#DIAMONDPLATNUMZ

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии •

  • @mancankwee5740
    @mancankwee5740 6 лет назад +111

    Amsaidiae masikini
    Uyo ndie amkopeshae Mungu
    Mungu akyzidishie mara dufu ya iko ulichotoa Diamond.
    Uendelee kuwa mfano wa kuigwa usiwe kama wale wanaotafuta kumbi za mamilion kuuonesha ufahar wao for nothing.
    Kilipotoka kirud apo kingne Amen 😍😍😍

    • @devothaagustin7767
      @devothaagustin7767 6 лет назад +1

      Mungu akulipe sana

    • @sucdimohamed1565
      @sucdimohamed1565 6 лет назад +1

      Mungu akupe. Umri wa kutosha kaka. Machozi yamenitoka. Sina. Lakusema mungu akulinde sana

    • @tuombesunzuesperance5196
      @tuombesunzuesperance5196 6 лет назад +1

      Manca Nkwee True true Hapo anamkopesha Bwana Yesu Diamond Bwana Yesu akubariki sana ufanyikiwe kwa kila jambo

    • @sepengagoodhope1798
      @sepengagoodhope1798 6 лет назад +1

      Manca Nkwee vpi kuhusu baba maisha yake maana wazazi ndo wamebeba pepo zetu

    • @modestaabeli3389
      @modestaabeli3389 6 лет назад +1

      Yaaan hata mie huyu mama kaniliza kweli kwa fulaha yake tu mungu akuzidishie mondi

  • @funnytem6094
    @funnytem6094 4 года назад +4

    imfikie DIAMOND PLATINUMZ this is from Kenya. Mungu akuzidishie kwa kuwa umemzaidia hasiyejiweza naye aliye juu ametazama kazi hiyo thanks brother

  • @adrophndikwiki9277
    @adrophndikwiki9277 6 лет назад +71

    Dah!!! Uyo mama mpaka nime huzunika sana big up!! Sana Diamond platinamz apo sawa umejari!! Sana mungu akubaliki!!!

    • @shashyhormo4682
      @shashyhormo4682 4 года назад

      Naomba pia me nisadie Kaka yangu Niko mtoto mulavu

  • @sandry254thevoicevoiceofaf8
    @sandry254thevoicevoiceofaf8 4 года назад

    Platinumz....ningependa kusema mengi buh...God akupe nguvu na akuzidishie kaabisa....mapenzi tele...(from kenya...one love)

  • @mrishogange4276
    @mrishogange4276 6 лет назад +131

    Uyu mama kanimwaga chozi aise..Diamond God akupe maisha marefu na uendelee kuwa na moyo huo huo

  • @dianajiana6804
    @dianajiana6804 6 лет назад +12

    Cutting onions oooh my God 😭😭😭😭😭😭 GOD BLESS YOU MORE DIAMOND PLATNUMZ🙏🙏🙏🙏

  • @husseinabeid8934
    @husseinabeid8934 6 лет назад +35

    Mungu akulinde ww n familia yko Nasib yani una moyo kaka wauruma yani mpka machozi yanidondoka

  • @cecyrevy4379
    @cecyrevy4379 6 лет назад +21

    Diamond I don't know what to say...u r such a blessing

    • @raszedu7926
      @raszedu7926 3 года назад

      Diamond you have done a good job be blessed

  • @lucykigotho591
    @lucykigotho591 6 лет назад +19

    This has really touched me...may God bless you diamond.kumbe sikukosea kukupendaga ata ukisemwa vibaya.mola akuzidishie....thank you,be blessed

  • @rosandasrose7576
    @rosandasrose7576 6 лет назад +25

    She makes me cry! Hey Nassib be blessed coz u know the meaning of blessing(chenye Allah anakupa una share na wengine)...respect from Congo

  • @kadabra-one1007
    @kadabra-one1007 6 лет назад +221

    Huyu ndio Diamond ,,na hii ndio maan ya usanii n kioo cha jamiii ,,Allah akuzidishie zaidi ya hapo

  • @justinemokua4110
    @justinemokua4110 6 лет назад +16

    Watching from Kenya..... Diamond keep it up

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 лет назад +104

    Wa kwanza hapa, uyu Mama kaniliza sana, Allah akuzidishie Baba #Dylan kwa kumfuta machozi uyu Mama.

