Getrude nakukubali mno nitakuwa na wewe mwanzo mwisho hata usiposhinda sapoti yangu kwa haitokuwa mwisho Mungu akutangulie mdogo wangu ❤❤❤❤ unajua vibaya mno sina mashaka na uwezo wako ni mkubwa mno
RITA PAULSEN UWE UNACHAGUA MAJAJI KWA UTAALAM NA SIO KWA UMAARUFU. UJAJI UNAHITAJI UTULIVU NA SIO UKATUNI. HII INASHUSHA HADHI YA BSS. PIA JIFUNZENI TALENT SHOW ZA KIMATAIFA ZILIZO ADVANCED KAMA AGT, BGT na TUSKER TALENT SHOW…
Noma group namba 3❤🇨🇩
Mnisuppoti ndugu zangu pia nawapenda kutoka kenyaa❤❤
Ucjali kaka
Niko pamojaa
Tukusupport na nini, tuma mpesa tukutumie ata 2000ksh ya Chai asubuh
@@Boaz22 your number
@@Boaz22ntumie mm
Hakika ni noma zaidi ya noma #group_no_1
King David 🎉🎉🎉
I love you so much Minah❤❤❤❤❤❤
Getrude nakukubali mno nitakuwa na wewe mwanzo mwisho hata usiposhinda sapoti yangu kwa haitokuwa mwisho Mungu akutangulie mdogo wangu ❤❤❤❤ unajua vibaya mno sina mashaka na uwezo wako ni mkubwa mno
This is how it should be when it comes to competion all the groups are good so much love bss sn14
Group 3 I had to repeat 3 times 😍
The last group was on fire 🔥 and lit😢 from 🇧🇮
📌🔥 Lydia ❤
daaar umependeza dada 🎉
RITA PAULSEN UWE UNACHAGUA MAJAJI KWA UTAALAM NA SIO KWA UMAARUFU. UJAJI UNAHITAJI UTULIVU NA SIO UKATUNI. HII INASHUSHA HADHI YA BSS.
PIA JIFUNZENI TALENT SHOW ZA KIMATAIFA ZILIZO ADVANCED KAMA AGT, BGT na TUSKER TALENT SHOW…
King David
apo grupu namba 1 tushapat mrithi wa lady jd tyr😊
ila salama dharau zitamwisha lini sasa
kam wanachukua group 2 wachukue group 1&5 they did the best
all rapper are good
King david🎉🎉
Mmeicheleweshaa
Glory my favorite ❤
Mulewe sifa km Dynamic Tz
Kundi ya tano ni bora mka sasa wangali kwenye mashidano
Wawe eanaimba lugha wanao jua
KWA UPANDE WA MAJAJI MSIMU HUU MMECHEMSHA KUMWEKA SHILOLE. ANA UMAPEPE AMBAO ANAKUWA KAMA SIO JAJI NA ANAGEUKA KUWA SHABIKI….OVYOO KABISA
Laurent (Dynamic) Is a Ja rule Look alike.
Imagine Lydia akiimba cover ya August alsina ya song inaitwa "drugs "
David unajua
group no 2 naona replace ya peter msechu😊
Mi sijaelewa, huyu Benedict yupo hapa kambini lakini mbona kwenye clips za top 20 simuoni? Au alishatoka?