Asalam aleikum ukhti.Mimi ni mmoja katika fans wako Naomba utuletee pishi la kisra kutumia unga wa mchele . Allah akuhifadhi kwa kazi yako njema unayo tuletea
Alhamdulilah tumefunga kwa salama inshallah saumu zetu zikubaliwe. Najua nilikua nachukua break kidogo na watoto wapo nyumbani school zimefungwa basi unajua tena harakati
@@aromaofzanzibar I made it today😋😋🙈...it so delicious..wallahi...kujua kupika raha jamn...ila mm nna ttzo la kupika mkate wa mayai na cake😔😒so şad.. nlijaribu nkavuruga😄😄😄..Daahhh naskitika nkawa muoga mpka leo sikujaribu tenaa
Aleikum Musalaam, nilikua nimeshughulika sana na kupumzika kidogo na watoto wapo home you know its summer time. I have started a vlog as well called FRIENDS OF AROMA OF ZANZIBAR , please check it out when time permits
Thank so much for recipes on how to prepare lots Zanzibar/ Tanzanian recipes. Please can you tell me where i can purchase Vitumbua cooking pot. I live in London.
Mashaallah! Tambi za kukaanga ni tamu sana!
Nzuri sanaaa hizi Tambi,ila Kama una maziwa Ni vizuri zaidi ukiweka maziwa badala ya maji ,pia zinakuwa na ladha muhimu ziive zisitote,shukran hbbty
Ahsante, yed kama unapenda maziwa unaweza kutumia wengi wanatumia lakini mimi napenda hivyo
@@aromaofzanzibar it's ok hbbty
Maziwa ya sona or ya kawaida!?
@@ilhamhaji1125 maziwa ya kawaida
Manshallah very nice
Wow! napenda sana tambi za kukaaga, asante.
Karibu sana
Maji ya moto,barid au vuguvugu
Nimetumia maji ya kawaida lakini wengi wanapenda kutumia maji ya moto
mmhh tamu asante saana kwa mafunzo bora
mashaallah mashaallah shkrn habbty
ha ha ha ha
Asalam aleikum ukhti.Mimi ni mmoja katika fans wako Naomba utuletee pishi la kisra kutumia unga wa mchele . Allah akuhifadhi kwa kazi yako njema unayo tuletea
Safi asantee kwa maujuzi😍😍
Mashallah kila chakula chako kizuri💓
MashaAllah MashaAllah
Shukran mpenzi wetu jazzakallahu lkheri vipi skukuu nawatoto mmemaliza salama tumekumisi Kiasi 😘😘
Alhamdulilah tumefunga kwa salama inshallah saumu zetu zikubaliwe. Najua nilikua nachukua break kidogo na watoto wapo nyumbani school zimefungwa basi unajua tena harakati
Amin yarabi takabali dua shukran tupo pamoja
Ninzuri sana natamu mashallah
I love this so delicious
Shukraan dadangu
Mansha Allah nafurahiya sana Allah akupe kila lakheri sister
Nice! Hivi sasa naja kwako, ukisikia nabisha mlangu ufungue dada! :)
As-salam alykum waoh napendaa sana
Shukran mpedwa kwa tambi
I made this.. it was delicious 😋
It's been awhile since I made those. Glad you enjoyed them
@@aromaofzanzibar I made it today😋😋🙈...it so delicious..wallahi...kujua kupika raha jamn...ila mm nna ttzo la kupika mkate wa mayai na cake😔😒so şad.. nlijaribu nkavuruga😄😄😄..Daahhh naskitika nkawa muoga mpka leo sikujaribu tenaa
masahaallah shukuran sana kwa mapishe
MashaALLAH nice one
Mashallah
Ahsante sana mama!
Tambi tamu kinoma
Maashallah
karibu ma naona ulikuwa wafunga cta na kupumzika kidongo shukran kwa pishi la leo
Alhamdulilah nimeshamaliza 6 , nimeweza kupumzika kidogo lakini lazima tuchape kazi sister
mashallah 😍😍😍
Masha'Allah
delicious I love it thanks
very nice mashaa allah
masha allah
shukran habibty Kwa mapishi mazuri 😋😚
Ahlam very nice.
Habari my dada Aroma nimeangalia sijaona hivyo viungo vya mchuzi wa nyama ya ngombe
Viungo niandika kwenye video ya mchuzi , kwenye video tizama chini ya tarehe utaona mahitaji vitu vyote vipo hapo kila mtu anaona
Walah shukran dada for my request
Sorry imechukua mda kufika
a.alaykum asante saanaaa
Mashallah, wa mwanzo
Aroma of Zanzibar mashaa Allah je ukitumia uto
asante sana Dada nimeongeza ujuz ,
Nzuri
kwani maziwa hayaekwy habibty
Unaweza kama unataka sio vibaya
assalam alaykum tumekumiss..but tunashukuru umerudi salama..asante kwa tambi kwani ni chakula kitamu na fast..nazipenda asante
Aleikum Musalaam, nilikua nimeshughulika sana na kupumzika kidogo na watoto wapo home you know its summer time. I have started a vlog as well called FRIENDS OF AROMA OF ZANZIBAR , please check it out when time permits
Here's the link ruclips.net/video/Mc5BFCxjvTQ/видео.html
What is samli in English?
