Whozu & Baddest47 - AAH WAP!! (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 1,6 тыс.

  • @bigitwo4004
    @bigitwo4004 3 года назад +4

    Babake ndioa naanza kukufuatilia hapa aisee,,,,, Kaz nzuri nimelike na nimefurahi pia nimeshare kaz hii ,,, kutoka kenya yan salute kwako kaka whozu

  • @tanzanianboy3732
    @tanzanianboy3732 3 года назад +3

    Umetisha sana mn

  • @elbusaid5402
    @elbusaid5402 4 года назад +3

    Safi sana whozu na badmaniiii

  • @agnesmutangilimutangili873
    @agnesmutangilimutangili873 4 года назад +2

    Kali sana awapi fire bay cool good songwatu

  • @ebtrends4937
    @ebtrends4937 4 года назад +23

    Hii ngoma ni motoo sanaaaa shabiki mkuu kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @warrenmeekdreezy9769
    @warrenmeekdreezy9769 4 года назад +2

    254 tumefika lakini tunaomba pia nyinyi msapoti mziki wetu tujenge east africa kina masauti na otile wapo na mnajua pia kwenye rap tuna kipaji,tuache kukejeliana jamani ndo tushindane na nigeria ndugu zanguni 🔥🔥🔥🔥❤❤❤

  • @yuppiemellodytzofficial2993
    @yuppiemellodytzofficial2993 4 года назад +31

    Hahaaaaaa awaaaap sema whozu unazingua kinoma ,,,unakunywa henesy boss anakunywa safarii

  • @KUMSENGA
    @KUMSENGA 2 года назад

    Yani nianze kufilisika hafu nijifanye mrokole DUUH. Umenikumbusha mtu mmoja alikuwa Hivo. ,,,Ngoma kali sana,,,🎵🎵🎵🎵🔥🔥🔥🔥

  • @princenewton
    @princenewton 4 года назад +211

    Wakenya tulio letwa hapa na (Tiktok) 😂tugonge like +254 KENYA 🇰🇪

  • @ireneoronda5401
    @ireneoronda5401 4 года назад +1

    Nimetafta jina ya wimbo at last nimepata.. Iko fiti kabisa much love from Kenya 🇰🇪

  • @tembaerick
    @tembaerick 4 года назад +7

    Anakasura kazuri sema anabonge la shimo kama umesikia huu mstari gonga like

  • @Theflexstudiotz
    @Theflexstudiotz 4 года назад +2

    Anakasura kuzuricila anabonge la shiiiii...

  • @theonasmwanitu5377
    @theonasmwanitu5377 4 года назад +33

    Aliyetengeneza kiki, si tumetembea nayo na tumekiwasha mbayaaaaa AAAAAH WAPI

  • @safiniggahsafiniggah9565
    @safiniggahsafiniggah9565 4 года назад +2

    Whozu Kama whozu nakubar xana mbishii show love nice music tired🎧🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤

  • @calvinlyimo3238
    @calvinlyimo3238 4 года назад +6

    Baddest x WHOZU hili ni balaa zito💥💥💥💥💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 года назад

      *```Chena na mpemba akinya soda kwa mara ya kwanza``*
      *```Bofya hayo maandishi ya ra ya kijani itakupelewa one way on awa channel ila but plz*```
      ```Don't forget to sabuscribe plz```
      👇👇👇👇
      👇👇👇
      👇👇
      👇
      ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 года назад

      *```Chena na mpemba akinya soda kwa mara ya kwanza``*
      *```Bofya hayo maandishi ya ra ya kijani itakupelewa one way on awa channel ila but plz*```
      ```Don't forget to sabuscribe plz```
      👇👇👇👇
      👇👇👇
      👇👇
      👇
      ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html

    • @alexaiddan979
      @alexaiddan979 4 года назад

      Whozu baba nimekubal

    • @rickytvproduction254
      @rickytvproduction254 4 года назад

      ruclips.net/video/AafVSFV13lws/видео.htmlssdgh

  • @nyakititawambura5015
    @nyakititawambura5015 4 года назад +2

    Nakubali hz kichwa mbili zinajua san

  • @vanessamwangi5127
    @vanessamwangi5127 3 года назад +3

    AH WAPI😩👑👑👑❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🌎Lots of Love from KENYA 🔊

  • @musaabuebker1750
    @musaabuebker1750 4 года назад

    The most under rated song in tz hii ngoma ni kubwa mno nawaza kwann haijafika inapotakiwa ,@whozu dah ngoma kali sana

    • @musaabuebker1750
      @musaabuebker1750 4 года назад

      Whozu tafuta kwann labda ungeqeka lyrics za mbele.ujue ata harmonize ushamba kachkua idea kwako dah.

