Today I was traveling and the driver was playing this song. I fell in love with it and I started searching for it. With help from my Tanzanian friend I found it. I am encouraged thank you. With love from Zambia 🇿🇲 🙏🙏
Amina wimbo mzuri, ujumbe mzuri lkn style za uchezaji si za kimungu, Kanisa linahitaji kumwomba Mungu atupe ufunuo katika uchezaji, kwa nini tuige kucheza kidunia na huku tunamwimbia Mungu?
Truly sina stress yoyote since i came across this song and it won 🏆 my heart ❤ and thanks for reminding me that I have a father who loves me and never ever fails me and he can never break my heart and my trust may God bless you Atosha Kissava .
Amina mtumishi wa Mungu ,katika nyimbo ambazo hata nikiwa pekeyangu nyumbn najikuta natiwa nguvu mpya nacheza peke yangu,,hakika yesu akiwa enzini mambo yote sawa
Hallelujah...that saprano eishhhh I love the vocal arrangements...God bless you Atosha Kissava.. Will call you to minister in Kenya after Corona...You are a great inspiration
All the way from Sierra Leone, I just came across this song. It's a beautiful melody. How can I get a lyrics video so I learn how to sing it... I just love this song. I have a father who never ever fails me. Sawa Sawa Sawa... I'm going higher all things are getting better.
Wangapi Wamerudia kusikiliza tena 😜😜
kama umerudia kuangalia tena njoo hapa
@@GUSATVTZ mzuri sana huu
@Damasi erasmi Safi sana
Mm Nipo hapa
@@vikinduonline4396 safi sana
Ameen kubwa na tunabarikiwa na uimbaji wako,hongera mtu wa mungu
Ninae baba akiwa enzin mambo yangu yot sup ubalikiwe dada
Ubarikiwe sana sister atosha nabarikiwa sana na nyimbo zako 💓💓💓
Watu wa mungu msiwe na stress Mana tunaye baba akiwa enzin Mambo yatakuwa sawaa ,🙏🙏🙏🙏
Dah nyimbo nzuri sana..sasa ndo nimemjua atosha kisava ..
Kazi nzuri,dada
Hata mimi mayngana na wewe
Nimebarikiwa today sina stress yoyote maana ninaye baba aliyetuumba mwema
Nyimbo zako zimenibariki mno mpaka nachanganyikiwa niskize ipi niache ipi .Mungu azidi kukubariki . Things are getting better with Him on the Lead.
Ameeeen 🎉 namchezea God ❤❤❤❤😂😂😂🎉
Kweli tunaye MUNGU asiyeshindwa jambo,baraka zikufuate mwana wa MUNGU🇰🇪🇰🇪
Amina
Today I was traveling and the driver was playing this song. I fell in love with it and I started searching for it. With help from my Tanzanian friend I found it. I am encouraged thank you. With love from Zambia 🇿🇲 🙏🙏
Amina wimbo mzuri, ujumbe mzuri lkn style za uchezaji si za kimungu, Kanisa linahitaji kumwomba Mungu atupe ufunuo katika uchezaji, kwa nini tuige kucheza kidunia na huku tunamwimbia Mungu?
Style za kimungu zipoje itabidi next time ukawafundishe mpendwa.
Namchezea namchezea yeye akiwa enzini mambo yote sawa💃🏻💃🏻
Hapo saaaaaawaaa nachezaaa
HONGERA SANA MUNGU AKUINUE ZAIDI
Mimi
Ni nzuri sana mungu yuko enzini
Naikubar hatareeeee
Kweli yesu akiwa enzini mambo yote sawa...amen MUNGU akubariki dada
Ubarkiwe san my sister
Hakika hakuna Jambo asilo liweza bwana no More stress when we are in juses Christ say no stress👍👍👍👍👍👍
Sina Stress Baba yuko enzini mambo yangu yote yako sawa
Sichoki kuusikiliza aiseeee. Mungu aufanye kuwa wimbo mkubwa sana
Barikiwa sana my
Yesu akiwa enzini mambo yote sawa
Aisee Dada kanzur Sana Mungu akuinue Sana
Safi sana Atosha
Mke wa wanyakiiiiiii umetiahaaaa wimbo mkali na video bora ya mwaka
Asanteeeee nimewait mno, KAZI NZURI MY LOVELY MINISTER
Wimbo umekuja kwa wakati wake kwangu
Nyimbo nzuri
Mungu akutie nguvu Sana Martha mwombe msamaha Mungu na Mama Yako, usonge mbele na kazi ya Mungu.
Nice ubena zomoz glory singers
No stress maana ninae baba mambo yangu yote sawa
Mungu akubaliki Sana Dada yangu maisha malefu Sana wimbo mzli Sana balikiwa SANA Mungu azidi kuku tumia zaidi nazaidi 🔊🎸🎧🎸🎷📯
Mungu akubariki sana kwa huduma njema
Truly sina stress yoyote since i came across this song and it won 🏆 my heart ❤ and thanks for reminding me that I have a father who loves me and never ever fails me and he can never break my heart and my trust may God bless you Atosha Kissava .
