuta mbinguni utamtoa
Maandalizi ya kiroho vipi
Umeongea jambo kubwa sana. Ana heri, kama alitumia muda wake kuandaa roho yake pia.
Mtoto ni mzee kuliko baba cjui macho yangu yanakosea
Hata mm naona hivyo!!
Hajamzaa yeye ni WA bamkubwa😢😢😢😢
poleni wafiwa
Uhakikaa mganga anae Fahamika njombe nzima
Kajinenga lakn
Kajinenga😁😁😁
Mbona nyumba zao zakawaida sana afu wti kaburi la 1b acheni uongo na mbona haliendani na hio pesa
Umeambiwa badoo halijaishaaa heee
Bil unaijua
Sasa hio bilioni imefikaje? Namngoj3a c eijiii aje kulikaguaa🤸🏻♀️🤸🏻♀️
hawa waandish wanajitambua kweli hivi hiyo bilion wanaijua au wanaongea tu hata milion 20 haifik hapo
@@alanjoseph4550 wewe ndo hujitambui, Mwandulami mwenyewe ndie aliyesema kwamba kwa design yake likikamilika kwa asilimia 100 ,bas litajua limegharimu bilioni 1. ( Hilo unaloona halihakamilika, sasa wewe unajua angeweka materials gan humo ndani ili kufikia gharana hyo aliyotaja?), mwandishi kakosea nin sasa hapo 😀😀😀😀. Umeambiwa kaburi pia lilipaswa kuwa na library😀😀😀😀
@@TM.Sullusi shikamoooo😂😂😂😂 kaburi lina library?????
Hii kaburi haina faida... 0 kabisa...
@@TM.Sullusi Kama alizungumza kua litagharimu hio pessa ni sahihi yy kuzungumza kwakua alikua mganga wa jadi manak3 waganga wa jadi uongo ndio wa kwao😭
Kwani Wakatoliki wanaoa Mitalaa 🤔🤔🤔🤔🤐🤐🤐🤐 kuna kitu halipo sawa hapa.
Why our people leaving so young? Is so painful long live children of Africa . So sad I can understand 1/4 of Kiswahili bkoz it has mixed of alk Bantu African Languages. Rest in Peace.
What about your Country??how many years they do Live
@@trophywilson7211 he said "why our people die so young?" Which means he is an African and part of the people who die so young.
Kumbe huyu ndo mwandulami????maarufu sana tangu utoto tunamsikia
Duuh
Mganga alisema hivi mpk litakapo kamilika namiundombinu yake ligarimu bilion moja sasa mnaobisha jengeni la kwenu tuone
Haina haja ya kujadili hayo
.. Kikubwa jadili ukifa utakuwa mgeni wa nani? ( Yesu kristo au wa shetani?)
@@dianajohn3493Nan alikwambia kuwa ukiwa utakutana na yesu, MUNGU pekee ndiyo atatoa hukum na siyo yesu maana hata Yesu mwenyew atahukumiwa na MWENYEZI MUNGU MTUKUFU, sasa sijuw nyie matahira mnamuabud na kumtukuza yesu kwann wakat yeye pia ni mtume Kama walivyo mitume wengine nasiyo Mungu
Ila aise hii dunia inamambo makubwa sana
Huyo mtoto mbona kama mdogo wake.
Atakuwa ndo mkubwa wao! Nami niliona hivyo
Siamini amini aisee huyo mzee alikuwa busara aisee daaah! R.I.P
Poleni Mungu kaona amchukue mwanae
@@joycembawala8781 futa kauli yako mungu toka lini akawa na mtoto
@@heyumi2340 Kisisi sisi wote wana wa Mungu, ili ki nyinyi Mungu yupo baharini kwa Osama bin laden anaogelea 😀😀😀😀
@@christinamsigwa151 kwa sababu ww uko na akili fupi lazima utasema ww ni mtoto wa mungu
@@heyumi2340Aliwazalo mjinga,.wewe sio wa Mungu,.wewe ni wa baba yako kamtomba mama.ukazaliwa.kwa.njia.ya Mungu bahari ukatokea
Inalillahi wainailahi rajuun pesa hizo angetoa sadaka tu uwenda angepunguziwa moto
ALOO MOTO HAPUNGUZIWI. WAKATI HANA. SHAHADA. NIKIPINDO TU
Hata 20milion haifiki
@@taturajabukhalfani7953 mtihani kweri
mkiristo hata atoe mali vp kama shahada hana ni bure
@@heyumi2340
Nini maana ya shahada?
