Atosha Kissava - U Mwaminifu Jehovah (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 сен 2022
  • #AtoshaKissava #UMwaminifuJehovah #SlideDigital
    SMS [Skiza 8089472] to 811
    (C) Slide Digital
    Atosha Kissava Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    Written & Performed by Atosha Kissava
    Follow Atosha Kissava on:
    / atoshakissava
    / atoshakissavaofficial
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 262

  • @gospotv
    @gospotv Год назад +1

    Mungu wa mbinguni akubariki mnooo

  • @MedyKolia-yn1lt
    @MedyKolia-yn1lt Год назад

    Kila siku kila saa anatuonyesha uaminifu wake ,Amen.

  • @jacobmabula6188
    @jacobmabula6188 Год назад

    jaribu kubadirika umetaka kutoka kwenye njia sahihi omba Mungu neema yake ikuijilie tena

  • @whitedancer3632
    @whitedancer3632 Год назад +3

    Madam kuna kastaili umekacheza apo kwenye mapiano apo umetisha san lazima nikajuwe ako weèeeeee wimbo mzur san good 👯‍♀️👯‍♀️👯‍♀️👯‍♀️👯‍♀️👯‍♀️😍

  • @neemachonya8083
    @neemachonya8083 Год назад

    Dada hakika nabarikiwa mno nanyimbo zako Mungu azid kukutia nguvu pia naomba namimi unisaidie dada angu napenda sana kuimba Larkin sujui nifanyaje🙏

  • @gracestephano1269
    @gracestephano1269 Год назад

    Kila siku kila saaa umwaminifu Jehova,

  • @scholaremanueli3268
    @scholaremanueli3268 Год назад

    Kila siku kila saa umwaminifu jeova 🙏

  • @ruthandala9262
    @ruthandala9262 3 месяца назад

    Have listen to this song severally ;kweli siku site ye ye no mwaminifu

  • @enockeno252
    @enockeno252 Год назад

    Kila siku Kila saa uu mwanifu Jehova

  • @user-dv9bq4ut6r
    @user-dv9bq4ut6r 6 месяцев назад

    Licha ya kanisa kunitenga lakini nazidi kumwona akiwa mwaminifu juu ya maisha kamwe siwezi KUMWACHA YESU

  • @Steve-mu8ep
    @Steve-mu8ep Год назад +1

    U mwaminifu Jehovah! Numbers 23:19, Deutoronmy 7:9-11, Romans 3:4.

  • @kesiahmkalawa9176
    @kesiahmkalawa9176 11 месяцев назад

    Asieacha mguu wangu usogezweee...yeyeeee

  • @simkokomaneno1733
    @simkokomaneno1733 Год назад

    Kila siku kila sàa Mungu ni mwaminifu amina

  • @ellyfazemmanuel
    @ellyfazemmanuel 9 месяцев назад +1

    Ni kweli kabisa MUNGU nimwaminifu hata sasa hivi tunapo tuma maoni hata kwa kila unacho fanya bado ni hivi👏👏

  • @petersagara2146
    @petersagara2146 Год назад

    Napenda nyimbo zako zinanigusa sana ubarikiwe dada

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 Год назад +10

    God is saying To You Today: My child you are worrying too much. Remember who I am. There is nothing too hard for me. You may not see it, but I have everything planned out for you. Trust me. Amen.!!!

  • @emmanuelbrownofficialke.-n7942
    @emmanuelbrownofficialke.-n7942 Год назад +3

    Wow! This song has blessed my heart. Let's support this fellow artist. Wapi likes zake please from Kenya 🇰🇪🇰🇪? #emmanuelbrownke

  • @Princedavida
    @Princedavida Год назад

    Kazi njema

  • @davidwanjala6979
    @davidwanjala6979 Год назад

    Hakika kila saa u mwaminifu jehovah

  • @langatevanskitolindet8675
    @langatevanskitolindet8675 Год назад

    Jehovah ni mwaminifu kila wakati

  • @renistamdota7399
    @renistamdota7399 9 месяцев назад

    Ameni ubarikiwe dada angu Mungu ni mwaminifu kila saa

  • @rehemapascal1296
    @rehemapascal1296 Год назад

    Hongera sana kila siku kila saa umwaminifu Jehovah

  • @magdalenalumolwa9916
    @magdalenalumolwa9916 Год назад

    Dada nakupenda, nyimbo zako nzuri Mungu azidi kukuinua

  • @thomasrabare2123
    @thomasrabare2123 Год назад

    Du!hii imepgwa ktk Roho.Mungu azidi kukuinua

  • @simkokomaneno1733
    @simkokomaneno1733 Год назад

    Amina mtumishi wa Mungu hakika Mungu ni mwaminifu amina sana

  • @ziadasanga4719
    @ziadasanga4719 Год назад

    Barikiwa mtumishi wa mungu Wimbo mzuri umenitia faraja sana

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 Год назад

    Ooh yes ni mwaminifu sana kwangu my sister ,my fast time to watch this song 🎻 very powerful message