Congutrition
Dada kissava mungu akubariki sana tena kwa kweli waweza
Amen Amen Amen kuna faida ktk kumtumikia Mungu jaman wimbo mzur Sisy
Powerful song
Sina stress coz ninaebaba
Yeye Akiwa enzini mambo yngu yote super
Amina mtumishi wa Mungu ,katika nyimbo ambazo hata nikiwa pekeyangu nyumbn najikuta natiwa nguvu mpya nacheza peke yangu,,hakika yesu akiwa enzini mambo yote sawa
Wimbo unaonipa amani ya moyo siku zote
Mungu azidi kukubaliki milele ahimidiwe milele ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏
Naipenda Sana hii nyimbo ubarikiwe dada mtumishi atosha kissava🙏🙏
Mambo yote sawa nikiwa na baba yangu barikiwa mdogo wangu wimbo umenibarki sana
Hakika tunaye mungu katika eye akuna stress ukimwamin mambo lazima yawe super
Daaaah naupenda sanaaa ameeeen
❤ubarikiwe sana,nyimbo nzuri sana imenibariki sana🙏🤍
Mungu akubariki sana dadaang nimebarikiwa na wimbo huuu Munguuuuu akutumie zaidi
Sina stress namchezea YESU
Amen Amen Amen
Nyimbo nzur sanaaa jmn zaid ya sanaa
My sister Atosha tunasubiri nyimbo mpyaaa🤦🤦
Kwa kweli ubarikiwe na nyimbo hii Sina tres imekuja kwa wakati wake
Waaaoooo nyimbo nzur mnoooo nina baba asiye shindwa jambo
watu wa mungu kamwe tusikate tamaa maana tunaye Baba wa mbinguni.
Ameeeen
Natamani mda wote niusikilize huu wimbo hakika uliibwa ukaimbika love sana my song
Kweli sina stress Atosha Kissava endelea kudiliva beats kali
Amén tunae Simba wa Kabila ya yuda YESU mnazareti
Yesu.akiwa.enzini.mambo.yote.ni.shwari
Jamani ubarikiwe. Huu wimbo una history kwangu.
Be blesse my sister wimboooo mzuri San♥️♥️♥️♥️♥️
napenda san nyimbo zako kwasababu sina stress
Mungu akutunze dadangu. Much love to you 😘
Mami wangu unenibariki sana wimbo huu ni moto🙌🙌🙌🙌🙌!
Umependeza sana mami wangu.
Napenda hii tune maze..
There is a supreme power in this song.
May my Almighty God bless you indeed.
Nice song my sister God bless you
Nakupenda sn❤ dad atosh
Nzuri hiyo nimeipenda
yes, I blieve that my jesus can be save me from the challenges faced me, so a'm not a stres to my GOD.
Mungu awabariki saana 🙏🙏🙏
I will never stressed myself God is my King i will call Him every time of my trouble
Hongera sana Dada nyimbo yako zuri sana
I love this song, it's very blessed 🙏🙏
Wewe dada una kipaji jamaani acheni bwana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 sins stress yoyote nina baba yangu🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Vizuri dada atosha mungu akubariki kwenye kazi yako songa mbele naona na watato wa mungu hawana stress😁😁😁😁
Hallelujah...that saprano eishhhh
I love the vocal arrangements...God bless you Atosha Kissava..
Will call you to minister in Kenya after Corona...You are a great inspiration
Make sure it goes live
My song💥💥💥
God bless you my beloved sister
Dada kwenye wimbo huu umetisha sana
Nakubal ngoma kali
Walioona dancers walivouaa like apo chin mweeeh!
Safi sana mm nimewapenda awa wanaume wanavocheza
ANGAAAZAAA WEKA JUU YA KINARA!
Utumishi mzuri,,Bwn akuinuee zaidi.
Mungu wangu hajawahi shindwa Jambo hivyo sitaogopa chochote ktk jina la yesuuu!! #Sina stress
good work kazi nzuri sana
Hakika mung mwema ktk maixh ya watu wake hakika mambo yote super
All the way from Sierra Leone, I just came across this song. It's a beautiful melody. How can I get a lyrics video so I learn how to sing it... I just love this song. I have a father who never ever fails me. Sawa Sawa Sawa... I'm going higher all things are getting better.
Ah 😁 nimeipenda 🙏
Unanibariki madam atosha ukiimba may our almighty God bless you more
Don't stress yourself you have almighty God he hears your weeping
Karibu tena chuo cha maji madamu tunakupenda sana
Kweli kabisa
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Yahwe
Hongera sanaaaaaa!! Dada ATOSHA KISSAVA, Wimbo umenibariki sana, Video iko vemaaa kabisa, we need the Divine innovation like this!!!
Always inspiring dada Atosha! 🎉
Kali Sana yaan dada
❤️❤️❤️❤️ nimeupenda
nyimbo zako zinanibarikii sana
Ubarikiwe dada
Barikiwa sana kwa huduma
Nzuri sana, asante Atosha
Nice dadaaa .....mambo supa Yesu akiwa enzini
Amina dada yake Barikiwa