Atosha Kissava - Iyee Iyee (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 234

  • @Migapogospel678
    @Migapogospel678 Месяц назад +1

    Madam tunaomba uwe una like na sisi tuwe tunafarijika kuwa tupo pamoja watu , tuna kussupport lakin ww hata hutujali .
    Ni ombi langu lakin😢😢

  • @Fabian_fidel_Official
    @Fabian_fidel_Official Год назад +1

    Nime kumbuka nilikua sja comment 😂iyeeee iyeeeeeee ❤❤❤❤❤❤ love song

  • @bahatimongitaamos8458
    @bahatimongitaamos8458 3 года назад +4

    Ni kwa neema yako Bwana..
    Iyeeeh iyeeeeeeeeh
    Like plz za kutosha

  • @joycebetuely6217
    @joycebetuely6217 3 года назад +2

    Team atosha ...tujuane jamani

  • @frankbalama6904
    @frankbalama6904 3 года назад +7

    Hongera sana sengito kwa kazi yako umetoa kitu Amazing tulipamwinga Atosha is Good

  • @chapmansalva8524
    @chapmansalva8524 3 года назад +5

    nakuelewa sana dada ang Kisava! MUNGU akupe zaid ya hapo.., kaz nzur sana!

  • @deogratiusmsusa5496
    @deogratiusmsusa5496 3 года назад

    Nakupenda sana mwanangu,Barikiwa mbaka ushangae,endelea kumtumikia Mungu siku zote

  • @bupeabdul8133
    @bupeabdul8133 3 года назад +2

    My mom....go go goo....Yesu wewe ni mzurii😍😍😍😍

  • @isayamwalukosya9712
    @isayamwalukosya9712 3 года назад +2

    Ameen

  • @lusajotange3402
    @lusajotange3402 3 года назад

    Atosha temeke sokota tunakuelewa sana. Barikiwa na kazi ya mungu,,,

  • @victoriafovo8126
    @victoriafovo8126 Год назад

    Tunakaribia kuumaliza mwaka 2023, hakika ni kwa Neema tu.!!!

  • @msigwa1
    @msigwa1 3 года назад +2

    HONGERA SANA SISTER WANGU HUNIANGUSHAGI KATIKA KUTUIMBIA NYIMBO NZURI ...HILI NI BONGE LA SONGIIIIII NA TUNABARIKIWA SANA ...

  • @nelithamimwani4516
    @nelithamimwani4516 3 года назад +2

    Hakika ni kwa neema ya BWANA YESU🙏

  • @tusajigwenixon3951
    @tusajigwenixon3951 3 года назад +1

    N kwa neema tu 🙏

  • @regyykisaka8051
    @regyykisaka8051 3 года назад +2

    Mungu apewee sifa milele

  • @adamsonmarugumwanyumba6847
    @adamsonmarugumwanyumba6847 3 года назад +3

    Barikiwa sana mtumishi

  • @nancynzinah8290
    @nancynzinah8290 Год назад

    Uuuh wimbo huu jamani 💓 MUNGU akubariki 🙏🙏🙏

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 3 года назад +2

    Nakupenda Sana dada wew hujui tu

  • @doricesamwel7785
    @doricesamwel7785 2 года назад

    Hakikka ni kwa nea ya Mungu !!! Be blessed

  • @sifakuu2799
    @sifakuu2799 3 года назад +1

    Barikiwa mno shujaa kwa wimbo huu mzuri Mungu azidi kuishi katika huduma yako

  • @Erick_trust
    @Erick_trust 2 года назад

    Mungu akubariki, nakupemda sana kutoka Rwanda

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 3 года назад +1

    Nyimbo zako zinanibariki sanaa wewe dada Mungu aendeleee kukuinua kwa viwango vingine😍😍

  • @asifiwembise4167
    @asifiwembise4167 3 года назад +1

    Be blessed dear. Nyimbo zako zimenivusha ng'ambo

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 3 года назад +2

    BARIKIWA SANA DADA YANGU

  • @bahatimongitaamos8458
    @bahatimongitaamos8458 3 года назад +4

    No.1
    to watch thz video....
    Atosha stay blessed

  • @dhiraamussambaarouk1778
    @dhiraamussambaarouk1778 2 года назад

    Barikiwa sana mpendwa,, nice song!! UTUKUFU KWA JEHOVAH!!!