    • @yazidiselemani924
      @yazidiselemani924 6 лет назад +1

      Saumu Hassan dah Allh akuongeze unapotoaga kk mkubwa

    • @mwanahaji13
      @mwanahaji13 6 лет назад

      Daaaa ht mm imeniuma sn kumuona huyu mama n machoz yamenitoka kwa kweli Allah akuzidishie na moyoo huooo n S's wajane tunao watoto yatima pia utukumbukee

    • @atuganilemwaimu5980
      @atuganilemwaimu5980 6 лет назад

      Duh! Mond mfano wa kuigwa broo mungu azidi kukubariki

    • @Annamburuchronicles
      @Annamburuchronicles 4 года назад

      Uyu mama kaniliza tena sana Diamond mungu akuzidishie right from dubs

    • @msasamgumu5740
      @msasamgumu5740 3 года назад

      Mashallah mungu akujalie uwe na moyo uw uwo

  • @jumakondo220
    @jumakondo220 6 лет назад +2

    Huo moyo Mzr xana diamond mungu akujalie kujalia wanyonge mungu akuongezee

    • @Zubaiba
      @Zubaiba 10 месяцев назад

      Mungu akuzidishie daimond

  • @wilsonouma754
    @wilsonouma754 6 лет назад +42

    Brooo ww una roho Safi sanaa ww ni simbaaa hmna mtu wa kukuvua hilo jina mungu akulinde sanaa unamfnya rayvanny analia

  • @chimmamythestubborn7787
    @chimmamythestubborn7787 6 лет назад +17

    God bless you Diamond... dear you one in a million

  • @miriamally4828
    @miriamally4828 6 лет назад +11

    Yesu Kristo akawe taa na mwangaza wa maisha yako na kukupa haja ya moyo wako Nasbu nakupenda saaaana.

    • @matharedward869
      @matharedward869 4 года назад

      Allah akuzidishie

    • @isayarevelian9698
      @isayarevelian9698 4 года назад

      Dah kweli u kioo cha jamii jamani katika vitu ulivo Wai kufanya hili ndo tendo kubwa kuliko yote mungu umemkopesha deni kubwa sana

  • @hinzanolove
    @hinzanolove 3 года назад +1

    Mwenyezi MUNGU akujalie maisha marefu diamond

  • @akanilukas3857
    @akanilukas3857 3 года назад +10

    GOD CONTINUES TO ACCEPT YOU AND INCREASE ALL BLESSINGS BECAUSE YOU ARE VERY GOOD

  • @husnashariifu6249
    @husnashariifu6249 4 года назад +1

    Mashallah mwenyezi Mungu mwingi wa rehma akuzidishie ulipotoa

  • @jamillaholoo9715
    @jamillaholoo9715 6 лет назад +10

    May God bless you bruh diamond,,, you'll live long to see more blessings,,, love you platnumz,,,, mungu akubariki mara dufu 😢😢😢😢😢 touching

  • @kaeniyahya7536
    @kaeniyahya7536 4 года назад +1

    Yaani😭Nasib ndg yng Mwenyezi Mungu azidi kukukuza kwa kheir na salama azidi kukufanyia wepsi katika rithki zako Amin

  • @sarahmambali2554
    @sarahmambali2554 3 года назад +5

    Kwanzia leo mimi ni shabiki wa nyimbo zako
    God bless you

  • @salvadorkayage6041
    @salvadorkayage6041 4 года назад +2

    Diamond mungu akupe maisha marefu na uendelee na moyo huo huo.

  • @brazilmainagitonga601
    @brazilmainagitonga601 6 лет назад +12

    diamond platinumz Gos will bless you more and more all the best wasafi

  • @filbertcarlos2946
    @filbertcarlos2946 4 года назад +2

    Diamond asante sana kwa upendo wako mungu tu akupe maisha marefu kwani yeye ndio muweza wa kila kitu hapa duniani na tambua kuna kina sisi tunandoto za kufanya vitu ila tu hatuna mambo

  • @momodoha6042
    @momodoha6042 6 лет назад +16

    Kuzaa sio kunya jamani Allah amsimamie Diamond kwa kila njia umfungulie miangaza kila wakati nauzi kumpa roho yenye imani zaidi na zaidiiii .....Aamiin