  • @Kemdraphael
    @Kemdraphael 4 года назад +85

    naskia shilole uchebe kamgoa jino kama umeiskia hii line gonga like twende saw💪💪

  • @waynerogasian82
    @waynerogasian82 4 года назад +1

    Huyu jamaa angekuwa n msanii wa lebo ya Wasafi asee hii ngoma ingekuwa namba one on trending mwez mzima ...ngoma kal ya mwez huu hii🔥

  • @RAMSON_DADDY
    @RAMSON_DADDY 4 года назад +4

    Mziki mzuri good job whozu ft badman

  • @hafidhamana325
    @hafidhamana325 4 года назад +1

    Kagiza kuku mzima boss kagiza kidari Aaah wee aaah wapi 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @frahatv8613
    @frahatv8613 4 года назад +3

    Yani this good song has been here na sijawai jua??
    Dope music💯🔥🔥🔥🔥

  • @rahmaabbas2165
    @rahmaabbas2165 4 года назад +1

    Aty mpka nikuposti ndo ujuwe Nakupenda Aaaah weeeh kwanza mapenzi hayaforce kama hutaki kwendraaaaaaaaaa

  • @immanuelcatylynplatnumz6491
    @immanuelcatylynplatnumz6491 4 года назад +173

    Tunda ana kasura kazuri Ila anabonge la shiiiiiiimooo,kama umemsikia #Whozu kasema hivyo gonga like hapa

  • @officialafricaxttz3572
    @officialafricaxttz3572 4 года назад +1

    Whozu unaimba xiongei uongo we n international artist keep it up

  • @victoriousveronicah
    @victoriousveronicah Год назад +3

    Aaaah wapi😂 npo huku tena2023

  • @sub4sub999
    @sub4sub999 4 года назад +1

    Mziki Mzuriii Kakaaa !!! Ahhhh Wapiii , NISIKULE COz Umeniacha ! AHHHH WAPI , SEMA A WEEEE ,

  • @aliswaleh127
    @aliswaleh127 4 года назад +4

    Yani mi nishindwe kula eti kisa tumaachana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪

  • @officialssimba2181
    @officialssimba2181 4 года назад

    Iyo vezzziiii unitola disco...nirudi bilademu mmmmmmmwapppiii

  • @FAVELAFARA005
    @FAVELAFARA005 2 года назад +3

    🌟👏 u killed it whozu loved from 🇰🇪

  • @fakihisalumu9359
    @fakihisalumu9359 4 года назад

    Eti mpaka nikupost ndio ujue nakupenda aaaaahhhh wapi!!!!!!

  • @amoury1481
    @amoury1481 4 года назад +77

    I told you this is another hit Nikagongee type

    • @msaranga_
      @msaranga_ 4 года назад +1

      ruclips.net/video/sfYwKBkL1sU/видео.html

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 года назад

      *```Chena na mpemba akinya soda kwa mara ya kwanza``*
      *```Bofya hayo maandishi ya ra ya kijani itakupelewa one way on awa channel ila but plz*```
      ```Don't forget to sabuscribe plz```
      👇👇👇👇
      👇👇👇
      👇👇
      👇
      ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html

    • @rickytvproduction254
      @rickytvproduction254 4 года назад

      ruclips.net/video/AafVSFV13lws/видео.htmlssdfg

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 4 года назад

      He's the master mind pamoja na intro yote kuonekana whozu kwenye video sijui ndio mpango wa director kuchelewa kumleta 47 hata sehemu zinazomuintroduce yeye kaonekana whozu still Inaonesha who's the master of the song

  • @gracemanda8238
    @gracemanda8238 4 года назад +2

    Whozu umetisha sana kaka

  • @himedia6047
    @himedia6047 4 года назад +5

    Aaaawiiii.... AAAAH WAPI .....
    Alafu nyimbo ikiisha unzaanza kusikia.
    HUJAMZIDI BABY WAAAANGU..
    #HAHAHAH,, nyimbo moja lkn hisia mbili