Ghee
shukran mungu akuhifadhi
Amin kwetu sote ya Rabb!
shukrani ddaty leo in shaallah nitapika
Ma shaa Allah shukran
mashaa ALLAH
mashaallah
Assalam alykum badili ya maji naeza tia nazi? au maziwa?
Maziwa unaweza, sijawahi kujaribu kwa nazi
Mashaallah
Mashallah nice
duh! vyakula vyako vitamu dada, what time is the lunch? I would like to join you😊
Mbona umechelewa
kesho nitawahi😊
Aroma of Zanzibar nimependa mapishi yako,rasmi nafuata mapishi yako
assalamu alaykum.shukraan sannnaa and we love u sooo much sis may ALLAH protect u and ur lovelly family aamin
Aleikum Musalaam, thank you so much for the love and support x I love you too
SawA sawa maa naulizaje kwa fb pia unaweka video mana uku saudia kuna wi-fi za bure tatizo maa nikirudi nyumban nitakupataje kiuraisi
Aeshah naweka videos FB Na wakati wowote njoo hapa RUclips nitafute kwa jina la Aroma of Zanzibar utaona video zote
Aroma of Zanzibar ahsante sana jazakah allah kheri
In sha Allah
Nyc
Humu wote wanapika lakini huyu mama wa Aroma ni kiboko yao!
😛👌
Shukraan for reminding me about tambi.Sijafanya for long tym.Leo friday will make it Inshaallah.
Hata mie simlaji wa tambi sana
shukran
Shukran habibty
Tambi za kolson’s pasta unaweza pikia vileja vya tambi??
Mimi si mpikaji wa vileja vya tambi, pitia Shuna's kitchen
Ok
assalam alaykum. habibty baadala ya maji huwezi ukaeka tuwi la nazi?
Huo ni uamuzi wako dada, jaribu uangalie vipi utapenda
Asabra Abdulah nadhani zile nyeupe ndiyo hutiwa nazi hizi sijawahi ona mtu anatia nazi but hebu tuharibu😅
Rukayah hahaaa eti hebu tuharibu😂😂😂😂😂😂
SHUKRAN
Nzori
Je waweza tumia tambi za kawaida zile nene
Siwezi kujua unazungumzia tambi za aina gani , jaribu kidogo utizame vipi zitakua
je naweza hata kupikia tambi za saintalucia?
haron elisha Samahani mie sijui hizo ni tambi za aina gani za mchele au unga wheat au semolina
Tuleteye tena Hachari ya maembe
Baada Ramadhani Inshallah
Je naweza tumia butter kama samli sina @Aroma
Unaeza kutumia butter lakini uwe makini na kutahadhari kwani siagi inaungua mara moja
Aroma of Zanzibar thanx habibty😍
nitajaribu kupika tambi za kukaanga siku moja. Jee nimuhimu kutumia samli mana sina 🙈🙈🙈 .
Kama huna unaweza kutumia mafuta ya kupikia au chnganya na siagi kidogo coz kwa mafuta zinachukua mda kushika rangi
kama sina samli naweza tumia mafuta ya kawaida?
Yes unaweza kutumia mafuta, kwa mafuta inchukua mda kupata rangi
Aroma of Zanzibar asante sana
Assalam Alaykum mm nataka kujua kupika faluda
Inshallah nitaleta Ramadhan
In sha Allah 😚
Naomba recipe ya pizza
Recipe zote zimo humu chukua wakati kutafuta dear, link hiyo ruclips.net/video/tP3FDPbDC2U/видео.html
Asant sana Mung akubarik tuletee tena keki disain nyengin
Inshallah nikijaaliwa kupika nitaleta
Nashukuru walah
Sweetheart watumia samli ganii
Ayuni Channel mie natumia Aseel
KARIBU LOVE
nimependa hizo tambi wkend hii ntajaribu kutengeneza
shukran sana naomba kujua kupika chauro
Inshallah nikipata nafasi nitaweka
Thank so much for recipes on how to prepare lots Zanzibar/ Tanzanian recipes. Please can you tell me where i can purchase Vitumbua cooking pot.
I live in London.
Kwa utamu huu kwa nini nisiwe kibogoyo kwa kupenda sukari.
Pole sana!
@@aromaofzanzibar Afwan Ramadhan Karim wa saumul maqbul.
samli ndo nini na yapatikana wap
samli kwa kingereza inaitwa ghee, inapatikana madukani sehemu ya mafuta ya kupikia
Navile napenda tambi ipo poa
abittoki
ni za wheat flour,semolina na durum....izo ndo ingedients zake
haron elisha unaweza kutumia brother hizo Ni kama pasta
Recipe ya tambi za znz napikwa na nazi
Mie sijatumia nazi lakini unaweza kuweka nazi kama unataka
Ahsante
ni za wheat
tayari nishajibu maswali
Masha Allah
asant mm unatufundisha sana
Mashaallah
Shukran
mashaallah
Shukran