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 6 лет назад

    Sinaga ubaya na anaepigania maisha yake ilikusudi aweze kujikimu kimaisha, saga uteam siijui mond wala kiba
    Kwa moyo saafi kabisa diamond abarikiwe na azidishiwe baraka na kipato Allah amjaalie kijana huyu na wengine waige mfano👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @nadiauthman9013
    @nadiauthman9013 6 лет назад +5

    MaashaaAllah....our Allah bless you more and more and reward you with multiple of what you gave out

  • @janethjustin5256
    @janethjustin5256 6 лет назад

    unaweza ukafanya upuuzi wote Diamond! lakini wewe ni kijana ambae unajari thamani za wenzako Mungu akubariki🙏🙏🙏 so touching

  • @mctarimo1634
    @mctarimo1634 6 лет назад +11

    Mungu azidi kukubariki Simba
    Hongera mama kwa kujituma
    Disability is Not Inability

  • @SophieSpira
    @SophieSpira 4 года назад

    Waaaa waaaa Diamond, Machozi yangu kama kutu, Leo yamedondoka virahisi... Mungu akuzidishie na huyu mama abariki ke kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.., Amina.

  • @collihmushi5944
    @collihmushi5944 3 года назад +3

    Blessed is the hand that gives, Mungu atupe roho kama ya ndugu yetu🙏

  • @siriyakosimeo7979
    @siriyakosimeo7979 4 года назад +1

    Mwenyezi mungu akuzidishie ulkotoa kaka etu, motivator wetu sisi vijana

  • @catherinegakenga7360
    @catherinegakenga7360 3 года назад +3

    So touching may God bless u...i can see Rayvanny apo nyuma ameshindwa kuyazuia machozi pia

  • @daliaabdullah5756
    @daliaabdullah5756 3 года назад

    Jaman kaniliza. Huyo..mama hongera. Sana Daimond mungu akupe. Maisha. Marefu. Na akuzidishie kipato zaid. Inshaallah penda sana Mond ake💕💕💕❤😘

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 6 лет назад +16

    Maskoni mi huyu mama kaniliza nimelia sana kweli nimeami mtoto wa mwenzio ni wako ubarikiwe sana simba pale ulikotoa pakaongezeke mara mia kwa yina la Yesu Amen.

  • @evvajohn5748
    @evvajohn5748 6 лет назад +1

    Daa mungu akubariki daimond akusamehe na maovu yako pia uwe na maisha marefu.

  • @ibraski
    @ibraski 6 лет назад +7

    God bless you diamond. Moving scene damn it!!

  • @didiermusimbipeter311
    @didiermusimbipeter311 2 года назад +1

    Natamani pia namuomba Mungu anijaliye heri kwenye mziki wangu ninao ufanya w a gospel atakama mimi nawewe nitofauti ila nasema sote wanamuziki nakuamini natena nakuombea mwenyezi Mungu akubariki kwa upendo mkubwa huu unao maisha marefu diamond 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @zuuhans5252
    @zuuhans5252 6 лет назад +50

    Daaaa mond ww mung akupe umri mrefu adi machoz yananitok apa 😭😭😭😭

    • @brightonabel8391
      @brightonabel8391 6 лет назад +1

      Ndio baba

    • @adybakari2861
      @adybakari2861 6 лет назад +1

      Mungu akizidishie mondi

    • @movickboazy7642
      @movickboazy7642 4 года назад

      Zuu Hans Jamaa Namkubali Saaaana alaf najua nn unafanya bro

    • @blakeal2276
      @blakeal2276 4 года назад

      Termonde mungu akulipkilalakher umenionyenirizisha na.mam huy animwagamacoz munhuakup maisha maref

  • @briebella3895
    @briebella3895 6 лет назад

    Penda wewe Diamond mwenyezi Mungu akuzidishie baraka kwa kila ufanyacho Fanya, God bless you Baba Dylan

  • @swahiliflava9151
    @swahiliflava9151 6 лет назад +38

    Siri ya Kubarikiwa Sanaa Na Zaidi Hii Hapa... Wale ambao huuliza Vipi Chibu Anamilika Mali Mingi hivi. Hii ndio Sababu. He's a True Superstar na Wala hii nyota Haizimiki Kamwe! Love you Simba

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 4 года назад +2

    Diamond misaada mingine fanya kwasiri wewe namungu wako ni muhimu sana itakusaidia mbele ya haki InshaaAllah 🙏

  • @stevenshonza76
    @stevenshonza76 6 лет назад +10

    Mungu akubaliki diamondi kwa hilo ulilolifanya

  • @kevinokwogatv
    @kevinokwogatv 3 года назад +2

    So touching Mr Simba, Maulana akubariki Kwa moyo huo Wa Ukarimu na kujali wanaopitia changamoto,

  • @okisainoeline1674
    @okisainoeline1674 4 года назад +8

    That's so kind of you Diamond of all the things apart from being your fun from Kenya...this one has touched me so much. .May God bless you even more.