  • @elizabethomari6058
    @elizabethomari6058 4 года назад +2

    Kaagiza kuku mzima boss kaagiza kidari uuuuiii aaaawapi ......likes za whouz😍😍😍😍

  • @countrywizzkid6129
    @countrywizzkid6129 4 года назад +4

    Team 2 mouch money tuna like hapa ✊ ✊✊ woooozuuu🔥🔥🔥🕺🕺🕺

  • @rahimulihame4593
    @rahimulihame4593 4 года назад

    Makin wanaaa nimekubar bad man hukoseagi pia hats mnyama mkar whozhu nakubar kaz

  • @emmanuelkayungi8047
    @emmanuelkayungi8047 4 года назад +3

    Whozu anaswag dancing,facial expressions its good.Nice song by the way this is my 5 time watching this

  • @shabanipili4919
    @shabanipili4919 4 года назад

    Hii ngoma Kali Sana sema imetoka kipindi diamond kacharuka

  • @dontask5
    @dontask5 4 года назад +4

    Love from Zambia 🇿🇲 ❤️🖤🧡

  • @abdulmikoroti6905
    @abdulmikoroti6905 4 года назад

    Mwanangu kwa video nzuri ubunifu mzuri uko vizuri sana

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 4 года назад +4

    Whozu kama whozu 🤣 muangalie sana Baba levo chief, if u can't beat him, join him chief , b4 it's too late

  • @johnmwaura7309
    @johnmwaura7309 3 года назад +1

    Noma sana ...sema??? Awiii
    🇰🇪

  • @Kingchillu
    @Kingchillu 4 года назад +7

    Whozu hajai niangusha...hiiiiit 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jebetjoan9563
    @jebetjoan9563 3 года назад +1

    I love me some whozu huyu msee unibamba love from 🇰🇪😘🥰😂

  • @naomirobert4867
    @naomirobert4867 4 года назад +4

    Nani kaickia hiyo Weuweeeeeeee 😜

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 4 года назад

    Mmetisha sana ,mnaendana Baddest na Whozu
    FRED VUNJA BEI( MR TOO MUCH MONEY)UJE CHUGGA TUKUONE.

  • @westonchibwete3006
    @westonchibwete3006 4 года назад +191

    Kama umemwona uchebeeeee gonga like twende sawa !!!

  • @belindamulehi2922
    @belindamulehi2922 10 месяцев назад +1

    My love for this song❤❤❤❤2024

  • @thelastking5180
    @thelastking5180 4 года назад +3

    Etiii mpaka nikupostii ndo ujue nakupendaa 😂😂😂

  • @dynnohz
    @dynnohz 4 года назад +1

    ana kasura kazura ila ana bonge la shi...........aaaaah wapi +254🇰🇪 🔥🔥🔥

  • @leodgardalphonce7983
    @leodgardalphonce7983 4 года назад +7

    You killin diz bro💪🏾🔝

  • @beatkalizabongonahippoprnb5362
    @beatkalizabongonahippoprnb5362 4 года назад

    sana yan imekaa kizazi sana wazeee wanyumban badest babaaaa

  • @shxn-t3u
    @shxn-t3u 4 года назад +50

    1:30 ati ana kasura kazuri ila ana bonge la shiiiiiiii....😂😂😂ah wapi,love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @issadembegeajr1320
    @issadembegeajr1320 4 года назад

    Awapi ohooo watanzania tupo vizur kwa ubunifu kimziki tupo vizur

  • @ashrafzavalla3841
    @ashrafzavalla3841 4 года назад +133

    Kama unaikubali hii Ngoma gonga like kidogo

  • @namsintimbwa3040
    @namsintimbwa3040 4 года назад

    Nimerudia kuangalia mara kumi,nomar kijana umeuwaaaaa

  • @mrjamal7206
    @mrjamal7206 4 года назад +4

    Dance 98 brought me here 🔥🔥🔥

  • @lightnessntaganyila8272
    @lightnessntaganyila8272 4 года назад

    Goooomaaaa..nakukubali sana whozzu

  • @Fan_films9
    @Fan_films9 4 года назад +70

    💔😂 aty me nishindwe Kula ati kisa tumeachana ah waapi 😂😂💔love from Somalia 😂😂😂😵

    • @dorinelameckhahaja543
      @dorinelameckhahaja543 4 года назад

      😂😂kama mim kabxa nina kipaumbele kwny xwala la kula🙈🙈

  • @jemaluganolugano6987
    @jemaluganolugano6987 4 года назад +1

    Mwimbo mbaya sana huu

  • @latifaamurhamissabd6610
    @latifaamurhamissabd6610 4 года назад +8

    This combination is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 7 месяцев назад