DONI
😀😁😂🤣😃😄😅😆 Ety one billion is a great idea
Hivi bilioni mnaijua au mnajisemea tu
Kiufupi ni kabuli likikamilika sio limekamilika
Bilioni ni nini labda pesa au nini na mil150 ni nini🤣😲
@@braystuskibassa3077 za Zimbabwe
Kaburi limeanzia chini hilo
hizo hela bora angesaidia wenye shida!!
Hakutafuta kwa ajil ya maskin kila mtu ana malengo na mapato yk.
Ataivo ajazikwa nazo,alikua ananunua vifaa wevipii??
Ha haa kwani alisema anataka kuzikwa nazo?kwa nn watu huwa wanapenda kupangia watu matumiz ya hela walizotafuta wenywe?tafuten zenu mtuonyeshe jinsi mnavyojua kusaidia jamii
Kabisa
Hakuna mwenye shida
Duuu!!! ama kweli hiyo no hatari Ila salama kwani inatupasa kujiuliza Mara mbili mbili kwa nn marehemu ikifanya hvyo
Simple answer ni kwa 7b hatuishii milele lazima kufa kufa kupo2
Wengine wanakufa wengine wanafariki
R I P Dr! 😭😭😭
ooo ooo ooo ooo ooo 👌
England yatnga fanal
Mmmmmh
Duh
Inna lillahi wa inna ilayhi raj'uun
Alikuwa na Wazo zuri mzee wetu.
Ila hapo kwenye 1Bil. Tumedanganywa. Labda likimalizika na kupambwa kwa vito.
Mbona mnakuwa wagumu wa kuelewa? Yeye kasema itakapo kamilika
Nyie waongo mnajifurahisha mnacheza na bilioni heti kaburi la bilioni nawazhangaa sana hamjui nguvu ya bilioni
siku za mwicho kuna adhanu huko
Kamaalikuwa na hofu ya Mungu mbna alikuwa mganga waganga wote motoni
Gehanamu...
Kwahiyo huyu ndo mtoto wa marehu 😅😅😅😅
Tuelewane kitu kimoja kama alikuwa Catholic basi alikwa anazini na hao wananwake wengine maana catholic huowa mke mmoja
Wapi andiko katoliki dini? Usiende kibubusa utajuta siku ya ya hukmu
Siyo wakatoliki Sema kwa wakristo ndoa ya mke mmoja siyo zaidi
@@allyhuyu1892 we mavi nni we unatakaje sasa unawashwa eeee umeona wapi nimeandika dini
Watu wana reply tu comments za watu bira kuelew. MD zainab ujaongea vby me nimekuelew vzl tu... Wakukulupuka kaja kuhalibu naisi alitok kulala😆😆
@md zainb catholic ni nini? Halafu lainisha ulimi kutukana haisaidii
Huyu si ndo mganga mwandulami marufu toka enzi zile ss wadogo kabisaaaaaaa nmkumbuka sana mganga mwandulami baadhi ya wafanyabiashara wa iringa watamkumbuka sana
Hivi ni mganga mshirikina au mganga wa tiba asili!?
Aliwapa dawa
@@taturajabukhalfani7953 vyoote huwa wanafanya
Why all our intelligent people leaving Earth so Early they cant even be 80 years why why why do painful
Pole sana
Amemuachia nani URITHI wa uganga😂😂😂
Acha uongo ww milion moja wapi
Kawaida dini yangu hujinunulia Sanda kuweka ndani ni kawaida akuna cha ajabu
Yuko xaw make ilo linajulikana ata serikari hutenga maeneo ya maziko na ujenz wa makaburi upo kila siku ilo tuseme ni la kiwango 2
Jamaa anaongea kwa busara sana...
Sema billion moja....
Bilion moja
RIP
😭😭
Hivi me ndo sioni vema ama? Eti naona mwanae ni kama wanalingana vile..!
He died as a hero,who never scared of dying while others don't like to see even coffin.
shujaa gani, mshirikina huyu ? Amewajengea mizimu ya ukoo wake tu...
Mganga! Mganga! kifo hakuna urrmbo, ni mwili wa nyama funza tu.
Huyu mwandulami tunamfaham sana mganga mkubwa sana, tulipeleka hats wachawi kwake waondolewe uchawi
Wacha akapambane na mola wake, hilo jengo halina faida
Msg sent
Ni kweli
HAKUA NA MSAADA WOWOTE HUYU PIA NIMESHANGAA ETY MBAKA VIONGOZ WADI WALIFIKA HAPO KWA MGANGA WA KIENYEJI 🤣HUENDA HAO NI WAGANGA PIA
Mbona mtoto Ni mkubwa kuliko baba
Umeona eee, nilijua ni macho yang tu
Bilioni iyo kwio uongongo tu
Inawezekana ikafika hadja kaburi sio hilo hapo unaloliona lenyewe lipo chini sana niliwahi fika wakati wa uhai wake marehemu huko ndani kuna mambo mengi sana iliwahi rushwa hewan wakati mwenyewe yupo hai alikua anaelezea ni hataree aisee
Kisasi na hukumu ni kazi ya Mungu
Acheni kuingilia majukumu yasiyokuwa yenu.