  • @tycoonrichy675
    @tycoonrichy675 4 года назад

    Really sound nice ,mungu akuzidixhie kw huo wema ulomtendea uyo mama.

  • @zuenahassan6453
    @zuenahassan6453 6 лет назад +4

    nimekupenda bureeee Mondi mungu akuongozeee

  • @zuhuraalham4248
    @zuhuraalham4248 3 года назад +1

    Mash Allah mungu akuzidishie kila lenye kheri mondi

  • @rogerzmoleli633
    @rogerzmoleli633 6 лет назад +8

    God bless you D for your kindness heart

  • @rashidaomar5573
    @rashidaomar5573 3 года назад +1

    Mungu akubariki Diamond uzidi kusaidia wasojiweza.

  • @Tam_media2548
    @Tam_media2548 6 лет назад +4

    Aisee dume zima nimelia wallah....
    Mungu akuongoze mond wetu

  • @mamyleilahog671
    @mamyleilahog671 6 лет назад

    aya mnaomchukia mond sasa fyuu zenu ,wala cjutii kukupenda mond love u much ,wcb4life

  • @mcisunga3822
    @mcisunga3822 6 лет назад +58

    Natafuta chumba tandale jamni 😊😊😊dalali nitafutieni chumba huko

    • @jumbebakari128
      @jumbebakari128 6 лет назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @aishasilaji5759
      @aishasilaji5759 6 лет назад

      MC ISUNGA hahahs

    • @helenampewa9582
      @helenampewa9582 6 лет назад +1

      MC ISUNGA haaaaaaaaaaa

    • @muumudrigo1927
      @muumudrigo1927 6 лет назад

      nipo

    • @jumannemfaume
      @jumannemfaume 6 лет назад +2

      Nilinahuzunika hapa kilio cha mama daah ila ww ndo umenikesha hahahahaha utapata tu mzee afu najua vitapanda bei kuanzia sasa

  • @Ali_Manzu
    @Ali_Manzu 6 лет назад +2

    Nasibu, Mungu akupe nguvu za kutafuta na kuwasaidia wasiojiweza maishani kuimarisha familia zao na wanaowategemea. Sina zaidi.

  • @King_186
    @King_186 6 лет назад +6

    Siku zote nakusapoti Diamond si kwa sbb ya muziki tu bali hata Moyo wa unyenyekevu na kusaidia wengine, ni lazima tukuombee, Mungu akubaliki

  • @eugenetv6881
    @eugenetv6881 3 года назад

    Mungu atakuwinuwa kwa kazi yako San ,,,mm n eugene from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @uaguag7607
    @uaguag7607 6 лет назад +12

    This made me cry Diamond is the man

  • @janethnkembo5808
    @janethnkembo5808 4 года назад

    Mond Mungu akupe maisha malefu. Umeonyesha Upendo wa ali ya juu

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 лет назад +4

    Mungu akuzidishie hongera san CHIBU 🙏🙏

  • @margaretiminza6270
    @margaretiminza6270 3 года назад +1

    Diamond may God bless na pia azidi kukupa vingi🙏

  • @rriskttakerke9760
    @rriskttakerke9760 6 лет назад +3

    What a humble superstar!! God bless you much

  • @JOCENTE
    @JOCENTE 3 года назад

    Naliya kwa furaha .Diamond uishi milele na maisha yanye baraka tele love u

  • @momodoha6042
    @momodoha6042 6 лет назад +16

    Diamond Allah Akuzidishie kila siku Coz sio wote walio na roho kaa yako ..Ata uyo Rais wenu awezi kufanya jambo kama ilo uliolifanya yani umeshinda kuliko Rais akii..Allah akusimamie kwa kila jambo kila siku. Aamiin

  • @phydiliahmwagodi2254
    @phydiliahmwagodi2254 4 года назад

    Wengine wafwate mfano wa Diamond. Mungu ambariki sana. Watching from Nairobi Kenya.