  • @benjamindanielofficial6722
    @benjamindanielofficial6722 2 года назад

    Huyu Dada anatisha nyie...🙌

  • @PendoJohn-db3wc
    @PendoJohn-db3wc Год назад

    Hakika mungu Azidi kukutunza nabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 3 года назад

    Iyee iyee nikwaneema yake Bwana kuwa na maskio na macho ya kushuhudia wimbo huu

  • @nuhungitao2054
    @nuhungitao2054 3 года назад +2

    Ubarikiwe saaana

  • @nuhungitao5822
    @nuhungitao5822 3 года назад

    Hujawahi kukosea hujawahi niangusha nakupenda San madam atoshaa kisaaaaava

  • @wardadallu1820
    @wardadallu1820 3 года назад

    Nabarikiwa sana nakupenda sana Atosha

  • @patriciangonyani9108
    @patriciangonyani9108 3 года назад

    Mungu azidi kukupaka mafuta ya kutumika zaidiiiii

  • @simpassagrace6907
    @simpassagrace6907 2 года назад

    Hakika hata uhai tulio nao Ni kwa Neema ya Mungu tu

  • @MiriamSamuelke
    @MiriamSamuelke 3 года назад +2

    Eish eish sema wimbo kunipa goosebumps to higher heights go go

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 Год назад

    Boss wangu nakubariiiiiii sana twende kazi Atoshaaaaa

  • @obedidamasi3537
    @obedidamasi3537 Год назад

    Wimbo mzr sanaaaa ubarikiwe

  • @amirilupembe2164
    @amirilupembe2164 2 года назад

    Hakika mungu ni mwema.

  • @nazaliusmuhile9006
    @nazaliusmuhile9006 3 года назад

    Mara ya kwaza kuona video yako flan hv nlijua wew simtanzania, napenda ubunifu wako wakat wa shutting na the way unavochangamkaga ktk vdio zako, Mungu azid kukuinua Dada kssava

  • @peterernest
    @peterernest 3 года назад

    Jina la BWANA libarikiwe sana, MUNGU azidi kukuinua dada atosha

  • @annerkissava2523
    @annerkissava2523 3 года назад +3

    God bless you my sister! Nakupenda

  • @catherinemtewele-hz3os
    @catherinemtewele-hz3os Год назад

    Hongera Sana kwa huduma, ubarikiwe

  • @Agustowinfredofficial22
    @Agustowinfredofficial22 3 года назад

    Atosha kweli unatosha kumuimbia BWANA . Ubarikiwe

  • @mamapraise9382
    @mamapraise9382 2 года назад

    Hongera sana Dada kwa wimbo huu mzuri.

  • @glorykadeghe8767
    @glorykadeghe8767 3 года назад +2

    Kazi nzuri

  • @christophermartin4572
    @christophermartin4572 3 года назад

    nipenda ubunifu uliyotumika ktk video ngera sana dada nakuona mbali sana ktk huduma yako kama utaendeleza kuhusu vitu vya tofauti kilasiku

  • @bashiteentertainment3298
    @bashiteentertainment3298 3 года назад

    Amina sana kwakuendeleza guludum la kazi ya bwana kwa injili ya uimbaji pia balikiwa sana sana

  • @prophetmlokozi4633
    @prophetmlokozi4633 3 года назад +3

    Haleluya

  • @sylviasellah3843
    @sylviasellah3843 3 года назад

    Nina furaha pamoja na wewe Atosha...Mungu aendelee kukupigania

  • @annathomas5845
    @annathomas5845 3 года назад

    Ni kwa neema yako Bwana tu🥰🥰🥰🥰🙏🙏

  • @rosekavinya173
    @rosekavinya173 3 года назад +1

    More love from kenya.wimbo mzuri

  • @esthela5105
    @esthela5105 3 года назад +6

    Long time ago we miss your voice again you’re so amazing and god bless you all the time keep going don’t give up my dear we love you so much be safe

  • @johnmaryray981
    @johnmaryray981 3 года назад

    Kitu kipya..hongera saana sister.Mungu azid kuibariki kazi yako.

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 2 года назад

    Nice my school I remember long time nice god blesse you

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 3 года назад

    Hatariiiisana Ubarikiwe nduguyangu hiii kalizaidiii

  • @barakamisangu872
    @barakamisangu872 3 года назад

    Mungu akubaliki sana,,,,,hii ni juhudi kubwa kwako ongera Dada,

  • @damianmwombeki2595
    @damianmwombeki2595 Год назад

    Iyeeee kwa YESU😅😅😅, So touching

  • @lessaevarist3056
    @lessaevarist3056 2 года назад

    Duuh congratulations for you

  • @edithanchimbi2754
    @edithanchimbi2754 3 года назад

    Amina ni kwaneema yake tu Yesu

  • @barackamtwange1925
    @barackamtwange1925 3 года назад

    Mungu akuinue zaidi

  • @phyniacerungu5368
    @phyniacerungu5368 3 года назад

    Mungu akubariki sana dada.....nice video.... hongera nyingi sana kwa director👏👏👏👏👏