  • @Bettermustcome714
    @Bettermustcome714 Год назад +1

    Barikiwa sana

  • @priscajustine2456
    @priscajustine2456 Год назад +1

    Amen 🙏

  • @jenniferanjawa9512
    @jenniferanjawa9512 Год назад

    Amina. Mungu ni mwaminifu kweli i love is song

  • @hekimaupendo6395
    @hekimaupendo6395 Год назад

    Ameen!!! MUNGU akuinue viwango vya huu zaidi kwa sifa nzr zenye harufu nzr mbele za MUNGU

  • @sikitumasoko590
    @sikitumasoko590 Год назад +1

    Sijui niseme nini,MUNGU ASANTE KATIKA HILI

  • @stevejmndeme9366
    @stevejmndeme9366 Год назад +1

    Amina

  • @noahkayofficial2963
    @noahkayofficial2963 Год назад

    Hakika Ni Mwaminifu...Nmemwona

  • @mbogoidentity
    @mbogoidentity Год назад +1

    Congratulation......💥💥💥

  • @raphaelsimiyu987
    @raphaelsimiyu987 Год назад

    Amen Amen Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-ez3vr8ub7s
    @user-ez3vr8ub7s 9 месяцев назад

    ❤❤😮😮😮nice one atosha God bless you

  • @user-ll7fz9rf6d
    @user-ll7fz9rf6d 7 месяцев назад +1

    Sooo powerful may God shower his blessings to you

  • @sulehdelmungai7647
    @sulehdelmungai7647 9 месяцев назад

    More blessings ma dia siz..Avery soul touching message 🎉

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 Год назад

    Mungu ni mshindi wa yote

  • @happypetro919
    @happypetro919 Год назад

    Umwaminifu bwana🙏🙏🙌

  • @amosthomas9897
    @amosthomas9897 Год назад

    Améen ubarikiwe sn kwa wimbo mzuri

  • @evaristokayombo9385
    @evaristokayombo9385 Год назад

    Unabarikiwa na nyimbo unabarikiwa na video unajifunza pia namna mwanamke anavyotakiwa kuwa smart Mungu akubariki dada angu

    • @enifaangolwisye5796
      @enifaangolwisye5796 Год назад

      Kazi yako ni njema sana mtumishi wa mungu.nimebarikiwa sana na kazi yako kila siku kila saaa .kweli ni mwamifu yehova🙏🙏🙏

  • @gervasiatanasi-bn9to
    @gervasiatanasi-bn9to Год назад

    Tunafarijika na neno la mungu

  • @floramanyanda251
    @floramanyanda251 Год назад

    You never dispoint Atosha

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 Год назад

    Mungu akubariki atosha nakupenda mtumishi

  • @obadiabensoni2514
    @obadiabensoni2514 Год назад

    Umeupiga mwingi mtumishi

  • @jeremiahogamba2860
    @jeremiahogamba2860 Год назад

    Amen Amen Amen 🙏

  • @danielmbarikiwa6692
    @danielmbarikiwa6692 Год назад

    Najua hata saa hii umwaminifu

  • @samwelchilijila
    @samwelchilijila Год назад

    Hajawahi kugeuka Bwana..

  • @MakasaReuben-vw5eq
    @MakasaReuben-vw5eq 10 месяцев назад

    Amen amen this song is good.

  • @tumainimgalla920
    @tumainimgalla920 Год назад

    Umeweza mama aidia kali

  • @marthamtonga6370
    @marthamtonga6370 Год назад

    Eeeh God is faithful

  • @humphreymassawe5135
    @humphreymassawe5135 Год назад

    wao you are faithful jehova

  • @janethfrancis9696
    @janethfrancis9696 Год назад

    Nakupenda Sana dada barikiwa

  • @justowawire8117
    @justowawire8117 9 месяцев назад

    Waauuu very powerful.

  • @falijiubamba4155
    @falijiubamba4155 Год назад +1

    Mungu azidi kukubariki dada Atosha ni kweli mwaminifu Jehovah Kila wakati

  • @masondaselina4046
    @masondaselina4046 Год назад

    I love you Madam Atosha

  • @simpassagrace6907
    @simpassagrace6907 Год назад

    Kwa hakika Mungu Ni mwaminifu ukimwamini kamwe hupotei Wala hutajuta kwa kumwani anakufanya salama hata Mahali hustahili kuwa salama. Mimi nimemuona hakika Mungu anaishi hata leo

  • @mosessunye5199
    @mosessunye5199 Год назад

    Hakika Bwana ni mwaminifu katika yetu.