  • @verrah_varane3006
    @verrah_varane3006 4 года назад +5

    This made me emotional 😭 congrats kakangi

  • @silivesterchale1387
    @silivesterchale1387 3 года назад

    Ww ni mtu wa kipekee Sana diamond mungu akupe maisha maref

  • @tatuomar4164
    @tatuomar4164 6 лет назад +10

    Manshaallah mungu akuzidishiy imani kazi nzuri sna diamond ila musaidiye na baba yako analiya sana M/mungu anasema sadaka nzuri iyanziye ndani mwako

    • @mrishomzelela4627
      @mrishomzelela4627 6 лет назад

      Tatu Omar ,we unanajuaje kama hamsadii baba yake?

    • @tatuomar4164
      @tatuomar4164 6 лет назад

      +Mrisho Mzelela kwasababu baba yke anayaliliya mtandaoni njomana tunayajuwa angekawa anasaidiwa asingekua anapiga kelele kweny media

    • @amryzubery1051
      @amryzubery1051 6 лет назад

      Tatu Omar huyo mama asipo jiangaria atakuwa nakafara

    • @tatuomar4164
      @tatuomar4164 6 лет назад

      +Amry Zubery nihatari

  • @Karin-wk5xr
    @Karin-wk5xr 2 года назад

    Waaaaa diamond mm n mkenya lakini nimefeel vizuri sana kwa huo moyo mungu akubariki sana braza endelea kuwa na huo moyo na udisaidie Tanzania tu karibu pia kenya barikiwa

  • @feithmhimbano959
    @feithmhimbano959 6 лет назад +13

    Mungu akubariki mond

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 6 лет назад +1

    Mashaallah Alihamdurillah Mungu awainuwe wasanii wengi wa Tanzania Amin.

  • @jennylaswai2993
    @jennylaswai2993 6 лет назад +5

    mondi miaka kama yote, mwenyezi mungu asikupungukie, wewe na vizaz vyako.

  • @wcbvotefance
    @wcbvotefance 3 года назад +2

    Mungu akupe maisha malefu simba umeweka hazina mbinguni niwachache wenye moyo kama wako

  • @mercellinornthangu1134
    @mercellinornthangu1134 6 лет назад +3

    GOD bless you so much Nasib,you are young and seing the great picture in what this world needs much of.You have really touched my heart.Blessings and more.

  • @unkolli
    @unkolli 6 лет назад +1

    God bless you Nasib. Jambo ulolifanya ni example kubwa kwa sisi wote duniani

  • @smartboysajuse90
    @smartboysajuse90 6 лет назад +26

    Hv hata vitu km hiv kuna dislike??? Ebu gonga like WCB

  • @michaelmasijah724
    @michaelmasijah724 6 лет назад +1

    Mwenyezi MUNGU naamini anaona hayo unayoyafanya kwa watu wenye uhitaji! 🙏🙏🙏

  • @mishimwinyi7974
    @mishimwinyi7974 2 года назад +3

    I wish most of the people or celebrities who are capable of helping the less privilege do like diamond we could make this world a better place

  • @mebakarirashid5837
    @mebakarirashid5837 2 года назад

    Mungu akupe moyo wakusaidia in shallah imenichoma sana Hila nahisi furaa kama vile namjua uyo mama mungu akampe nguvu in shallah bajaji akaifanyie kazi na furaha

  • @amindavid5290
    @amindavid5290 4 года назад +5

    I salute you Platinumz,much love & respect to you bro!!!,people like you can change the world to be a better place for everyone,lets more and more blessings comes to your way,lack nothing in this life,GOD GUIDE & PROTECT YOU BRO!!!