  • @HolinaChalamila
    @HolinaChalamila 6 месяцев назад

    Amina❤

  • @floriankigody2098
    @floriankigody2098 2 года назад

    God bless you much dada Atosha

  • @chrissmgaya5246
    @chrissmgaya5246 2 года назад

    nyiko kali sana tatizo nyota tu

  • @atoshamkingule7258
    @atoshamkingule7258 3 года назад

    Hongera sana wajina

  • @EmmaFrancis14
    @EmmaFrancis14 3 года назад

    Ubarikiwe madame nyimbo mzuri sana

  • @puttenyanthony9284
    @puttenyanthony9284 3 года назад

    Kazi nzuri sana my friend inanibariki mno video ndo usiseme umetisha sana sana

  • @estherdishon3695
    @estherdishon3695 3 года назад

    Waaaah imeweza sana

  • @shanimhanga7896
    @shanimhanga7896 Год назад

    My best song forever 2023

  • @cedricadougba324
    @cedricadougba324 10 месяцев назад

    GOD bless you all.

  • @asaphnehemiah5308
    @asaphnehemiah5308 2 года назад +1

    It's so cool!!!!!! Congratulations

  • @kingmpalu8339
    @kingmpalu8339 2 года назад

    Waoooo you have made my day well thanks

  • @erickAfricatz
    @erickAfricatz 3 года назад

    Iyeee iyeee

  • @jimmymrisho3867
    @jimmymrisho3867 3 года назад +2

    You are my favorite female Singer. Keep moving

  • @dawsonbakena3494
    @dawsonbakena3494 2 года назад

    Wimbo mzuri sana

  • @negevmasmediamax6510
    @negevmasmediamax6510 3 года назад +1

    so amazig song, sound soo pan-Africanism . Its was just few days when I was wondering where our Atosha Kissava went. God Bless you

  • @tutindagabahati
    @tutindagabahati 2 года назад

    Yan huyu mdada ❤️

  • @juliusmbiu8131
    @juliusmbiu8131 3 года назад

    Hongera sana Mtumishi! Mungu akubariki sana na kukuinua katika huduma alokuwa.

  • @ChristerbellMwasele
    @ChristerbellMwasele 2 года назад

    Barikiwa sna dd

  • @haulefrance1056
    @haulefrance1056 2 года назад

    ♥️♥️♥️♥️♥️♥️ l love you my lovely sister atosha

  • @beritawambani5748
    @beritawambani5748 3 года назад +4

    Amen,wonderful glory be to god ni kwa neema tu watching from arabia

  • @AnithaMusoki
    @AnithaMusoki 3 года назад

    Hongera

  • @RenatusMtawala
    @RenatusMtawala Год назад

    Ukweli dadangu ulimumo be !

  • @GSengo
    @GSengo 3 года назад

    Safiiiiiiiii

  • @frankjuliethcyprian3115
    @frankjuliethcyprian3115 3 года назад

    Ainuliwe YESU mwenye neema yake.

  • @katalinamalinga8287
    @katalinamalinga8287 3 года назад

    Hongera sana dada Atosha, Mungu akuinue zaidi na zaid

  • @bestbeatstoreacid
    @bestbeatstoreacid 3 года назад +2

    ⚡ WOoOW 👍💣💯 FIRE! FIRE TRACK 🔥 🔥 VIBE COOL ❤️🤙

  • @MatridaTumaini
    @MatridaTumaini 7 месяцев назад

    Ni kwa neema

  • @clariceLu93
    @clariceLu93 3 года назад +2

    Blessed with this song 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾.

  • @godblessgerard6914
    @godblessgerard6914 3 года назад

    mungu mwema sana, ubarikiwe sana mtumishi

  • @simpassagrace6907
    @simpassagrace6907 2 года назад

    Yes we are leaving for the Grace of the lord

  • @atochaali3273
    @atochaali3273 3 года назад

    Majina 🥰🥰🥰🥰

  • @nersonmwanjila4246
    @nersonmwanjila4246 3 года назад

    Ubariki mama

  • @mosesfumbuka217
    @mosesfumbuka217 3 года назад +1

    Good job. Bless you my sister Atosha

  • @kelvincren4581
    @kelvincren4581 2 года назад

    God bless for is song amen

  • @lindershirima3711
    @lindershirima3711 2 года назад +1

    It's amazing grace❤️❤️❤️

  • @efesomgeni8913
    @efesomgeni8913 Год назад

    🎉 beloved song

  • @silvanolenjima2213
    @silvanolenjima2213 3 года назад

    Amen. Sister hongera sana

  • @suzanamunisi7514
    @suzanamunisi7514 3 года назад

    Hongera sana my dear

  • @maryjaneferdinand595
    @maryjaneferdinand595 3 года назад +2

    What a song , am blessed sana