MAENDELEO YA UJENZI WA SGR KM ZOTE 1219, DAR - MWANZA; ZAIDI YA SHILINGI TRIL 16 ZA WATANZANIA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 10

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 2 года назад +1

    WAIKUTE IKO SALAMAAA😭😭😭😭😭 TANZANIA 🇹🇿🖤🇹🇿

  • @thomaskibasa9905
    @thomaskibasa9905 2 года назад +1

    Safi sana, tendeeni haki nafasi mlizopewa kwa kuwaletea maendeleo wananchi.

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 2 года назад +2

    VIVA TANZANIA

  • @ananiastrasias4909
    @ananiastrasias4909 2 года назад

    #KAZIIENDELEE

  • @semwenzimohamed7609
    @semwenzimohamed7609 2 года назад +2

    Hamna hata aibu kazi yenu ni kufatilia hii reli halafu basic info ya Dar - Mwanza hamjui ni km ngapi? Sio 1219.
    Dar-Moro: 300km
    Moro-Makutupora: 422km
    Maktupora-Tabora: 368km
    Tabora-Isaka: 165km
    Isaka-Mwanza: 341km
    Total: 1596.
    Halafu bila aibu hata vipindi vilivyopita mnasema ni 1219km. Hamuiwezi hii kazi

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 года назад +4

      Hakuna walichokosea wao wametaja hzo kama ule mtandao wa reli ya kilometers za moja kwa moja, wew umejumlisha na zile kilomita za kupishania

    • @hemedmohamedmanyeko6736
      @hemedmohamedmanyeko6736 2 года назад +1

      @@mosesnyelo1380 👍👍👍

    • @semwenzimohamed7609
      @semwenzimohamed7609 2 года назад +1

      @@mosesnyelo1380 Total cost ya huo mradi ni zaidi ya $7Billion, Dar - Mwanza. Cost haibadiliki. Imagine wasiojua per km from 1596 kushuka kuwa 1219? Communication mbovu kama hamna clarity wanaleta wenyewe wakati TRC ndio inabidi iweke wazi wananchi wajue tax payers money zinatumika vizuri

  • @saidibalangwila2242
    @saidibalangwila2242 2 года назад

    kigoma lini

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 2 года назад

    Hakuna jipya.!!!! Kila mara mnaonyesha video ile ile bila kazi mpya.!! Acha ulaghai. Je mbona bwawa la umeme hamsemi lolote? Kimya tu. Wizi na ufisadi pamoja na uonevu wa wanyonge. Viongozi na raisi wanawatumikia mabeberu. Tanzania is a failed state. All leaders are corrupt.