  • @sharlynechep8203
    @sharlynechep8203 4 года назад

    Daimondi mungu abaki kua mungu kwa kibali chako uishi maisha marefu

  • @sigifridyfranky8984
    @sigifridyfranky8984 6 лет назад +113

    Sojawai kumuona msanii kama Diamond Tanzania ii

    • @asnathomary1693
      @asnathomary1693 6 лет назад +1

      Sigifridy Franky l

    • @asnathomary1693
      @asnathomary1693 6 лет назад +1

      daah kwahili mond nimekupaongera coz nimeumia sanaa hata mie kwa huyo mamaa ,,,endelea kuwasaidia nawengine pia inshallah Allah yuko pamoja nawew kwenye kaz zakoo

    • @mdachiog5211
      @mdachiog5211 6 лет назад +2

      Hajawai tokea kabisa

    • @sadikisanga3692
      @sadikisanga3692 6 лет назад +1

      Mungu akupemaisha malefu kaka umekuw mfano wavijan wenging

    • @semkiwamazonge3036
      @semkiwamazonge3036 4 года назад +1

      Tunaiga mema yako broo milioni 7 sio mchezo kaka

  • @lovorboymsafy3837
    @lovorboymsafy3837 3 года назад

    Congrats diamond mungu asiti kukukumbuka kwa mengi unayo wafanyia Wana inji

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 6 лет назад +12

    *HUYU JAMAA ANAJITOA SANA NA ANAFANYA MAKUBWA WANGEFANYA HIVI WRNGINE WANGEMWAGIWA SIFA KULIKO ANAVYOSIFIWA DIAMOND KWA HILI WATU WA NCHI HII NI WANAFIKI SANA*

  • @julianacharles6014
    @julianacharles6014 4 года назад

    Natamani Diamond angegombea nafasi Yoyote yauongozi katika chama chamapinduzi nafiriki asinge kosa angepata kula zote ameakuwa msaada katika jamii jitihada zake zinaonekana Mungu akubariki Diamond akuzidishie pale Ulipo pungukiwa natumaini iko siku utakuja kuwa mtu mkuu katika hii inchi na Mungu akupe hitaji lamoyo 💖💖💖

  • @doreenwanyonyi5653
    @doreenwanyonyi5653 6 лет назад +3

    nasib be blessed bro continue with that spirit

  • @mirajimiki3780
    @mirajimiki3780 5 лет назад

    Diamond ww unaakili Sana Kama utakuwa na moyo kama huwo mola atakulipa mema.. Mola akulinde amin

  • @shikue6244
    @shikue6244 6 лет назад +8

    this is really touching...GOD BLESS YOU

  • @prosperpeter8642
    @prosperpeter8642 6 лет назад

    Dah uyu jamaa acheni afanikiwe tuh anavyovifanya kweny jamii ni vikubwa sana hadi nimeumia uyo mama kaniuzunisha sana be blessed #diamond

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 4 года назад +3

    Bless up Simba 🙌🙏🙏🙏

  • @julianacharles6014
    @julianacharles6014 4 года назад +1

    Mungu akubariki Diamond Akupe Hekima nguvu na afya tele 🙏😭😭

  • @benerizabeth1989
    @benerizabeth1989 6 лет назад +4

    Big Time Simba!! God bless you

  • @victorblessingsofficial4770
    @victorblessingsofficial4770 3 года назад

    Simba mungu akuzidishie kabisa ukose pakuweka,mzikk wako uzidi kupaa kuliko wenye nguvu duniani kwa hiki ulichokifanya namwomba mungu akulipe kwa kukula tuzo zote zile utakazo nominatiwa tukianza na bet,#simba#best international act

  • @dannymusic7798
    @dannymusic7798 6 лет назад +14

    Nzuri sana kbs

  • @anneakinyi5512
    @anneakinyi5512 6 лет назад

    Diamond Mungu akujalie Naazaidi kukulinda....natamani sana kukuona kwaukaribu inshallah

  • @leiylaomar9318
    @leiylaomar9318 6 лет назад +9

    Kama na ww ume lia pamoja na Huyu mama weka like twende sawa

    • @tuliya5824
      @tuliya5824 2 года назад

      Kama unamupenda sema amubarike mwenyezi mola

  • @uwitonzemulengerantwali6750
    @uwitonzemulengerantwali6750 Год назад

    Mungo wangu bona huyu Kijana amenifurahisha Sana mpaka machozi yamenitoka hapa niripo. Umefanya kitendo kinacho shinda wengi .Mungo bariki huu mom na Diamond kweli Mungu akurinde na kazi zako watch from USA 🇺🇸.

  • @sizzaamiri3668
    @sizzaamiri3668 6 лет назад +8

    ahsante diamond!

  • @fatyqueen346
    @fatyqueen346 4 года назад

    Mwenyezi mung akusamehe makosa yako mond akupe umri mrefu kwa hichi ulokifanya amiin🙏