    Wadudu wa chuga igeni mfano kwa. chali waa ms nendeni bongo mtatoboa pia acheni uhuni maisha ili ufanikiwe acha uhuni wa kuigiza huku huna pesa

  • @josemuchai4429
    @josemuchai4429 4 года назад +12

    From 🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mathaniessaukibuti3660
    @mathaniessaukibuti3660 4 года назад

    Aaah wapi ila umepita na nyimbo ya jamaaa ileeee ujamzidi baby wako

  • @isayaplatnumz1965
    @isayaplatnumz1965 4 года назад +108

    Kama humeelewa hi like kumi zinatosha ap

    • @rickytvproduction254
      @rickytvproduction254 4 года назад +1

      ruclips.net/video/AafVSFV13lws/видео.htmlssdfhh

    • @pascalnewstv5439
      @pascalnewstv5439 4 года назад

      Coolruclips.net/video/xB2v7rvcz9M/видео.html

    • @pascalnewstv5439
      @pascalnewstv5439 4 года назад +1

      @@rickytvproduction254 ruclips.net/video/xB2v7rvcz9M/видео.html

    • @pascalnewstv5439
      @pascalnewstv5439 4 года назад +1

      @NYEGERE ONLINE thanks done nmekuekea

  • @meronstudioz
    @meronstudioz 4 года назад +1

    Daaah jowzey kitu cha color kimekaa mkaoo sanaa mzeee 🙌🙌🙌

  • @richlymo
    @richlymo 4 года назад +18

    Laki nyingiii kwa wozu

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 года назад

      *```Chena na mpemba akinya soda kwa mara ya kwanza``*
      *```Bofya hayo maandishi ya ra ya kijani itakupelewa one way on awa channel ila but plz*```
      ```Don't forget to sabuscribe plz```
      👇👇👇👇
      👇👇👇
      👇👇
      👇
      ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html

    • @rickytvproduction254
      @rickytvproduction254 4 года назад

      ruclips.net/video/AafVSFV13lws/видео.htmlsgdh

  • @yonsnjogu9643
    @yonsnjogu9643 4 года назад +1

    Wow vry nice !ngoma hii imeweza

  • @bestfightscene5978
    @bestfightscene5978 4 года назад +37

    Ila Unajua Sana Whouza Kuliko Wote

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 года назад

      *```Chena na mpemba akinya soda kwa mara ya kwanza``*
      *```Bofya hayo maandishi ya ra ya kijani itakupelewa one way on awa channel ila but plz*```
      ```Don't forget to sabuscribe plz```
      👇👇👇👇
      👇👇👇
      👇👇
      👇
      ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html

    • @rickytvproduction254
      @rickytvproduction254 4 года назад

      ruclips.net/video/AafVSFV13lws/видео.htmlssdf

  • @presidentkizulwa1418
    @presidentkizulwa1418 4 года назад

    Naqbal ,aaaah wapiiiii fantastic sana

  • @emakundi
    @emakundi 4 года назад +10

    Watched this song like 100 times.

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 года назад

    Nakupenda sanaa hii nyimbo naimba sanaaaaaaaa nimeskiza siku nzima mm penda ww sanaaa...001 county mombasa kenyaa😍😍😍😍