  • @madamejohari
    @madamejohari Год назад

    Hongera saaana dada Atosha

  • @CharlesNgambia
    @CharlesNgambia Год назад

    Mungu azidi kukutumia kwa viwango sana Dada yangu,,,

  • @christinemjawasi9323
    @christinemjawasi9323 9 месяцев назад

    Mungu azidi kuinua huduma yakowimbo mtumish wa Mungu.huu umekuwa dawa katika maisha yangu

  • @defrosanelson6605
    @defrosanelson6605 5 месяцев назад

    Nilikuwa naumwa miguuu ndani ya miaka miwili na nusu siwez hata kusimama ila mungu nilimwita akaniponya kweli yesu ni mwaminifu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 ubarikiwe Sana mpendwa mungu akubariki Sana 🌹🌹❤️🙏

  • @angelashitindi5427
    @angelashitindi5427 Год назад

    Wimbo mzuri sana

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 Год назад

    Good work, nakutafuta tufanye kazi

  • @shanimhanga7896
    @shanimhanga7896 Год назад +3

    Kila siku kila saa umwaminifu Jehova🙏🙏🙏🙏🙏,,,,Ubarikiwe mwanangu umeugusa moyo wangu mno

  • @user-gq2uy3jd6q
    @user-gq2uy3jd6q 10 месяцев назад

    yaaa hakuna zaidi yake

  • @jacklinemasitsa8525
    @jacklinemasitsa8525 Год назад

    Touching song barikiwa dada

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 Год назад +11

    Amen!¡ kila siku kila saa u mwaminifu jehova!! Asante sana mtumwa w kristo kwa wimbo mzuri!!! Mungu aendeleee kukuinua ktk viwango vingine

  • @elviamaniofficieltv3859
    @elviamaniofficieltv3859 Год назад +1

    May God bless you abundantly my sister for the song we are blessed. elvi Amani official TV DRC from Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @petersagara2146
    @petersagara2146 Год назад

    Dah natamani niwe kama wewe dada

  • @jacksonjulius120
    @jacksonjulius120 Год назад

    Hongera madam kissava

  • @lightismail4728
    @lightismail4728 Год назад

    Amen 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @nadiellanshimirimana9082
    @nadiellanshimirimana9082 Год назад

    Ameeeeeeeeen😭😭😭😭😭😭♥️

  • @prosperlilian1371
    @prosperlilian1371 Год назад

    Mungu tu 🙏

  • @pheniasnyairara4033
    @pheniasnyairara4033 Год назад

    Kazi nzuri my

  • @noyjeptoo4404
    @noyjeptoo4404 Год назад

    These song really touches my heart

  • @henryelias4241
    @henryelias4241 Год назад +4

    Congratulations Atosha! Very soul touching song.

  • @ednandanguzi1330
    @ednandanguzi1330 5 месяцев назад

    Powerful song

  • @benjamindanielofficial6722
    @benjamindanielofficial6722 Год назад +1

    Waooow!

  • @theofrida
    @theofrida Год назад +3

    Nice song, beautiful video
    Congratulations maam

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 Год назад

    Pia nakutafuta sana

  • @samuelmwangu3301
    @samuelmwangu3301 Год назад +1

    Dada huu wimbo mzuri sana, yani kama tupo SA hivi 😂 God bless you .

  • @danielmichael7997
    @danielmichael7997 Год назад

    nimependa sana

  • @EmmanuelKPeter
    @EmmanuelKPeter Год назад +8

    Indeed GOD is faithful, this is my own song now. Glory to GOD, More Grace and Anointing my Sister.

  • @marthakerubo428
    @marthakerubo428 Год назад

    Amen Amen

  • @neemapaul6349
    @neemapaul6349 Год назад +1

    Hakika Mungu ni Mwaminifu kila wakati Mungu akulinde napenda nyimbo zako sana uinuliwe viwango vingine zaidi na zaidi

  • @djjeffgee6285
    @djjeffgee6285 Год назад

    Dope

  • @evandaga
    @evandaga Год назад +1

    Yes is faithful Soo much

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha Год назад +6

    Mungu akubariki sana 🙌🙌
    Hakika Mungu ni mwaminifu, atulinda mchana na Usiku. Ametamalaki duniani na Mbinguni 🙌🙌

  • @alonkare5881
    @alonkare5881 Год назад

    Mungu akubalik sn

  • @adamukiula7892
    @adamukiula7892 Год назад

    Amina sn

  • @Elizabeth-gr6ey
    @Elizabeth-gr6ey Год назад

    Inanijenga sana baada ya 😢

  • @lilianmwendwa9421
    @lilianmwendwa9421 5 месяцев назад

    Very touching

  • @kizittohescary1213
    @kizittohescary1213 Год назад

    Tosha Yesu

  • @doricembilo2080
    @doricembilo2080 Год назад

    Wow nice song

  • @zackh9722
    @zackh9722 9 месяцев назад

    A masterpiece 🎉

  • @alicemdee9697
    @alicemdee9697 Год назад +2

    Ameeen 🙏 hakika MUNGU wetu ni mwaminifu sana 😇🙏🙏 Ubarikiwe sana dada Atosha huduma yako ni njema yeye aliyeruhusu akuinue zaidi ya viwango🙌🥰❤️🙏🙏🙏

  • @damianmwombeki2595
    @damianmwombeki2595 10 месяцев назад

    Awesome 👍👍👍