Ni mfano wa kuigwa
Alifanya vyema sanaa kujiandalia makazi yake ,ni funzo kwetu kujiandalia safar
Kwani mtu kujiandalia kabuli, na mwingine kutenga maeneo kwa ajili ya kuzikia wanafamilia ama ukoo ,
Nini tofauti yake?
Kuna kitu kikubwa Sana Cha kujifunza ndg zangu!historia ya mhusika unaiandika wewe mhusika!
aaaah subutyuuu bora mkatoe sadaqa
Moto.unamuhusu
Kumzidi nani?
Kumzidi nani?
Mtoto wa marehemu anaonekana nae ni tajiri
Amekaa kitajiri
Unakuwaje masikini sasa .
Mimi namwona Mzee kuliko baba
@@SadMidoriya ni kweli baba anaonekana younger than
He kwahyo huyu ndio mtoto wake 🤭
Unamjua
@@gracedotto5523 ndio my
Hata mie nashangaa huyo ndo mwanae?
@@peteryukunda9239 yani da au ni hyo kofia mana huwezi amini kabisa
Maana mtoto mwenyewe mzee😳
Innalilah wainailah rajiun, Rest In peace Babu
Mbona anaongea ni Mzee kuliko aliekifa
Mtangazaji unaumwa mafua
Sasa wee muandishi hata huna fkila sasa maswali mengi ya nn eti unaona ajabu kuandaa nyumba ya milele waee wawapi
Wakatoriki hatuoi mke zaidi ya mmoja, alishughulika zaidi na hifadhi ya mwili unaooza ,tujifunze kitu
Alipoulizwa Iman ya marehemu amepata shida kutaka Roman Catholic why?
Sasa huyu baba anaeongea ndiye mtoto wa kijana?😅😅😅
Dini yetu atuowi mke zaidi ya 1 hawo wawili nimahawara wanaitwa!!!mpmzika kwaanani
Hiyo ni dini ya wazungu,pia acha kutumia akili za wazungu, wadada walivyo wengi unahis wataolewa na kina nani? Au wadange Hadi siku ya mwisho? Oeni hata kumi muwatunze dada zetu,na siyo kuwachezea
Jumba la makumbusho hilo tutakuja .
Linazidi hata makaburi ya watu maarufu
@@blandinamwarabu5025 ndo faida ya kujiandalia na si kuandaliwa!
Farao wa Njombe huyo!!! 😂😂
@@j.c.maxima816 ni kweli
Mnaijua bilion lkn
Polen sana ila naona mtoto wa marehemu huyu anaeongea akifanana na nabii tito
😁😁😁😁
Ahahah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sikuiz anazaliwa mtoto ndo anafata baba kweli mambo yamebadilika
Duuu
Eti billion acheni kutuongopea
Had I songea ludewa mkoa mzima anajulikana naana watu walitoka sehem MBL MBL kumfuata yeye
Alikuwa anatoa utajili wama nyoka
@@michaelsamson9663 🙄🙄🙄
R.I.P pumzika kwa amani
Kwa bahati mbaya, atapumzika motoni huyu 😂😂
Waaah ako na pesa iyo nyumba yake iko mwaaah
Pia mm nimependa nyumba yake
Sasa jeneza la 3M unadhani ni mchezo??
@@marykarebeti9410 si heli angesaidia maskini na iyo pesa yake
@@rachaelw580 pesa ya laana hiyo... No thanks...
@@j.c.maxima816 yaa laana kwa nini
Afadhali yeye aliekua amejiandaaa
Hana cha afadhari huyo kafa mushirikina hata angejenga la tilioni halita mfaa duniani mpaka akhera iwapo alitanguliza machafu
Huyu mzee hii story niliiyona kabla ajafa duuh kumbe ashakufa sasa
Yaan mtu ni mganga wa kienyeji afu watu wanasema dahhh ameenda Mbinguni, hahahahaaa jmn hivi Mbinguni mnadhani ni geto au!!! Ameenda jehanamu ya moto!!! Huo ndo ukweli!!! Andaa kwanza roho yako ndo uandae kaburi, akili ya kitoto sana!!! Haya kazi kwenu!!!
Acha kuwaza Kwa kutumia akili za wazungu,wewe una uhakika gani kuwa kaenda jehanamu?
We Global hiyo sio Mkoa wa Iringa... Mtwango ipo Mkoa wa Njombe
Ninjombe