  • @lifhamtalano
    @lifhamtalano 4 года назад +329

    Bruh😂😂😂😂🔥🔥🔥 this song be on a different level yow🤝🔥😂 mob love from +254🇰🇪

    • @rickytvproduction254
      @rickytvproduction254 4 года назад +3

      ruclips.net/video/AafVSFV13lwz/видео.htmlbbbb

    • @DjColloMilan
      @DjColloMilan 4 года назад +8

      Hii wakenya wakiskia hivi after siku mbili 4 million views 🇰🇪 🇰🇪

    • @mshanganeema2292
      @mshanganeema2292 4 года назад +1

      9ooo999oqqpquu7iii

    • @Mumojr4019
      @Mumojr4019 4 года назад +4

      Bruhh hii ngoma iko lit luv from +254

    • @williamsville3493
      @williamsville3493 4 года назад +1

      @@shafiissa7268 Nenda kanye mzee

  • @mariabasily115
    @mariabasily115 4 года назад +2

    Mbon aifik 1 million najitaid kuview jmn

  • @lilbobi2347
    @lilbobi2347 4 года назад +15

    Hinikali brother naenjoy, demu yangu ataka ma surprise nagajanip game aaaaa wapi!, nipeni likes kama ume replay Mara nyingi , Ugandan to USA Bobi wine for president in Uganda

    • @fatumawangui6070
      @fatumawangui6070 4 года назад

      So mice Kenya👊 💪💪👊👌👍👍👍

  • @emmanuelngane9330
    @emmanuelngane9330 4 года назад +1

    Hawa watuu ni fire waungane tuu

  • @nectarskincare6775
    @nectarskincare6775 4 года назад +30

    Pasi moto hiyooooo with love from 🇰🇪

  • @jenifasanga1322
    @jenifasanga1322 4 года назад

    Lulu diva na harmonize wameiga style yke ya kuimba loh...

  • @sylviatimothy8524
    @sylviatimothy8524 3 года назад +4

    wow♥️♥️♥️♥️this guy is awesome

  • @kibuboy6222
    @kibuboy6222 4 года назад

    tatizo wanamemuigia suma mnazaleti ...ile ngoma ya tupo wangapi

  • @Shonigbinzaramba
    @Shonigbinzaramba 4 года назад +3

    Watching from South Sudan

  • @denagaston785
    @denagaston785 4 года назад

    Dahhh hii moja khaliiii sn 🤪🤪🤪🤪

  • @kabibibahaKB
    @kabibibahaKB 4 года назад +4

    Too much love from the +254

  • @amissahassan495
    @amissahassan495 4 года назад

    Naipenda hii ngoma narudia kutizama kila mdaa. @WHOZU. NOMA SANA AISE😘💕👌

  • @gilbertwafula8008
    @gilbertwafula8008 4 года назад +3

    gonga like hapa kama unampenda whozu

  • @JaclinJulius
    @JaclinJulius Год назад

    Nimerudia mara nyngiii ni nzr san❤

  • @lulumichael6481
    @lulumichael6481 4 года назад +359

    Iv ni mimi tu au na nyinyi wenzang mmerudia nyimbo zaid ya mara moja? 😂

  • @hemedsaid773
    @hemedsaid773 4 года назад

    hii ngomaa kaua chali ya mo twn much respect sana

  • @pillyhemedi3676
    @pillyhemedi3676 4 года назад +5

    Hii nyimbo kila siku naangalia zad ya mara 5

  • @lingsonmasoud2946
    @lingsonmasoud2946 4 года назад

    Baddest .kitambo xn nltaka nione HV vchwa vwl maana wanaaina moja ya muzik

  • @elizabethsakina9987
    @elizabethsakina9987 4 года назад +4

    I trendy nimeachika asini post juma lokole a wapi 🤣😂 gonga like kama ulisikiya

  • @lameckkimh4041
    @lameckkimh4041 3 года назад +1

    Wah motoo💪💪💪

  • @tradingtips6753
    @tradingtips6753 4 года назад +3

    Anae mkubal badest 47 gonga like apaaa tujuane

  • @thomasabel534
    @thomasabel534 4 года назад

    Kana sura nzura Ila kana bonge la shiiiii8......moooooo

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 4 года назад +6

    Much respect to whozu, 🙌

  • @Vivan483
    @Vivan483 4 года назад +1

    Whozu namkubal sana huyu mwambaa hapoiii

  • @flexcasanova6417
    @flexcasanova6417 4 года назад +25

    Seen yambele inafanana kaa
    Ya zlatan wa Nigerian nyimbo akpow
    🇹🇿

  • @cephasgathii1702
    @cephasgathii1702 3 года назад

    Ndugu zetu from TZ hata kama hatukubalianii mambo mengi , hapa kama kenya tumekubali hiii mootoooo 🔥